*TESTIMONY THE BRIDGE OF VICTORY* ushuhuda daraja la mafanikio.
Karibu kwenye program mpya ya ushuhuda daraja la ushidi hapa utapata kusikiliza shuhuda mbalimbali ambazo zitakupa kujifunza Kila siku na hamasa ya kuona upo uwezekana kwa yale ambayo unapitia
Leo nilikuwa na Baba yangu mkubwa Henry Siwiti ambaye aliugua kwa Muda mrefu sana zaidi ya miaka 32 leo Ni mzima na kumbukumbu zimerudi.