Listen

Description

Ebwana mambo vipi, jina lamgu ni Yesaya, ninakuletea mfululizo wa vipindi kwa njia ya sauti yaani Podcast. Dhumuni langu ni kukuelimisha, kukuhabarisha na kukuletea mijadala mbalimbali kuhusu Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) na mimi nitajikita zaidi kwenye mifumo ya kompyuta.

Leo tutazungumza juu ya namna ya kuanza kutengeneza mifumo ya kompyuta. Hapa nazungumza na wala wenye uelewa kidogo lakini bado hawajiamini au wale wenye tamaa anza programming. Pia kwa wewe uliepoteza interest kwani uliambiwa code ngumu, ninakukabisha sasa tuanze upya kwa pamoja.

Host: Yesaya R. Athuman