Listen

Description

Kulingana na utakavyoguswa Moyoni mwako na ukataka kujiunganisha na Huduma ya Mana, unaweza kutuma sadaka kwa njia zifuatazo:

Bwana Yesu Asifiwe!!

Hizi ndizo namba za simu za huduma: 

+255754211633,

+255715511633 na 

+255682657080.

Tafadhali tunaomba usipige ila unaweza kutuma ujumbe mfupi (SMS) kama una hitaji lolote na litaombewa. Pia unaweza kutuma sadaka yako kupitia M-Pesa, Tigo Pesa na Airtel Money.