Listen

Description

Mbali na Richimond na Escrow, Epa ni moja ya kashfa mbaya sana pia iliyoliingizia Taifa hasara ya zaid ya Bilion 133, kwa baadhi ya vigogo na wafanyabiashara wakubwa kuutumia msamaha wa Maden ya nje kwny akunti ya madeni ya Nje EPA ktk Benk kuu ya Tanzania BOT miaka ya 2008 na namna ilivyochangia kulifilisi taifa letu.