Look for any podcast host, guest or anyone
Showing episodes and shows of

Kijiwe Nongwa

Shows

Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa.KIJIWE NONGWA EP 83: NYIMBO MPYA | LADY JAYDEE & ZUCHU | SONGWRITINGKaribu katika episode yetu ya 83 ya KijiweNongwa. Tunazungumzia nyimbo mpya toka kwa Marioo, Harmonize na Nandy. Show ya #BongoFlevaHonors ya LadyJaydee, kulinganishwa na Zuchu na umuhimu wa waandishi wa nyimbo. Karibu kutusikiliza.2024-10-2943 minKijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa.KIJIWE NONGWA EP 82: TMA RECAP | NIKKI MBISHI | BONGO RECORDS.Karibu kwenye episode ya 82 ya KijiweNongwa. Tunaomba radhi kwa kupotea kwa muda, tumerejea. Tunazungumzia usiku wa tuzo za #TMA2023 zaidi kwenye mabaya tuliyoyaona na wapi pa kijirekebisha. Tunazungumzia pia mradi mpya wa Nikki Mbishi, Spana za Unju, Video mpya ya Bosi ya Ferooz na Juma Nature kutoka Bongo Records. Tunamalizia na nyimbo tulizosikiliza. Tunatumai utafutahia kutusikiliza. Karibu.2024-10-2251 minKijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa.KIJIWENONGWA EP 80 : TMA .Karibu kwenye episode yetu ya 80. Nyimbo mpya kutoka kwa Yammi na Mbosso bila kusahau ujio wa EP ya Alikiba.2024-09-231h 18Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa.KIJIWENONGWA EP 81: MPYA | NYASHINSKI | BONGO FLEVAKaribu kwenye episode yetu ya 81, tuko na Fredrick Mulla kuzungumza kuhusu muziki wa Kenya na pia sakata la NYASHINSKI na Cedo.2024-09-231h 08Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa.KIJIWE NONGWA EP 78: SIMBA & YANGA DAY | ASAKE "LUNGU BOY" | BEI YA SHOW.Karibu kwenye episode ya 78 ya KijiweNongwa, Leo tunazungumza kuhusu Show za Simba Day na Yanga. Tunaangazia Bei elekezi ya show na kasi ya wasanii wa Nigeria kutoa album kwa haraka. Karibu utusikilize.2024-08-061h 12Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa.KIJIWENONGWA EP 77: KOMASAVA RMX | DITTO | SOGGYTunazungumzia Komasava Rmx pamoja na kesi ya Ditto na Soggy. Tusikilize.2024-07-311h 18Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa.KIJIWENONGWA EP 76: NYIMBO MPYA | BIEN | WASANII NA BONGO RECORDS.Karibu kwenye episode yetu ya 76 ya KijiweNongwa leo tunazungumzia nyimbo mpya kutoka kwa Rayvanny, Harmonize na Dizasta. Tunaicheki pia album ya BIEN Alusa Why are you topless (Deluxe). Kwa kumalizia tunaangazia Record labels na wasanii. Nini wajibu wa wasanii wetu kwa Record Labels hizi. Tuna imani utaifurahia episode hii. 2024-07-251h 20Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa.KIJIWENONGWA EP 75: PHINA | JAYMELODY | REMAKaribu kwenye episode ya 75 ya KijiweNongwa. Leo tunazungumza kuhusu nyimbo mpya ya Phina #WeHuogopi, JayMelody na show yake pale Warehouse. Tunamalizia na mazungumzo kuhusu Rema na project yake mpya ya #Heis , muonekano wake na jinsi sanaa inavyochochea uhalisia. Karibu utusikilize.2024-07-161h 03Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa.KIJIWENONGWA EP 74: NYIMBO MPYA| MBUZI ALBUM REVIEW| BETNyimbo mpya wiki hii, album mpya ya Young Lunya pamoja na kutoka patupu BET. Karibu utusikilize.2024-07-1452 minKijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa.KIJIWENONGWA EP 73: NYIMBO MPYA | BADDEST 47 | REMIXES & SAMPLESNyimbo mpya2024-07-1149 minKijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa.KIJIWE NONGWA EP 72: NYIMBO MPYA | ROMA - NIPENI MAUA YANGU RMX | TMAKaribu kwenye episode ya 72 ya kijiwe nongwa.2024-06-171h 08Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa.KIJIWENONGWA EP 71: KIJIWE HURU.Karibu kwenye episode ya 71 ya Kijiwenongwa na Leo ni kijiwe HURU. Tumezungumza mambo kadha wa kadha na baadhi ya mashabiki wa #KijiweNongwa. Karibu utusikilize.2024-06-141h 05Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa.KIJIWENONGWA EP 70: NYIMBO MPYA | YOGO BEATZ | MUZIKI WA SAMIA.Karibu kwenye episode ya 70 ya KijiweNongwa na hapa tunazungumzia Album ya Harmonize,#MuzikiWaSamia. Nini maoni yako?2024-06-131h 10Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa.KIJIWE NONGWA EP 69: NYIMBO MPYA | MARIOO | BET AWARDSKaribu kwenye episode ya 69 ya kijiwe nongwa.2024-05-2847 minKijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa.KIJIWENONGWA EP 68: NYIMBO MPYA | JAY MELODY THERAPY REVIEW | MOCASSIN YA JAYMOE.Karibu kwenye episode ya 68 ya KijiweNongwa, tumezungumzia Nyimbo mpya ya JayMOE NA Country boy #Mocassin. Review ya album ya JayMelody Therapy na recap ya BongoFleva honors ya kwake AyMasta. Karibu utusikilize.2024-05-191h 14Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa.KIJIWE NONGWA EP 67: NYIMBO MPYA | HAKUNA MATATA | DULLAH CROWN FMKaribu kwenye episode yetu ya 67 ya KijiweNongwa, tunazungumzia nyimbo mpya, vionjo vya kiasili kwenye nyimbo mpya ya Marioo na Dullah na Lesa kwenda Crown Fm. Karibu utusikilize.2024-05-191h 12Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa.KIJIWE NONGWA EP 66: TMA | BONGO RECORDS & BOOM PLAY| TID | UTAMADUNI.Heri ya sikukuu ya Eid, karibu kwenye episode ya 66 ya kijiwe nongwa. Tumezungumzi tuzo za muziki Tanzania, muziki wa Bongo records kutolewa Boomplay, Wali Nazi ya TID na QCHIEF na UTAMADUNI wa mtanzania katika muziki. Tusikilize.2024-04-101h 22Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa.KIJIWENONGWA EP 65: NYIMBO MPYA | CROWN FM | HIPHOP IMEKUFA.Alikiba amekuja na media house mpya na tunazungumzia Hilo kwa undani sana, Je, Hip hop imekufa kama anavyosema Moni?2024-03-161h 08Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa.KIJIWENONGWA EP 64: NYIMBO MPYA | ZUCHU | MAVIN X UMG | MAUA NA ALIKIBA.Kufungiwa kwa Zuchu na mkataba mpya kati ya Mavins na Universal Music Group. Vipi Maua na King Kiba?2024-03-151h 37Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa.KIJIWENONGWA EP 63: NYIMBO MPYA | DAH & MAPOZ | BONGO FLEVADah ya Nandy na Mapoz ya Simba zinafanya vizuri, huu ni mwelekeo mzuri kuirudia bongo Fleva?2024-03-1537 minKijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa.KIJIWENONGWA EP 62: NYIMBO MPYA | BDP VS VANILLA | JOH MAKINIMwamba wa kaskazini Leo anachuku headlines, lakini ni wewe peke yako unadhani Baraka De prince na Vanilla wanasound the same? Iko hapa.2024-03-131h 03Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa.KIJIWENONGWA EP 60: NYIMBO MPYA | WAKAZI VS ROMA | ZAYLISA.Karibu kwenye kipindi chetu Cha 60 kwenye episode yetu ya KijiweNongwa. Na wiki hii tunazungumzia Nyimbo mpya kutoka kwa Vanillah, Nandy pamoja na Mbosso Khan. Kwa ufupi sana tunazungumzia Album ya Dizasta Vina ya #AFatherFigure na kwanini Wakazi na Roma wanavutana saaana mitandaoni? Kumalizia kabisa ni nyimbo ya Dullah Makabila, Furahi. Hii ni ya Zaylisa kabisa. Tusikilize hapa2024-01-2649 minKijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa.KIJIWE NONGWA EP 59: MWAKA MPYA | FLAMINGO EP REVIEW | RAYVANNY MAREMIX.Heri ya mwaka mpya na karibu katika episode yetu ya kwanza kabisa kwa mwaka 2024. Tunaanza kwa kuangalia nini kimetokea tukiwa mapumzikoni, EP mpya ya Ben Pol #Flamingo tunazungumzia hapa na zile tuhuma za Rayvanny ameisha anafanya MAREMIX tu, kuanzia kwa MisoMisondo mpaka kwa Dayoo #HuuMwaka? Zote tumechambua hapa. Karibu sana2024-01-2656 minKijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa.KIJIWENONGWA EP 58: NYIMBO MPYA | LOUI NA LEGACY RECORDS | NYIMBO YA MWAKA.Karibu kwenye episode ya 58 ya KijiweNongwa ambayo pia ni episode yetu ya mwisho kwa mwaka 2023. Tunazungumzia nyimbo mpya kutoka kwa Whozu, Maua Sama, Stamina na K2ga. Tunaambaa zaidi na kujaribu kuelewa nini kinaendelea kati ya Loui na Label yake ya Legacy Records. Ipi ni nyimbo ya Mwaka? Tunazungumza kuhusu nyimbo kubwa mwaka huu na kuiteua moja kuwa nyimbo ya Mwaka. Nini tukitarajie 2024 kutoka kwenye Bongo Fleva? Tunafunga na mjadala huo. Tupende kushukuru sana kwa kutusikiliza kwa mwaka huu, na kwa pamoja tunakutakia sikukuu za heri za mwisho wa mwaka wewe na wapendwa wako. Mpaka 2024. Heri ya Krisimasi🎄 na Mwaka Mpy2023-12-191h 15Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa.KIJIWENONGWA EP 57: NYIMBO MPYA | PROFESSOR JAY | ALBUM YA MWAKA.Karibu kwenye episode ya 57 ya Kijiwe nongwa, na Leo tunazungumzia nyimbo mpya toka kwa Rayvanny,Alikiba na Dizasta vina. Tunaiangazia pia EP ya Professor Jay Nusu Kuzimu Nusu Peponi na kumalizia na Album zetu Bora kwa mwaka 2023. Karibu utusikilize.2023-12-121h 16Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa.KIJIWE NONGWA EP 56: RAYVANNY | BEBERU DECLARATION REVIEW | ZUCHU NA KENDRICK LAMAR.Karibu kwenye episode ya 56 ya KijiweNongwa na Leo tunazungumzia nyimbo mpya toka kwa Rayvanny na Conboi. Mazungumzo yetu yanaangazia pia album mpya ya Wakazi inayoitwa Beberu Declaration na tunamaliza mjadala na tamasha la MoveAfrica ambalo Kendrick Lamar atatumbuiza katika Jiji la Kigali Rwanda na hatakuwa peke yake Zuchu atakuwa nae,tunagusia Hilo pia. Karibu utusikilize.2023-12-051h 16Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa.KIJIWENONGWA EP 55: NYIMBO MPYA | VISIT BONGO REVIEW | SINGELI NA DJ MISOMISONDO.Karibu kwenye episode ya 55 ya KijiweNongwa na wiki hii tunazungumzia nyimbo mpya kutoka kwa Phina, Yammy, Country boy na Christian Bella. Tunaiangazia pia album ya Harmonize #VisitBongo na tunamalizia kwa kumuangalia #DjMisoMisondo na hali ya Singeli kwa Sasa. Karibu utusikilize.2023-11-281h 13Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa.KIJIWENONGWA EP 54: D-VOICE | SWAHILI KID | BIEN | TMA.Karibu kwenye episode ya 54 ya Kijiwe nongwa. Tumezungumza kuhusu Dvoice na kuingia kwake WCB, Album yake ya Swahili Kid. Ukali wa Bien kwenye album yake mpya ya Alusa Why Are You Topless na Kamati mpya ya uratibu kwenye Tanzania Music Awards (TMA). Bila kusahau #MtazamoKijiweni. Karibu utusikilize.2023-11-221h 01Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa.KIJIWE NONGWA EP 53: NYIMBO MPYA | MAJANI ALBUM | GRAMMIES.Karibu kwenye episode ya 53 ya KijiweNongwa na Leo tunazungumzia nyimbo mpya kutoka kwa Gnako na Diamond, Mimi Mars na Darassa na Barnaba. Tunazungumzia pia album ya PFunk Ya Majani, Kuna kitu kipya kisikilize kwenye Mtazamo na tunafunga na GRAMMIES nominations. Tusikilize hapa.2023-11-141h 02Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa.KIJIWE NONGWA EP 52: WAMEYATIMBA | HONEY | SAUTISOL HIATUS.Karibu sana kwenye episode ya 52 ya kijiwe nongwa tumeongelea kufungiwa kwa Whozu,Billnass na Mbosso, nini nafasi ya maadili kwa wasanii tukiangazia wimbo Zuchu. SautiSol pia wanachukua mapumziko baada ya miaka 20 ya kuwa pamoja kama band, nini maana yake na nini tukitarajie kutoka kwao? Karibu utusikilize.2023-11-071h 02Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa.KIJIWENONGWA EP 51: NYIMBO MPYA | BIEN | COLORSSHOWKaribu kwenye episode yetu ya 51. Tunazungumza nyimbo mpya kutoka kwa Zuchu, Bien na Nyashinski. Tunangazia pia show ya Rema kwenye Ballon D'or na Muziki wa Kenya na mahusiano yake na makampuni makubwa ya Kimataifa kama Spotify na Colors. Karibu utusikilize.2023-10-311h 12Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa.KIJIWENONGWA EP 50: MWAKA MMOJA | RAMADEE INFINITY EP | ALIKIBA | NYASHINSKI.Tunayo furaha sana kufikisha mwaka mmoja tangu tumeanza kufanya KijiweNongwa. Tunashukuru kwa kutusikiliza. Tumeichambua EP mpya ya RamaDee, Performance ya Alikiba kwenye AFL na NYASHINSKI kwenye Serengeti Festival. Tusikilize hapa.2023-10-251h 15Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa.KIJIWENONGWA EP 49: SHEM | CASTLELIGHT SUPERIOR SETS | SAUTI ZA BUSARA 2024.Karibu katika episode yetu ya 49, tunazungumzia nyimbo mpya toka kwa Ibraah,Marioo na Phina. Mazungumzo yetu yanaangazia pia Castlelight Superior Sets kwa ujumla pamoja na matamasha mengine ya muziki. Tunamaliza mjadala wetu na Sauti za Busara kwa mwaka 2024. Karibu utusikilize. Usisahau kusubscribe,kucomment na kutupa rating.2023-10-171h 03Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa.KIJIWENONGWA EP48: NYIMBO MPYA | BENPOL | MAVINKaribu kwenye episode ya 48 ya kijiwe nongwa. Tumezungumzia Nyimbo mpya kutoka kwa Tundaman, Mimi Mars, Mabantu na Darassa. Tumegusia ujio wa album ya BENPOL ya Flamingo na Mavin Record kuwa sokoni. Karibu utusikilize. Usisahau Kusubscribe ili upate episode zetu Kila zinapotoka.2023-10-1031 minKijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa.KIJIWENONGWA EP47: NYIMBO MPYA | ABIGAIL CHAMS 5 EP UCHAMBUZI | PLANET BONGOKaribu kwenye episode ya 47 ya kijiwe nongwa, tumezungumzia Nyimbo mpya kutoka kwa Rayvanny, Appy na Christian Bella. Abigail Chams ana EP mpya inayoitwa 5, tunaichambua na kutoa maoni kuihusu na mwisho tunamalizia na kuondoka kwa Dullah kutoka E.A Radio na pengo atakaloliacha. Karibu utusikilize.2023-10-031h 01Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa.KIJIWE NONGWA EP 46: NYIMBO MPYA | ZIIKI PRESS | MANDOJO NA DOMOKAYATunazungumzia nyimbo mpya kutoka kwa Dayoo, Barnaba, Killy, Kontawa na Jay Melody. Tunachambua pia press ya Regional Manager wa Ziiki Afrika Mashariki Bi Camilla Owora na BongoFleva Honours ya Mandojo na Domokaya. Tunamalizia na historia ya nyimbo ya Mambo Matano ya Lady JayDee. Karibu.2023-09-261h 07Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa.KIJIWE NONGWA EP 45.Yaliyotokea kwenye BongoFleva wiki hii.2023-09-251h 02Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa.KIJIWE NONGWA EP 44.Yaliyotokea kwenye BongoFleva wiki hii.2023-09-251h 05Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa.KIJIWE NONGWA EP 41.Yaliyotokea kwenye BongoFleva wiki hii.2023-09-251h 11Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa.KIJIWENONGWA EP 40.Yaliyotokea kwenye BongoFleva wiki hii.2023-09-251h 38Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa.KIJIWE NONGWA EP 38Yaliyotokea kwenye BongoFleva wiki hii.2023-09-251h 13Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa.KIJIWE NONGWA EP 37Yaliyotokea kwenye BongoFleva wiki hii2023-09-251h 05Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa.KIJIWE NONGWA EP 36.Yaliyotokea kwenye Bongo Fleva wiki hii2023-09-251h 07Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa.KIJIWE NONGWA EP 32Yaliyotokea kwenye bongo flea wiki hit 2023-09-251h 11Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa.KIJIWE NONGWA EP 30: MAZUNGUMZO NA NIKKI MBISHI | SAUTISOL | ZUCHU VS WCBKaribu katika episode ya Leo ambayo tunazungumza na Nikki Mbishi kuhusuiana na KatibaMpyaAlbum pamoja na yaliyotokea katika muziki wiki hii. Tusikilize.2023-06-091h 22Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa.KIJIWE NONGWA EP 29: KUNUNUA MUZIKI | TIKTOK | BONGO FLEVA HONORS.Karibu kwenye episode yetu ya Leo,tunaizungumzia uuzwaji wa MUZIKI na nyimbo zenye mfumo.wa TikTok. Tusikilize hapa.2023-06-061h 01Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa.KIJIWE NONGWA EP 28: ON FIRE ALIKIBA | SAUTI SOL | NANDYKaribu utusikilize tukichambua mapya katika bongo fleva wiki hii ikiwemo nyimbo ya On fire ya Alikiba, utengano wa SautiSol na nyimbo mpya ya Nandy. 2023-05-261h 02Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa Ep 27: TKYK DELUXE REVIEW MARIOO | RAYVANNY FLOWERS 3 REVIEW | BEI YA ALBUM BONGOKaribu kwenye episode ya 27 ya Kijiwe Nongwa, tumeiangalia Deluxe version ya The Kid You Know ya Marioo, Performance ya Marioo kwenye show yake. Tumeiangalia pia Ep ya Rayvanny Flowers 3 tukamalizia kuangalia Bei ya album kwenye soko la muziki Tanzania.2023-05-171h 01Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa Ep 26: MIKATABA YA WASANII | SINGLE AGAIN.Tunaangalia jinsi ambavyo mikataba ya wasanii wa kitanzania na penginepo inavyoumiza na kushangaza. Ujio wa pili wa Amapiano na jinsi Single Again ya Harmonize ilivyosambaa.2023-05-131h 07Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa Ep 25: TMA 2023 MAONI NA MAWAZO | FID QUsiku wa Tuzo uliwadia na tulikuwa The Superdome kuushuhudia. Nini kilitokea wapi palikuwa sawia? Jiunge nasi tukizungumza kuhusu Tuzo za muziki Tanzania 2023.2023-05-131h 03Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa Ep 24: FLOWER 3 EP | B12 | TMA 23Rayvanny ametoa kionjo na orodha ya nyimbo zitakazokuwepo kwenye Ep yake ya tatu ya mfululizo ya Flowers 🌺, tunaizungumzia na jinsi ambavyo Rayvanny anaandika na kuimba kuhusu mapenzi. Usiku wa Tuzo Uko karibu kabisa,tunabashiri washindi na Yale tutayotegemea.2023-05-131h 15Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa Ep 23: LOUI X LEGACY RECORDS | BEBERU TRILOGY | SALU T.Tunaangazia kizungumkuti Cha Loui na record label yake ya Legacy. Mengi yamesemwa kuhusiana na BEBERU TRILOGY ya Wakazi tunajaribu kuelewa ni uelekeo gani Wakazi atakwenda na tunamkumbuka Kaka yetu alietutoka SALU T na muziki wake.2023-05-131h 02Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa Ep 22: TUZO ZA TMA 2023 (TULIPOFIKA) | ZIIKI MEDIA.Kampuni ya ZIIKI MEDIA imeendelea kuwapa mikataba wasanii wengi wakubwa kwa Tanzania, nini maana Yao na Wana malengo Gani na uwekezaji huu kwa Tanzania? Tunaichambua pia safari kuelekea kilele Cha Tuzo za Muziki Tanzania.2023-05-131h 00Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa Ep 21: LOUI | DAVIDO | UKALI WA MSANII.Davido anarudi na album mpya tunaangazia kujua nini tunaweza kujifunza kutoka kwake. Nini haswa kipimo Cha umahiri kimuziki wa mwanamuziki, Hilo nalo tumelizungumzia.2023-05-131h 04Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa Ep 20: PLAYLIST YA VP KAMALA HARISS | MWEZI MTUKUFU | UUZAJI WA MUZIKIMakamu wa Rais wa Marekani Bi Kamala Harris amezitembelea nchi za Ghana, Tanzania na Zambia, na katika safari zake ametoa muziki anaousikiliza katika safari yake, tunazungumza kuhusu Hilo. Mwezi MTUKUFU pia na uhusiano wake na utoaji hafifu wa MUZIKI.2023-05-1334 minKijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa Ep 19: WAVE EP (MAONI) | ABIGAIL CHAMS | JOOZEY.Joh Makini ametoa Ep mpya ya Wave, tunaichambua. Jinsi ambavyo Abigail Chams anatembea na soko la Tanzania na kama ni njia sahihi sana, tunamaliza na Dj JOOZEY.2023-05-131h 16Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa Ep 18: TOP 20 | MPWT MAONI | SALIMANini dhana ya Top 20 katika muziki, ni jinsi gani tunaweza kupata chati kwa ufasaha zaidi katika wakati huu wa teknolojia. Nyimbo mpya ya SALIMA kutoka kwa Fredrick Mulla pia tunaizungumzia.2023-05-131h 06Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa Ep 17: WANAWAKE NA MUZIKI | PHINA & ZUCHU | 1.5% COSOTA.Siku ya wanawake Iko mbele yetu. Tunaujadili mchango wa wanawake katika muziki wa Tanzania, nafasi Yao na changamoto zinazowakumba.2023-05-131h 05Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa Ep 16: HIP HOP HAIUZI BADO? | PUBLISHING | Q-CHIEF.Je, ni kweli bado Hip hop HAIUZI mpaka Sasa? Tunaichambua dhana hii pamoja na kuangalia uchapishaji wa muziki na Q Chief na album yake mpya.2023-05-131h 00Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa Ep 15: TUZO ZA MUZIKI 2023 | ALIKIBA X YOGO BEATS.Tunaangalia ukaribu wa ALIKIBA na producer YOGO BEATS na kama wawili hawa wanatengeneza muziki mzuri zaidi wakiwa pamoja.2023-05-131h 02Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa Ep 14: SINGELI MDUNDO WA TAIFA | LOVE SENTENCE ALBUM | TUZOKwa nini Singeli isiwe mdundo rasmi wa taifa? Tunajibu sintofahamu za mdundo wa TAIFA.2023-05-131h 01Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa Ep 13: MDUNDO WA TAIFA | DIAMOND PLATNUMZ | TUZO ZA MUZIKI.Tunalizungumza suala la mdundo wa TAIFA na nini haswa maana yake. Tunaangazia pia Tuzo za muziki wa Tanzania (TMA) kwa mwaka 2023.2023-05-131h 02Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa Ep 12:Yaliyotokea wiki hii katika Bongo Fleva.2023-05-131h 00Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa Ep 11: AFRICAN PRINCESS REC LABEL | YAMMI | BONGOFLEVA 2023.Nandy amezindua Record Label yake ya African Princess. Tunaangazia maono na dira yake pamoja na changamoto. Pia amemtoa msanii wake wa kwanza Yammi. Tusikilize.2023-05-131h 00Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa Ep 10: WASANII BORA 10 TANZANIA | HATIA V | 2023Tunazungumza wasanii 10 Bora kwa mwaka wa 2022 na ngoma mpya ya Dizasta Vina "HATIA V". Karibu utusikilize.2023-05-1354 minKijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa Ep 9: ALBUMS NA EPs KALI ZA 2022.Tunazitizama kazi 10 Bora kwa mwaka wa 2022. Karibu utusikilize.2023-05-131h 02Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa Ep 8: TBYK MAONI | PERFORMANCE YA JUX | TOMMY FLAVOR | KONTAWA.Tunaipitia album ya Marioo "The boy You know" na kuitolea maoni. Sambamba na hilo tunaongelea show ya Jux na nyimbo ya Kontawa. Karibu utusikilize.2023-05-1358 minKijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa Ep 7: SIO KWA UBAYA | THE SUPERDOME | MAVOKALI.Ukumbi mpya wa The Superdome uko tayari kabisa. Tunazungumza aina ya mapinduzi tunayoyategemea katika show za live kwa hapa nyumbani. Karibu utusikilize.2023-05-1352 minKijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa Ep 6: ACCESS & SPOTIFY MASTERCLASS | UJIO WA ASLAY.Tulipata nafasi ya kuhudhuria matamasha makubwa kabisa ya muziki ya Access na Spotify,tunayazungumzia hapa pamoja na ujio mpya wa Aslay. Karibu utusikilize.2023-05-131h 01Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa Ep 5: MASTER MANONDO EP (MAONI) | S2KIZZY | ZUCHU.Tunaitizama Ep ya mkali Fredrick Mulla pamoja na kuangalia kazi za producer S2kizzy pamoja na Zuchu. Tusikilize.2023-05-131h 00Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa Ep 4: NITONGOZE | PHINA, SUPERWOMAN + HAYA | ALBUM MPYA.Tunaizungumzia nyimbo ya Nitongoze ya Rayvanny na Diamond, PHINA na Superwoman na Haya pamoja na album mpya zilizotoka. Tupe sikio.2023-05-131h 01Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa Ep 3: OMMY DIMPOZ DEDICATION REVIEW | VANILLAH + EPTunaizungumzia album ya Ommy Dimpoz Dedication pamoja na kumuangalia msanii mpya kutoka Kings Music VANILLAH na Ep yake. Tusikilize hapa.2023-05-1356 minKijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa Ep 2: VITA YA ALBUMS | KIPI KIPYA | ANACONDALeo tunazungumza kuhusu msururu wa album zilizotoka na ngoma mpya ya Ommy Dimpoz Anaconda. Karibu.2023-05-131h 01Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa.Kijiwe Nongwa Ep 1. MCHUMBA | KWIKWI | SAMPLING | FLIGHTMODE.Karibu kwenye episode ya kwanza ya podcast yetu ya KijiweNongwa. Tusikilize hapa kuhusu Zuchu na SlimSal.2023-05-1356 minSautiPodcastSautiPodcastS01E02 NONGWA MSICHANA AKIKUELEZA SHIDA ANATAKA KUKUPIGA HELA AU ANAKUAMINIKijiwe Nongwa kimejadili hii Mada ambayo imenukuliwa kutoka kwa rapa Nikki wa pili "Msichana akikueleza shida hasa ya kifedha je amekuamini au anataka kukupigia hela tu" sikiliza maoni ya wajumbe then nawe changia yako kupitia instagram @officialisackisack --- Send in a voice message: https://anchor.fm/sautipodcast/message2020-08-1223 minSautiPodcastSautiPodcastS01E02 NONGWA MSICHANA AKIKUELEZA SHIDA ANATAKA KUKUPIGA HELA AU ANAKUAMINIKijiwe Nongwa kimejadili hii Mada ambayo imenukuliwa kutoka kwa rapa Nikki wa pili "Msichana akikueleza shida hasa ya kifedha je amekuamini au anataka kukupigia hela tu" sikiliza maoni ya wajumbe then nawe changia yako kupitia instagram @officialisackisack --- Send in a voice message: https://anchor.fm/sautipodcast/message2020-08-1223 minSautiPodcastSautiPodcastS01E01 NONGWA: KWANINI NI VIGUMU KWA WANAUME KUOA MWANAMKE AMBAYE AMEZAA TAYARI!Hapa ni Kijiwe Nongwa Tutakuwa tukizungumza stori mbalimbali zilizopo mitaani, visa na mikasa! Mada ya Leo inasema "Kwanini ni vigumu kwa wanaume Kuoa mwanamke ambaye tayari ameshazaa na inakuwa rahisi kwa wanawake Kuolewa na mwanaume ambaye tayari amezaa! Sasa nimezungumza na vijana wao wametoa mitazamo yao Nawe Toa maoni yako nitasoma meseji zote! --- Send in a voice message: https://anchor.fm/sautipodcast/message2020-08-1135 minSautiPodcastSautiPodcastS01E01 NONGWA: KWANINI NI VIGUMU KWA WANAUME KUOA MWANAMKE AMBAYE AMEZAA TAYARI!Hapa ni Kijiwe Nongwa Tutakuwa tukizungumza stori mbalimbali zilizopo mitaani, visa na mikasa! Mada ya Leo inasema "Kwanini ni vigumu kwa wanaume Kuoa mwanamke ambaye tayari ameshazaa na inakuwa rahisi kwa wanawake Kuolewa na mwanaume ambaye tayari amezaa! Sasa nimezungumza na vijana wao wametoa mitazamo yao Nawe Toa maoni yako nitasoma meseji zote! --- Send in a voice message: https://anchor.fm/sautipodcast/message2020-08-1135 min