Verse 1
Ndoa Ndoa Ni kitu Chema x 2
( Marriage Is a beautiful thing) x 2
Ila Kuna wengi
(Backup: Ila Kuna Wengi)
Wameifanya
(Backup: Wameifanya )
Uwanja wa Majaribio
( But most People)
( Backup : But most Peole)
( Regard Marriage )
Backup: Regard Marriage)
as a playground)
Wengi Wanalia aaah haa
Wamekosa Amani
(Most People cry in Marriage, They have No peace)
Lawama lawama
Waume walaumu
Wanawake walaumu Waume Wao
(Blame Games, Men blame their wives, Women blame their Husbands)
Oooh kaa tulia hee hee
(oooh Be settled hee)
Chorus
Aa aaaah aaah aaa aaaah
( Kaa tulia Kwa ndoa Yako) x2
Aaah aaa aaa aaa aaaah!
( Ndoa Haina ( Majaribio)x2
Aaaa aah aaa aaaah!
(Backup: Be settled in Your Marriage)x2
Aaa aa aaa aaaah
( Backup: Marriage has no rehersals) x2
Verse 2
Wanawake wanalaumu
Wanaume wanakwepa Majukumu yao x2
( Women blame men for neglecting their duties) x2
( Nipe hiki kile wanaume wamechokaa) x2
( Buy me this and that, Men are tired) x2
Oooh Na ukikosa Nyumba hio haikaliki x 2
( If you fail to provide, the house turns to be a din of hell) x2
Oooh
Chorus
Repeat the same chorus
Verse 3
Wengi Waingi kwenye ndoa na matumaini makubwa
( Most people get in Marriage with Jackpot Mentalities) x2
Ooh Nakikikosa wanachokihitaji wanaanza kusumbua x2
( If they don't find what they wanted in Marriage they start arrogance and hatred) x2
Tusi linajaa kwenye ndoa
Dharau linajaa kwenye ndoa aaaah x 2
( Abuse and hate dominates when their expectaions fail) x 2
Aah haa
Chorus
Repeat the same chorus
Speaking
Most people when they miss it in marriage they speak badly of their partners
STOP THAT
BE SETTLED IN MARRIAGE SOLVE YOUR PROBLEMS AMICABLY