Listen

Description

Host anatukumbusha umuhimu wa kugeuza hasi kuwa chanya katika kila gumu tunalopitia huku akitoa mfano kutoka katika moja ya filamu maarufu za sanaa za mapigano (Martial arts) inayoitwa Undisputed III: Redemption.

Song of the week: Dilly Darling by Nikita Kering.