Listen

Description

Katika episode hii mwongozaji anazungumzia mada aliyokutana nayo kwenye mtandao wa X (Zamani twitter) inayosema "kusaidia nyumbani mapema katika safari yako ya maisha ni chanzo cha kutofanikiwa". kwa kutumia mifano, anaichambua mada hii na kutoa mtazamo wake huku akibainisha yale anayokubaliana nayo na yale anayopingana nayo na mwishoni kutoa suluhisho.