Listen

Description

Ama weh unaonaje? 🤔

Ati, national team yetu, Harambee Stars wanacheza home game yao Malawi. Ju kenya hatuna FIFA accredited stadiums... Kuna Siku Youths Wataungana 💯 na  io siku ishaafika! 

Kama Church ☯️, Kama Dawa 🍁 

An Employed Youth
Community Based Organisation

If its nice, lick twice!

Support the show

by kuZASKI Episodes kama IBADA... #NipeShtundu #shtundu
Ibada Podcast on YouTube! @baada_ya_ibada on all socials. Let's coin a Nu Kenyan Kulture.