Ebwana mambo vipi, jina lamgu ni Yesaya, ninakuletea mfululizo wa vipindi kwa njia ya sauti yaani Podcast. Dhumuni langu ni kukuelimisha, kukuhabarisha na kukuletea mijadala mbalimbali kuhusu Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) na mimi nitajikita zaidi kwenye mifumo ya kompyuta.
Leo tutazungumza juu ya Mpango Wezeshi wa Andela kwa Watengeza Mifumo Barani Africa. Hapa nimeeleza kwa mtazamo wangu tuu Andela ni nini na vipi unaweza faidika kwa kujiunga na Andela. Kwa maelezo zaidi unaweza tembelea website yao andela.com.
Host: Yesaya R. Athuman