:Chini Ya Mti 🤓' podcast ni production ya Olaimerri Media. Ni Podcast ya dakika hazipiti tano. Kusudi letu hapa na lengo kuu ni kukuchekesha, kukuchocha na kukuchanua.
Episode ya leo ikiwa based on a true story! Mimi kama employee wa Mediamax Network ltd, niko na haya ya kusema...