Mambo matatu ya msingi unapoanza wiki mpya1. Usiamke na mawazo ya wiki ambayo imeisha2. Amka mapema sana weka mipaka yako vizuri3. Usiamke na kukimbilia kwenye simu bali amka mshukuru Mungu, kwa wiki ambayo imeisha na wiki unayoianza panda mbegu.