Listen

Description

Ebwana mambo vipi, jina lamgu ni Yesaya, ninakuletea mfululizo wa vipindi kwa njia ya sauti yaani Podcast. Dhumuni langu ni kukuelimisha, kukuhabarisha na kukuletea mijadala mbalimbali kuhusu Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) na mimi nitajikita zaidi kwenye mifumo ya kompyuta.

Leo tutazungumza kuhusu viashiria vitakavyokusukuma kutumia ChatBot. Nimeeleza kwa mfano katika toleo hili juu ya namna ambayo unaweza onya uhitaji wa ChatBot. Kuna shughuli mbalimbali ambazo zimekuwa zikijirudia na huenda zikahitaji usaidizi wa haraka lakini kutokana na idadi kwa ya wateja ukashindwa wahudumia kwa wakati. Ungana pamoja nami sasa unaweza pata tafsiri ya ChatBot kutoka katika mazungumzo haya.

Host: Yesaya R. Athuman