Upendo una maana gani? Je upendo ni kuwa kipofu? Hayo yote unayapata katika epsod hii mpya na nimeweza kuchambua kwa undani maana ya neno upendo na upendo wenyewe.--- Send in a voice message: https://anchor.fm/ayubu-chewale/message