Pasta Apalale Ause ina fundisha katika kanisa la Eglise Famille de Diue.
Mathayo 24:14
Tena habari njema ya ufalme itahubiriwa katika ulimwengu wote, kuwa ushuhuda kwa mataifa yote; hapo ndipo ule mwisho utakapokuja.
Matendo ya Mitume 2:17
Itakuwa siku za mwisho, asema Mungu, nitawamwagia watu wote Roho yangu, na wana wenu na binti zenu watatabiri; na vijana wenu wataona maono; na wazee wenu wataota ndoto.
Una karibishwa kwaku tuandikia kwenye:
https://www.facebook.com/Fuata2017
Mafundisho kwenye:
https://www.youtube.com/channel/UCc6q8io4RMpvNLYvEhxqJQQ/videos