Historia kidogo
- Zaidi huduma nyingi kwenye mtandao ilikuwa unalipia mara moja tuu
- Hii ilikuwa ngumu lakini ukiweza lipia unakuwa umemaliza hiyo kitu kwa miaka michache
- Sasa huduma zimebadilika utasikia manen mengi
- Software as a Service
- Hardware as a Service
- Na hizo subscription
- Lengo ni kupunguza gharama za mwanzo na kufanya gharama kuwa nafuu lakini utalipa kila mwezi which posses a risk
- Utajikuta sasa kila mwisho wa mwezi una lundo la mambo ya kulipia, bado hujalipa bill za maji na umeme.
- Kama hutokuwa mwangalifu unaweza kujikuta umekatwa pesa kwa subscription zisizo za msingi.
Host: Yesaya R. Athuman