podcast
details
.com
Print
Share
Look for any podcast host, guest or anyone
Search
Showing episodes and shows of
Fabian C. Mwakabanje
Shows
Babananiii
BOOK CLUB FRIDAY JAN 24
First week discussion on the internet, the dark web and all technology stuff.
2024-01-26
16 min
Babananiii
VITABU VYA WATOTO
HAdithi hadithi za watoto. Children story books, read alouds
2024-01-26
1h 36
Babananiii
Nyongeza fikra yako
Mawazo
2023-09-10
01 min
Babananiii
Poems by Poets
Collection from my favourites.
2023-09-10
01 min
Babananiii
What's Yah Take?
Questions I ask myself in solitude...
2023-07-27
02 min
Babananiii
Love Letters
Audio version of freestyle and written.
2023-07-27
07 min
Babananiii
Pretending poem
By Salma Shuma
2022-04-23
02 min
Babananiii
Sermon Design and Delivery
Thomas H. Holland
2022-04-04
09 min
Babananiii
TUJISAHIHISHE Na. 2
"Elimu" na Kujielimisha.
2022-02-17
07 min
Babananiii
TUJISAHIHISHE (Sehemu 1)
Tujisahihishe, kitabu kiliandikwa na Hayati Baba Wa Taifa Letu, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Rais wa kwanza wa Tanzania, mwezi Mei mwaka 1962, Dar es Salaam, Tanganyika.
2022-02-16
13 min
Babananiii
JINSI YA KUWEKA MIPANGO
*JINSI YA KUWEKA MIPANGO* A. Marlene Wilson anasema kwamba mchakato ulioratibiwa unapaswa kuzingatia kanuni zifuatazo: 1. *Malengo;* ni matokeo yanayotazamiwa; mahali ambapo mtu au taasisi inataka kufika -- hatima au maazimio yake. 2. *Maazimio;* kutafsiri malengo na madhumuni kwa njia iliyo wazi na rahisi ya kueleweka na kutekelezeka (wakati mwingine huitwa mipango kazi). 3. *Kazi;* ni mambo gani ya kuyatekeleza ili kufikia malengo yaliyokusudiwa. 4. *Mipango;* ni mbinu na mtiririko wa kazi ili kufikia malengo. 5. *Bajeti* ni sehemu ya mpango iliyoainishwa kitarakimu na kuwekewa kiasi cha fedha. 6. *Ratiba;* ni mpango wenye tarehe za utekelezaji na watumishi wahusika. 7. *Tathmini;* ni kuipima kazi inayofanyika kama vinawiana...
2021-10-13
04 min
Babananiii
Hawawezi kuelewa
Maelezo yoyote utakayoyatoa yanayokuhusu wewe kwa ubinafsi hata kama si makosa kujipenda na kujipendelea ila wengine ni vigumu kukuelewa.
2021-10-05
04 min
Babananiii
KUSADIKIKA:- MJUMBE WA MASHARIKI
Kitabu Mkononi leo hii kinatoka kwa mwandishi nguli na mbobezi wa lugha ya Kiswahili. Ukurasa wa 19
2021-09-15
03 min
Babananiii
MTU MWENYE BAHATI KULIKO WOTE KATIKA BABELI
Mwisho wa simulizi yetu ya tajiri wa babeli. Kazi ni utu. Kazi inamuheshimisha mtu katika watu
2021-09-07
50 min
Babananiii
MFANYABIASHARA WA NGAMIA WA BABELI
Penye nia pana njia. Kama una nia basi njia utaiona na kuiendea.
2021-09-06
26 min
Babananiii
KUTA ZA BABELI
Gharama ya ulinzi ni ya asili na kubwa sana kwa mwanadamu. Anahitaji kuwa salama, na mali zake kuwa katika ulinzi na usalama. Ndiyo dhima ya sehemu hii ya Saba (7) katika mfululizo wa simulizi ya TAJIRI WA BABELI.
2021-09-04
12 min
Babananiii
MKOPESHA PESA WA BABELI
"Zawadi uliyopewa na mfalme inatakiwa kukufundisha hekima. Ukitaka kubaki na vipande vyako hamsini vya dhahabu, unatakiwa kuwa makini. Utavutiwa na vitu vingi na utapata ushauri mwingi sana. Utaambiwa fursa nyingi zinazodaiwa kutoa faida kubwa. Habari na hadithi kutoka kwenye sanduku langu la dhamana zinatakiwa kuwa onyo kwako. Kabla hujaruhusu pesa yako kutoka kwenye pochi hakikisha utaweza kuirudisha. Kama utahitaji ushauri zaidi unaweza kurudi nami nitafurahi kukupatia. '''Mwisho naomba usome nilichoandika. Chini ya mfuniko wa sanduku la dhamana. Maneno haya yana faida kwa mkopeshaji na mkopaji pia. Bora tahadhari kidogo kuliko majuto makubwa.
2021-09-02
31 min
Babananiii
ZIJUE SHERIA TANO ZA PESA
"Ukiambiwa uchague kati ya mfuko uliojaa dhahabu na mabamba ya vigae yaliyoandikwa maneno ya hekima na busara, utachagua nini?" Wasikilizaji walikuwa wamekaa jangwani wakiwa wamekusanyika kuzunguka moto. Walikuwa wakisikiliza kwa makini. Mwanga wa moto ulionyesha nyuso zao ambazo zilianza kuwa nyeusi sababu ya jua la jangwani. "Dhahabu, dhahabu," walijibu wote ishirini na saba kwa pamoja. Mzee Kalabab alitabasamu kama vile kuna siri anaifahamu yeye peke yake.
2021-09-01
28 min
Babananiii
MUNGU WA BAHATI (Sehemu Ya Pili)
Mungu wa bahati huwapendelea watu wa vitendo.
2021-08-30
16 min
Babananiii
KUTANA NA MUNGU WA BAHATI (Sehemu Ya Kwanza)
"Kama mtu ana bahati huwezi jua inapoishia. Mtupe ndani ya mto Efrati naye atatoka ameshikilia lulu." -- METHALI YA WABABILONI
2021-08-28
22 min
Babananiii
TIBA 7 ZA POCHI TUPU (4 - 7)
Hizi ndizo jumla ya tiba saba za pochi tupu. Kwahiyo tiba ya saba na ya mwisho ya kutibu pochi tupu ni kuwa mtu bora. Kujifunza na kujizoeza kupata maarifa zaidi, kupata ujuzi zaidi na kujiendesha maisha yako kwa heshima. Hapo unaweza kujiamini na utaweza kutimiza malengo yako.
2021-08-26
26 min
Babananiii
Gum on the Gate (Book 6)
Every evening I usually read a story to primary students as a way of influencing and fostering a reading habit.
2021-08-26
11 min
Babananiii
TIBA YA PILI & TATU YA POCHI TUPU
''Utajiri wa mtu haupo kwenye fedha zilizopo kwenye pochi yake bali kwenye kijito cha dhahabu kinachotiririka kwenda kwenye pochi yake na kuitunisha. Kipato kinachoingia hata akisafiri au asipofanya kazi."
2021-08-25
11 min
Babananiii
Sehemu Ya Tatu: TIBA SABA ZA POCHI TUPU
TIBA YA KWANZA: NAMNA KUTUNISHA POCHI TUPU
2021-08-24
18 min
Babananiii
TAJIRI WA BABELI (ARKAD)
Vitu muhimu kujifunza kwa anayeutaka utajiri. Kwanza jilipe kwanza, kisha tafuta ushauri kwa wenye uzoefu.
2021-08-18
30 min
Babananiii
TAJIRI WA BABELI (Sura ya Kwanza)
MTU ALIYETAMANI DHAHABU. Sehemu ya Kwanza katika kitabu cha Tajiri wa Babeli inaongelea hadithi ya marafiki wawili; Bansir na Kobbi ambao walijiuliza kuhusu kupata mali na walifanya uamuzi wa kutafuta suluhu ya tatizo lao la ukata wa kila mara.
2021-08-12
17 min
Babananiii
MITHALI Sura ya 15
Hekima katika kumcha BWANA.
2021-07-08
05 min
Babananiii
MITHALI Sura ya 14
Kitabu kilichojaa hekima. Uchaguzi ni wako, je unataka kuwa mpumbavu au mtu mwenye hekima. Uamuzi ni wako.
2021-07-08
05 min
Babananiii
Mithali Sura ya 13
Yeye asiyetumia fimbo yake humchukia mwanawe. Bali yeye ampendaye humrudi mapema.
2021-07-06
04 min
Babananiii
MITHALI Sura ya 12
"Katika njia ya haki kuna uhai; Wala hakuna mauti katika mapito yake." -- Mithali 12:28
2021-07-05
04 min
Babananiii
MITHALI Sura ya 11
Amefananishwa na kipini cha dhahabu puani mwa nguruwe yule mwanamke mzuri asiye na akili.
2021-07-04
04 min
Babananiii
MITHALI Sura ya 10
Hekima za Solomoni/Selemani/Suleiman
2021-07-03
04 min
Babananiii
MITHALI Sura ya 9
Wenye busara ukimfundisha atakupenda. Wajinga huchukia marekebisho
2021-07-02
03 min
Babananiii
MITHALI Sura ya 8
Hekima inawaita wanadamu wote wamuendee. Hekima anatoa wito tumfuate tupate utajiri, na fahali yote ya dunia. Hekima humsaidia mfalme kutawala na watawala kutunga sheria.
2021-07-01
05 min
Babananiii
MITHALI Sura ya 7
Maonyo kwa kijana mwanamume dhidi ya mwanamke mzinzi.
2021-07-01
04 min
Babananiii
MITHALI 6
Onyo dhidi ya upumbavu na onyo dhidi ya mwanamke kahaba
2021-06-29
05 min
Babananiii
MITHALI (Sura ya 5)
Somo lililopo kwenye sura hii ya tano ni "Maonyo dhidi ya uzinzi"
2021-06-29
03 min
Babananiii
MITHALI Sura ya 4
Mfululizo wa simulizi ya kitabu cha Mithali (Biblia).
2021-06-27
04 min
Babananiii
Mithali (sura ya 3)
Mfululizo wa simulizi ya kitabu cha Mithali (Biblia).
2021-06-26
04 min
Babananiii
Mithali Sura ya 2
Leo tarehe 25 Juni 2021, ninasoma kitabu cha Mithali sura ya pili kutoka kwenye Biblia. Sura hii inazungumzia faida za hekima.
2021-06-25
03 min
Babananiii
Mithali Sura 1
Nimeadhamiria kukisoma kitabu cha Mithali kwa siku 31 kama zilivyo sura zake. Nimependelea kukisoma kwa sauti na kukushirikisha simulizi ya kitabu hiki.
2021-06-24
03 min
Babananiii
Laiti kama angejua
Ushairi
2021-06-05
03 min
Babananiii
Introduction Fatherhood
Reading out loud part Fatherhood
2021-06-04
01 min
Babananiii
Kijana Na Kazi
Mafanikio ya kazi bora na sababu za kubadili kazi.
2021-05-18
11 min
Babananiii
KUFANYA KAZI VIZURI
Fanya kazi yako kwa bidii, jiwekee malengo, fuata utaratibu na nidhamu, kuwa Chapu kazini, na mwisho Tuliza akili na mawazo yote yaelekeze kwenye kazi unayoitenda sasa.
2021-05-13
08 min
Babananiii
NJIA YA KUJIPATIA KAZI
MUHIMU KUJISHIKIZA KWA MUDA KATIKA KAZI NYINGINE WAKATI UNAISUBIRIA ILE KAZI UIPENDAYO.
2021-05-12
11 min
Babananiii
Unapochagua Kazi Zingatia
Sehemu ya pili: 3. Chagua kazi yenye manufaa na 4. Chagua kazi itakayoweza kupatikana.
2021-05-10
05 min
Babananiii
Unapochagua Kazi Zingatia
CHAGUA KAZI UNAYOIPENDA: Jambo la kwanza na lililo muhimu kushinda mengine yote kuhusu kazi ni kuhakikisha kwamba unaipenda kwa dhati na kufurahia kuifanya. Ziko kazi za aina mbalimbali - k.m. kilimo; ufugaji; biashara; kutoa huduma mbalimbali kama vile ualimu; udaktari; ukarani; n.k. Kazi hizo zinaweza kufanywa mahali mbalimbali - k.m. kijijini; mjini; nyumbani; ofisini; kiwandani; n.k. Vile vile kazi hizo zinaweza kufanywa kwa njia mbalimbali - k.m. Kiujamaa; kiushirika; kwa kuajiriwa; kwa kujiajiri mwenyewe peke yako; n.k. Mambo yote haya, pamoja na hadhi ya kazi yenyewe katika jamii unamoishi huenda pia yakaongezea kukufanya upende...
2021-05-08
06 min
Babananiii
KAZI NI UHAI
Mambo ya kuzingatia unapochagua kazi.
2021-05-07
04 min
Babananiii
KIJANA NA KAZI/FAIDA YA KAZI PT. 3
*FAIDA ZA KAZI* inaendelea..... 4. KAZI ITAIMARISHA AFYA YAKO Katika sehemu nyingi mbalimbali duniani imeanza kuonekana kwamba akina mama huwa na maisha marefu zaidi kuliko akina baba. Kuna sababu mbalimbali ambazo huleta tofauti hiyo, na mojawapo ambayo wataalam wengi wanakubaliana nayo ni ile inayohusu kazi. Wanasema kwamba kwa vile kina mama wanafanya kazi zaidi kuliko kina baba (yaani hawastaafu kufanya kazi ya kupika au ya kutunza usafi wa nyumba) miili yao inapata nafasi kubwa ya kufanya mazoezi na kuimarika. Ni dhahiri kwamba kazi mbalimbali hutoa nafasi ya kutosha kwa mazoezi ya viungo mbalimbali vya mwili. Ukikaa bila kazi za kutosha mwili...
2021-05-06
05 min
Babananiii
FAIDA YA KAZI PT. 2
*FAIDA YA KAZI* Inaendelea.... *2. KAZI ITAKUONGEZEA FURAHA* Licha ya uchumi kazi inaweza kuwa jambo la kufurahisha sana. Mtu hufurahia anapofanya kazi yenyewe, na hufurahia pia, anapoona matokeo ya kazi yake, hasa iwapo kazi hiyo iwe ni ile inayohusiana na kuleta mabadiliko mapya mbalimbali. Isitoshe, shughuli za kazi zinasaidia sana kupitisha wakati na kumwondolea mtu mawazo yasiyofaa. Vile vile kazi huweza kuwa njia nzuri sana ya kumwezesha mtu akutane na watu wengi mbalimbali ambao humchangamsha kwa njia nyingi; na mara nyingi kazi imekuwa ndio njia muhimu ya kujipatia marafiki wa aina mbalimbali. Watu wengi waliokwishastaafu huanza kulalamika kwamba wanakosa kitu cha...
2021-05-05
05 min
Babananiii
KIJANA NA KAZI (The Youth Got To Work)
Kijana na kazi, ni mfululizo wa mafunzo yaliyomo katika kitabu kiitwacho kijana na kazi kilichochapishwa mwaka 1983 na EMAU (Elimu ya Malezi ya Ujana). My name is Fabian C. Mwakabanje, a Tanzanian educator, I coordinate young adults literacy program in public schools. In these episodes i seek to empower the written words through the voice for those many in my community who can't read nor write or they just don't have that reading habit.
2021-05-04
04 min