Haya ni maombi ya ujazo wa Roho Mtakatifu. Ni maombi yenye nguvu sana kwa imani utapokea katika jina la Yesu Kristo wa Nazareth. Amina.
"Lakini mtapokea nguvu, akiisha kuwajilia juu yenu Roho Mtakatifu; nanyi mtakuwa mashahidi wangu katika Yerusalemu, na katika Uyahudi wote, na Samaria, na hata mwisho wa nchi."
Matendo ya Mitume 1:8
Instagram Page: holyspiritconnect
Facebook Page: Holy Spirit Connect
Contact: +255652796450 (WhatsApp)