Look for any podcast host, guest or anyone
Showing episodes and shows of

Ahmad Ten'dii

Shows

zumbe10d\'s Podcastzumbe10d's PodcastUjumbe wa Ijumaa: Jun 6 (3) - Dhihaki na za PM na Ukanjanja wa "Deep State"Serekali inasema haifanyi kazi mitandaoni. kwa mantiki hiyo kwangu hiyo ni dhihaki. juhudi zangu za kuishirikisha serikali wakati nikiwa na changamoto zote zime ishia patupu. sector ya mapokezi ni sekta ya kuchunguzwa sana, i have pia ni jambo la aibu kwa ofisi za serikali kuwatenga baadhi ya watu kwa vigezo kwamba wanajilinda na stress, hiyo ni mantiki ya hovyo sana. wahuni wachache wanaweza wakaishikilia serikali. wapo watanzania wengi sana ikiwemo mimi tunaamini ya kwamba mambo ya kisenge huna nafasi katika serikali. watu wa mapokezi wanafanya ubaguzi na michujo ambayo haina mantiki yoyote ni aina fulani ya ubaguzi katika ofisi za...2024-06-1311 minzumbe10d\'s Podcastzumbe10d's PodcastUjumbe wa Ijumaa: Jun 6 (4)- Jitambue - Tangazo la KufarakanaJiwekee mikakati na malengo jitambue wewe mwenyewe kwanza, chagua, watu ambao utaishi nao kwa maisha yanayokuja na watu ambao itabidi mtengane kwa maisha mapya Kuna mambo ambayo yanajirudia rudia na matokeo yake huwa hasi. Yamejengwa juu ya chuki, wivu na roho mbaya na mwisho wake huwa sio mzuri. Mwisho wake ni uduni ni kukosa Karama, Gharama yake ni kuwa mtumwa wa adui zako, mwisho wake ni kutosalimika kwa uhuru wako na uhuru wa familia yako. Yako mambo mengine hayakubaliki kisheria hakuna haki ya mtu kupewa nafasi ya kuchagua dini na kazi, dini na siasa, dini na sanaa au michezo, kati...2024-06-1311 minzumbe10d\'s Podcastzumbe10d's PodcastUjumbe wa Ijumaa: Jun 6 (2) Hatuna Mwingiliano - Changamoto ya Mawasiliano.hakuna wa kusingizia, hakuna pia anayeweza kututenganisha. Hatujatumia uhuru wetu na haki zetu vizuri. kumtumia mtu kitu na kisipofika, ni ishara ya kukosa uhuru, au upungufu wa akili. ndio hiyo sio hali ya kuzoeleka wala kuvumilika. hatuungani, dunia ya leo, na hizi harakati ambazo naziendesha kidijitali. huwezi ukatenganisha maisha ya mitandaoni na na maisha ya mitaani. baadhi ya mambo yanayoleta ukakasi na na kuharibu dini yetu au dini zao yanafaa kufunguliwa mashtaka kesi za kikatiba.2024-06-1311 minzumbe10d\'s Podcastzumbe10d's PodcastUjumbe wa Ijumaa: Jun 6 (1) - Kujipambanua kama DiniKupingwa ni Jambo la kutarajia2024-06-1211 minzumbe10d\'s Podcastzumbe10d's PodcastNdoa na Mahusiano: Nadharia Fyongo 2: Eti Hamna KuchomekeanaRss Feed https://zumbe10d.podomatic.com/rss2.xml Muendelezo wa mafundisho ya Zumbe10D Nawafunza watu jinsi ya kuwaza nakutenda. Masomo haya pia yamefungamanishwa na baraka na karama zilizipo katika mimi na utukufu unaoizunguka nafsi yangu nafsi ya Zumbe Ahmad Ten'dii Hii ni sehemu ya pili katika kipengele cha "Hakuna kuchomekeana". Kitendo hicho ambacho kinaweza kuonekana kidogo sana lakini kina nafasi kubwa katika kuathiri maisha ya kijana na uzoefu wake mzima katika maswala ya mahusiano. Ukichunguza mbali zaidi utagundua ya kwamba hiyo nayo ni hila ya watu duni katika kuendesha maisha ya watu wengine Kwahiyo Episodi hii katika mwendelezo...2024-06-0305 minzumbe10d\'s Podcastzumbe10d's PodcastUjumbe wa Ijumaa Kwa WatotoRss Feed https://zumbe10d.podomatic.com/rss2.xml Leo na waletea ujumbe wa siku ya ijumaa hususan kwa watoto. Humo nimegusia masuala ya karama na umuhimu uliopo wa kuishi maisha ya wema. Katika ujumbe wa leo nimezingatia baadhi ya mambo ya msingi ya kufundisha watoto ikiwemo kukaa kikao tafakuri na umuhimu wa kujifunza lugha ya kiswahili. Pia nimewaelekeza watoto umuhimu wa kuepukana na tabia chafu ambazo zingewapelekea wawe watu wabaya ndani ya jamii. Nimewasisitizia watoto wajifunze umuhimu wa kuishi maisha ya kistaarabu. Na wazidishe tabia ya kupenda kujisafisha. Watambue ya kwamba utukufu ni pambo tu lakini watakatifu ndio wastahili...2024-05-2428 minzumbe10d\'s Podcastzumbe10d's PodcastZumbe10D Sikosei & SIKOSOLEWIRss Feed https://zumbe10d.podomatic.com/rss2.xml Niko na ukamilifu wangu Ambao unapaswa kulindwa. Kabla hujamsikiliza mtu anasema nini kuhusu mimi inafaa umfahamu yeye kwanza. Mimi ni mtambo wa kurekebisha tabia. mimi ni mtawala kiboko ya mifumo kandamizi na mifumo ambayo ina ushenzi ndani yake. Kuanzia ngazi ya kimwili mpaka kiroho au kiasili na kimazingira. Nafunza watu kushinda, na sio kushinda kwa kuzima nuru za watu bali wajiundie dunia au himaya zao kwa kuziangazia nuru safi. Safari yangu hii inaweza ikawakilishwa na maneno ya Mwanamuziki na Mshairi anayekwenda kwa jina la Ghafla. "Mafanikio huvutia maadui na Wapumbavu" Mhm...2024-05-1321 minzumbe10d\'s Podcastzumbe10d's PodcastAzam TV Na Mechi Ya Yanga Na Simba 20 AprRss Feed https://zumbe10d.podomatic.com/rss2.xml Haya ni mapitio ya mimi Zumbe10D (ZA10D) kuhusu mechi ya Simba na na Yanga. Mechi ambayo imechezwa tarehe ishirini mwezi wa nne mwaka huu wa 2024. Mechi hiyo ambayo nilianza kuitazama dakika za mwisho za kipindi cha kwanza na kipindi cha pili chote. Yapo mambo ambayo wengi mlikuwa hamfuatilii lakini kwangu yalikuwa na mwendelezo. Kuna hujuma ambazo zinafanyika ndani ya tanzania na kuna muda zinaingizwa katika maswala ya soka ya ya Simba na na Yanga Na sio katika maswala ya Simba na na Yanga tu bali hata katika maswala ya...2024-05-0714 minzumbe10d\'s Podcastzumbe10d's PodcastZawadi Ya Zumbe Siku Ya Mei MosiRss Feed https://zumbe10d.podomatic.com/rss2.xml ☝️☝️☝️☝️☝️☝️☝️☝️ Kama kuna changamoto ya Episodes (Machapisho) tafadhali badili Rss Feed na weka hiyo mpya. Kisha pitia Orodha upya kuona mpya / ngeni ambazo hujasikiliza. Ujumbe wa kutamausha kutoka kwangu mimi Zumbe Ahmad Hapo ambapo wafanyakazi wanaona ya kwamba wamekwama napo sipo. Kiinua mgongo ni hela zako mwenyewe wakati kodi umeshalipa. Dhana ya kiinua mgongo kama kiinua mgongo haipo. Hakuna mafao kama mafao ya uzeeni kutoka serikalini. Hizo ni hela zako ulizochanga mwenyewe. Na bado linakuwa sio suala la kusoma namba tu bali wanakuwekea kikokotoo pia wamege fungu. Kwa hiyo haina haja ya kikokotoo Mwisho kabisa wa podca...2024-05-0102 minzumbe10d\'s Podcastzumbe10d's PodcastIsraPale! Haja ya Israel kuungana na PalestinaRss Feed https://zumbe10d.podomatic.com/rss2.xml Mtazamo wa Zumbe Ahmad Ten'dii pamoja na Haki yangu (Zumbe Ahmad Ten'dii) juu ya Mzozo wa Mashariki ya kati Maamuzi yangu ni ya kuheshimiwa kwa manufaa yetu, Watoto wetu na Vizazi vijavyo Ninunulie Soda (Kama Ada au Shukrani kwa masomo haya ya Mawazo na Falsafa) Kupitia Lipa Namba ya M Pesa - 5558047 kutokea Mtandao wowote. Jina ni Ahmad Juma Shelimo2024-04-2610 minzumbe10d\'s Podcastzumbe10d's PodcastUfalme na Ujuha TanzaniaRss Feed https://zumbe10d.podomatic.com/rss2.xml Mbele ya Wapumbavu kila kitu kiletacho tabaka hukiita Mamlaka, Hiyo ndio picha halisi ya Wendawazimu. Ni kupoteza muda kubishana na Wendawazimu, Japo kwenye Siasa kila kura moja ina thamani sawa. Wapo wengi wanatamani niwe naweka hukumu na nadharia moja halafu basi, Wasichojua ni kuwa naishi uswahilini, nakula chakula cha migahawa ya Uswahilini. Nakula vitafunwa tu na Chips, huku naogopa Wali, Ugali na Chipsi Mayai. Watu wanapandikizwa uasi na upinzani. Watu wanalipwa kunipotosha, pia kunizoogoma na kuzua ukakasi kama niko karibu na Mwana dada au fursa ya kazi / pesa. Baadhi ya kesi...2024-04-2621 minzumbe10d\'s Podcastzumbe10d's PodcastUnyonge wa Muungano wa Tanganyika na ZanzibarRss Feed https://zumbe10d.podomatic.com/rss2.xml Muungano wa Tanganyika na Zanzibar hauna usawa na vile vile upoteza dira ya Wanamageuzi na Wanamapinduzi waliopigania uhuru wa Afrika wakiwa na lengo la Afrika kuwa Taifa moja. Wakati wa kuungana kabisa au kutengana ni sasa. Ninunulie Soda (Kama Ada au Shukrani kwa masomo haya ya Mawazo na Falsafa) Kupitia Lipa Namba ya M Pesa - 5558047 kutokea Mtandao wowote. Jina ni Ahmad Juma Shelimo2024-04-2315 minzumbe10d\'s Podcastzumbe10d's PodcastElimu ya Demokrasia na Zumbe10DZumbe Ahmad Ten’dii, ni Mzalendo wa Tanzania ambaye nina Maono au Safari ya Taifa la Kifalme. Humu nimeweka Maelezo na Maelekezo ambayo yanaweza kuleta haki, Mabadiliko na usawa ambao ni wenye Afya. Ni kama Fursa mpya ambayo inapaswa ijirudie rudie mara nyingi ipasavyo Jambo la kuzingatia Zaidi ni Maelezo na Maelekezo juu ya Kura za Wazi na jinsi itakavyo ufanya uchaguzi sio tu huru na wa haki bali pia utabadilisha “Ni akinanani wataamua nani awe kiongozi”. Sio lazima pesa nyingi, Sio lazima Madalali wengi, Kamati za Fitina Zitaanguka ipasavyo na kuondoa, nafasi ya Mamluki na Wanafiki kwenye kuathiri matokeo ya Uch...2024-04-2121 min