podcast
details
.com
Print
Share
Look for any podcast host, guest or anyone
Search
Showing episodes and shows of
Kuinua Coaching Lifestyle And Business
Shows
Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu
Madaraka ni kwa ajili ya kuinua watu si kuwakandamizi – Guterres
Umoja wa Mataifa leo katika makao yake makuu jijini New York, Marekani, umeadhimisha Siku ya Kimataifa ya Nelson Mandela kwa heshima ya maisha na urithi wa shujaa wa mapambano dhidi ya ubaguzi wa rangi, nchini Afrika Kusini, Nelson Rolihlahla Mandela, al maarufu Madiba. Assumpta Massoi amefuatilia na kutuandalia taarifa ifuatayo.
2025-07-18
01 min
Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu
Teknolojia na ushirikiano vinavyotatua changamoto za tabianchi - wakulima wa maeneo kame Kenya
Katika maeneo kame ya Kenya, mvua moja ikikosa kunyesha, inaweza kuleta njaa, umaskini na kukosa matumaini. Lakini badala ya kukata tamaa, jamii za wakulima katika kaunti za Tana River sasa zinatoa simulizi kwa ujasiri na mabadiliko. Kupitia msaada kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Kitaifa ya Kusimamia Ukame (NDMA) na Serikali za Kaunti, wakulima wanatumia teknolojia rafiki kama umwagiliaji wa maji kwa nishati ya jua, kilimo cha kisasa na ushirika wa kijamii kuinua maisha yao. Sharon Jebichii na maelezo zaidi.
2025-07-11
03 min
Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu
Vijana wakumbatia kilimo bunifu kupambana na mabadiliko ya tabianchi Kajiado nchini Kenya
Kwa mujibu wa wataalamu wa kilimo, teknolojia imefungua njia mpya ya kuinua maisha ya wakulima wadogo, hasa kwa kutumia ukulima wa kisasa unaotumia maarifa na Teknolojia. Sharon Jebichii anatupeleka kaunti ya Kajiado, Kenya, katika eneo la EMbulbul, kukutana na vijana wanaotumia maarifa ya kilimo cha kisasa kubadilisha maisha yao na ya jamii.
2025-06-30
03 min
Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu
30 JUNI 2025
Hii leo jaridani tunaangazia mkutano wa 4 wa ufadhili kwa ajili ya maendeleo FFD4 huko Sevilla Hispania, na siku ya Mabunge tukizungumza na mmoja wao kutoka Tanzania. Makala inatupeleka nchi Kenya na mashinani tunarejea huko huko Tanzania, kulikoni?Mkutano wa 4 wa ufadhili kwa ajili ya maendeleo FFD4 umeng’oa nanga rasmi leo huko Selilla Hispania kwa wito wa kuziba pengo la ufadhili wa maendeleo ili kutimiza ahadi ya kimataifa ya kutomwacha yeyote nyumba. Mkutano huo uliowaleta pamoja washiriki 2,500 kutoka nchi 150 wakiwemo wakuu wa nhi 50 na wadau wengine unasema kuna pengo la dola trilioni 4 katika ufadhili wa maendeleo linalohitaji kuzibwa.Leo ikiwa ni...
2025-06-30
11 min
Nyumba ya Sanaa
Muziki wa RNB nchini Tanzania
Wanamuziki wachanga wajigamba kuinua muziki wa RNB kufikia malengo,Ungana na Shine 9 katika Mkala ya Nyumba ya Sanaa
2025-06-21
20 min
Nyumba ya Sanaa
Muziki wa RNB nchini Tanzania
Wanamuziki wachanga wajigamba kuinua muziki wa RNB kufikia malengo,Ungana na Shine 9 katika Mkala ya Nyumba ya Sanaa
2025-06-21
20 min
Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu
20 JUNI 2025
Hii leo jaridani tunaangazia siku ya Wakimbizi Duniani, mwaka huu ikibeba maudhui “Mshinamano na wakimbizi”, tukisikia ujumbe wa Umoja wa Mataifa na kazi wanazozifanya kuinua Maisha ya wakimbizi, na pia tunakuletea sauti za wakimbizi kutoka DRC, Burundi, Ethiopia na Sudan Kusini.Leo ni Siku ya Wakimbizi Duniani, mwaka huu ikibeba maudhui “Mshinamano na wakimbizi” na Umoja wa Mataifa umetaka mshikamano huo kwa vitendo wakati idadi ya watu wanaolazimika kufungasha virago na kukimbia makayo yao ikifikia kiwango cha kihistoria.Tukisalia na siku ya wakimbizi duniani tunaelekea eneo la Mata, karibu na mpaka wa Ethiopia na Sudan Kusini, ambakomaelfu ya wakimbizi kutoka Sudan Kus...
2025-06-20
09 min
Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu
São Tomé na Príncipe: Viumbe wa bahari, samaki, ni chanzo cha mapato, kuinua jamii na kuondoa umaskini
Nchini São Tomé na Príncipe, nchi ya visiwa viwili vidogo huko Afrika ya Kati, mpango wa FISH4ACP unaoendeshwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo FAO unalenga kusaidia wavuvi na wauzaji samaki hasa wanawake na vijana kuongeza kipato na manufaa ya kijamii kwa njia endelevu huku wakipunguza athari mbaya kwa makazi ya asili na viumbe wa baharini. Paola Afè Do Espiritu Afonso ni miongoni mwa wanawake wanaonufaika, Sharon Jebichi na maelezo zaidi.
2025-06-09
02 min
WGU Alumni Podcast
Creating Tech with Purpose: Distinguished Graduate Destiny Hunter's Journey
Staff Sergeant Destiny Hunter of the U.S. Army Reserves shares her journey as a WGU Distinguished Graduate and founder of Kuinua Tech, a company creating innovative technology solutions with military efficiency while supporting veterans and underserved populations.What You’ll Learn in This Episode:How Destiny completed her WGU master’s program while actively serving in the militaryThe origin story behind Kuinua Tech and its mission to uplift overlooked communitiesWhy she believes ethical AI must be driven by diverse teams and human accountability
2025-05-16
18 min
Amedeus Live Podcast
Jua kile Ulichonacho ndani Yako
Kuza tabia ya Mungu iliyo ndani ya roho yako kwa kupitia ufahamu na utambuzi wa sifa na tabia za Kiungu na asili yake iliyoko ndani yako. Soma waraka wa Filemoni 1:6 katika matoleo mbalimbali ya biblia upate kuelewa jinsi utambuzi wa vile ulivyonavyo ndani yako katika Kristo Yesu vinavyoweza kuinua maisha yako katika viwango vya juu sana.
2024-03-18
10 min
Kufurahia Maisha ya Kila Siku na Joyce Meyer
Kamwe Hatupaswi Kukata tamaa -2
Mtazamo ulio nao wakati wa shida ni muhimu kwa mafanikio yako ya mwisho. Jifunze jinsi kufanya mema kwa wengine kunaweza kuinua roho yako na kukuinua kutoka shimoni.
2022-05-30
23 min
Siasa
Siasa Podcast. Lonyangapuo: Kibaki alinikuza kisiasa
Wiki hii katika Siasa Podcast tunaangazia maisha ya Hayati Mwai Kibaki ambaye alikuwa Rais wa tatu wa Taifa la Kenya. Kibaki anakumbukwa kuwa kiongozi aliyebuni mbinu mbalimbali za kuinua uchumi wa taifa na kukabili chagamoto zilizokumba taifa. Aidha, alizipa nafasi jamii ambazo zilihisi kutengwa wakati wake nafasi uongozini. Faith Kutere amezungumza na Gavana wa Kaunti ya Pokot Magharibi, John Lonyangapuo ambaye anadai kuwa safari yake ya kisiasa ilianza baada ya Mwai Kibaki kutambua jamii yake na kumpa nafasi ya kwanza ya uongozi akiwa Katibu Mkuu katika Wizara ya Viwanda.
2022-04-23
13 min
Kuinua Coaching Lifestyle and Business
Leadership Panel Discussion with Daniel Lee, John Robinson and Marie Oldfield
In this keynote Panel Marie, Daniel and John discuss the common challenges leaders face along with the controversial "fake it until you make it quote" that set facebook on fire. We give solutions to the biggest and messiest problems that Leaders can face as either a mid level or entry level Leader. Find out more about our amazing courses and podcast at kuinuacoaching.com or follow us on facebook and instagram! See you over there! ____________________________________ Daniel has interviewed 220 successful leaders from 37 countries in 6 continents, and identified 30 principles of successful leaders, and...
2021-09-05
1h 17
Kuinua Coaching Lifestyle and Business
Use your alter ego's for success! With John Robinson
John W. Robinson is the founder of Boldly.Work and JW Robinson Inc. His proprietary B.O.L.D. method activates the power of alter egos to help entrepreneurs and business leaders conquer behavioral and belief obstacles to their success at work and in life. John believes in helping people get out of their own way so they can build a more meaningful world around us.Believe it or not, he also hopes you only work with him on two or three issues over time. His goal isn’t to establish a dependent client as an ongoing re...
2021-08-19
32 min
Resilient Minds 365
Wayne Gray, Clinical Social Worker Discusses Mental Health - S1E15
Welcome to Resilient Minds 365 where we discuss the resilient stories of entrepreneurs, professionals and students with mental illnesses to encourage you to strive, thrive, and live in abundance. I’m your host Cleoni Crawford. Wayne is a Co-Founder & Partner of Kuinua Consulting Group, as well as a Clinical Social Worker for an Assertive Community Treatment Team with one of the largest community mental health agencies in the country. His undergraduate education and training began in the United States before bringing him back to Canada where he completed his Masters Degree in Social Work at Ryerson Un...
2021-02-08
54 min
Kuinua Coaching Lifestyle and Business
Leadership Secrets with Murray McMonies
Murray McMonies is an Officer and a Leader in the UK Royal Navy. Murray talks us through his experiences of Leadership and his tips to make you a better leader.Murray discusses leading from the front and the back and how this works alongside being a manager or a leader. He discusses training and self-awareness and how this links to team development. You can find Murray at www.kuinucoaching.com where he is a resident expert on the Kuinua Leadership Course.To start your success journey click below!!www.kuinuacoaching.com
2020-12-20
29 min
Kuinua Coaching Lifestyle and Business
Negotiation Secrets with Kim Van Valer
Kim Van Valer is a Trial Court Judge in the State of Indiana and an expert Negotiator. Kim talks us through the art of negotiation and how it might not be as straightforward as we first thought. Kim owns Van Valer Dispute Resolution, which aims to assist people in reaching agreements rather than going to court. Kim serves on the Board of the Indiana Association of Mediators having been its President in 2012 & 2013. In the Kuinua Negotiation Course, Kim Van Valer coaches you through topics such as, how to negotiate, how to get written agreement, and ho...
2020-08-21
20 min