podcast
details
.com
Print
Share
Look for any podcast host, guest or anyone
Search
Showing episodes and shows of
FUATA BIBLIA
Shows
FUATA BIBLIA IKUONGOZE
TAJI AU THAWABU ZITAKAZOPEWA WATAKATIFU
1 Wakorintho 3:12-15 12 Lakini kama mtu akijenga juu ya msingi huo, dhahabu au fedha au mawe ya thamani, au miti au majani au manyasi, kazi ya kila mtu itakuwa dhahiri. 13 Maana siku ile itaidhihirisha, kwa kuwa yafunuliwa katika moto; na ule moto wenyewe utaijaribu kazi ya kila mtu, ni ya namna gani. 14 Kazi ya mtu aliyoijenga juu yake ikikaa, atapata thawabu. 15 Kazi ya mtu ikiteketea, atapata hasara; ila yeye mwenyewe ataokolewa; lakini ni kama kwa moto. Pia hapa kenye: Apple Podcast: https://podcasts.apple.com/dk/podcast/fuata-biblia-ikuongoze/id1329309738 Spotify Podcast: https://open.spotify.com/show/63df4Xlq7snUoF99dXliMm
2024-07-16
39 min
FUATA BIBLIA IKUONGOZE
Itaji Wimbo Mpya Part 2
Zaburi 32:7 7 Ndiwe sitara yangu, utanihifadhi na mateso, Utanizungusha nyimbo za wokovu. Itaji limbo mpya ( Daniel 6 )
2024-04-16
35 min
FUATA BIBLIA IKUONGOZE
Itaji Wimbo Mpya Part 1.
Itaji Wimbo Mpya Part 1. by FUATA BIBLIA
2024-02-18
38 min
FUATA BIBLIA IKUONGOZE
Tunda La Roho ( UVUMILIVU )
Wagalatia 5:22-23 22 Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu, 23 upole, kiasi; juu ya mambo kama hayo hakuna sheria.
2023-09-19
08 min
FUATA BIBLIA IKUONGOZE
Tunda La Roho ( AMANI )
Wagalatia 5:22-23 22 Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu, 23 upole, kiasi; juu ya mambo kama hayo hakuna sheria.
2023-07-14
22 min
FUATA BIBLIA IKUONGOZE
Tunda La Roho ( FURAHA )
Wagalatia 5:22-23 22 Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu, 23 upole, kiasi; juu ya mambo kama hayo hakuna sheria.
2023-07-14
22 min
FUATA BIBLIA IKUONGOZE
Tunda La Roho ( UPENDO )
Wagalatia 5:22-23 22 Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu, 23 upole, kiasi; juu ya mambo kama hayo hakuna sheria.
2023-07-14
34 min
FUATA BIBLIA IKUONGOZE
Kunena Kwa Lugha Part 2.2
Fundisho kuhusu kunena au kusema kwa Lugha. Matendo ya Mitume 2:4 Wote wakajazwa Roho Mtakatifu, wakaanza kusema kwa lugha nyingine, kama Roho alivyowajalia kutamka.
2022-05-29
31 min
FUATA BIBLIA IKUONGOZE
Kunena Kwa Lugha Part 2.1
Fundisho kuhusu kunena au kusema kwa Lugha. Matendo ya Mitume 2:4 Wote wakajazwa Roho Mtakatifu, wakaanza kusema kwa lugha nyingine, kama Roho alivyowajalia kutamka.
2022-05-29
31 min
FUATA BIBLIA IKUONGOZE
Kunena Kwa Lugha Part 1.2
Fundisho kuhusu kunena au kusema kwa Lugha. Matendo ya Mitume 2:4 Wote wakajazwa Roho Mtakatifu, wakaanza kusema kwa lugha nyingine, kama Roho alivyowajalia kutamka.
2022-05-29
27 min
FUATA BIBLIA IKUONGOZE
Kunena Kwa Lugha Part 1.1
Fundisho kuhusu kunena au kusema kwa Lugha. Matendo ya Mitume 2:4 Wote wakajazwa Roho Mtakatifu, wakaanza kusema kwa lugha nyingine, kama Roho alivyowajalia kutamka.
2022-05-29
27 min
FUATA BIBLIA IKUONGOZE
Nguvu Ya Sifa Na Maabudu
Mtumishi Kicha Kisambo ubiri kubusu Sifa na Maabudu.
2022-05-09
24 min
FUATA BIBLIA IKUONGOZE
Fundisho kuhusu Pasaka
Pasaka kubwa tatu ndani ya Biblia
2022-04-29
34 min
FUATA BIBLIA IKUONGOZE
Je, chanjo ya corona ni 666?
Covid-19 Vaccination; Je, ninamba ya mnyama 666?
2022-03-29
30 min
FUATA BIBLIA IKUONGOZE
Nini maana ya Kupayuka payuka katika maombi?
Mathayo 6:7 7 Nanyi mkiwa katika kusali, msipayuke-payuke, kama watu wa mataifa; maana wao hudhani ya kuwa watasikiwa kwa sababu ya maneno yao kuwa mengi.
2021-10-07
38 min
FUATA BIBLIA IKUONGOZE
Barua kwa Sardi( Ufunuo 3:1-6 )
Barua kwa Sardi( Ufunuo 3:1-6 ) by FUATA BIBLIA
2021-10-01
47 min
FUATA BIBLIA IKUONGOZE
Barua kwa Pergamo( Ufunuo 2:12-17 )
Barua kwa Pergamo( Ufunuo 2:12-17 ) by FUATA BIBLIA
2021-10-01
45 min
FUATA BIBLIA IKUONGOZE
Barua kwa Smurna ( Ufunuo 2:8-11 )
Barua kwa Smurna ( Ufunuo 2:8-11 ) by FUATA BIBLIA
2021-10-01
36 min
FUATA BIBLIA IKUONGOZE
Barua kwa Efeso ( Ufunuo 2:1-7 ) Part 2.
Barua kwa Efeso ( Ufunuo 2:1-7 ) Part 2. by FUATA BIBLIA
2021-10-01
28 min
FUATA BIBLIA IKUONGOZE
Barua kwa Efeso( Ufunuo 2:1-7 ) Part 1.
Barua kwa Efeso( Ufunuo 2:1-7 ) Part 1. by FUATA BIBLIA
2021-10-01
27 min
FUATA BIBLIA IKUONGOZE
JE, nivizuri watumishi wa Mungu kuwa na walinzi wa mwili ( Bodyguard )?
Ulizo ilio ulizwa na wasikilizaji wetu; Je, nivizuru mtumishi wa Mungu kuwa na walinzi wa mwili ( Bodyguard )? Nawe ukiwa na Ulizo fulani kuhusu Imani yako ya Kikristo, karibu upate kuuliza. Ulizo yako itakuwa usahidizi kwa watu wengine. Support link / Towa msahada wako hapa: https://streamlabs.com/fuatabibliaikuongoze Mafundisho kwa sauti: https://soundcloud.com/user-529110866 https://podcasts.google.com/.../aHR0cHM6Ly9mZWVkcy5zb3VuZ... Tufwate hapa: https://www.facebook.com/Fuata2017 https://www.facebook.com/IKUU-1004985... https://www.youtube.com/watch?v=06eyHgn2ENo&t=2468s
2021-05-19
29 min
FUATA BIBLIA IKUONGOZE
Utofauti wa Huduma na Karama
Mazungumuzo kuhusu Utofauti wa Huduma na Karama.
2021-03-13
42 min
SIRI ZA BIBLIA
ANOINTED ROOM: KIJANA NI TAIFA KUBWA {sehemu ya 4}
Nimewaandikia ninyi vijana,Kwa sababu mna nguvu, na neno la Mungu linakaa ndani yenu,nanyi mmemshinda yule mwovu.Msiipende dunia, wala mambo yaliyomo katika dunia.Mtu akiipenda dunia, kumpenda Baba hakumo ndani yake.Maana kila kilichomo duniani, yaani tamaa ya mwili, na tamaa ya macho, na kiburi cha uzima havitokani na Baba. bali vyatokana na dunia. Na dunia inapita pamoja na tamaa zake, bali yeye afanyaye mapenzi ya Mungu atadumu hata milele. {1yohana 2;14-17} Mhubiri 11:9-10 Ewe kijana, furahia ujana wako, moyo wako, uchangamke wakati ungali kijana. Fuata mapenzi ya moyo wako n...
2021-02-13
10 min
FUATA BIBLIA IKUONGOZE
Je, Yesu alizaliwa tariki 24 kuamukia tariki 25 mwezi wa 12? Part 2.
Je, Yesu alizaliwa tariki 24 kuamukia tariki 25 mwezi wa 12? Part 2. by FUATA BIBLIA
2020-12-14
28 min
FUATA BIBLIA IKUONGOZE
Je, Yesu alizaliwa tariki 24 kuamukia tariki 25 mwezi wa 12? Part 1.
Je, Yesu alizaliwa tariki 24 kuamukia tariki 25 mwezi wa 12? Part 1. by FUATA BIBLIA
2020-12-14
27 min
FUATA BIBLIA IKUONGOZE
Wana wa Mungu na Binti za watu ( Mwanzo 6:1-4 Part 2 )
Sikiliza pia: Wana wa Mungu na Binti za watu ( Mwanzo 6:1-4 Part 1 )
2020-11-20
29 min
FUATA BIBLIA IKUONGOZE
Wana wa Mungu na Binti za watu ( Mwanzo 6:1-4 Part 1 )
Ona pia: Wana wa Mungu na Binti za watu ( Mwanzo 6:1-4 Part 2 )
2020-11-20
26 min
FUATA BIBLIA IKUONGOZE
Mafundisho kuhusu Sabato
Sabato ni nini? Mafundisho kuhusu Sabato kwa urefu.
2020-10-04
45 min
FUATA BIBLIA IKUONGOZE
JE, MWANAMKE HARUHUSIWI KUFUNDISHA KANISANI?
Fundisho kuhusu mstari hii. 1 Timotheo 2:12 12 Simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha, wala kumtawala mwanamume, bali awe katika utulivu.
2020-09-13
35 min
FUATA BIBLIA IKUONGOZE
Kuomba Katika Roho Part 2
Pastor Apalale Ause, akifundisha katika kipindi cha Fuata Biblia Ikuongoze kuhusu: Kuomba katika Roho. Katika kitabo cha 1Wakorintho 14:15.
2020-06-24
27 min
FUATA BIBLIA IKUONGOZE
Kuomba Katika Roho Part 1
Pastor Apalale Ause, akifundisha katika kipindi cha Fuata Biblia Ikuongoze kuhusu: Kuomba katika Roho. Katika kitabo cha 1Wakorintho 14:15.
2020-06-24
30 min
FUATA BIBLIA IKUONGOZE
Yohana 14:12
Pasta Apalale ana fundisha katika Fuata Biblia ikuongoze Studio. Yohana 14:12. Amin, amin, nawaambieni, Yeye aniaminiye mimi, kazi nizifanyazo mimi, yeye naye atazifanya; naam, na kubwa kuliko hizo atafanya, kwa kuwa mimi naenda kwa Baba. Pasta Apalale Ause ana fundisha katika kanisa la International Evangelical Church. Una karibishwa kwaku tuandikia kwenye: https://www.facebook.com/Fuata2017 Mafundisho kwenye: https://www.youtube.com/channel/UCc6q8io4RMpvNLYvEhxqJQQ/videos
2020-04-04
40 min
FUATA BIBLIA IKUONGOZE
Maombezi
Pasta Apalale Ause ana fundisha katika kanisa la International Evangelical Church. Ana fundisha Kuusu Maombezi... 1Timotheo 2:1-3 Basi, kabla ya mambo yote, nataka dua, na sala, na maombezi, na shukrani, zifanyike kwa ajili ya watu wote; 2 kwa ajili ya wafalme na wote wenye mamlaka, tuishi maisha ya utulivu na amani, katika utauwa wote na ustahivu. 3 Hili ni zuri, nalo lakubalika mbele za Mungu Mwokozi wetu; Una karibishwa kwaku tuandikia kwenye: https://www.facebook.com/Fuata2017 Mafundisho kwenye: https://www.youtube.com/channel/UCc6q8io4RMpvNLYvEhxqJQQ/videos
2020-04-03
22 min
FUATA BIBLIA IKUONGOZE
Nifanye Nini Ili Niingiye Katika Ufalme Wa Mbinguni? Part 2
Pasta Apalale Ause ana fundisha katika kanisa la International Evangelical Church. Ana fundisha Mambo fulani una stahili kutenda, ili uingiye katika Ufalme wa Mbinguni.. Una karibishwa kwaku tuandikia kwenye: https://www.facebook.com/Fuata2017 Mafundisho kwenye: https://www.youtube.com/channel/UCc6q8io4RMpvNLYvEhxqJQQ/videos
2020-04-03
26 min
FUATA BIBLIA IKUONGOZE
Nifanye Nini Ili Niingiye Katika Ufalme Wa Mbinguni? Part 1
Pasta Apalale Ause ana fundisha katika kanisa la International Evangelical Church. Ana fundisha Mambo fulani una stahili kutenda, ili uingiye katika Ufalme wa Mbinguni.. Una karibishwa kwaku tuandikia kwenye: https://www.facebook.com/Fuata2017 Mafundisho kwenye: https://www.youtube.com/channel/UCc6q8io4RMpvNLYvEhxqJQQ/videos
2020-04-03
33 min
FUATA BIBLIA IKUONGOZE
Mwisho Wa Dunia Part 2
Pasta Apalale Ause ina fundisha katika kanisa la Eglise Famille de Diue. Mathayo 24:14 Tena habari njema ya ufalme itahubiriwa katika ulimwengu wote, kuwa ushuhuda kwa mataifa yote; hapo ndipo ule mwisho utakapokuja. Matendo ya Mitume 2:17 Itakuwa siku za mwisho, asema Mungu, nitawamwagia watu wote Roho yangu, na wana wenu na binti zenu watatabiri; na vijana wenu wataona maono; na wazee wenu wataota ndoto. Una karibishwa kwaku tuandikia kwenye: https://www.facebook.com/Fuata2017 Mafundisho kwenye: https://www.youtube.com/channel/UCc6q8io4RMpvNLYvEhxqJQQ/videos
2020-04-03
36 min
FUATA BIBLIA IKUONGOZE
Mwisho Wa Dunia Part 1

Namba Au Chapa Ya Munyama Part 3
Pastor Apalale Ause akifundisha kuusu NAMBA AU CHAPA YA MUNYAMA. Postor Apalale Ause, na wengine wako tayari kusahidia mkristo anaye itaji usahidizi wa ki imani. Una karibishwa kwaku tuandikia kwenye: https://www.facebook.com/Fata2017/ fatabibilia@gmail.com Mafundisho kwenye: Podcast: https://podtail.com/da/podcast/fata-bibilia-ikuongoze/ Soundcloud: https://soundcloud.com/user-529110866 Youtube: https://www.youtube.com/channel/UCc6q8io4RMpvNLYvEhxqJQQ/videos?view_as=subscriber
2018-05-19
20 min
FUATA BIBLIA IKUONGOZE
Namba Au Chapa Ya Munyamba Part 3

15 min
FUATA BIBLIA IKUONGOZE
Namba Au Chapa Ya Munyamba Part 2

Namba Au Chapa Ya Munyamba Part 1

Kisha Kanisa Kunyakuliwa Part 2
Pastor Pierre Birunga, kutoka Denmark-Skanderborg. Akifundisha dani ya International Evangelical Church in Skanderborg. Fundisho: Kisha Kanisa Kunyakuliwa. MAULIZO-MAONYO-MAFUNDISHO Postor Apalale Ause, na wengine wako tayari kusahidia mkristo anaye itaji usahidizi kwa ngambo ya ki imani. Una karibishwa kwaku tuandikia kwenye: https://www.facebook.com/Fata2017/ fatabibilia@gmail.com Mafundisho kwenye audio: Podcast:https: //podtail.com/da/podcast/fata-bibilia-ikuongoze/ Soundcloudhttps: //soundcloud.com/stream
2018-04-21
13 min
FUATA BIBLIA IKUONGOZE
Kisha Kanisa Kunyakuliwa Part 1
Pastor Pierre Birunga, kutoka Denmark-Skanderborg. Akifundisha dani ya International Evangelical Church in Skamderborg. Fundisho: Kisha Kanisa Kunyakuliwa. MAULIZO-MAONYO-MAFUNDISHO Postor Apalale Ause, na wengine wako tayari kusahidia mkristo anaye itaji usahidizi kwa ngambo ya ki imani. Una karibishwa kwaku tuandikia kwenye: https://www.facebook.com/Fata2017/ fatabibilia@gmail.com Mafundisho kwenye audio: Podcast:https: //podtail.com/da/podcast/fata-bibilia-ikuongoze/ Soundcloudhttps: //soundcloud.com/stream
2018-04-21
13 min
FUATA BIBLIA IKUONGOZE
Mafundisho kuusu Neema Part 2
Pastor Harrison Makenga, kutoka Norway-Oslow. Akifundisha dani ya International Evangelical Church in Skanderborg. Fundisho: Neema. MAULIZO-MAONYO-MAFUNDISHO Postor Apalale Ause, na wengine wako tayari kusahidia mkristo anaye itaji usahidizi kwa ngambo ya ki imani. Una karibishwa kwaku tuandikia kwenye: https://www.facebook.com/Fata2017/ fatabibilia@gmail.com Mafundisho kwenye audio: Podcast:https: //podtail.com/da/podcast/fata-bibilia-ikuongoze/ Soundcloudhttps: //soundcloud.com/stream
2017-12-24
25 min
FUATA BIBLIA IKUONGOZE
Mafundisho Kuusu Neema Part 1