Listen

Description

Kipindi hiki kimeletwa kwenu na BBC SWAHILI. Na Hamida Abubakar. YALIYOMO... Huku Uingereza ikikaribia kujiondoa kwenye Umoja wa Ulaya maarufu kama Brexit, tunamulika athari zake kwa sekta ya maua nchini Kenya.