Look for any podcast host, guest or anyone
Showing episodes and shows of

CJ Kujenga

Shows

Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutuHabari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutuWanachama wa WHO wachukua hatua za kujenga uwezo dhidi ya majanga yajayo ya afyaBaada ya zaidi ya miaka mitatu ya mazungumzo ya kina, hatimaye leo Geneva, Uswisi, Nchi Wanachama wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani (WHO) zimekamilisha rasimu ya makubaliano ambayo itawasilishwa katika Mkutano wa Afya Duniani mwezi Mei mwaka huu wa 2025. Pendekezo hili linakusudia kuimarisha ushirikiano wa kimataifa katika kuzuia, kujiandaa na kukabiliana na vitisho vya majanga ya kiafya yajayo. Anold Kayanda amefuatilia anatujulisha zaidi.  "Leo mataifa ya dunia yameandika historia mjini Geneva," amesema Dkt. Tedros Ghebreyesus, Mkurugenzi Mkuu wa WHO na kuongeza kwamba, "kwa kufikia makubaliano kuhusu Mkataba wa Majanga ya kiafya, siyo tu wameweka msingi wa makubaliano ya...2025-04-1601 minSikio podcastSikio podcastUnajitamkia maneno gani Kila siku? ~ with Belindabebe LifardWatu wengi sana tumekua na uelewa kua maneno yana nguvu, lakini wakati huo huo tumekua tunajitamkia maneno ya kujikatisha tamaa kama "huu mtuhani siwezi faulu, huu ugonjwa ndio ulimuua fulani na mimi siwezi pona" katika episode hii tunakumbushana kujitamkia maneno yenye kujenga kwani maneno yana nguvu ya kujenga au kubomoa.2025-01-2724 minThe Talking PointThe Talking PointFriday Wind Down with KujengaOur next guest part of an improv band that has set the world alight in 2024. Kujenga is an afro-jazz band based in Milnerton, Cape Town. The word ‘kujenga’ comes from the Swahili language, and it simply means “to build.” The name symbolises the band’s belief in their calling as musicians; to build and create meaningful experiences with every single listener, through their art. The group has recently returned from an international tour in the United Kingdom, Standard Bank Joy of Jazz and performed at the Cape Town International Jazz Festival. The band has received accolades including Newcomer o...2024-12-2326 minTEN OVER TEN PODCASTTEN OVER TEN PODCASTEP09 TENOVERTEN- Kujenga Nidhamu na Maadili Imara: Msingi wa Ukuaji- Authentic SwahiliansKatika episode hii ya 9 Jackson na Kefa wanachambua umuhimu wa nidhamu, wakitumia mifano halisi kama Cristiano Ronaldo, ambaye nidhamu yake ya hali ya juu kwenye mazoezi na maisha ilimfikisha kilele cha mafanikio ya kimataifa. Wanashiriki pia mbinu madhubuti za kujenga nidhamu, kama kuweka malengo wazi, kujifunza kusema hapana kwa vishawishi, na kufuatilia maendeleo yako kwa ukaribu. Mambo Muhimu Utakayojifunza: Nidhamu ni injini ya maisha na ufunguo wa kufanikisha ndoto zako. Maadili hufanikisha uaminifu, ambao ni muhimu kwa mafanikio ya kudumu. Mbinu za vitendo za kujenga nidhamu na kudumisha maadili katika mazingira magumu. 2024-12-161h 00Queen Gee PodcastQueen Gee PodcastTABIA 3 MUHIMU KUWA NAZO KWENYE SAFARI YA KUJENGA UTAJIRIKitakachokutofautisha wewe na wengine katika safari hii ya kujenga utajiri ni TABIA. Na hizi ndio tabia muhimu kuhakikisha unaishi nazo. Kumbuka kwamba kujenga utajiri kwa ajili yako na vizazi vyako inawezekana, AMUA AMUA! Love & Respect, Grace2024-10-2508 minThe World Show With Nicky BThe World Show With Nicky BKujenga And Thandeka Dladla On The World Show With Nicky BThe World Show is having a double bill this Sunday, and both acts are from Cape Town! Kujenga, which means "to build" in Swahili, will be the first group to join us. Kujenga, who identify as a "Black improvised music outfit," are currently on a national tour in support of their recently released album, "In the Wake." Following that, Thandeka Dladla, a gifted singer and composer, will join us. At the age of twelve, Thandeka began listening to classical music. She later studied jazz at the University of Cape Town and gained notoriety as the lead...2024-03-241h 41Radio 2000 MixesRadio 2000 MixesFriday Interview STUDIO]: KujengaKujenga is an afro-jazz band based in Cape Town. The word 'kujenga' comes from the Swahili language, and simply means “to build. “Their new album In The Wake was released this week. Kujenga (Currently, the horn section consists of Tamsyn Freeks on trombone, Bonga Mosola on trumpet, and Matthew Rightford on saxophone. The formation is completed by Owethu Ndwandwe on keys, Thane Smith on guitar, and Keno Carelse on drums)2024-03-2229 minAmedeus Live PodcastAmedeus Live PodcastKujenga Tabia ya Kiungu Ndani YakoNeno la Mungu linauwezo wa kujenga tabia za kiungu ndani Yako kama utalisikia, utaliamini, Ulitafakari na kulifanya kuwa maisha Yako ya kila siku. Wekeza kwenye neno la Mungu na hakika utakuwa na maisha ya ushindi Daima.2024-03-1116 minShe\'s BoldShe's BoldKujisomea Kama Nyenzo ya Kujenga Maisha - na Prudence Zoe Glorious.Jiunge nasi katika kipindi hiki tukijifunza umuhimu wa kujisomea na kujifunza katika maisha ya Prudence Zoe Glorious, kibinafsi na kitaaluma. Pata ufahamu, hamasa, na mafundisho yanayotokana na maisha yaliyojitolea kwa harakati ya maarifa. ZOE Prudence Glorious kwa sasa ni Afisa Mkuu wa Nia katika kampuni ya Prudence Zoe Glorious (PZG), aliyoianzisha mwaka 2020. Akiwa na uzoefu kama mshauri huru wa Umoja wa Mataifa, anapenda kuwakilisha Tanzania kama taifa lenye mustakabali wa mafanikio. Jiunge nasi na utahamasishwa na safari ya 'ZOE Prudence Glorious' na jinsi kusoma kumekuwa chanzo cha mabadiliko chanya...2024-02-0221 minMending Thoughts AfricaMending Thoughts AfricaMTA S02E04 - KUJENGA RASILIMALI ZA NDANI ZA MTOTO WAKO PART 2KUJENGA RASILIMALI ZA NDANI ZA MTOTO WAKOKila mtu anazo rasilimali za ndani zinazomfanya akabiliane na changamoto mbali mbali katika maisha yake, ikiwemo msongo wa mawazo. Hata hivyo kwa sababu mbalimbali zinaweza kuwa butu kiasi mtu akashindwa kukabiliana na changamoto kwa njia nzuri hatimaye akajidhuru badala ya kujisaidia. Mjadala wetu utajikita kwenye namna ya kujenga na kuimarisha rasiliamali hizi.BUILDING YOUR CHILD'S INTERNAL RESOURCESEveryone has internal resources that make him face various challenges in his life, including stress. However, for various reasons, it can be quite blunt and a person fails to...2023-12-0932 minMending Thoughts AfricaMending Thoughts AfricaMTA S02E04 - KUJENGA RASILIMALI ZA NDANI ZA MTOTO WAKO PART 1KUJENGA RASILIMALI ZA NDANI ZA MTOTO WAKOKila mtu anazo rasilimali za ndani zinazomfanya akabiliane na changamoto mbali mbali katika maisha yake, ikiwemo msongo wa mawazo. Hata hivyo kwa sababu mbalimbali zinaweza kuwa butu kiasi mtu akashindwa kukabiliana na changamoto kwa njia nzuri hatimaye akajidhuru badala ya kujisaidia. Mjadala wetu utajikita kwenye namna ya kujenga na kuimarisha rasiliamali hizi.BUILDING YOUR CHILD'S INTERNAL RESOURCESEveryone has internal resources that make him face various challenges in his life, including stress. However, for various reasons, it can be quite blunt and a person fails to...2023-12-0938 minMental GlowMental Glow22 - Mambo ya Kuzingatia Katika Kujenga na Kudumisha Mahusiano Mazuri ft. Nickson KatazeTafiti zimebainisha kuwa mambo tofauti kama hali ya kiuchumi, mazingira, kujitambua, na mengineyo huathiri sana ubora wa mahusiano. Pamoja na hilo, watu wengi wamekuwa wakipata changamoto katika kutofautisha aina mbalimbali za mahusiano, na hii kupelekea mkanganyiko katika kuhusiana na watu katika mazingira tofauti tofauti. Katika kipindi hiki, nimeungana na mwanasaikolojia tiba Mr. Nickson Kataze tukijadili kwa undani kuhusu aina tofauti za mahusiano na jinsi ya kujenga na kudumisha mahusiano bora na watu wanaotuzunguka.2023-09-1550 minAmani Longishu PodcastAmani Longishu Podcast#55: Siri Ya Kujenga Brand Kubwa MtandaoniNdani ya Episode hii Amani Longishu, ameelezea Siri Ya Kujenga Brand Kubwa Mtandaoni Ukiwa unasikiliza episode hii chukua screenshoot na post kwenye Instagram Story yako kisha unitag/mention "@mjasiriamalidigital" ili nijue wewe ni msikilizaji mzuri wa podcast hii Niulize swali kwenye Instagram https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Tembelea blog yangu https://www.mjasiriamalidigital.com Nifollow Tiktok: https://www.tiktok.com/mjasiriamalidigital Mjasiriamali Digital Podcast Episode 552023-07-1804 minAmani Longishu PodcastAmani Longishu Podcast#52: Fomula 4 Za Kujenga Jina INSTAGRAMNdani ya Episode hii Amani Longishu, ameelizea Fomula 4 Za Kujenga Jina Instagram Ukiwa unasikiliza episode hii chukua screenshoot na post kwenye Instagram Story yako kisha unitag/mention "@mjasiriamalidigital" ili nijue wewe ni msikilizaji mzuri wa podcast hii Niulize swali kwenye Instagram https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Tembelea blog yangu https://www.mjasiriamalidigital.com Mjasiriamali Digital Podcast Episode 522023-06-1008 minFree City RadioFree City RadioKujenga + Spirodon mix for Radio Alhara راديو الحارةA joint mix with Kujenga for Radio AlHara Airing June 4, 2023 01. Zim Ngqawana - Qula Kwedini 02. Busi Mhlongo - We Baba Omncane 03. Bheki Mseleku - Closer To The Source 04. Jimmy Dludlu - Nkateko 05. Thandi Ntuli - Uz'buye 06. Kyle Shepherd - Vang Gou Die Strandloper 07. Benjamin Jephta - Homecoming 08. The Unity Band - Xa Ndiyekela Kuwe 11. Anarchist Mountains - Inside the Signals 12. Kujenga - Abaphantsi2023-06-0400 minThe K Jazz Show on Kofifi FM 97.2The K Jazz Show on Kofifi FM 97.2Zwide Ndwandwe introduces " Kujenga" on Kofifi FM 97.2Kujenga is an afrojazz band based in Cape Town, South Africa. The word kujenga – meaning “build” or “create” in KiSwahili - symbolises the band’s belief in their calling as musicians; to build and create meaningful experiences with every single listener. The band consists of a four piece rhythm section featuring Owethu Ndwandwe on lead vocals and keys, twin brother Zwide Ndwandwe on bass, Thane Smith on electric guitar and Skhumbuzo Qamata on drums. The larger ensemble includes Bonga Mosola on trumpet, Matthew Rightford on tenor sax and Tamzyn Freeks on trombone. After an electric debut onto the Job...2023-04-0945 minSwahiliSwahiliMungu KwanzaHagai alihubiria kundi la kwanza la wahamishwa waliorudi Yerusalemu. Kwa sababu ya uadui huo, watu wa Yuda waliacha kujenga hekalu na kuanza kujenga nyumba zao wenyewe. “Zitafakarini njia zenu, Hagai alisema. Alitoa wito kwa watu wa Mungu ‘wakumbuke mambo yao ya kutanguliza, wapate tena maoni yenye usawaziko, wachochewe kuendelea, na waache woga. Maneno yake yanatukumbusha hitaji letu la kuendelea kulenga utume wa Mungu na mapenzi yake kwa maisha yetu.2022-06-1624 minUnaweza talksUnaweza talks86/100: Misingi muhimu ya kutumia ili kujenga mahusiano yako ya ndoa imara 3Hii ni misingi muhimu ya kujenga mahusiano yaliyo bora2022-05-1112 minUnaweza talksUnaweza talks85/100: Misingi muhimu ya kujenga mahusiano yako imara ni maarifa, upendo, ukweli, na kujitoaMisingi muhimu sana unayoweza kuitumia kujenga mahusiano yako imara2022-05-1011 minUnaweza talksUnaweza talks71/100: Upendo wa kweli ni upendo wa Agape ambao unapaswa kujenga ndoa na mahusiano yakoUpendo wa kweli ni upendo wa agape; unakuwezesha kujenga mahusiano imara2022-04-2630 minUnaweza talksUnaweza talks69/100: Upendo wa kifamilia au kindugu siyo upendo wa kweli wa kujenga mahusiano ya ndoa boraUpendo wa kifamilia au kindugu siyo upendo wa kweli wa kujenga mahusiano ya ndoa bora2022-04-2409 minOngea Na Kocha.Ongea Na Kocha.MWONGO WA KUFIKIA UBILIONEA (2020 – 2030).MWONGO WA KUFIKIA UBILIONEA (2020 - 2030).Muongo wa 2020 - 2030 ni muongo wa kufikia kiwango cha utajiri cha UBILIONEA kwenye KISIMA CHA MAARIFA.Hiki ni kipindi ambacho kila mwanachama anapaswa kufikia uhuru wa kifedha kwenye maisha yake.Ni kupitia uhuru huo wa kifedha ndipo kila mwanachama anaweza kuwa huru na maisha yake.Katika kujenga uhuru huu wa kifedha na kufikia ubilionea, njia kubwa tatu zinatumika.👉Njia ya kwanza ni biashara.Kila mwanachama anajenga biashara zinazojiendesha zenyewe bila ya kutegemea uwepo wake moja kwa moja.Biashara ndiyo njia kuu ya...2022-04-111h 11Ongea Na Kocha.Ongea Na Kocha.Ongea Na Kocha; Instant Cashflow – Kuongeza Idadi Na Kiwango Cha Manunuzi.Habari Mwanamafanikio?Karibu kwenye kipindi cha ONGEA NA KOCHA ambapo tumeendelea na uchambuzi wa kitabu cha INSTANT CASHFLOW kilichoandikwa na Bradley Sugars.Kitabu hiki ni mwendelezo wa msingi mkuu tuliojifunza kwenye kitabu cha BILLIONAIRE IN TRAINING cha mwandishi huyo huyo.Kwenye BILLIONAIRE IN TRAINING tulijifunza ngazi tano za ujasiriamali ambazo ni kama ifuatavyo;Ngazi sifuri; mwajiriwa, hapa chanzo cha kipato ni ajira tu.Ngazi ya kwanza; kujiajiri, hapa unafanya kila kitu mwenyewe.Ngazi ya pili; meneja, hapa umeajiri wengine kukusaidia, ila bila uwepo wako hakuna kinachoenda....2022-03-213h 07Ongea Na Kocha.Ongea Na Kocha.Ongea Na Kocha; Kisima, Tathmini, Rejoyce Otaru.ONGEA NA KOCHA; KISIMA, TATHMINI, REJOYCE OTARU.Karibu mwanamafanikio kwenye kipindi cha ONGEA NA KOCHA ambacho kina mambo makubwa manne ya kujifunza kwenye safari yetu ya mafanikio.Jambo la kwanza ni mambo ya muhimu na ya msingi ya kuzingatia kwenye KISIMA CHA MAARIFA. Kwa sasa tunapotia mageuzi makubwa kwenye KISIMA kutoka kuwa kundi la kujifunza na kwenda kuwa jumuia za wanamafanikio. Katika mageuzi haya KISIMA kinataka kila mmoja kujitoa zaidi ili kuweza kufanikisha lengo la pamoja ambalo wote tunalo. Nimeshirikisha dhana nzima ya KISIMA CHA MAARIFA NI JESHI, adui yetu mkuu tunayemkabili na ushindi ambao tunataka...2022-03-143h 19Ongea Na Kocha.Ongea Na Kocha.Ongea Na Kocha; Andika, Dedicated, Selemani Mbwambo.Habari Mwanamafanikio?Karibu usikilize kipindi cha ONGEA NA KOCHA ambacho kina mambo makubwa na muhimu kama ifuatavyo;Kwenye somo la juma utajifunza umuhimu wa Kuandika vitu ili uweze kufikiri vizuri na kuweza kuvikamilisha. Unapofikiria tu vitu huvipi msisitizo mkubwa kama ukiviandika chini. Hivyo unapaswa kujijengea utamaduni wa kuyaandika malengo yako kila siku, kuandika mipango yako ya siku, kuandika yale uliyojifunza na kuandika tathmini zako binafsi. Sikiliza kipindi kujifunza hilo kwa kina.Kwenye kitabu cha wiki utapata uchambuzi wa kitabu Dedicated: The Case for Commitment in an Age of Infinite Browsing kilichoandikwa na Pete Davis...2021-12-203h 32The ChanzoThe ChanzoZitto Kabwe: Hatujaweza Kutumia Uhuru Wetu Kuleta Maendeleo ya Taifa LetuHii ni sehemu ya tatu na ya mwisho ya mahojiano maalum kati ya The Chanzo na Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo Zitto Kabwe yaliyofanyika nyumbani kwake jijini Dar es Salaam mnamo Novemba 27, 2021. Kwenye sehemu hii, Mbunge huyo wa zamani wa Kigoma Mjini anaeleza tathmini yake ya miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika ambayo kilele cha maazimisho ya sherehe hizo yatafanyika Disemba 9. Zitto anasema kwamba juhudi nyingi katika kipindi hiki cha miaka 60 zimeelekezwa kwenye kujenga nchi badala ya kujenga taifa. Anadai kwamba miaka 60 ya uhuru bado kuna wananchi nchini Tanzania wana hali zile zile za maisha walizokuwa nazo wakati nchi ikijipatia uhuru...2021-12-0626 minPaukwa RadioPaukwa RadioNamna ya Kujenga Ubunifu katika uandishi.Je, unawezaje kufundisha ubunifu darasani? Mazingira huweza kujenga ubunifu wa mwanafuzi? --- This episode is sponsored by · Anchor: The easiest way to make a podcast. https://anchor.fm/app--- Send in a voice message: https://anchor.fm/otienomjomba/messageSupport this podcast: https://anchor.fm/otienomjomba/support2021-11-202h 39Paukwa RadioPaukwa RadioNamna ya Kujenga Ubunifu katika uandishi.Je, unawezaje kufundisha ubunifu darasani? Mazingira huweza kujenga ubunifu wa mwanafuzi? --- This episode is sponsored by · Anchor: The easiest way to make a podcast. https://anchor.fm/app --- Send in a voice message: https://anchor.fm/paukwaradio/message Support this podcast: https://anchor.fm/paukwaradio/support2021-11-202h 39HorizonTV #BongaNasiHorizonTV #BongaNasiPato Halali 2: Bonga Nasi EP 6Baada ya kuondolewa curfew nchini kenya, sekta mbalimbali zina nafasi ya kujenga uchumi. Je, sekta ya uchumi Halali una mchango gani katika kujenga uchumi?  Sikiliza makala haya nae @M_Shakombo akiwa na @UmiWabomba @ba_bajaffar @kheir_sulh @HalalSafaris --- Send in a voice message: https://anchor.fm/horizontvkenya/message2021-10-2759 minAmani Longishu PodcastAmani Longishu Podcast#25: Jinsi ya kujenga kujiamini kwenye kamera ili kujenga biashara mtandaoniKama wewe ni mfanyabiashara au mjasiriamali na bado hujaanza kutengeneza video kwaajili ya bidhaa au huduma zako!! Utaendelea kubaki nyuma kwenye mitandao ya kijamii. Katika episode hii ya 25 nimezungumzia njia 5 za kujenga kujiamini kwenye camera ili kujenga biashara mtandaoni. Niulize swali hapa⬇️ https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Usisahau ku subscribe, kuandika review yako au Comment na kuipa 5 stars Podcast hii kama inakusaidia. For sponsorship👇🏻 Email: mjasiriamalidigital@gmail.com2021-08-2808 minAmani Longishu PodcastAmani Longishu Podcast#24: Njia 5 za kujenga uaminifu instagramJe unahangaika kujenga uaminifu instagram wewe kama mfanyabiashara kwenye ukurasa wako wa kibiashara? Katika episode hii ya 24 nimezungumzia njia za kujenga uaminifu kwenye instagram. Kumbuka kushare na mfanyabiashara aje ajifunze. Niulize swali hapa⬇️ https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Usisahau ku subscribe, kuandika review yako au Comment na kuipa 5 stars Podcast hii kama inakusaidia2021-08-1807 minMen The PodcastMen The PodcastEp 39 - Men do communicate, differentlyWanaume hawajui namna ya bora ya kuwasiliana, kuanzisha mazungumzo ya muhimu na inawezekana hawajui kabisa kuongelea wanayoyapitia, wanayoyafikiria au kuelezea hisia zao wakiwa kwenye mahusiano, hii ni dhana iliyojengeka kwa watu wengi sana, je ina ukweli wowote? Baadhi ya wanaume wanapingana na hili, na wanasema si kweli. Wanaume wanaweza sana kuwasiliana, sema tu wanawasiliana kwa namna ambayo ni tofauti na inahitaji muda kuielewa. Michael na Nadia wanazungumza kwa kirefu sana na Gillsant pamoja na Leslie juu ya mawasiliano, matarajio na changamoto za kutokuwa na mawasiliano mazuri kwenye mahusiano kwa upande wa mwanaume na namna gani...2021-07-291h 45Men The PodcastMen The PodcastEp 38 - Ukweli kuhusu nguvu za kiumeTatizo la nguvu za kiume ni tatizo gani? Linaathiri wanaume wangapi duniani? Chanzo cha hili tatizo ni nini? Matumizi ya dawa za asili kama “Vumbi la Congo” na “Al Kasusi” ni kweli yanasaidia kutatua tatizo hili? Ni tatizo linalotibika? Kuna madaktari wanaoweza kusaidia kwenye hili tatizo? Linahusiana vipi na afya ya akili? Mbona mara nyingine hili tatizo kama linapotea na mara nyingine kama linarudi? Kuna suluhisho la kudumu? Haya ni baadhi ya maswali ambayo wanaume wengi sana hujiuliza kuhusiana na “Nguvu za Kiume”. Katika nia ya kujenga na kuboresha afya ya akili kwa wanaume, episode hii imeamua kuzungumzia...2021-07-151h 11Coffee chats with PhelistersCoffee chats with PhelistersMaadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika 16 Juni 2021Tunapoadhimisha Siku ya Mtoto wa Kiafrika, kwa Pamoja tunaungana Kama Familia, Kama Jumuiya, Kama Wataalamu, Kama Watunga Sera na Viongozi kukuza Mtoto wa Kiafrika. Miaka 30 Baada ya Kupitishwa kwa Hati: Kuharakisha Utekelezaji wa Ajenda 2040 Kwa ajili ya Mtoto wa Kiafrika ni kwa Kutanguliza mahitaji ya Mtoto wa Kiafrika na Kujenga Msingi Imara kwa Afrika na Ulimwenguni. Afrika ina Vijana wengi Zaidi Na Ina Uwezo Mkubwa Wa Kuongoza Ulimwengu kuleta mabadiliko. Umoja wa Afrika unahitaji Sera tabithi ili kumnufaisha Mtoto wa Kiafrika. Heri ya Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kiafrika!2021-06-1501 minMen The PodcastMen The PodcastEp 35 - Three Months Paternity LeaveMiezi mitatu ya likizo ya uzazi kwa mwanaume. Inaonekana kama kitu cha ajabu sana hata kukizungumzia, uongo au kweli? Can you imagine a man, a Tanzanian man to be precise taking three months paternity leave? Well, kama hauamini basi fahamu kuwa yupo mtu aliyefanya hivyo, na muda huu ulibadilisha kabisa maisha yake na mtazamo wake kwa ujumla juu ya uzazi na malezi kwa ujumla. Lakini pia tunazungumzia kwanini wanaume walio wengi hupata changamoto kubwa pale wanapopata watoto wachanga na namna gani jamii inayotuzunguka (ndugu na marafiki) inaweza kuwa na nafasi kubwa sana ya kukufanya utumie...2021-06-031h 19Iran-Tanzania PodcastIran-Tanzania PodcastWasifu au Shajara ya Hakeem Omar KhayyamJina lake ni Imam Ghiyathu-ud-Din Abu al-Fat’h Umar ibn Ibrahim Khayyam Neyshabouri alikuwa ni mmoja wa wasomi wakubwa, wa hisabati na mashairi wa Uajemi ambayo ni nchi ya Iran kwa sasa. alizaliwa huko Neishabour mwishoni mwa karne ya tano na mwanzoni mwa karne ya sita. Mwaka halisi wa kuzaliwa kwake haujulikani.. Aliitwa Khayyam kwa sababu Baba yake alikuwa akifanya kazi ya kutengene Mahema. Alikuwa ni mmoja wa wanasayansi wakubwa wa wakati wake na alikuwa na akili isiyo ya kawaida na kumbukumbu nzuri sana. Katika ujana wake alipenda sana kusoma sayansi na maarifa, fa...2021-05-1905 minSIRI ZA BIBLIASIRI ZA BIBLIADHAMIRA YA KUIFUTA ISRAEL KWENYE RAMANI YA DUNIA - Sehemu ya KWANZAKatika karne ya 19 idadi kubwa ya Wayahudi waliishi katika maeneo kadhaa ya Milki ya Urusi yaliyotwaliwa na milki hiyo mnamo 1800. Uadui dhidi ya Wayahudi ulitokea katika utawala wa Kirusi. Kuanzia mwaka 1880 kulitokea ghasia mbalimbali ambako Wayahudi walishambuliwa katika miji ya Urusi. Wimbi la pili la ghasia hizo zilizoitwa pogromu zilikatokea mwaka 1905, ambapo Wayahudi zaidi ya 2000 waliuawa mjini Odessa . Wakati ule Wayahudi wa Urusi walianza kuhamia nje: wengi wao walikwenda Marekani, lakini wachache walielekea Palestina. Mapogromu yalikuwa pia chanzo cha harakati mpya ya Uzayuni (Zionism) kati ya Wayahudi wa Ulaya. Uzayuni ulilenga kuwapa Wayahudi eneo maalum ili...2021-05-1511 minSIRI ZA BIBLIASIRI ZA BIBLIASIRI ZA BIBLIA: NGUVU ZA MADHABAHU/MAAGANO NA MIKATABA YA KUZIMUMAMBO MUHIMU YANAYOUNDA MADHABAHU Ili uweze kushughulikia tatizo sugu lililoshikiliwa kwenye madhabahu ni lazima ufahamu vizuri kuwa madhabahu sio jina pekee bali ni muunganiko wa mambo sita (6) ambayo hayo yanafanya madhabahu kuwepo na kuwa na nguvu, mambo hayo ni kama yafuatayo:- Madhabahu yenyewe Kuhani wa madhabahu Kafara ya madhabahu Washirika wa madhabahu Mungu wa madhabahu Nguvu ya madhabahu Madhabahu yenyewe Madhabahu hujengwa na watu kwa kusudi la kufanya ibada kwa Mungu wanaye mwamini. Kwa kawaida kila mwanadamuanaamini kuwepo kwa nguvu ambayo ni kubwa kuliko nguvu ya...2021-04-2211 minMOZE KIMAROMOZE KIMAROUJASIRI WA IMANI ZETU KATIKA MUNGU.Mpendwa kutimiza kusudi la MUNGU katika maisha yako lazima uwe JASIRI wa IMANI. Kupokea MIUJIZA au MAJIBU ya maombi yako lazima uwe JASIRI WA IMANI YAKO KWA MUNGU NA NENO LAKE. SOMO HILI LITAKUSAIDIA KUJENGA UJASIRI WA IMANI YAKO KWA MUNGU.2021-04-1749 minSIRI ZA BIBLIASIRI ZA BIBLIASIRI ZA BIBLIA:WANA WA MUNGU KUZINI NA BINADAMU WANAWAKESOMO: MAJITU (WANEFILI). ASILI YA MAJITU - WANEFILI NI KUTOKA WAPI ? NI WAJUMBE WA SHETANI WANAOJIINGIZA KATIKA KUSANYIKO AU USHIRIKA WA WANA WA MUNGU! 1. MAANA YA MAJITU. a. NI MAGUGU YALIYOPANDWA NA IBILISI KATIKA SHAMBA LA MUNGU (ULIMWENGUNI)? Mathayo 13: 24 Akawatolea mfano mwingine, akisema, Ufalme wa mbinguni umefanana na mtu aliyepanda MBEGU NJEMA katika konde lake; 25 lakini watu walipolala, akaja adui yake akapanda MAGUGU KATIKATI YA NGANO, akaenda zake. 26 Baadaye majani ya ngano yalipomea na kuzaa, yakaonekana na magugu. 27 Watumwa wa mwenye nyumba wakaenda wakamwambia, BWANA, hukupanda mbegu njema katika...2021-04-1713 minSIRI ZA BIBLIASIRI ZA BIBLIASIRI ZA BIBLIA: WANA WA MUNGU KUZINI NA BINADAMU WANAWAKESOMO: MAJITU (WANEFILI). ASILI YA MAJITU - WANEFILI NI KUTOKA WAPI ? NI WAJUMBE WA SHETANI WANAOJIINGIZA KATIKA KUSANYIKO AU USHIRIKA WA WANA WA MUNGU! 1. MAANA YA MAJITU. a. NI MAGUGU YALIYOPANDWA NA IBILISI KATIKA SHAMBA LA MUNGU (ULIMWENGUNI)? Mathayo 13: 24 Akawatolea mfano mwingine, akisema, Ufalme wa mbinguni umefanana na mtu aliyepanda MBEGU NJEMA katika konde lake; 25 lakini watu walipolala, akaja adui yake akapanda MAGUGU KATIKATI YA NGANO, akaenda zake. 26 Baadaye majani ya ngano yalipomea na kuzaa, yakaonekana na magugu. 27 Watumwa wa mwenye nyumba wakaenda wakamwambia, BWANA, hukupanda mbegu njema katika...2021-04-1612 minLIFE COACH ALEX PAMPHILILIFE COACH ALEX PAMPHILIDODOMA UWE NA TIMUDODOMA NI MJI WA BIASHARA KUBWA ZIJAZO LAZIMA KUWEKEZA NGUVU DODOMA KTK KUUZA BIDHAA NA KUJENGA TIMU2021-02-2203 minSIRI ZA BIBLIASIRI ZA BIBLIAANOINTED ROOM: KIJANA NI TAIFA KUBWA {sehemu ya 1}Mhubiri 3:1-8  Kila kitu kina majira yake, kila jambo duniani lina wakati wake: Wakati wa kuzaliwa na wakati wa kufa; wakati wa kupanda na wakati wa kuvuna kilichopandwa; wakati wa kuua na wakati wa kuponya; wakati wa kubomoa na wakati wa kujenga; wakati wa kulia na wakati wa kucheka; wakati wa kuomboleza na wakati wa kucheza; wakati wa kutupa mawe na wakati wa kuyakusanya mawe pamoja; wakati wa kukumbatia na wakati wa kuacha kukumbatia; wakati wa kutafuta na wakati wa kupoteza; wakati wa kuhifadhi na wakati wa kutupa; wakati wa kurarua na wakati wa kushona; wakati wa k...2021-02-1020 minThe Global Leadership Hypothesis. What makes a great leader?The Global Leadership Hypothesis. What makes a great leader?Episode 12 - In conversation with Cheryl-Jane(CJ) Kujenga**Are your decisions causing positive ripples in organisations❓**What we would like to see on boards and in teams is genuine representation from people with different backgrounds adding cognitive diversity to conversations and helping to innovate and generate new ideas.The average board member has a seven to eight-year tenure, yet the decisions they make create a ripple effect on people in the organisation for up to 15 to 20 years. They feel the impact, both positive and negative, of those decisions.These are some of the key messages from the interview with Cheryl-Jane (Cj) Ku...2021-02-0434 minUplifting Moment with Luphurise MawereUplifting Moment with Luphurise Mawere4. Amini kwamba Mungu atakufanikisha By Luphurise Mawere2 Wafalme 4: 1-7 Hesabu 27: 1-11 _Nehemia 2: 20 Ndipo nikawajibu, nikawaambia, Mungu wa mbinguni, yeye atatufanikisha; kwa hiyo sisi, watumishi wake, tutaondoka na kujenga; lakini ninyi hamna sehemu, wala haki, wala kumbukumbu, katika Yerusalemu._ Mistari hiyo hapo juu inaonyesha namna ambavyo Mwanamke mjane na mabinti za Selofehadi walikuwa kwenye changamoto kubwa. Walikuwa kwenye mazingira ambayo kibinadamu yalikuwa hayawezekani Mama mjane alikuwa na madeni na watoto wake wawili walikuwa wachukuliwe kuwa watumwa ili kulipia deni aliloacha baba yao ambaye alikuwa amekufa. Huyu mama alikuwa kwenye financial crisis na kibinadamu alikuwa hana kitu chochote cha kumsaidia kulipa yale madeni. Alipokwenda kwa mtumishi wa Mungu Elisha...2021-01-0426 minAmedeus Live PodcastAmedeus Live PodcastNI KUHUSIANA NA NENO KATIKA KINYWA CHAKORHAPSODI YA UHAKIKA, DEC 4, 2020. UKIRI Kupitia msaada wa Roho, na katika kulitafakari Neno la Mungu daima, ninazungumza kwa uangalifu maneno mazuri, ya kujenga, ya neema, yenye kuhuisha, yenye kuhamasisha, na yenye kutia moyo. Kwa maneno yangu, ninaumba mafanikio, ushindi, afya ya Kiungu na ustawi kutokea ndani, nikisimamisha haki ya Mungu katika ulimwengu wangu, katika Jina la Yesu. Amina.2020-12-0410 minJourney to MotherJourney to MotherSingle mother by choice | Cheryl-Jane (CJ) KujengaMy story An honest and vulnerable episode providing insight to my journey to motherhood as a single woman. A website providing information on how to engage with those around you about the decision you have taken to use assisted reproduction techniques · Connect with CJ on LinkedIn2020-11-0947 minJourney to MotherJourney to MotherTrailer | Journey to Mother - WelcomeCheryl-Jane (CJ) Kujenga has conversations with women who yearn for parenthood and are contemplating, going through or have gone through so called "unconventional" or "unspoken of" experiences to get there. Connect with CJ on LinkedIn2020-11-0502 minYesaya Software PodcastYesaya Software PodcastBilly Ametupa Uzoefu wake Kuongoza Google Developer Student ClubMambo vipi, kwenye toleo hili nimezungumza na Billy Patrick yeye amehudumu kama Google Developer Student Club Lead katika chuo cha Uhasibu Arusha (IAA). Nilipenda kufahamu mchakato mzima wa kuomba nafasi hiyo, ushirikiano aliopata kwa uongozi wa chuo na wanafunzi, na vipi kuhusu changamoto alizopitia.Billy amenieleza Google Developer Student Club ni nini, namna inavyofanya kazi pia namna ya kufanya applicaion. Walengwa wa Google Developer Student Club ni kina nani.Billy amenijulisha kwa mwaka 2019/2020 ni chuo cha Uhasibu Arusha pekee hapa Tanzania ndio kilikuwa na Google Developer Student Club. Hii inafanya Billy yeye kuwa Google Developer...2020-09-1221 minYesaya Software PodcastYesaya Software PodcastUmuhimu wa Kujenga Jamii au Community ya DevelopersKwenye toleo hili nimezungumza na Georgia kuhusu umuhimu wa kujenga jamii au community ya Developers hapa nchini. Georgia ni mdau muhimu sana katika kuandaa meetup nyingi za Developers hapa Tanzania na pia anahusika na Google Developer Group (GDG) Dar, Women Tech Makers Dar es Salaam na Facebook Developers Cycle.  2020-08-1419 minMsasaonlineMsasaonlineFAIDA 8 ZA KUWEKA AKIBA UNAZOPASWA KUZIFAHAMU.1. Uhuru wa kifedha. Uhuru wa kifedha ni zaidi ya kuwa na fedha, uhuru wa kifedha ni kuwa mtu ambaye unatakiwa kuwa maishani na kuweza kufanya au kupata kile unachokihitaji maishani. Hata hivyo pesa ni muhimu sana kwenye suala la uhuru wa kifedha,ingawa pesa hizi zinatakiwa ziambatane na fikra sahihi. Kwa njia ya kujiwekea akiba utaweza kujijengea msingi mzuri wa kifedha ambao ukiambatanishwa na fikra sahihi utakuletea uhuru wa kifedha. 2. Matumizi mazuri ya pesa. Kama nilivyoeleza hapo mwanzo kuwa kuweka akiba sio kuwa na pesa nyingi bali ni maamuzi na mipango stahiki pekee. Hivyo kuweka akiba kutakufaidisha kwa kukuwezesha kutumia...2020-08-1203 minMsasaonlineMsasaonlineMBINU MPYA ZA KUMFANYA MTEJA WAKO KUWA MFALME.Naomba pasipo kupoteza wakati nikukaribishe katika somo letu la leo,na siku ya leo tutazungumza kuhusiana na mbinu moja itakayo kusaidia katika ukuaji wa biashara. Moja kati ya changamoto kubwa kubwa ya ufanyaji wa biashara ni kule kufanya kazi kwa mazoea, nasema hivi kwasababu wafanyabishara wengi husikika wakisema ya kwamba mteja ni mfalme, lakini katika hili kumekuwa na ukakasi ni wateja wachache sana ambao huona ufalme huo. Hii ni kwasababu wafanyabishara wachache sana ambao wamekuwa wakijua ni nini maana ya mteja. Wafanyabishara wengi wamekuwa wakimchukulia mteja pale anapokuja kwenye biashara ambayo anafanya tu.kufanya hivi kutakufanyanya kuiona ramani ya biashara...2020-07-2102 minTIMIZA MALENGO YAKOTIMIZA MALENGO YAKOMaeneo Sita (6) Ya Kuzingatia Katika Kujenga NidhamuFollow me onInstagram@joelnanauka_Youtube: Joel NanaukaFacebook@jnanaukaTwitter@jnanauka2020-06-1500 minSAUTI-SIKIKASAUTI-SIKIKASauti Ya Theresia- Sauti yake akizungumzia Mabadiliko Chanya wakati wa Covid-19.Theresia anasimulia namna ambavyo Covid19 imekuwa ni changamoto chanya kwake. Maana Theresia amechukulia covid19 katika uhalisia wake zaidi yeye alijiepusha kuishi kwa hofu. Anasisitiza umuhimu wa kuchukua tahadhali na kufuata maelekezo ya wataalamu wa Afya. Amezungumza mengi, ikiwemo swala zima la kujenga mahusiano mazuri na familia, kutumia muda mzuri pia kujiendeleza. Hongera sana Theresia kwa Sauti yako katika Mabadiliko Chanya. Kumbuka unaweza kushare Sauti yako kwa namba +255758044443. 2020-06-0920 minMjasiriamali Wa MtandaoMjasiriamali Wa Mtandao97: Jinsi ya Kujenga Biashara Yenye Kuingiza Faida ya Milioni kwa MweziKama wewe una mpango wa kuanzisha biashara yenye kukuingizia milioni kwa mwezi au ni mjasiriamali unayehangaika kuingiza milioni au zaidi kila mwezi basi sehemu ya leo ni kwa ajili yako.2020-06-0238 minROAD TO SUCCESSROAD TO SUCCESSHATUA 6 ZA KUJIAJIRI-Hatua ya 5Katika hatua hii, anza kutumia muda wako wa ziada kujenga taaluma yako mpya au biashara yako mpya. Utahitajika kuwekeza zaidi ya masaa 10 kwa siku.2020-05-2905 minKujenga PodcastKujenga PodcastEducation Part 2Join us for a lively discussion with Dr. Agbeko Kwasi Aheto Tosu on the purpose of education. 2020-05-2527 minKujenga PodcastKujenga PodcastEducation Part 1Join us for a lively discussion with Dr. Agbeko Kwasi Aheto Tosu on the purpose of education. 2020-05-2528 minNecha CareNecha CareUJASIRIAMALIJifunze kujenga uchumi wako2020-05-2114 minMjasiriamali Wa MtandaoMjasiriamali Wa Mtandao94: Misingi 3 ya Biashara Yenye MafanikioKama wewe ni mjasiriamali unayehangaika kujenga biashara ya uhakika basi kuna uwezekano mkubwa hufahamu Misingi 3 ya biashara yenye mafanikio makubwa.2020-05-1923 minNaweza ShowNaweza ShowNaweza Show - Msimu wa 2, Sehemu ya 8: Umuhimu wa kumpeleka mwanao katika kituo cha kutolea huduma za afya ili apate chanjo na kujenga kinga ya mwili wake.Hapa tutasikiliza simulizi ya Maua na mumewe Kingolile hawa wawili hakukamilisha ratiba za chanjo ya mtoto wao hivyo ikawapelekea kumuuguza kwa mda mrefu.2020-05-1426 minMjasiriamali Wa MtandaoMjasiriamali Wa Mtandao87 - Jinsi ya Kujenga Biashara ya Network Marketing Kwenye Mtandao - Part 2Kama wewe ni networker mwenye kuhangaika kujenga biashara ya uhakika kwenye mtandao wa internet basi sehemu hii ya podcast inakuhusu...2020-04-0733 minMjasiriamali Wa MtandaoMjasiriamali Wa Mtandao78: Jinsi ya Kujenga Brand Yenye Kunasa WatejaKama wewe ni mjasiriamali unayehangaika kujenga uaminifu kwenye soko lako basi Kuna uwezekano mkubwa hujajenga brand yenye kuaminika. Ndani ya sehemu hii nimemfanyia interview mtaalamu wa mambo ya branding Mr. Charles Nduku ku share na sisi jinsi ya kujenga brand yenye kunasa wateja.2020-03-0358 minNecha CareNecha CareJisikie FurahaKuna vitu vingi vinaweza kukufanya ufurahi. Ndio, kwa maneno ya kukutia moyo unaweza kuwa na furaha na kujenga afya yako😊2020-02-2807 minMjasiriamali Wa MtandaoMjasiriamali Wa Mtandao76: Hatua 4 za Kujenga Nidhamu ya MafanikioKama wewe ni mtu mwenye kuhangaika kupata mafanikio basi kuna uwezekano mkubwa hujajenga mazoea ya watu wenye mafanikio.2020-02-2519 minMjasiriamali Wa MtandaoMjasiriamali Wa Mtandao70: Una Mazoea ya Kimaskini | Makavu LIVEKama umekuwa ukihangaika kutimiza malengo yako kwa kipindi kirefu kuna uwezekano mkubwa una mazoea ya kimaskini. Katika sehemu ya leo utagundua hayo ni mazoea gani na namna ya kujenga mazoea ya watu wenye mafanikio.2020-02-0139 minMjasiriamali Wa MtandaoMjasiriamali Wa Mtandao60: Jinsi ya Kujenga Uaminifu Katika Soko Lako Kwa Urahisi na HarakaBrian Tracy anasema "Kuna jambo moja la msingi unalotakiwa kufanya kabla ya kuuza bidhaa. Nayo ni kujenga uaminifu." Jambo linalokukosesha wateja kwa kiasi kikubwa kuliko jambo lolote na kutoaminika mbele ya macho ya wateja wako. Katika sehemu ya leo utajifunza namna ya kufanya hivyo.2019-12-1013 minKujenga PodcastKujenga PodcastExploring Alkebu-Lan Centered Spirituality Part 2Rhonda Sekhmet-Ra founder and leader of Black Awakening Movement discusses returning to Alkebu-Lan framed spirituality as an individual and as a collective.2019-11-0134 minKujenga PodcastKujenga PodcastExploring Alkebu-Lan Center Spirituality Part 1Rhonda Sekhmet-Ra founder and leader of Black Awakening Movement discusses returning to Alkebu-Lan framed spirituality as an individual and as a collective.2019-11-0134 minMwalimu Huruma GadiMwalimu Huruma GadiA2: NGUVU YA MAONO NA PARTNERSHIP"Alitoa wengine kuwa Mitume,  na wengine kuwa manabii, na wengine kuwa wainjilisti na wengine kuwa wachungaji na waalimu kwa kusudi la kuwakamilisha watakatifu, hata kazi ya huduma itendeke..." -  Waefeso 4: 11-12 Ulipopelekwa mahali kwenye mwili wa Kristo unatarajiwa ushiriki katika kujenga mwili wa Kristo, haitoshi tu kukaa na kujifunza, Je wewe unashiriki vipi katika kusababisha maono yaliyoko katika hilo kanisa ama huduma yanatimia? Ungana na Mwalimu Huruma Gadi katika somo hili.2019-10-2129 minKujenga PodcastKujenga PodcastBlack Men, Don't Cheat Part 2Are you M or P? Join us for a lively discussion on solutions to black men cheating. Special guest: Heka of The PH Company and co-leader of Black Awakening Movement2019-09-2930 minKujenga PodcastKujenga PodcastBlack Men, Don't Cheat Part1What does the act of cheating say about a black man? Join us for a lively discourse with special guest Heka, owner of The PH Company and co-leader of Black Awakening Movement.2019-09-2929 minKujenga PodcastKujenga PodcastKujenga Episode 18 Addiction and Substance Abuse Part 2Join Kujenga's continued conversation with Dr. A. Al-Khalil Bey MSW, LPC, Master Reiki teacher on overcoming addiction and substance abuse by better understanding the under-utilized pineal gland.2019-08-2529 minKujenga PodcastKujenga PodcastKujenga Episode 17 Addiction and Substance Abuse Part 1Join Kujenga's conversation with guest Dr. A. Al-Khalil Bey MSW, LPC Master Reiki teacher as he educates us on why we abuse substances and how policy impacts treatment.2019-08-2528 minMjasiriamali Wa MtandaoMjasiriamali Wa Mtandao43: Umuhimu wa Branding Katika Kujenga Biashara ya UhakikaKama wewe ni mfanyabiashara unayetaka kujenga biashara ya uhakika basi huna budi isipokuwa kujenga brand. Sikiliza zaidi kufahamu namna ya kufanya hivyo.2019-08-0623 minKujenga PodcastKujenga PodcastAfrican Masculine IdentityJoin us with special guest mama Makeda of Black Awakening Movement as we explore what we can do as a community to uplift our men.2019-07-0626 minKujenga PodcastKujenga PodcastAfrican Masculine IdentityJoin our conversation as we explore the role of the masculine in our circle, with special guest Mama Makeda of the Black Awakening Movement2019-06-3026 min1. Namna Ya Kujitofautisha Na Washindani Wako1. Namna Ya Kujitofautisha Na Washindani Wako20 Jinsi ya kujenga uhusiano wa haraka na mteja msifie20 Jinsi ya kujenga uhusiano wa haraka na mteja msifie2019-06-1603 minKujenga PodcastKujenga PodcastHow Important Is African History Today? Part 2Can our African history help us address the issues we face as a people today? Is deep diving into African history still needed? Are Africans getting left behind in the technology age because of our focus on understanding the past?2019-06-1424 minKujenga PodcastKujenga PodcastHow Important is African History Today? Part 1Can our African history help us address the issues we face as a people today?2019-05-3125 minMjasiriamali Wa MtandaoMjasiriamali Wa Mtandao30: Jinsi Ya Kujenga Nidhamu ya Kupata Mafanikio KiurahisiKama wewe ni mjasiriamali unayehangaika kutimiza malengo yako basi kuna uwezekano mkubwa kuwa hujajenga nidhamu ya kupata mafanikio. Ndani ya sehemu hii utajifunza kwanini kumiliki nidhamu itakusababishia wewe kupata mafanikio haraka kuliko njia nyengine yoyote.2019-04-1624 minKujenga PodcastKujenga PodcastCounter Culture Part 2Join our continued conversation on different...perhaps weird wellness practices that are reintroduced to the Alkebu-Lan 'African' diaspora2019-04-1430 minKujenga PodcastKujenga PodcastCounter CultureDifferent...perhaps weird.  Join us as we explore wellness practices that have been lost to the diaspora! Follow Makeeba @cultivatelyfe #cultivatelyfe2019-03-3027 minMjasiriamali Wa MtandaoMjasiriamali Wa Mtandao22: Mambo 3 ya Msingi ya Kuzingatia Kujenga Biashara ya Uhakika Kwenye Mtandao wa InternetKama wewe ni mjasiriamali unayehangaika kukuza biashara yako kupitia mtandao wa internet basi sehemu ya podcast hii inakuhusu. Ndani ya sehemu hii tunazungumzia mambo 3 ya msingi ya kuzingatia kuweza kujenga biashara ya uhakika kwenye mtandao wa Internet.2019-03-0527 minKujenga PodcastKujenga PodcastKwanzaaKwanzaa is the only PanAfrican cultural holiday widely recognized. Why aren't more of us observing it?2019-02-2227 minKujenga PodcastKujenga PodcastXmasA lighthearted discussion on Christmas.  We share accounts of our personal socialization of the holiday.2019-02-0129 minKujenga PodcastKujenga PodcastImaniFaith2018-11-1818 minKujenga PodcastKujenga PodcastKuumbaA conversation exploring the use of kuumba (creativity) to educate and empower our people with @spokenwordexchange’s Calvin Early and Arsimmer McCoy2018-10-2733 minMjasiriamali Wa MtandaoMjasiriamali Wa Mtandao7: Hatua 6 za Kufuata Kujenga Biashara ya Uhakika Kwenye MtandaoKama una hamu ya kujenga biashara ya uhakika kwenye mtandao wenye kuingizia kipato endelevu kila siku basi sehemu hii itakusaidia kwa kiasi kikubwa kufanya hivyo.2018-10-2454 minKujenga PodcastKujenga PodcastNiaOn this episode of Kujenga we explore the principle Nia.  2018-09-1718 minMjasiriamali Wa MtandaoMjasiriamali Wa Mtandao4: Jinsi Ya Kujenga Biashara ya Network Marketing Kwenye Mtandao wa InternetKama wewe ni Network Marketer na unahangaika Kupata wateja kupitia mtandao wa internet basi somo la leo linakuhusu2018-09-0832 minKujenga PodcastKujenga PodcastUjamaaAs Alkebu-Lan people we are primarily consumers and not producers.  Our economic power has been severely stunted by imperialist aggression and violence.  We must say no more! It is time for us to focus on Ujamaa (cooperative economics) and learn what it takes to be a powerful force economically.2018-08-0623 minKujenga PodcastKujenga PodcastUjimaUjima is a major key to us lifting ourselves out of the quagmire we find ourselves as a people. The principle of Ujima supports the fundamental assumption that African is not just an identity, but also a destiny and duty, i.e., a responsibility.2018-08-0620 minKujenga PodcastKujenga PodcastNguzo Saba - KujichaguliaAs Alkebu-Lan people, we face challenges that hinder us from speaking for ourselves, naming ourselves, creating for ourselves and defining ourselves. This episode explores individual as well as collective paths that we may take to achieve kujichagulia (self-determination) as a people.2018-06-0228 minKujenga PodcastKujenga PodcastNguzo Saba - UmojaThe first principle of Nguzo Saba is Umoja ("unity").  This episode explores and promotes Umoja within our melanated family, community and nation.2018-05-0421 minKujenga PodcastKujenga PodcastIntroduction to KujengaThe Kujenga podcast is dedicated to efforts focused on building a strong, self sufficient nation of melanated people, using Nguzo Saba principles as its keystone.2018-04-0107 minLardy Miss Clardy and Company on BTRLardy Miss Clardy and Company on BTRIts Our Business To Tell Your Business: Black Businesses 101 Where We At?It's our business to tell your business, using a few Audios on where are all our black owned businesses, and what happened to the black business and what solutions we as black people need to get back in gear, not just to participate in buying, but money power; ownership of black owned businesses and participate in buying from our black owed businesses in our own communities where we live. Features on audio telling issues and solutions on black owned businesses: TheAdviseShow--Blog Talk RadioMaggie Anderson, CEO of Empowerment Experiment--Financial NewsPhyllis Hyman on Black Owned Business--ebonyjet.com   Please join us to hear h...2015-03-311h 45AlertNet Climate in TranslationAlertNet Climate in TranslationAs floods threaten, Tanzania aims to build a megacity that works/ Huku mafuriko yakitishia Tanzania yapania kujenga jiji kubwa litakalofanya kazi vizuri2014-07-2604 minMission Europe - Mission Berlin | Kujifunza Kijerumani | Deutsche WelleMission Europe - Mission Berlin | Kujifunza Kijerumani | Deutsche WelleMission Berlin 17 – Kujenga VizuiziHuku zimesalia dakika 50, mchezaji anasema wakati umefika wa kumwamini keshia. Taarifa ya redio inasema wanajeshi wa Ujerumani Mashariki wanajenga uzuio wa seng'enge. Je hilo ndilo tukio la kihistoria la RATAVA? Anna hajatambua kuwa keshia ni Heidrun Drei na mchezaji anamwambia amwamini keshia huyo anayetaka kumsaidia hata kama kaka yake ana shaka. Hata hivyo ndugu hao wawili wanakubaliana kumsaidia Anna kulikwepa genge la waendesha pikipiki. Wote watatu wanakwenda kuwachungulia wanajeshi wa Ujerumani Mashariki ambao wanaanza kujenga uzio wa seng'enge. Mchezaji anamwambia Anna kuwa huo ni ujenzi wa Ukuta wa Berlin. Zimebaki dakika 45 kuinusuru Ujerumani.2009-03-2000 minMission Europe - Mission Berlin | Kujifunza Kijerumani | Deutsche WelleMission Europe - Mission Berlin | Kujifunza Kijerumani | Deutsche WelleMission Berlin 15 – Abiria wa wakatiKatika Berlin iliyogawanyika, Anna anapaswa kutoka Mashariki kwenda Magharibi. Hilo silo tatizo la pekee. Ana muda wa dakika 55 kuchunguza lengo la RATAVA. Je ni ujenzi au kubomolewa ukuta? Mwaka 1961, Anna anajaribu kufika Kantstraße. Lakini Kantstraße iko Berlin Magharibi na yeye yuko Berlin Mashariki. Anna hawezi kwenda Magharibi kwa sababu serikali ya Ujerumani Mashariki imeanza kujenga ukuta. Baada ya kuanzishwa upya kwa mchezo, mchezaji na Anna wanagundua kuwa huenda malengo ni mawili: ujenzi au kubomolewa Ukuta wa Berlin. Wanabakiwa na dakika 55 kuchunguza kujua lengo la RATAVA.2009-03-2000 min