Look for any podcast host, guest or anyone
Showing episodes and shows of

Evarist Chahali

Shows

JasusiJasusiMaadhimisho ya #SikuYaAfyaYaAkiliDuniani: Uzoefu wangu binafsi na nyenzo zilizonisaidiaMaadhimisho ya #SikuYaAfyaYaAkiliDuniani: Uzoefu wangu binafsi na nyenzo zilizonisaidia Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe2021-10-0111 minJasusiJasusiMahojiano na PHENTY KIRIA - Mwanzilishi Na Mmiliki wa Kampuni Ya Lishe Ya Lolo, Social Media Influencer, Mhamasishaji Mitandao Ya Kijamii Kuwa Sehemu Salama (SOSDiplomats), na Mhamasishaji Lishe BoraMahojiano na PHENTY KIRIA - Mwanzilishi Na Mmiliki wa Kampuni Ya Lishe Ya Lolo, Social Media Influencer, Mhamasishaji Wa Kufanya Mitandao Ya Kijamii Kuwa Sehemu Salama, Mhamasishaji wa Lishe Bora. Unaweza kumfolo Phenty kwa akaunti yake ya Twitter na Instagram  Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe2021-09-1223 minJasusiJasusiUchambuzi wa Kiintelijensia: Taarifa Zaidi Kuhusu Hamza Hassan Mohammed Na "Motive" Ya MauajiUchambuzi wa Kiintelijensia: Taarifa Zaidi Kuhusu Hamza Hassan Mohammed Na "Motive" Ya Mauaji Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe2021-09-1014 minJasusiJasusiUgaidi Au La? Uchambuzi Wa Kiintelijensia Kuhusu Tukio La Mtu Aliyeua Polisi Watatu Na Mlinzi Dar.Ugaidi Au La? Uchambuzi Wa Kiintelijensia Kuhusu Tukio La Mtu Aliyeua Polisi Watatu Na Mlinzi Dar. Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe2021-09-1021 minJasusiJasusiUchambuzi wa Kijasusi: Kesi Ya Mbowe, Uamsho Na Gwajima Dhidi Ya Chanjo, Ziara Ya Mama Samia RwandaUchambuzi wa Kijasusi: Kesi Ya Mbowe, Uamsho Na Gwajima Dhidi Ya Chanjo, Ziara Ya Mama Samia Rwanda Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe2021-09-1015 minJasusiJasusiUchambuzi wa kiintelijensia kuhusu taarifa ya polisi kwamba wanamshikilia Mbowe kwa tuhuma za ugaidiUchambuzi wa kiintelijensia kuhusu taarifa ya polisi kwamba wanamshikilia Mbowe kwa tuhuma za ugaidi Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe2021-07-2313 minJasusiJasusiMahojiano Na Captain Khalid, Mtanzania Mkazi Wa Ujerumani Anayetikisa Kwenye Comedy KimataifaMahojiano Na Captain Khalid, Mtanzania Mkazi Wa Ujerumani Anayetikisa Kwenye Comedy Kimataifa Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe2021-07-0506 minJasusiJasusiUchambuzi wa kiintelijensia kuhusu #SikuMiaZaSamia: Alikotoka, Alipo Na AendakoUchambuzi wa kiintelijensia kuhusu #SikuMiaZaSamia: Alikotoka, Alipo Na Aendako Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe2021-06-2625 minJasusiJasusiMaongezi Na Mwanasoka Wa Kimataifa Wa TZ @HimidMao Anaechezea Entag El Harby ya Misri na Taifa StarsMahojiano exclusive na mwanasoka wa kimataifa wa Tanzania, Himid Mao Mkami, anayechezea klabu ya Entag El Harby ya Misri na pia ni mchezaji wa timu yetu ya taifa, Taifa Stars. Katika mahojiano haya, Himid anaeleza safari yake katika soka, changamoto za soka la Tanzania na kimataifa, tofauti ya mazingira ya soka la Tanzania na soka la Misri, nini kifanyike kukwamua soka la Tanzania, na ushauri wake hasa kwa vijana akiwa kama role model wao - kwa vijana wanaotaka "kutoka" kupitia soka, na ushauri kwa vijana wengine wote katika sekta mbalimbali. Himid ni mmoja wa mabalozi wetu wanaosaidia sana kuitangaza Tanzania...2021-06-1911 minJasusiJasusiMahojiano na Rahma Bajun: ameugua kipandauso miaka 21 na sasa amechapisha kitabu kuhusu ugonjwa huoMahojiano na Rahma Bajun, ambaye pamoja na shughuli nyingine, ni mwandishi, anaeleza kuhusu maradhi ya kipandauso, aliyopata akiwa na miaka 12, na yamedumu kwa miaka 21. Na sasa amechapisha kitabu maalum kuhusu safari yake kimaisha akiwa anasumbuliwa na maradhi hayo. Kitabu kinaitwa "The Wave." Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe2021-06-1612 minJasusiJasusiMahojiano Na Dokta @ZakayoMmbaga: Jinsi Kuuguliwa Udogoni Kulivyompa Hamasa Ya Kuja Kuwa DaktariKatika mahojiano haya, Dokta Zakayo Mmbaga anaeleza kuhusu 👉 Jinsi kuuguliwa na nduguye kulivyomfanya atamani siku moja awe daktari, na hatimaye ikaja kuwa hivyo. 👉 Jinsi kusaidia kuhudumia mifugo kulivyompa uzoefu wa kwanza wa kuchoma sindano na kutibu vidonda, na kumtamanisha zaidi kuja kuwa daktari. 👉 Jinsi alivyorudi likizo na kukuta nduguye anaumwa kansa lakini ndugu wengine hawakufahamu na wakawa na matumiani kuwa mgonjwa atapona lakini yeye kama daktari mwanafunzi alifahamu kuwa mgonjwa huyo angefariki. Hata hivyo hakuweza kumwambia mtu yeyote, kitu ambacho kilimuumiza nafsini. 👉 Jinsi gharama kubwa wanayoingia madaktari wanafunzi zinavy...2021-06-1540 minJasusiJasusiMahojiano Na Mwanasiasa Mkongwe wa Chadema Na Upinzani ALLY BANANGAKatika mahojiano haya, mwanasiasa mkongwe wa Chadema na upinzani kwa ujumla, Ally Bananga, anaeleza kwa kifupi 👉 historia yake kisiasa, 👉 hali ya kisiasa ilivyokuwa nchini Tanzania katika kipindi cha utawala wa Magufuli na jinsi "alivyosalimika," 👉suala la wabunge wa viti maalum wa Chadema ambapo mmoja wa wabunge hao ni Hawa Bananga mke wa mhojiwa, 👉 "vita" kati ya baadhi ya "wanaharakati wa mtandaoni" wakiungwa mkono na viongozi na wafuasi wa Chadema dhidi msanii Diamond Platnumz anayewania tuzo za BET, 👉 utawala mpya wa Mama Samia na matajio, na 👉njia mwafaka ya kupata katiba mpya Get full access to Barua Ya Chah...2021-06-1422 minJasusiJasusiMwelekeo Mpya Wa Podcast Hii: Sasa Mtu Yeyote Anayehitaji Kuhojiwa, AnakaribishwaMwelekeo Mpya Wa Podcast Hii: Sasa Mtu Yeyote Anayehitaji Kuhojiwa, Anakaribishwa Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe2021-06-1105 minJasusiJasusiUchambuzi Mfupi Kuhusu "Bajeti Ya Mwigulu" Na Mama @SuluhuSamia Kumtumbua RC ChalamilaUchambuzi Mfupi Kuhusu "Bajeti Ya Mwigulu" Na Mama @SuluhuSamia Kumtumbua RC Chalamila Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe2021-06-1111 minJasusiJasusiTuzo Za BET 2021: Wanaomsapoti Na Wanaompinga Diamond Platnumz vs Jinsi KURA ZA BET ZinavyopigwaTuzo Za BET 2021: Wanaomsapoti Na Wanaompinga Diamond Platnumz vs Jinsi KURA ZA BET Zinavyopigwa Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe2021-06-0109 minJasusiJasusiUchambuzi Wa Kijasusi: Shambulio La Kidukuzi (DDoS) Kwa Mfumo Wa Luku Na Hujuma Dhidi Ya Mama SamiaUchambuzi Wa Kijasusi: Shambulio La Kidukuzi (DDoS) Kwa Mfumo Wa Luku Na Hujuma Dhidi Ya Mama Samia Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe2021-05-2014 minJasusiJasusiExclusive: Mahojiano Na Mbunifu Mavazi Wa Kimataifa SHERIA NGOWI.Jasusi anafanya mahojiano na mbunifu mavazi wa kimataifa SHERIA NGOWI. Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe2021-05-1106 minJasusiJasusiJasusi Apiga Stori Na WAKAZI: Ubunge 2020, Hali Ya Bongofleva, Kifo cha JPM, Urais wa Mama SAMIA, nkJasusi Apiga Stori Na WAKAZI: Ubunge 2020, Hali Ya Bongofleva, Kifo cha JPM, Urais wa Mama SAMIA, nk Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe2021-04-2135 minJasusiJasusiJasusi Apiga Stori Na WAKAZI: Ubunge 2020, Hali Ya Bongofleva, Kifo cha JPM, Urais wa Mama SAMIA, nkJasusi Apiga Stori Na WAKAZI: Ubunge 2020, Hali Ya Bongofleva, Kifo cha JPM, Urais wa Mama SAMIA, nk2021-04-2135 minJasusiJasusiUrais Wa Mama Samia: Makundi 11 Yanayoweza Kumsumbua, Aweza Kukumbwa Na Yaliyomsibu Mwinyi 1985-1995Urais Wa Mama Samia: Makundi 11 Yanayoweza Kumsumbua, Aweza Kukumbwa Na Yaliyomsibu Mwinyi 1985-1995 Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe2021-04-1812 minJasusiJasusiUrais Wa Mama Samia: Makundi 11 Yanayoweza Kumsumbua, Aweza Kukumbwa Na Yaliyomsibu Mwinyi 1985-1995Urais Wa Mama Samia: Makundi 11 Yanayoweza Kumsumbua, Aweza Kukumbwa Na Yaliyomsibu Mwinyi 1985-19952021-04-1812 minJasusiJasusiJanuary Makamba Awasihi Wana-CCM Wasihukumiane Kwenye Tofauti Za Kimtazamo Kuhusu Legacy Ya MagufuliJanuary Makamba Awasihi Wana-CCM Wasihukumiane Kwenye Tofauti Za Kimtazamo Kuhusu Legacy Ya Magufuli Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe2021-04-1620 minJasusiJasusiJanuary Makamba Awasihi Wana-CCM Wasihukumiane Kwenye Tofauti Za Kimtazamo Kuhusu Legacy Ya MagufuliJanuary Makamba Awasihi Wana-CCM Wasihukumiane Kwenye Tofauti Za Kimtazamo Kuhusu Legacy Ya Magufuli2021-04-1620 minJasusiJasusiTathmini Fupi Ya Kijasusi Kuhusu Ziara Ya Kwanza Ya Kimataifa Kwa Mama Samia Nchini UgandaTathmini Fupi Ya Kijasusi Kuhusu Ziara Ya Kwanza Ya Kimataifa Kwa Mama Samia Nchini Uganda Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe2021-04-1109 minJasusiJasusiTathmini Fupi Ya Kijasusi Kuhusu Ziara Ya Kwanza Ya Kimataifa Kwa Mama Samia Nchini UgandaTathmini Fupi Ya Kijasusi Kuhusu Ziara Ya Kwanza Ya Kimataifa Kwa Mama Samia Nchini Uganda2021-04-1109 minJasusiJasusiMama Samia Alivyofanya Ujasiri Kutengua Uteuzi wa DG Wa TPDC Uliokuwa na Kasoro Za VETTINGRipoti Ya Kijasusi: Mama Samia Alivyofanya Ujasiri Kutenguliwa Uteuzi wa DG Wa TPDC Uliokuwa na Kasoro Za VETTING Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe2021-04-0613 minJasusiJasusiMama Samia Alivyofanya Ujasiri Kutengua Uteuzi wa DG Wa TPDC Uliokuwa na Kasoro Za VETTINGRipoti Ya Kijasusi: Mama Samia Alivyofanya Ujasiri Kutenguliwa Uteuzi wa DG Wa TPDC Uliokuwa na Kasoro Za VETTING2021-04-0613 minJasusiJasusiTathmini Ya Kijasusi Kuhusu Teuzi Mbalimbali Zilizofanywa Na Mama Samia Suluhu Jana 04.04.2021Tathmini Ya Kijasusi Kuhusu Teuzi Mbalimbali Zilizofanywa Na Mama Samia Suluhu Jana 04.04.2021 Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe2021-04-0513 minJasusiJasusiTathmini Ya Kijasusi Kuhusu Teuzi Mbalimbali Zilizofanywa Na Mama Samia Suluhu Jana 04.04.2021Tathmini Ya Kijasusi Kuhusu Teuzi Mbalimbali Zilizofanywa Na Mama Samia Suluhu Jana 04.04.20212021-04-0513 minJasusiJasusiTaarifa Ya Kijasusi Kuhusu "Maafisa Vipenyo" Wa Nchi Moja Jirani Walivyojazana Sehemu Nyeti eg BoTTaarifa Ya Kijasusi Kuhusu "Maafisa Vipenyo" Wa Nchi Moja Jirani Walivyojazana Sehemu Nyeti kwa mfano Benki Kuu, Bandari, nk Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe2021-04-0412 minJasusiJasusiTaarifa Ya Kijasusi Kuhusu "Maafisa Vipenyo" Wa Nchi Moja Jirani Walivyojazana Sehemu Nyeti eg BoTTaarifa Ya Kijasusi Kuhusu "Maafisa Vipenyo" Wa Nchi Moja Jirani Walivyojazana Sehemu Nyeti kwa mfano Benki Kuu, Bandari, nk2021-04-0412 minJasusiJasusiJicho La Kiintelijensia Kwenye Mabadiliko Madogo Ya Kabineti Ya Mama SamiaUchambuzi wa Kiintelijensia Kuhusu Mabadiliko Madogo Ya Kabineti Ya Mama Samia Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe2021-04-0220 minJasusiJasusiJicho La Kiintelijensia Kwenye Mabadiliko Madogo Ya Kabineti Ya Mama SamiaUchambuzi wa Kiintelijensia Kuhusu Mabadiliko Madogo Ya Kabineti Ya Mama Samia2021-04-0220 minJasusiJasusiWanasema Mnyonge Mnyongeni Haki Yake Mpeni: Baadhi Ya "Mazuri" Ya Marehemu MagufuliWanasema Mnyonge Mnyongeni Haki Yake Mpeni: Baadhi Ya "Mazuri" Ya Marehemu Magufuli Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe2021-03-2816 minJasusiJasusiWanasema Mnyonge Mnyongeni Haki Yake Mpeni: Baadhi Ya "Mazuri" Ya Marehemu MagufuliWanasema Mnyonge Mnyongeni Haki Yake Mpeni: Baadhi Ya "Mazuri" Ya Marehemu Magufuli2021-03-2816 minJasusiJasusiMnaomlilia Magufuli Mlilieni Lakini Ukweli Ni Kwamba Alikuwa Dikteta, Na Hilo Halina MjadalaMnaomlilia Magufuli Mlilieni Lakini Ukweli Ni Kwamba Alikuwa Dikteta, Na Hilo Halina Mjadala Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe2021-03-2520 minJasusiJasusiMnaomlilia Magufuli Mlilieni Lakini Ukweli Ni Kwamba Alikuwa Dikteta, Na Hilo Halina MjadalaMnaomlilia Magufuli Mlilieni Lakini Ukweli Ni Kwamba Alikuwa Dikteta, Na Hilo Halina Mjadala2021-03-2520 minJasusiJasusiMjadala Wa Kijasusi Kuhusu Nafasi Ya Makamu Wa RaisMijadala Wa Kijasusi Kuhusu Nafasi Ya Makamu Wa Rais Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe2021-03-2419 minJasusiJasusiMjadala Wa Kijasusi Kuhusu Nafasi Ya Makamu Wa RaisMijadala Wa Kijasusi Kuhusu Nafasi Ya Makamu Wa Rais2021-03-2419 minJasusiJasusiUchambuzi Mfupi Wa Kijasusi Kuhusu Samia Kuapishwa Urais Huku Wengi Wakimlaumu Kwa Kutovaa BarakoaUchambuzi Mfupi Wa Kijasusi Kuhusu Samia Kuapishwa Urais Huku Wengi Wakimlaumu Kwa Kutovaa Barakoa. Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe2021-03-2012 minJasusiJasusiUchambuzi Mfupi Wa Kijasusi Kuhusu Samia Kuapishwa Urais Huku Wengi Wakimlaumu Kwa Kutovaa BarakoaUchambuzi Mfupi Wa Kijasusi Kuhusu Samia Kuapishwa Urais Huku Wengi Wakimlaumu Kwa Kutovaa Barakoa.2021-03-2012 minJasusiJasusiHatimaye Serikali Yathibitisha Kifo Cha Rais Magufuli Nilichoripoti 12.03.2021Hatimaye Serikali Yathibitisha Kifo Cha Rais Magufuli Nilichoripoti 12.03.2021 Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe2021-03-1815 minJasusiJasusiHatimaye Serikali Yathibitisha Kifo Cha Rais Magufuli Nilichoripoti 12.03.2021Hatimaye Serikali Yathibitisha Kifo Cha Rais Magufuli Nilichoripoti 12.03.20212021-03-1815 minJasusiJasusiSintofahamu Yaendelea: Samia Aungana Na "Wabaya Wake," Dhahabu Yachotwa BoT Kulipia Matibabu HewaSintofahamu Yaendelea: Samia Aungana Na "Wabaya Wake," Dhahabu Yachotwa BoT Kulipia Matibabu Hewa Hewa. Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe2021-03-1610 minJasusiJasusiSintofahamu Yaendelea: Samia Aungana Na "Wabaya Wake," Dhahabu Yachotwa BoT Kulipia Matibabu HewaSintofahamu Yaendelea: Samia Aungana Na "Wabaya Wake," Dhahabu Yachotwa BoT Kulipia Matibabu Hewa Hewa.2021-03-1610 minJasusiJasusiTaarifa Zaidi Kuhusu Msiba wa Jiwe: Zengwe Dhidi Ya Mama Samia, Danadana Tangazo La MsibaTaarifa Zaidi Kuhusu Msiba wa Jiwe: Zengwe Dhidi Ya Mama Samia, Danadana Tangazo La Msiba Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe2021-03-1426 minJasusiJasusiTaarifa Zaidi Kuhusu Msiba wa Jiwe: Zengwe Dhidi Ya Mama Samia, Danadana Tangazo La MsibaTaarifa Zaidi Kuhusu Msiba wa Jiwe: Zengwe Dhidi Ya Mama Samia, Danadana Tangazo La Msiba2021-03-1426 minJasusiJasusiYaliyojiri Leo Katika Msiba Wa Jiwe. Pia Kesho Kuna Hotuba Kwa Taifa ya Kiongozi Mmoja Mkuu UpinzaniYaliyojiri Leo Katika Msiba Wa Jiwe. Pia Kesho Kuna Hotuba Kwa Taifa ya Kiongozi Mmoja Mkuu Upinzani2021-03-1310 minJasusiJasusiYaliyojiri Leo Katika Msiba Wa Jiwe. Pia Kesho Kuna Hotuba Kwa Taifa ya Kiongozi Mmoja Mkuu UpinzaniYaliyojiri Leo Katika Msiba Wa Jiwe. Pia Kesho Kuna Hotuba Kwa Taifa ya Kiongozi Mmoja Mkuu Upinzani Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe2021-03-1310 minJasusiJasusi#BreakingNews: Rais Magufuli Afariki DuniaRais John Pombe Magufuli amekata roho leo saa kumi na moja nusu Jioni hospitali ya Mzena Dar es Salaam. Makamu wa Rais Samiah Suluh Hassan hajaambiwa. Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa Bwana Diwani Athumani na Daktari wa Rais Professor Mchembe wamekaa na Mwili wa Marehemu mpaka sasa kupanga Makamu wa Rais wanayemtaka Bwana Chamuriho. Tumlinde Samiah, tulinde Katiba.2021-03-1208 minJasusiJasusi#BreakingNews: Rais Magufuli Afariki DuniaRais John Pombe Magufuli amekata roho leo saa kumi na moja nusu Jioni hospitali ya Mzena Dar es Salaam. Makamu wa Rais Samiah Suluh Hassan hajaambiwa. Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa Bwana Diwani Athumani na Daktari wa Rais Professor Mchembe wamekaa na Mwili wa Marehemu mpaka sasa kupanga Makamu wa Rais wanayemtaka Bwana Chamuriho. Tumlinde Samiah, tulinde Katiba. Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe2021-03-1208 minJasusiJasusiJiwe: Yu Hai Au Ameshavuta?Jiwe mzima au kavuta? Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe2021-03-1108 minJasusiJasusiJiwe: Yu Hai Au Ameshavuta?Jiwe mzima au kavuta?2021-03-1108 minJasusiJasusiExclusive: Kila Kinachofahamika Hadi Sasa Kuhusu Magufuli Kuumwa Mahututi Kutokana Na KoronaExclusive: Kila Kinachofahamika Hadi Sasa Kuhusu Magufuli Kuumwa Mahututi Kutokana Na Korona2021-03-1116 minJasusiJasusiExclusive: Kila Kinachofahamika Hadi Sasa Kuhusu Magufuli Kuumwa Mahututi Kutokana Na KoronaExclusive: Kila Kinachofahamika Hadi Sasa Kuhusu Magufuli Kuumwa Mahututi Kutokana Na Korona Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe2021-03-1116 minJasusiJasusi"Paka Mwenye Roho Tisa" ( a Proverbial Cat With Nine Lives)Mara kadhaa nimekuwa nikitumia msemo "paka mwenye roho tisa" (a cat with nine lives). Je msemo huo una maana gani?2021-03-0805 minJasusiJasusi"Paka Mwenye Roho Tisa" ( a Proverbial Cat With Nine Lives)Mara kadhaa nimekuwa nikitumia msemo "paka mwenye roho tisa" (a cat with nine lives). Je msemo huo una maana gani? Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe2021-03-0805 minJasusiJasusi#JinsiYaKuwaMtuBora: Kanuni 10 Za Muhimu MaishaniKuna wanaosema maisha hayana kanuni. Lakini pia kuna wanaosema kanuni za maisha zipo zaidi ya mia, ilhali wengine wakidai zipo elfu na kitu. Yote katika yote, suala la muhimu sio kanuni hizo zipo ngapi bali ufanisi wake katika kukufanya uwe mtu bora. Hizi 10 katika episode hii zaweza kuwa na msaada mkubwa kwako.2021-03-0511 minJasusiJasusi#JinsiYaKuwaMtuBora: Kanuni 10 Za Muhimu MaishaniKuna wanaosema maisha hayana kanuni. Lakini pia kuna wanaosema kanuni za maisha zipo zaidi ya mia, ilhali wengine wakidai zipo elfu na kitu. Yote katika yote, suala la muhimu sio kanuni hizo zipo ngapi bali ufanisi wake katika kukufanya uwe mtu bora. Hizi 10 katika episode hii zaweza kuwa na msaada mkubwa kwako. Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe2021-03-0511 minJasusiJasusi#SikuYaKitabuDuniani: Jasusi Wako Ambaye Ameshachapisha Vitabu 12 Anaeleza Jinsi Ya Kuandika KitabuKatika maadhimisho ya #SikuYaKitabuDuniani, Jasusi wako anakupatia ushauri wa bure kuhusu jinsi ya kuandika kitabu. Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe2021-03-0408 minJasusiJasusiHeri Ya Mwezi Mpya Wa Machi: Fahamu Mbinu Hii Kila Uanzapo Wakati (Saa/Siku/Wiki/Mwezi/Mwaka) MpyaMbinu husika inahusiana na falsafa ya Stoicism, ambayo nayo nitaitafutia muda maalum wa kuieleza kwa upana. Na katika Stoicism kuna kitu kinachofahamika kama "Premeditatio Malorum," kwa kimombo "the premeditation of the evils and troubles that might lie ahead." Kwa tafsiri isiyo rasmi ya Kiswahili ni ile hali ya kuwa na utambuzi wa mambo mabaya yanayoweza kutokea huko mbeleni. Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe2021-03-0105 minJasusiJasusiJinsi Wema Unavyoweza Kuzaa Majanga: Mfano Hai Kutoka Tukio Moja La Maisha Yangu Huko KitengoniDunia inakuwa sehemu nzuri sana kuishi endapo upendo utatawala. Na upendo huzalisha watu wema. Kwa bahati mbaya, japo kuwa mwema ni kitu kizuri, kwaweza pia kuzalisha majanga maishani kama navyosimulia katika episode hii kuhusu tukio moja lililobadili kabisa maisha yangu, lililojiri wakati nilipokuwa huko Kitengoni. Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe2021-02-2610 minJasusiJasusiLeo Ni Miaka Mitatu Kamili Tangu Haramia Musiba Anitaje Mie Na Wenzangu Kadhaa Kuwa WATU HATARITarehe 25.02.2018, siku kama ya leo, miaka mitatu iliyopita, mbwa wa Magufuli, haramia Musiba, alinituhumu jasusi wako na watu wengine kadhaa kuwa ni WATU HATARI kwa usalama wa taifa, na kudai tulikuwa tukitumiwa na FBI kutaka kumpindua Magufuli Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe2021-02-2509 minJasusiJasusiTwitter Mbioni Kuanzisha Utaratibu Wa Kulipia Twiti, DMs Zenye SautiMtandao wa kijamii wa Twitter unatarajia kuanzisha features mbalimbali ikiwa ni pamoja na utaratibu wa kulipia twiti za watu maalum Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe2021-02-2505 minJasusiJasusiMagufuli Ashutumiwa Vikali Baada Ya Waziri Mgonjwa, Dkt Mpango, Kufanyishwa Press Conference JanaMagufuli Ashutumiwa Vikali Baada Ya Waziri Mgonjwa, Dkt Mpango, Kufanyishwa Press Conference Jana Februari 23, 2021 Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe2021-02-2406 minJasusiJasusiExclusive: Kuna Mpango Wa Kumdhuru Askofu Ruwa'ichi, Kisa Msimamo Wake Kuwataka Watu Wavae BarakoaExclusive: Kuna Mpango Wa Kumdhuru Askofu Ruwa'ichi, Kisa Msimamo Wake Kuwataka Watu Wavae Barakoa Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe2021-02-2109 minJasusiJasusiShirika La Afya Duniani Lamjia Juu Magufuli, Lamtaka Aache Kuficha Taarifa Za Korona. Pia Lasema Tanzania Sasa Inasambaza Korona Nchi NyingineShirika La Afya Duniani Lamjia Juu Magufuli, Lamtaka Aache Kuficha Taarifa Za Korona. Pia Lasema Tanzania Sasa Inasambaza Korona Nchi Nyingine Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe2021-02-2106 minJasusiJasusiUchambuzi Wa Kijasusi: Legacy Ya Maalim Seif, Impact Yake Kwenye Mustakabali Wa Siasa Za Zanzibar, Na Kwenye Suala La KORONA TanzaniaUchambuzi Wa Kijasusi: Legacy Ya Maalim Seif, Impact Yake Kwenye Mustakabali Wa Siasa Za Zanzibar, Na Kwenye Suala La KORONA Tanzania Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe2021-02-2015 minJasusiJasusiS01E02: Stori Kubwa Za Kijasusi Wiki HiiStori Kubwa Za Kijasusi Wiki Hii Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe2021-02-1910 minJasusiJasusiS01E01: Stori Kubwa Za Kijasusi Wiki HiiStori Kubwa Za Kijasusi Wiki Hii Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe2021-02-1909 minJasusiJasusiStori Kubwa Za Kijasusi Zilizovuma Mwaka 2020Stori Kubwa Za Kijasusi Zilizovuma Mwaka 2020 Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe2021-02-1913 minJasusiJasusiS01E04: Afisa Usalama Wa Taifa Ni Mtu Wa Aina Gani, Anafanya Nini?Afisa Usalama Wa Taifa Ni Mtu Wa Aina Gani, Anafanya Nini?  Sehemu Ya Nne Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe2021-02-1912 minJasusiJasusiS01E03: Afisa Usalama Wa Taifa Ni Mtu Wa Aina Gani, Anafanya Nini?Afisa Usalama Wa Taifa Ni Mtu Wa Aina Gani, Anafanya Nini? Sehemu Ya Tatu Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe2021-02-1920 minJasusiJasusiS01E02: Afisa Usalama Wa Taifa Ni Mtu Wa Aina Gani, Anafanya Nini?Afisa Usalama Wa Taifa Ni Mtu Wa Aina Gani, Anafanya Nini? Sehemu Ya Pili Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe2021-02-1921 minJasusiJasusiS01E01: Afisa Usalama Wa Taifa Ni Mtu Wa Aina Gani, Anafanya Nini?Afisa Usalama Wa Taifa Ni Mtu Wa Aina Gani, Anafanya Nini? Sehemu Ya Kwanza Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe2021-02-1912 minJasusiJasusiMjadala Kuhusu Vijembe Bungeni,Kuzibana Midomo na Milioni 10 kwa Wabunge (21.06.2012)Mjadala Kuhusu Vijembe Bungeni,Kuzibana Midomo na Milioni 10 kwa Wabunge (21.06.2012) Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe2021-02-1933 minJasusiJasusiMjadala Kuhusu Amani na Umoja Wetu Watanzania (05.06.2012)Mjadala Kuhusu Amani na Umoja Wetu Watanzania (05.06.2012) Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe2021-02-1935 minJasusiJasusiUchambuzi Wa Kijasusi Kuhusu Vurugu Za Kisiasa Zanzibar Na Mustakabali Wa Muungano (27.05.2012)Uchambuzi Wa Kijasusi Kuhusu Vurugu Za Kisiasa Zanzibar Na Mustakabali Wa Muungano (27.05.2012) Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe2021-02-1924 minJasusiJasusiUchambuzi Wa Kijasusi Kuhusu Uchaguzi Mkuu Nchini Ufaransa (07.05.2017)Uchambuzi Wa Kijasusi Kuhusu Uchaguzi Mkuu Nchini Ufaransa Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe2021-02-1917 minJasusiJasusiUchambuzi Wa Kijasusi Kuhusu Uchaguzi Mdogo Madiwani (27.11.2017)Uchambuzi Wa Kijasusi Kuhusu Uchaguzi Mdogo Madiwani (27.11.2017) Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe2021-02-1914 minJasusiJasusiMjadala Mfupi Kuhusu Ongezeko La Ushoga Tanzania (10.07.2016)Mjadala Kuhusu Ongezeko La Ushoga Tanzania (10.07.2016) Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe2021-02-1956 minJasusiJasusiUchambuzi Wa Kijasusi Kuhusu Shambulio La Ugaidi Nchini Ufaransa (15.07.2016)Uchambuzi Wa Kijasusi Kuhusu Shambulio La Ugaidi Nchini Ufaransa (15.07.2016) Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe2021-02-1931 minJasusiJasusiUchambuzi Mfupi Kuhusu Matokeo Ya Kidato Cha Nne (27.01.2019)Uchambuzi Mfupi Kuhusu Matokeo Ya Kidato Cha Nne (27.01.2019) Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe2021-02-1914 minJasusiJasusiUchambuzi Wa Kijasusi: Mustakabali Wa Zimbabwe Baada Ya Anguko La Mugabe (22.11.2017)Uchambuzi Wa Kijasusi: Mustakabali Wa Zimbabwe Baada Ya Anguko La Mugabe (22.11.2017) Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe2021-02-1912 minJasusiJasusiUchambuzi Wa Kijasusi Kuhusu Wimbi La Mabadiliko Afrika: Zimbabwe, Ethiopia, Afrika Kusini (16.02.2018)Uchambuzi Wa Kijasusi Kuhusu Wimbi La Mabadiliko Zimbabwe, Ethiopia, Afrika Kusini (16.02.2018) Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe2021-02-1915 minJasusiJasusiUchambuzi Wa Kijasusi Kuhusu Hali Ya Kisiasa Nchini Tanzania (22.11.2017)Uchambuzi Wa Kijasusi Kuhusu Hali Ya Kisiasa Nchini Tanzania (22.11.2017) Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe2021-02-1915 minJasusiJasusiJasusi Ahojiwa Na BBC Swahili Kuhusu Kura Ya Maoni Kama Uingereza Ijitoe Umoja Wa Ulaya Au La (22.06.2016)Jasusi Ahojiwa Na BBC Swahili Kuhusu Kura Ya Maoni Kama Uingereza Ijitoe Umoja Wa Ulaya Au La (22.06.2016) Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe2021-02-1900 minJasusiJasusiJasusi Ahojiwa Na Idhaa Ya Kiswahili Ya Sauti Ya Amerika Kuhusu Ugaidi (05.0.2016)Jasusi Ahojiwa Na Idhaa Ya Kiswahili Ya Sauti Ya Amerika Kuhusu Ugaidi (05.0.2016) Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe2021-02-1930 minJasusiJasusiUchambuzi Kuhusu Hamahama Ya Wanasiasa 24.11.2017Uchambuzi Kuhusu Hamahama Ya Wanasiasa 24.11.2017 Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe2021-02-1914 minJasusiJasusiJasusi Ahojiwa Na BBC Swahili Kuhusu Mrithi Wa Waziri Mkuu Wa Uingereza David Cameron (30.06.2016)Jasusi Ahojiwa Na BBC Swahili Kuhusu Mrithi Wa Waziri Mkuu Wa Uingereza David Cameron (30.06.2016) Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe2021-02-1903 minJasusiJasusiJasusi Ahojiwa Na BBC Swahili Kuhusu Uamuzi Wa Uingereza Kujitoa Umoja Wa Ulaya (24.06.2016)Jasusi Ahojiwa Na BBC Swahili Kuhusu Uamuzi Wa Uingereza Kujitoa Umoja Wa Ulaya (24.06.2016) Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe2021-02-1900 minJasusiJasusiMahojiano na Metro FM 99.4 MHz, Mwanza kuhusu changamoto za uandishi wa vitabu (29.08.2016)Mahojiano na Metro FM 99.4 MHz, Mwanza kuhusu changamoto za uandishi wa vitabu (29.08.2016) Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe2021-02-1908 minJasusiJasusiMahojiano ya Makutano Show na Chahali kuhusu Uhuru wa Uskochi (26.09.2014)Mahojiano ya Makutano Show na Chahali kuhusu Uhuru wa Uskochi (26.09.2014)2021-02-1934 minJasusiJasusiMahojiano ya Makutano Show na Chahali kuhusu Uhuru wa Uskochi (26.09.2014)Mahojiano ya Makutano Show na Chahali kuhusu Uhuru wa Uskochi (26.09.2014) Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe2021-02-1934 minJasusiJasusiUchambuzi Kuhusu Mgogoro Wa Mpaka Wa Tanzania Na Malawi (07.08.2012)Uchambuzi Kuhusu Mgogoro Wa Mpaka Wa Tanzania Na Malawi (07.08.2012) Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe2021-02-1941 minJasusiJasusiNani alimteka Dokta Ulimboka?Episode hii ilirekodiwa Julai 3, 2012 kufuatia kutekwa na kuteswa kwa aliyekuwa Rais wa chama cha madaktari Tanzania.  Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe2021-02-1858 minJasusiJasusiAUDIO: Hali Ni Tete Huko SAUZI, Sikiliza Ujumbe Huu Dhidi Ya Raia Wa KigeniNimetumiwa ujumbe huu na dadangu mmoja Mnigeria ambaye yupo Sauzi. Anasema hali ni tete na chuki dhidi ya wageni inaongezeka kila kukicha. Bonyeza hapo juu kuusikilizaClip nj ya dakika 4 na sekunde 53. Ukisikiliza yote utamsikia huyo jamaa akiwataja Watanzania (waliopo huko) pia. Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe2019-09-0904 minJasusiJasusiMakala Ya Wazi: Jiwe Aendeleza Udukuzi, Audio Mpya YaibukaMie mtumishi wako naamini kwa dhati kuwa mwisho wa jambo hili sio mzuri. Lakini pia naomba utafakari: kama haki ya faragha ya watu muhimu kama hawa tunaosikia audio zao zinasiginwa kirahisi kiasi hivyo, je hali ikoje kwako? Nimalizie kwa tangazo kwa msio wanachama👇Unakaribishwa kuwa mwanachama wa #BaruaYaChahali yenye jumla ya vijarida vitano kwa wiki. Jinsi ya kujiunga: Uanachama kwa mwaka mzima ni sh100,00 au sh 10,000 kwa mwezi. Tuma mchango wako kwa m-pesa namba 0767632516 (jina Khadija Katule). Kwa walio nje ya Tanzania, unaweza kuchangia kwa KUBONYEZA HAPA.Endapo unataka kuondolewa kwenye orodha ya wanaotumiwa #Barua...2019-07-2002 minJasusiJasusiAudio Ya Maongezi Kati Ya Kinana na Nape Yaliyodukuliwa Na JiweNatumaini hadi muda huu utakuwa umeshasikia audio ya maungezi kati ya Kinana na Nape ambayo imevijishwa makusudi. Kama hujaisikia, bonyeza hapo juuKilichofanyika haponi kwamba simu za wawili hao zimekuwa “bugged” yaani mawasiliano yao yananaswa.Na huhitaji kuwa na akili kubwa kufahamu kuwa hii ni kazi inayomhusisha Jiwe mwenyewe. Sie wengine kwa kutumia jicho la kishushushu tunaweza pasi shaka kujua nani ataibuka mshindi katika vita hii.TANGAZO: Jinsi ya kujiunga na #BaruaYaChahali (yenye mkusanyiko wa vijarida vitano kwa wiki)Uanachama kwa mwaka mzima ni sh100,00 au sh 10,000 kwa mwezi. Tuma mchango wako kwa m...2019-07-1705 minJasusiJasusiAUDIO: Salamu Kutoka Kwa Mtumishi WakoNaomba kukufikishia salamu hizi zilizo kwenye mfumo wa sauti (audio) ambapo naeleza kwa kifupi kuhusu mabadiliko ya muundo wa #BaruaYaChahali. Kwa kifupi, #BaruaYaChahali “imezaa” vijarida vingine vinne, na kwa sasa mtumishi wako nitakutumia vijarida vitano kwa wiki. Ratiba ni kama ifuatavyo#BaruaYaChahali (Jumatatu)#ChahaliNaTeknolojia (Jumatano)#BaruaYaShushushu (Ijumaa)#YaliyojriWikiHii (Jumamosi)#MtuHatari (Ijumaa)Pia, kwa ambao hawajajisajili, usajili unaendelea HAPA na mwisho ni tarehe 15 ya mwezi huu. Nafasi zilizosalia ni chache kwa sababu lengo ni kuwa na “wanachama” (paid subscribers) 500 tu, kwa sababu (a) software ninayotumia kutuma vijarida hiyo ina...2019-06-1010 min