Pasta Apalale ana fundisha katika Fuata Biblia ikuongoze Studio.
Yohana 14:12.
Amin, amin, nawaambieni, Yeye aniaminiye mimi, kazi nizifanyazo mimi, yeye naye atazifanya; naam, na kubwa kuliko hizo atafanya, kwa kuwa mimi naenda kwa Baba.
Pasta Apalale Ause ana fundisha katika kanisa la International Evangelical Church.
Una karibishwa kwaku tuandikia kwenye:
https://www.facebook.com/Fuata2017
Mafundisho kwenye:
https://www.youtube.com/channel/UCc6q8io4RMpvNLYvEhxqJQQ/videos