Listen

Description

Kuwa Mtengeneza Mifumo Tanzania kunaambatana na changamoto na fursa mbalimbali. Katika toleo hili nitakurudisha enzi za zamani nakupata hadhithi za watengeneza mifumo wa zamani.

Pia nitakusimulia niliaonza chuo changamoto nilizopitia na kupata kazi. Pia nimeainisha fursa zilizopo sasa kwa watengeza mifumo wa leo.Host: Yesaya R. Athuman