Look for any podcast host, guest or anyone
Showing episodes and shows of

Habari Njema Radio

Shows

Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutuHabari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu06 AGOSTI 2025Jaridani hii leo tunaangazia suala la afya katika ukand wa Gaza, na wito wito wa Umoja wa Mataifa wa kutaka kuachiliwa huru kwa mateka wa Israeli huko Gaza. Makala tunakwenda nchini Kenya na mashinani nchini Tanzania, kulikoni?Ikiwa ni siku 668 tangu Hamas ambao ni wanamgambo wa kipalestina wateke waisraeli 250 baada ya kushambulia taifa hilo la Mashariki ya Kati, vuta nikuvute ilikuwa bayana kwenye Baraza la Usalama baada ya kikao cha dharura kuitishwa na Israeli kufuatia kuchapishwa kwa picha za mateka wawili walio hoi bin taaban.Leo tuna habari njema kutoka Gaza, eneo la palestina linalokaliwa kwa mabavu na Israel huko...2025-08-0609 minHabari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutuHabari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutuUmoja wa Falme za Kiarabu wafanikisha vifaa vya matibabu ikiwemo damu kuwasili GazaLeo tuna habari njema kutoka Gaza, eneo la palestina linalokaliwa kwa mabavu na Israel huko Mashariki ya Kati, Shirika la Umoja wa Mataifa la afya ulimwenguni WHO kwa kushirikiana na Umoja wa falme za Kiarabu UAE wamefanikiwa kuingiza dawa, vifaa tiba na damu salama kwa ajili ya matibabu ya wanagaza ambao wanaendelea kuteseka na madhila ya vita. Leah Mushi na taarifa zaidi.2025-08-0602 minHabari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutuHabari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu01 AGOSTI 2025Hii leo jaridani tunaangazia hali ya wakimbizi wa ndani katika ukanda wa Gaza, na mkutano wa Sita wa Maspika wa Mabunge Duniani uliofanyika jijini Geneva, Uswisi. Makala tunamulika mtazamo mpya wa uchumi wa Dunia kwa mwaka 2025 na 2026, na mashinani tunakwenda nchini Somalia, kulikoni.Harakati za kila uchao kwa raia wa Gaza huko eneo la Palestina linalokaliwa kimabavu na Israeli za kukimbilia chakula huku mashambulizi yakiendelea zimeendelea kusababisha vifo na majeruhi ambapo majeruhi wa hivi karibuni aliyetajwa ni Sahar, mtoto mwenye umri wa miaka 14 aliyepata ulemavu akikimbilia kupokea msaada wa chakula.Mkutano wa Sita wa Maspika wa Mabunge Duniani uliofanyika jijini...2025-08-0110 minWahubiri wa Neno PodWahubiri wa Neno PodKwa nini Injili ni Habari Njema?Ni mafundisho ya Biblia juu ya Injili na kwa nini in habari njema kwa wenye dhambi kama sisi. Ni podcast ya sauti kwa video tuliyoweka kwenye youtube. Sikia hapa au tazama kwenye youtube. This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com2025-02-1829 minEbenezer Revival International MinistryEbenezer Revival International MinistryJuni ni Mwezi Wa Habari Njema - Nabii Analyce IchwekelezaMwezi wa sita malaika Gabriel alitumwa na Mungu kwenda mpaka mji wa Galilaya, kumpa habari njema Mariamu. Jiunge nasi katika neno hili na ujifunze jinsi Mungu anavyoleta habari njema katika maisha yetu kupitia vyanzo mbalimbali. Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.2024-06-1757 minEbenezer Revival International MinistryEbenezer Revival International MinistryJuni ni Mwezi Wa Habari Njema - Nabii Analyce IchwekelezaMwezi wa sita malaika Gabriel alitumwa na Mungu kwenda mpaka mji wa Galilaya, kumpa habari njema Mariamu. Jiunge nasi katika neno hili na ujifunze jinsi Mungu anavyoleta habari njema katika maisha yetu kupitia vyanzo mbalimbali.2024-06-1757 minMaisha Ni Kuthubutu PodcastMaisha Ni Kuthubutu PodcastTumia Kanuni Ya 60/10/10/10/10 Kupanga Bajeti Ya Fedha Zako.Haijalishi wewe ni mpambanaji kiasi gani kama hauna msingi mzuri wa elimu ya fedha. Basi kuna uwezekano mkubwa utapambana sana ila kiuchumi inakuwa vigumu kukua. Kwa sababu... Umekosa nidhamu ya pesa ambayo ni muhimu kuwa nayo kama unataka kufanikiwa katika eneo la fedha. Kwahiyo... Ukianza kupanga bajeti ya fedha zako inakuwa rahisi kurekodi matumizi yako ya siku, wiki, mwezi, miezi n.k. Kwa kujua kwanini pesa zako zinaenda pale na siyo hapa na kwanini hapa na siyo kule. Kwa sababu bajeti inakusaidia kurekodi na kujua mtuririko wa matumizi yako. Swali linakuja, Je, wewe unapanga bajeti ya fedha zako au kikubwa...2024-06-0209 minWahubiri wa Neno PodWahubiri wa Neno PodWagalatia (4): Gal 3:1–9Karibu sana kusikiliza mafundisho ya Biblia katika Wagalatia. Tunafanya mfululizo kwa waraka mzima, na hiyo ni namba 4, katika kifungu Gal 3:1–9. Hapa Paulo anaonyesha ni jambo la upumbavu kufikiri baada ya kuanza na Yesu kwa imani na Roho kwamba njia ya kuendelea au ya kukamilishwa ni kwa sheria au matendo. Anaonyesha kama Ibrahimu tunabarikiwa na kuokolewa kwa imani mwanzo hadi mwisho.Karibu.Mwalimu Maiki. Mchungaji Mmasa.Soma BibliaGal 3:1-91 Enyi Wagalatia msio na akili, ni nani aliyewaloga, ninyi ambao Yesu Kristo aliwekwa wazi mbele ya macho yenu ya kuwa am...2024-05-1528 minAmedeus Live PodcastAmedeus Live PodcastIeleze Kila MahaliTangaza Habari njema ya Ufalme wa Mungu kila Mahali. Usikae kimya wala kuonea haya injili ya Kristo. Hii ni nguvu ya Mungu iletayo wokovu kwa kila aaminiye! Hawezi kuamini kabla hawajasikia, hawezi kusikia isipokuwa wameambiwa. Dhamini nakala hizi kupitia lipa namba: 8177098.2024-02-0512 minAmedeus Live PodcastAmedeus Live PodcastTumeitwa KutumikaSisi ni watenda kazi pamoja na Mungu. Tumeitwa kwenye kazi ya Uimesheni, tupeleke habari njema za ufalme kila mahali. Jifunze zaidi na uhamasike kupitia Rhapsodi hii ya Januari 6, 2024. Unaweza kudhamini uchapishaji na usambazaji wa nakala hizi kupitia lipa namba hii: 817709.2024-01-0610 minPastor Tony KapolaPastor Tony KapolaHabari Njema II2023-10-051h 29Pastor Tony KapolaPastor Tony KapolaHabari Njema I2023-10-041h 58Maisha Ni Kuthubutu PodcastMaisha Ni Kuthubutu PodcastFaida Za Kuandika ‘TO DO LIST’ Ya Kutimiza Malengo Yako.Umekuwa unashindwa kutimiza malengo yako na kuishia kupoteza hamasa ya kuendelea kupambana kwa kuona haiwezekani? Una malengo makubwa sana ambayo unaona haiwezekani kuyatimiza? Sio kosa lako. Kwa sababu siyo wewe pekee yako ambaye unashindwa kutimiza malengo yako. Lakini... Tatizo kubwa kwa kushindwa kutimiza malengo yako inafanya watu wengi inawezekana Hata wewe unaweka visingizio kuwa siyo mwaka wako labda mwakani ndiyo wako, unalalamika kila wakati kutafuta huruma ya watu wengine. Ukweli haisaidii zaidi unakaribisha UMASKINI na MAJUTO. Umeamua kabisa kughairisha na kusema mwakani ndiyo utapambana, kwani haujui kesho siyo yako na yako sio kesho? Habari njema ni kwamba... Hata kama umepoteza...2023-02-1512 minThe Africa Matters PodcastThe Africa Matters PodcastThe Power of Entrepreneurship in the Digital World with Marie MbulluOur What In The Technology! season is shifting into high gear with an episode on The Power of Entrepreneurship in the Digital World. Our esteemed guest talking to Aluwani in this episode is none other than Tanzanian-American Tik Tok sensation Marie Mbullu. Marie is a part of the new wave of young African content creators who are changing the African narrative one post at a time. Marie and Aluwani will speak about entrepreneurship and technology, discussing how young people have used the power and influence of technology to their advantage and are monetizing digital platforms through advertising...2023-02-1025 min===== كلمات الحياة\===== كلمات الحياة" ، "الأخبار السارة" ، "ترانيم الإنجيل" - باللغات الرئيسية المستخدمة في جزر القمر" / / "Paroles de Vie", "Bonnes Nouvelles", "Chants Gospel" - Dans les Principales Langues Parlées aux Comores =====Wimbo wa Injili wa Kiswahili - "Kazi Yangu Ikiisha".3gp / 3gp."أغنية الإنجيل السواحيلية - "عندما ينتهي عمليChanson Gospel en Swahili - "Quand mon Travail est Terminé".3gp / Swahili Gospel Song-"When My Work Is Over".3gp/1 WAKORINTHO 15 - Ufufuo wa Kristo1Sasa, ndugu, napenda kuwakumbusha ile Habari Njema niliyowahubirieni, nanyi mkaipokea na kusimama imara ndani yake. 2Kwa njia yake mnaokolewa, ikiwa mnayazingatia maneno niliyowahubirieni, na kama kuamini kwenu hakukuwa bure. 3Taz Zab 53:5-12 Mimi niliwakabidhi nyinyi mambo muhimu sana ambayo mimi niliyapokea: Kwamba Kristo alikufa kwa ajili ya dhambi zetu kufuatana na Maandiko Matakatifu; 4Taz Zab 16:8-10 kwamba alizikwa, akafufuka siku ya tatu kufuatana na Maandiko Matakatifu; 5kwamba alimtokea Kefa, na b...2022-12-1302 minSalama NaSalama NaSE7EP02 - Salama Na Engineer Hersi | A BREATH OF FRESH AIR Kama kichwa cha habari kinavyosema, Engineer Hersi ndo chachu ya furaha kwa mashabiki wa moja ya timu kongwe kabisa ya Taifa hili, timu ya wananchi, timu yenye mataji mengi zaidi yaani mabingwa wa ki historia. Nikiwa kama shabiki wa Simba Sports Club basi sina la zaidi la kufanya ila kumpa mtani wangu Hongera ya kuongeza taji jengine kwenye historia yao na pia kumsifu round hii kwa kutuzuia kuchukua ubingwa kwa mara ya tano MFULULIZO.Engineer Hersi Ally Saidi aliingia pale kwa njia ya mdhamini (GSM) ila baada ya kuonekana kazi nzuri ambayo ameifanya kwa kipindi cha miaka miwili...2022-06-231h 29Ebenezer Revival International MinistryEbenezer Revival International MinistryPokea Habari Njema - Nabii Analyce Ichwekeleza.2022-06-2356 minSwahiliSwahiliMungu na Mwanadamu -- Kama IlivyoKitabu cha Warumi ni kazi kuu ya kitheolojia ya Paulo_x0092. Paulo anaweka wazi fundisho muhimu la Kuhesabiwa Haki (kwamba Mungu anawatangaza wasio haki kuwa wenye haki kabisa kwa sababu ya kazi ya Yesu Kristo). Ni juu ya nguzo hii ambapo anajenga hoja yake kwa ajili ya uwezo wa injili ‘kuwageuza wenye dhambi wasio haki kuwa wenye dhambi waliohesabiwa haki, kwa maana msalaba wa Yesu Kristo unaweza kutufanya kuwa wenye haki. Habari njema katika Kristo ni kwamba tunaweza kuhesabiwa haki, “kama vile hatujatenda dhambi kamwe!2022-06-1625 minSwahiliSwahiliVitabu Vizuri Zaidi Katika BibliaVitabu vinne vya kwanza vya Agano Jipya vinaitwa “injili, ambayo ina maana “habari njema. Ni kiini cha kufunua mpango wa milele wa Mungu: kuwakomboa na kuwaokoa wanadamu waliopotea. Mara nyingi hurejelewa kuwa wasifu: Kupitia kwao tunapata maarifa ya kina kuhusu maisha ya Mtu aliyeishi kwa miaka 33 pekee, lakini aliyeathiri historia ya ulimwengu wetu zaidi ya mtu yeyote aliyewahi kuishi. Injili zinamtangaza Yesu Kristo, ufunuo mkuu wa ukweli wa Mungu_x0092.2022-06-1625 minSwahiliSwahiliIlani ya MasihiIsaya alitabiri kwamba Mungu alihitaji “njia ya kutembea katika mfumo huu wa mambo. Njia hiyo ya msingi ingekuwa Masihi, Mungu katika umbo la mwanadamu. Isaya alisema kwamba Kristo angekuwa udhihirisho kamili wa Roho wa Mungu. Yesu alipoeleza huduma yake, alinukuu unabii wa Isaya. Alikuja kuleta habari njema kwa walioteseka na kuponya waliovunjika moyo; kuwatangazia wafungwa uhuru wao, na kutangaza wakati wa neema ya Bwana.2022-06-1625 min===== كلمات الحياة\===== كلمات الحياة" ، "الأخبار السارة" ، "ترانيم الإنجيل" - باللغات الرئيسية المستخدمة في جزر القمر" / / "Paroles de Vie", "Bonnes Nouvelles", "Chants Gospel" - Dans les Principales Langues Parlées aux Comores =====Wimbo wa Injili wa Kiswahili - "Kazi Yangu Ikiisha".3gp / 3gp."أغنية الإنجيل السواحيلية - "عندما ينتهي عمليChanson Gospel en Swahili - "Quand mon Travail est Terminé".3gp / Swahili Gospel Song - "When My Work Is Over".3gp //1 WAKORINTHO 15Ufufuo wa Kristo1Sasa, ndugu, napenda kuwakumbusha ile Habari Njema niliyowahubirieni, nanyi mkaipokea na kusimama imara ndani yake. 2Kwa njia yake mnaokolewa, ikiwa mnayazingatia maneno niliyowahubirieni, na kama kuamini kwenu hakukuwa bure. 3Taz Zab 53:5-12 Mimi niliwakabidhi nyinyi mambo muhimu sana ambayo mimi niliyapokea: Kwamba Kristo alikufa kwa ajili ya dhambi zetu kufuatana na Maandiko Matakatifu; 4Taz Zab 16:8-10 kwamba alizikwa, akafufuka siku ya tatu kufuatana na Maandiko Matakatifu; 5kwamba a...2022-02-0302 minThe Uongozi Wa Kiroho PodcastThe Uongozi Wa Kiroho PodcastAgizo Kuu na Wajibu WetuWajibu wa kila mwamini na kila kanisa ni kutii Agizo Kuu la Yesu. Lakini kweli inawezekana katika mahali ambapo kanisa ni maskini kiuchumi na vikwazo ni vingi? Kwa njia gani mtu anayesikia wito wa kupeleka Injili kwa wasiowahi kusikia Habari Njema anaweza kujiandaa na kuenda? Maswali kama hayo ni mada ya podcast hii tunapoendelea na mahojiano na Dr. Richard Lewis. 2022-01-2816 minThe Uongozi Wa Kiroho PodcastThe Uongozi Wa Kiroho PodcastAgizo Kuu na Kanisa la AfrikaDr. Richard Lewis anaeleza vile ambavyo mustakabali wa huduma ya umisionari umo mikononi mwa kanisa la Marekani ya Kusini, Asia na Afrika na anatoa changamoto kwa ajili ya wasikilizaji wa podcast tuwe tayari kujibu wito wa Bwana pasipo hofu na kuongoza makanisa yetu kufundisha, kutuma na kusapoti wamisionari wanaopeleka injili kwa watu wasiowahi kusikia habari njema ya wokovu katika Yesu. 2021-12-3016 minMOZE KIMAROMOZE KIMAROMUNGU ANASEMA MKANIITE NAMI NITAWASAIDIA.Mpendwa ziko NYAKATI ambazo unatamani kama ungekuwa unajua nyumbani kwa MUNGU uende ukamlilie apo au ungekuwa na mawasiliano yake upige adi apokee akusaidie. Mpendwa ninazo Habari NJEMA KWAKO MUNGU AMESEMA MUUITE NAYE ATAITIKA NA kushuka KUKUSAIDIA.2021-10-0346 minKitabu Cha MormoniKitabu Cha MormoniKitabu Cha Mormoni: Mosia 27"Mosia anakomesha mateso na anaamrisha usawa—Alma mdogo na wana wanne wa Mosia wanajaribu kuangamiza Kanisa—Malaika anawatokea na kuwaamuru waache mwenendo wao wa uovu—Alma anapigwa na kuwa bubu—Wanadamu wote lazima wazaliwe tena ili kupata wokovu—Alma na wana wa Mosia wanahubiri habari njema. Karibia mwaka 100–92 K.K." Kusoma pamoja hapa.2021-08-0114 minTheLight™TheLight™Aminia Mwanangu!Marko¹⁶ : 16 - 18 • Mathayo²³ : 37 ✓ • Pita humo ili upate kumsikia & kumsikiliza Mungu akiongea na wewe juu ya Habari njema "aaminiye & kubatizwa, ATAOKOKA! . . . " How EASY is that champ!¿. Let's Go!. --- This episode is sponsored by · Anchor: The easiest way to make a podcast. https://anchor.fm/app2021-07-1804 minThe Uongozi Wa Kiroho PodcastThe Uongozi Wa Kiroho PodcastKuitikia Wito wa UmisionariWengi walisema “haiwezekani!” Walidai kwamba Tanzania ni nchi maskini na kuna haja ya wamisionari kuja Tanzania na kuleta Injili. Lakini Mmisionari Mtanzania kutumwa na kanisa la Tanzania na kupeleka Injili nje si rahisi. Lakini Bwana aliita na Ndugu Likama aliitika. Jiunga nasi katika podcast hii na ijayo ili kusikia ushuhuda wa Ndugu Daudi Likama aliyetumwa na kanisa lake kupeleka habari njema ya wokovu Msumbiji. 2021-07-0218 minMIDCast PolíticaMIDCast PolíticaS04E19 - Emergência IndígenaNessa semana recebemos a Luísa Pontes Molina para uma dinâmica diferente, em vez do tradicional giro de notícias pelos principais fatos que influenciam no cenário da política nacional, hoje vamos ter um episódio especial dedicado para falarmos sobre os ataques que vêm sendo realizados por garimpeiros a Terras Indígenas e outros temas correlatos com a emergência indígena que ocorre no Brasil em 2021.Colabore com o nosso trabalho através do PicPay ou Padrim. PARTICIPANTES:------------------Victor Sousa - http://www.twitter.com...2021-06-111h 29SIRI ZA BIBLIASIRI ZA BIBLIAAGANO JIPYA: OLE WAO WENYE MIMBA SIKU YA MWISHO/KESHENI MKIOMBAMathayo 24 1  Yesu akaenda zake, akatoka hekaluni; wanafunzi wake wakamwendea ili kumwonyesha majengo ya hekalu. 2  Naye akajibu akawaambia, Hamyaoni haya yote? Amin, nawaambieni, Halitasalia hapa jiwe juu ya jiwe ambalo halitabomoshwa. 3  Hata alipokuwa ameketi katika mlima wa Mizeituni, wanafunzi wake wakamwendea kwa faragha, wakisema, Tuambie, mambo hayo yatakuwa lini? Nayo ni nini dalili ya kuja kwako, na ya mwisho wa dunia? 4  Yesu akajibu, akawaambia, Angalieni, mtu asiwadanganye. 5  Kwa sababu wengi watakuja kwa jina langu, wakisema, Mimi ni Kristo; nao watadanganya wengi. 6  Nanyi mtasikia habari za vita na matetesi ya vita; ang...2021-04-2306 min====\===="Bishaaro Wanaagsan", "Heesaha Injiilka", "Ereyada Nolosha" - Luqadaha Ugu Muhiimsan ee Lagu Adeegsaday Soomaaliya / "Good News", "Gospel Songs", "Words of Life" - Main Languages Used in Somalia ====Kiswahili - "Injili ya Yohana: (1: 1 -18) /"Gospel of John:(1: 1 -18) - Swahili / إنجيل يوحنا (1: 1 -18) - السواحلية .MP4 // 1 WAKORINTHO 15Ufufuo wa Kristo1Sasa, ndugu, napenda kuwakumbusha ile Habari Njema niliyowahubirieni, nanyi mkaipokea na kusimama imara ndani yake. 2Kwa njia yake mnaokolewa, ikiwa mnayazingatia maneno niliyowahubirieni, na kama kuamini kwenu hakukuwa bure. 3  Mimi niliwakabidhi nyinyi mambo muhimu sana ambayo mimi niliyapokea: Kwamba Kristo alikufa kwa ajili ya dhambi zetu kufuatana na Maandiko Matakatifu; 4 kwamba alizikwa, akafufuka siku ya tatu kufuatana na Maandiko Matakatifu; 5kwamba alimtokea Kefa, na baadaye aliwatokea wale kumi na wawili. 6Kisha aliwatokea ndugu zaidi ya 500 kwa mara moja; wengi wao wanaishi bado, lakini baadhi yao wamekwisha kufa. 7Baadaye alimtokea Ya...2021-04-0803 min====\===="Bishaaro Wanaagsan", "Heesaha Injiilka", "Ereyada Nolosha" - Luqadaha Ugu Muhiimsan ee Lagu Adeegsaday Soomaaliya / "Good News", "Gospel Songs", "Words of Life" - Main Languages Used in Somalia ====Kiswahili (Baravenes) - "Habari Njema" / "Good News" - Swahili(Baravenes).3gpSawaaxili (Baravenes) - "Warka Wanaagsan" / "السواحيلية - "بشرى سارة (Baravenes).3gp2021-04-0853 minSIRI ZA BIBLIASIRI ZA BIBLIAMATHAYO 11:YOHANA AFUNGWA GEREZANI/ATUMA WANAFUNZI KWA YESU11 Yesu alipomaliza maelekezo haya kwa wafuasi wake kumi na wawili wa karibu, aliondoka mahali pale. Akaenda katika miji ya Galilaya kuwafundisha watu na kuwaeleza ujumbe wa Mungu. 2 Yohana alipokuwa gerezani, alisikia kuhusu mambo yaliyokuwa yanatokea; mambo ambayo Masihi angefanya. Hivyo akawatuma baadhi ya wafuasi wake kwa Yesu. 3 Wakamuuliza, “Wewe ni yule tuliyekuwa tunamngojea, au tumsubiri mwingine?” 4 Yesu akajibu, “Rudini mkamwambie Yohana yale mliyosikia na kuona: 5 Vipofu wanaona. Viwete wanatembea. Watu wenye magonjwa ya ngozi wanaponywa. Wasiyesikia wanasikia. Wafu wanafufuliwa. Na habari njema inahubiriwa kwa maskini. 6 Heri ni kwa wale wasio na shida kunikubali.” 7 Wafuasi wa Yoha...2021-03-1803 minSIRI ZA BIBLIASIRI ZA BIBLIAMATHAYO 4: YESU ACHAGUA WANAFUNZI 12 KATIKA HUDUMA YAKEKisha Yesu alipandishwa na Roho nyikani, ili ajaribiwe na Ibilisi. 2 Akafunga siku arobaini mchana na usiku, mwisho akaona njaa. 3 Mjaribu akamjia akamwambia, Ukiwa ndiwe Mwana wa Mungu, amuru kwamba mawe haya yawe mikate. 4 Naye akajibu akasema, Imeandikwa, Mtu hataishi kwa mkate tu, ila kwa kila neno litokalo katika kinywa cha Mungu. 5 Kisha Ibilisi akamchukua mpaka mji mtakatifu, akamweka juu ya kinara cha hekalu, 6 akamwambia, Ukiwa ndiwe Mwana wa Mungu jitupe chini; kwa maana imeandikwa, Atakuagizia malaika zake; Na mikononi mwao watakuchukua; Usije ukajikwaa mguu wako katika jiwe. 7 Yesu akamwambia, Tena imeandikwa, Usimjaribu Bwana...2021-03-1104 min\"Ereyada Nolosha", "Warka wanaagsan", "Heesaha Injiilka" - Luqadaha waaweyn Af-soomaali kuhadlaya / " Words of Life", "Good News", "Gospel Songs" - Major Languages Spoken in Somali / "اللغات الرئيسية المستخدمة في الصومالية - "كلمات الحياة" ، "الأخبار الKiswahili (Baravenes) - "Habari Njema".3gpSwahili(Baravenes) - "Good News" / "Khabari Zuura".3gp2021-02-1453 minMWL. B. Ongeri\'s podcastMWL. B. Ongeri's podcastEpisode 11 - MWL. B. Ongeri's podcastBiblia Habari Njema Mathayo 17:25 Petro akajibu, “Naam, hulipa.” Basi, Petro alipoingia ndani ya nyumba, kabla hata hajasema neno, Yesu akamwuliza, “Simoni, wewe unaonaje? Wafalme wa dunia hukusanya ushuru au kodi kutoka kwa kina nani? Kutoka kwa wananchi ama kutoka kwa wageni?”2021-02-0115 minMWL. B. Ongeri\'s podcastMWL. B. Ongeri's podcastEpisode 10 - MWL. B. Ongeri's podcastBiblia Habari Njema Mathayo 17:25 Petro akajibu, “Naam, hulipa.” Basi, Petro alipoingia ndani ya nyumba, kabla hata hajasema neno, Yesu akamwuliza, “Simoni, wewe unaonaje? Wafalme wa dunia hukusanya ushuru au kodi kutoka kwa kina nani? Kutoka kwa wananchi ama kutoka kwa wageni?”2021-02-0115 minMWL. B. Ongeri\'s podcastMWL. B. Ongeri's podcastEpisode 7 - MWL. B. Ongeri's podcastBiblia Habari Njema Yohane 8:52 Basi, Wayahudi wakasema, “Sasa tunajua kweli kwamba wewe una pepo! Abrahamu alikufa, na manabii pia walikufa, nawe wasema ati, ‘Anayeuzingatia ujumbe wangu hatakufa milele!’2021-01-0114 minMWL. B. Ongeri\'s podcastMWL. B. Ongeri's podcastEpisode 6 - MWL. B. Ongeri's podcastBiblia Habari Njema Yohane 8:52 Basi, Wayahudi wakasema, “Sasa tunajua kweli kwamba wewe una pepo! Abrahamu alikufa, na manabii pia walikufa, nawe wasema ati, ‘Anayeuzingatia ujumbe wangu hatakufa milele!’2021-01-0115 minSalama NaSalama NaEp. 45 - Salama Na TAJI | TABASAMU LA SWAHIBAPia anafahamkika kama Master T, mwenye sauti yake tamu ya kumfanya mtu abadilishe mawazo na kufanya anachosema yeye, lafdhi nzuri ya maneno ya Kiswahili na Kiingereza na tabasamu zuri kabisa lililokaa mahala pake na hiyo ndo tofauti ya Taji Liundi na watangazaji pamoja na hata viongozi wa department mbali mbali kwenye vyombo vyetu vya habari vya ‘siku hizi’. Taji alibahatika kuzaliwa kwenye familia yenye uwezo kwa kiasi chake na malezi bora aliyapata kwa Baba yake ambaye muda mwingi alikua akisafiri nchi mbalimbali kutokana na kazi yake na hii pia ilimfanya ajengeke kwa kiasi flani, kuweza kujiamini, kuongea lung...2020-12-1149 minMWL. B. Ongeri\'s podcastMWL. B. Ongeri's podcastEpisode 4 - MWL. B. Ongeri's podcastBiblia Habari Njema Waebrania 10:8 Kwanza alisema: “Hutaki wala hupendezwi na tambiko, sadaka za kuteketezwa na za kuondoa dhambi.” Alisema hivyo ingawa sadaka hizi zote hutolewa kufuatana na sheria.2020-11-1614 minMWL. B. Ongeri\'s podcastMWL. B. Ongeri's podcastEpisode 6 - MWL. B. Ongeri's podcastBiblia Habari Njema Waebrania 10:7-8 Hapo nikasema: ‘Niko hapa, ee Mungu, kutimiza matakwa yako kama ilivyoandikwa juu yangu katika kitabu cha sheria.’” Kwanza alisema: “Hutaki wala hupendezwi na tambiko, sadaka za kuteketezwa na za kuondoa dhambi.” Alisema hivyo ingawa sadaka hizi zote hutolewa kufuatana na sheria.2020-11-1615 minThe Uongozi Wa Kiroho PodcastThe Uongozi Wa Kiroho PodcastKufikia Vijana WasiookokaKatika podcast hii ya tatu tunamaliza mkazo wetu juu ya Huduma ya Vijana na kusikia kutoka kwa Ndugu Abraham Stanslaus kuhusu kuwafikia vijana wasiookoka. Haitoshi kuandaa huduma nzuri kanisani na kukaribisha vijana. Ni juu yetu kutafuta vijana wanaohitaji habari njema na kuwapelekea Injili popote walipo. Kwa njia gani? Kiongozi huyu anatushirikisha vile wanavyofanya kanisani kwao. 2020-10-1520 minFUATA BIBLIA IKUONGOZEFUATA BIBLIA IKUONGOZEMwisho Wa Dunia Part 2Pasta Apalale Ause ina fundisha katika kanisa la Eglise Famille de Diue. Mathayo 24:14 Tena habari njema ya ufalme itahubiriwa katika ulimwengu wote, kuwa ushuhuda kwa mataifa yote; hapo ndipo ule mwisho utakapokuja. Matendo ya Mitume 2:17 Itakuwa siku za mwisho, asema Mungu, nitawamwagia watu wote Roho yangu, na wana wenu na binti zenu watatabiri; na vijana wenu wataona maono; na wazee wenu wataota ndoto. Una karibishwa kwaku tuandikia kwenye: https://www.facebook.com/Fuata2017 Mafundisho kwenye: https://www.youtube.com/channel/UCc6q8io4RMpvNLYvEhxqJQQ/videos2020-04-0336 minFUATA BIBLIA IKUONGOZEFUATA BIBLIA IKUONGOZEMwisho Wa Dunia Part 1Pasta Apalale Ause ina fundisha katika kanisa la Eglise Famille de Diue. Mathayo 24:14 Tena habari njema ya ufalme itahubiriwa katika ulimwengu wote, kuwa ushuhuda kwa mataifa yote; hapo ndipo ule mwisho utakapokuja. Matendo ya Mitume 2:17 Itakuwa siku za mwisho, asema Mungu, nitawamwagia watu wote Roho yangu, na wana wenu na binti zenu watatabiri; na vijana wenu wataona maono; na wazee wenu wataota ndoto. Una karibishwa kwaku tuandikia kwenye: https://www.facebook.com/Fuata2017 Mafundisho kwenye: https://www.youtube.com/channel/UCc6q8io4RMpvNLYvEhxqJQQ/videos2020-04-0339 minHABARI NJEMA RADIOHABARI NJEMA RADIOPambazuko la Faraja: JE UNAPITA JANGWANI? JE MAISHA YAKO YANAPITA KATIKA UCHUNGU?Kipindi cha pambazuko la Faraja kinarushwa live kila siku kuanzia saa 12 asubuhi katika ukurasa wa mwinjilisti machota facebook2019-09-1923 minHABARI NJEMA RADIOHABARI NJEMA RADIOPambazuko la Faraja: Nanyi mtapokea nguvuKipindi cha pambazuko la faraja kinarushwa live kila siku kuanzia saa 12 asubuhi katika ukurasa wa mwinjilisti machota facebook2019-09-1820 minHABARI NJEMA RADIOHABARI NJEMA RADIOPambazuko la Faraja: Ombi la YeremiahKipindi cha pambazuko la faraja kinarushwa live kila siku kuanzia saa 12 asubuhi katika ukurasa wa mwinjilisti machota facebook2019-09-1620 minHABARI NJEMA RADIOHABARI NJEMA RADIOPambazuko la Faraja: Neema ya kurudishiwa VilivyopoteaKipindi cha pambazuko la faraja kinarushwa live kila siku kuanzia saa 12 asubuhi katika ukurasa wa mwinjilisti machota facebook2019-09-1029 minHABARI NJEMA RADIOHABARI NJEMA RADIOPambazuko la Faraja: Jinsi ya kupata Mambo Makubwa ambayo Mungu ameyahifadhi kwa ajili YakoKipindi cha Pambazuko la faraja kinarushwa live kila siku kuanzia saa 12 asubuhi katika ukurasa wa mwinjilisti machota facebook2019-09-0930 minHABARI NJEMA RADIOHABARI NJEMA RADIOPambazuko la faraja: Imani Inayoshinda VikwazoKipindi cha Pambazuko la faraja kinarushwa live kila siku kuanzia saa 12 asubuhi katika ukurasa wa mwinjilisti machota facebook2019-09-0834 minHABARI NJEMA RADIOHABARI NJEMA RADIOPambazuko la Faraja: Rafiki wa thamaniKipindi cha Pambazuko la faraja kinarushwa live kila siku kuanzia saa 12 asubuhi katika ukurasa wa mwinjilisti machota facebook2019-09-0727 minHABARI NJEMA RADIOHABARI NJEMA RADIOPambazuko la Faraja 03.09.2019Kipindi cha kila siku asubuhi2019-09-0320 minHABARI NJEMA RADIOHABARI NJEMA RADIOTuzichunguze Siri za Ushindi2018-12-1345 minHABARI NJEMA RADIOHABARI NJEMA RADIOMpango wa Ukombozi2018-12-1344 minHABARI NJEMA RADIOHABARI NJEMA RADIOTuchunguze Imani Juu ya Chimbuko la Uovu2018-12-1345 minHABARI NJEMA RADIOHABARI NJEMA RADIOMajibu ya Maswali. Sehemu ya kwanzaMajibu ya Maswali mbalimbali yaliyotufikia kuanzia tarehe 1/12 - 8/122018-12-1044 minHABARI NJEMA RADIOHABARI NJEMA RADIOUfunuo wa Yesu KristoJifunze namna Yesu alivyofunua Uungu wake na namna ambavyo maandiko yanamshuhudia2018-12-1041 minHABARI NJEMA RADIOHABARI NJEMA RADIOTuchunguze imani juu ya Mungu na Utatu Mtakatifu2018-12-0644 minHABARI NJEMA RADIOHABARI NJEMA RADIO5. Tuchunguze imani katika falsafa ya uumbaji2018-12-0542 minHABARI NJEMA RADIOHABARI NJEMA RADIO4. Majibu ya hoja za wapinzani dhidi ya Biblia2018-12-0443 minHABARI NJEMA RADIOHABARI NJEMA RADIO3. Je Twaweza Kuiamini Biblia?2018-12-0342 minHABARI NJEMA RADIOHABARI NJEMA RADIO1. Tuchunguze Imaniutangulizi juu ya Mada kuu ambayo ni kuchunguza imani, msingi wa uchunguzi wa imani katika maandiko matakatifu somo limerekodiwa katika studio za Morning star radio Tanzania2018-12-0143 minHABARI NJEMA RADIOHABARI NJEMA RADIO4. Mlipuko wa umizimu2018-12-0143 minHABARI NJEMA RADIOHABARI NJEMA RADIO3. Pambano Lililofichika2018-11-3041 minHABARI NJEMA RADIOHABARI NJEMA RADIO2. Dunia katika dakika za mwishoDalili za siku za mwisho2018-11-3039 minHABARI NJEMA RADIOHABARI NJEMA RADIO1. Nani atakayeitawala dunia2018-11-2936 minHABARI NJEMA RADIOHABARI NJEMA RADIOUfafanuzi wa 1Timotheo 4:4Je 1Timotheo 4:4 inahalalisha ulaji wa kila kiumbe alichoumba Mungu? Sikiliza ufafanuzi huu wa kimaandiko toka kwa mwinjilisti Machota ili upate kuelewa hoja hii muhimu, Usiache kushare ili wengine wabarikiwe. pia na kama una swali lolote la linalohusu imani jisikie huru kuuliza kwa kunitumia sms inbox nami nitakujibu2018-04-1107 minHABARI NJEMA RADIOHABARI NJEMA RADIOSabato ni Lini (Ijumaa, Jumamosi au Jumapili?)Latest episode of Mwinjilisti Machota2018-04-1108 minDeutsche Welle - Learning By EarDeutsche Welle - Learning By EarHabari njema na mbaya - Episode 16Katika mchezo wa Kizazi njia panda, tunaingia kwenye awamu mpya ya mfululizo wa vipindi vipya vya Noa bongo - Jenga maisha yako. Hivi ni vipindi vya kuelimisha vinavyotayarishwa na Deutsche Welle kwa ajili ya vijana wa Afrika. Sikiliza awamu ya pili ili kukutana tena na nyota wa mchezo huu wa redio, Mercy, Dan, Niki na Trudy, huku ukifuatilia hadithi yao katika michezo ya redio kila wiki. Kwa mara ya kwanza utapata fursa pia ya kuwaona baadhi yao katika mkanda mpya wa vidio kila baada ya wiki moja.2015-01-0911 minKizazi njia panda - Awamu ya 2: Kukabiliana na athariKizazi njia panda - Awamu ya 2: Kukabiliana na athariHabari njema na mbaya - Episode 16Katika mchezo wa Kizazi njia panda, tunaingia kwenye awamu mpya ya mfululizo wa vipindi vipya vya Noa bongo - Jenga maisha yako. Hivi ni vipindi vya kuelimisha vinavyotayarishwa na Deutsche Welle kwa ajili ya vijana wa Afrika. Sikiliza awamu ya pili ili kukutana tena na nyota wa mchezo huu wa redio, Mercy, Dan, Niki na Trudy, huku ukifuatilia hadithi yao katika michezo ya redio kila wiki. Kwa mara ya kwanza utapata fursa pia ya kuwaona baadhi yao katika mkanda mpya wa vidio kila baada ya wiki moja.2015-01-0911 minKizazi njia panda - Awamu ya 1: Maamuzi magumu yanayotukabiliKizazi njia panda - Awamu ya 1: Maamuzi magumu yanayotukabiliHabari njema na mbaya - Episode 23Bongo Academy ni shule ya fahari. Ni shuleni hapo wanapokutana nyota wa mchezo huu Mercy, Trudy, Dan na Niki - vijana wanne wanaotoka kwenye mazingira na matabaka tofauti. Na wala hawajui changamoto zinazowasubiri. “Nimesimama kwenye njia panda, nikijaribu kuwa jasiri. Nigeukie wapi? Natokea wapi?'' Mashairi haya ya muziki wa Rap katika mchezo wa kuigiza wa “Kizazi Njia Panda”, yanaonyesha ukweli wa mambo. Yametolewa na mmoja wa vijana waigizaji kwenye mfululizo wa vipindi vipya vya Noa Bongo Jenga Maisha Yako, kueleza hali ngumu wanayokutana nayo vijana wa Afrika kila siku wanapochukua maamuzi kuhusu mkondo upi wa maisha wanapaswa kuufuata.2015-01-0711 minKutu Bible (Non-Dramatized)Kutu Bible (Non-Dramatized)2 Timothy 4 - 2 Timothy 4Kufanya kazi ya mhubiri wa Habari Njema - Do the work of an evangelist.2009-12-3100 minKiswahili Biblia (non-umetiwa chumvi) Habari Njema - Kiswahili Habari Njema Bible (non-dramatized)Kiswahili Biblia (non-umetiwa chumvi) Habari Njema - Kiswahili Habari Njema Bible (non-dramatized)2 Timothy 4 - 2 Timothy 4Kufanya kazi ya mhubiri wa Habari Njema - Do the work of an evangelist.2009-12-3100 minKishambala Biblia (non iliyotiwa)Kishambala Biblia (non iliyotiwa)2 Timothy 4 - 2 Timothy 4Kufanya kazi ya mhubiri wa Habari Njema - Do the work of an evangelist.2009-12-3100 minKishambala Biblia (iliyotiwa)Kishambala Biblia (iliyotiwa)2 Timothy 4 - 2 Timothy 4Kufanya kazi ya mhubiri wa Habari Njema - Do the work of an evangelist.2009-12-3100 minKikagulu Biblia - Kikagulu BibleKikagulu Biblia - Kikagulu Bible2 Timothy 4 - 2 Timothy 4Kufanya kazi ya mhubiri wa Habari Njema - Do the work of an evangelist.2009-12-3100 min