Listen

Description

Kipindi hiki kimeletwa kwenu na BBC SWAHILI. YALIYOMO!Risala za rambi rambi kufuatia kifo cha mfanyabiashara mashuhuri kutoka Tanzania Ali Mufuruki zendelea kumiminika. Tunaangazia alicho zungumzia katika kuafikiwa kwa Muungano wa Afrika wa soko huru la biashara hapa barani.