podcast
details
.com
Print
Share
Look for any podcast host, guest or anyone
Search
Showing episodes and shows of
Linus Siwiti
Shows
Linus Siwiti's podcast
MTU WANGU WA LEO
Tunajifunza kutoka kwa George Samwel Claison. Mwandishi wa kitabu Cha "the richest man in Babylon" mtu tajiri katika mji wa babeli
2025-02-05
11 min
Linus Siwiti's podcast
Bill Ackman_1735078991364_1.mp3
"Uzoefu ni kufanya makosa na kujifunza kutokana na makosa hayo". Tunapoelekea mwisho wa mwaka 2024, inawezekana pia i nawe ni miongoni mwawale amabo Kuna vitu vimeumiza sana sababu ya makosa ya kibinadam au kutokujua sio mda wa kujilaumu badala ya yake nijifunza.
2024-12-24
06 min
Linus Siwiti's podcast
Tafuta kuwa wathaman mbele ya Mwenyezi Mungu.mp3
1 Lakini sasa, Bwana aliyekuhuluku, Ee Yakobo, yeye aliyekuumba, Ee Israeli, asema hivi, Usiogope, maana nimekukomboa; nimekuita kwa jina lako, wewe u wangu. Isaya 43:1 2 Upitapo katika maji mengi nitakuwa pamoja nawe; na katika mito, haitakugharikisha; uendapo katika moto, hutateketea; wala mwali wa moto hautakuunguza. Isaya 43:2 3 Maana mimi ni Bwana, Mungu wako; Mtakatifu wa Israeli, mwokozi wako, nimetoa Misri kuwa ukombozi wako; nimetoa Kushi na Seba kwa ajili yako. Isaya 43:3 4 Kwa kuwa ulikuwa wa thamani machoni pangu, na mwenye kuheshimiwa, nami nimekupenda; kwa sababu hiyo nitatoa watu kwa ajili yako; na kabila za...
2024-11-25
10 min
Linus Siwiti's podcast
MAMBO 4 YA KUFANYA UNAPOANZA WIKI MPYA
1. Kuwa na utamaduni wa kufanya tafakari wiki inapoisha 2. Weka malengo mapya mahususi ya wiki mpya 3. Weka mikakati ya kukusaidia kufikia malengo Yako ya wiki, note epuka kurudi makosa ya wiki iliyopita 4. Kuwa natafakari kila siku inapoisha
2024-10-20
13 min
Linus Siwiti's podcast
MAMBO 4 YA KUFANYA UNAPOANZA WIKI MPYA
1. Kuwa na utamaduni wa kufanya tafakari wiki inapoisha 2. Weka malengo mapya mahususi ya wiki mpya 3. Weka mikakati ya kukusaidia kufikia malengo Yako ya wiki, note epuka kurudi makosa ya wiki iliyopita 4. Kuwa natafakari kila siku inapoisha
2024-10-20
13 min
Linus Siwiti's podcast
FOCUS.mp3
2024-09-08
06 min
Linus Siwiti's podcast
KUNYAMAZA VS KUNENA.m4a
7 Wakati wa kunyamaza, na wakati wa kunena; Mhubiri 3:7b
2024-06-29
07 min
Linus Siwiti's podcast
TUNZA FURAHA YAKO (Maintain Your Happiness)
Akasema, Uso wangu utakwenda pamoja nawe, nami nitakupa raha. Kutoka 33:14 Likumbukeni neno lile alilowaamuru Musa mtumishi wa Bwana, akisema, Bwana, Mungu wenu, anawapa ninyi raha, naye atawapa nchi hii. Yoshua 1:13 Kisha Naomi akamwambia mkwewe, Je! Mwanangu, si vizuri nikutafutie raha, ili upate mema? Ruthu 3:1
2024-02-21
12 min
Linus Siwiti's podcast
MAMBO MAWILI YA KUFANYA ILI SIKU YAKO IWE NA MAFANIKIO.aac
Umkabidhi Bwana njia yako, Pia umtumaini, naye atafanya. Zaburi 37:5 Mkabidhi Bwana kazi zako, Na mawazo yako yatathibitika. Mithali 16:3
2024-02-19
03 min
li's podcast
Jingle Usikose Ibada Ya Kesho Ya KUKUMBUKWA NA MUNGU
Bwana Yesu asifiwe,,, nakusalimu kwa jina la Yesu Kristo. Naomba nikupe mwaliko huu muhimu ibada ya tarehe *27/02/2022 itakuwa ni ibada ya Kukumbukwa na Mungu* nitafundisha na kuhubiri kwa kupitia channel ya Linus Siwiti podcast pamoja na Facebook.
2022-02-26
04 min
li's podcast
KUTAFUTA KUSUDI LA MUNGU Siku Ya #10
*KUMTEGEMEA BWANA MUNGU*:Bwana Yesu asifiwe karibu sana kwenye Morning devotion siku ya Leo. Tuombe "baba matakatifu Mungu Mwenyezi asante kwa ajili ya utukufu wako, Asante kwa nafasi nyingine ambayo umetujali tunakualika baba kwenye devotion siku hii ya amen7 Amebarikiwa mtu yule anayemtegemea Bwana, Ambaye Bwana ni tumaini lake. Yeremia 17:78 Maana atakuwa kama mti uliopandwa kando ya maji, Uenezao mizizi yake karibu na mto; Hautaona hofu wakati wa hari ujapo, Bali jani lake litakuwa bichi; Wala hautahangaika mwaka wa uchache wa mvua, Wala hautaacha kuzaa matunda. Yeremia 17:89 Moyo huwa mdanganyifu kuliko...
2021-11-10
15 min
Linus Siwiti's podcast
Episode 19 - Linus Siwiti's podcast
2021-10-02
02 min
Linus Siwiti's podcast
USIHOFU JUU YA MAMBO YA DUNIANI KUWA NA HOFU ya MUNGU
1 Kwa malaika wa kanisa lililoko Efeso andika; Haya ndiyo anenayo yeye azishikaye hizo nyota saba katika mkono wake wa kuume, yeye aendaye katikati ya vile vinara saba vya dhahabu. Ufunuo wa Yohana 2:12 Nayajua matendo yako, na taabu yako, na subira yako, na ya kuwa huwezi kuchukuliana na watu wabaya, tena umewajaribu wale wajiitao mitume, nao sio, ukawaona kuwa waongo; Ufunuo wa Yohana 2:23 tena ulikuwa na subira na kuvumilia kwa ajili ya jina langu, wala hukuchoka. Ufunuo wa Yohana 2:34 Lakini nina neno juu yako, ya kwamba umeuacha upendo wako wa kwanza. ...
2021-08-13
15 min
Linus Siwiti's podcast
Hamasika Time "Mambo Matatu Ya Kufanya Mjasiriamali, Mfanyabiashara Unapopitia Changamoto"
Mambo matatu ya kufanya unapopitia changamoto katika Biashara au Ujasiriamali:1. Badilisha mfumo wa biashara,2. Boresha Biashara yako3. Tumia changamoto kuzigundua fursa zingine.
2021-08-12
15 min
Linus Siwiti's podcast
SAIKOLOJIA YA MAUZO
2021-07-10
08 min
Linus Siwiti's podcast
NEEMA YA ASUBUHI Linus Siwiti's podcast
10 Hatimaye, mzidi kuwa hodari katika Bwana na katika uweza wa nguvu zake. Waefeso 6:1011 Vaeni silaha zote za Mungu, mpate kuweza kuzipinga hila za Shetani. Waefeso 6:1112 Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho. Waefeso 6:1213 Kwa sababu hiyo twaeni silaha zote za Mungu, mpate kuweza kushindana siku ya uovu, na mkiisha kuyatimiza yote, kusimama. Waefeso 6:1314 Basi simameni, hali mmejifunga kweli viunoni, na kuvaa...
2021-06-13
15 min
Linus Siwiti's podcast
NEEMA YA MUNGU INAVYOFANYA KAZI SIKU ZA MWISHO
Majira haya na nyakati tulizopo tunaishi chini ya kivuli Cha Neema ya Mungu.-nyakati za Leo tupo kwenye majira magumu sana kwani Kuna mambo mabadiliko mengi katika ujio wa mpya wa Dunia.Neema: Ni uweza/ upendeleo, kibali ambao Mungu anao ndani yetu.Soma MWANZO 6.8 KUTOKA 33.13NEEMA YA MUNGU INAMBATANA NA MAMBO HAYA.1) Utakatifu- Neema hata siku moja haiwezi kuambatana na uovu, dhambi, hila nk2) UTIMILIFU- siku zote neema ya Mungu ni ya utimilifu lazima tutapokea neema juu ya NeemaYOHANA 1:14-16NEEMA...
2021-06-08
15 min
Linus Siwiti's podcast
MORNING GRACE
2021-05-05
11 min
Linus Siwiti's podcast
Episode 37 - Linus Siwiti's podcast
2021-04-17
05 min
Linus Siwiti's podcast
NENO LA UZIMA & UPONYAJI - Linus Siwiti's podcast
12 Najua kudhiliwa, tena najua kufanikiwa; katika hali yo yote, na katika mambo yo yote, nimefundishwa kushiba na kuona njaa, kuwa na vingi na kupungukiwa. Wafilipi 4:1213 Nayaweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu. Wafilipi 4:1314 Lakini mlifanya vema, mliposhiriki nami katika dhiki yangu. Wafilipi 4:1415 Nanyi pia, ninyi wenyewe mnajua, enyi Wafilipi, ya kuwa katika mwanzo wa Injili, nilipotoka Makedonia, hakuna kanisa lingine lililoshirikiana nami katika habari hii ya kutoa na kupokea, ila ninyi peke yenu. Wafilipi 4:15
2021-03-23
15 min
Linus Siwiti's podcast
SATURDAY KAA TUONGEE27 - Linus Siwiti's podcast
Karibu msikilizaji katika kipindi Cha kaa tuongee ikiwa ni kwa mara ya Kwanza kabisa Leo tunaongelea swala kubwa KUJIFUNZA na KUWEKA BIDII
2021-02-21
10 min
Linus Siwiti's podcast
Episode 29 - MAMBO 3 YA KUKUSAIDIA KUFANYA JAMBO LOLOTE PASIPO KUANGALIA Mazingira Linus Siwiti's podcast
2021-01-21
12 min
Linus Siwiti's podcast
Episode 26 -TAFAKARI BIBLIA Linus Siwiti's podcast
WAFILIPI 4:18-19
2020-12-11
10 min
Linus Siwiti's podcast
TAFAKARI BIBLIA "Umuhimu Wa kushukuru" Kusema Asante - Linus Siwiti's podcast
Zaburi 107
2020-12-08
09 min
Linus Siwiti's podcast
Episode 25 -HAMASA ZA BIBLIA Linus Siwiti's podcast
Hamasa ya leo inatoka kwenye kitabubcha Warumi 8:31 "Basi tuseme nini juu ya haya Mungu akiwa upande wetu ninani atakaye simama juu yetu" Mungu akiwa upande wetu hakuna magonjwa, hakuna baya lolote, hakuna Cha adui kitakacho jiinua ubarikiwe Tafakari zaidi.
2020-11-02
04 min
Linus Siwiti's podcast
HAMASA ZA MAISHA
2020-10-12
03 min
Linus Siwiti's podcast
TAFAKARI BIBLIA ,,,,,KITABU CHA NAHUMU- Linus Siwiti's podcast
Karibu kwenye Tafakari Biblia siku ya Leo tuaanza kutafakari kitabu Cha Mahumu kwa siku Tatu.
2020-10-08
15 min
Linus Siwiti's podcast
Episode 27 - TUTAFAKARI BIBLIA Linus Siwiti's podcast
2 Tazama, nimekufanya mdogo kati ya mataifa; Umedharauliwa sana. Obadia 1:23 Kiburi cha moyo wako kimekudanganya, Wewe ukaaye katika pango za majabali, Mwenye makao yako juu sana; Asemaye moyoni, Ni nani atakayenishusha mimi? Obadia 1:34 Ujapopanda juu kama tai, Ijapokuwa kioto chako kimewekwa kati ya nyota, Nitakushusha kutoka huko; asema Bwana. Obadia 1:47 Watu wote wa mapatano yako Wamekufukuza, hata mipakani; Wale waliofanya amani nawe Wamekudanganya, na kukushinda; Walao mkate wako wameweka mtego chini yako; Wala hana ufahamu wa hayo ndani yake. Obadia 1:712 Lakini usiitazame siku ya ndugu yako, siku ya mashaka...
2020-10-02
15 min
Linus Siwiti's podcast
UFANYE NINI UNAPO PITIA JARIBU Au CHANGAMOTO YEYOTE
1Wakorintho 10:11-16
2020-09-02
15 min
Linus Siwiti's podcast
MAMBO GANI YA KUFANYA UNAPO ANZA WIKI AU SIKU MPYA
1. Tambua maisha yana badilika hayapo moja kwa moja (life is not linear)2. Weka mipango mipya kila siku(Put new planning daily)3. Chunja mawanzo yako (Filter your thoughts)
2020-08-23
15 min
Linus Siwiti's podcast
NAFASI YA KIJANA KATIKA JAMII(nukuu Za Maisha) KUTANA SOPHIA BINTI ALIYE JIAJIRI KWA KUUZA UBUYU Pia FAHAMU NAFASI YA KIJANA KATIKA UTUMISHI
2020-08-13
15 min
Linus Siwiti's podcast
NAFASI YA KIJANA KATIKA UTUMISHI
"Nafasi ya kijana katika Utumishi ni kubwa sana, wewe kijana unanafasu gani katika Utumishi?. Maana vijana tuna nguvu Kuna Mithali ya kiafrika naipenda inasema "Vijana tunaweza kutembea haraka lakini wazee wanaijua njia".
2020-08-13
06 min
Linus Siwiti's podcast
Episode 19 -NUKUU ZA MAISHA Linus Siwiti's podcast
Karibu kwenye ujio mpya wa nukuu za maisha ni kila siku saa nne usiku kuanzia tarehe 06/08/2020
2020-08-06
02 min
Linus Siwiti's podcast
Episode 18 - TAFAKARI YA BIBLIA Linus Siwiti's podcast
MATHAYO 5:1-10Karibu siku ya leo ungane nami katika maombi ya letayo Heri katikati maisha Bwana atakupoganiaMara baada ya kusikiliza podcast kama utakuwa na hitaji binafsi ka maombi andika tu kwenye Comment nahitaji maombi au wasiliana nami kwa namba nilizo kutaji kwenye podcast . Nami nitaomba kwa ajili yako
2020-08-05
14 min
Linus Siwiti's podcast
Episode 17 - Tafakari ya Maandiko Ya BibliaLinus Siwiti's podcast
18 Kuna mambo matatu yaliyo ya ajabu kwangu, Naam, kuna manne nisiyoyafahamu. Mithali 30:1819 Mwendo wa tai katika hewa; Na mwendo wa nyoka juu ya mwamba; Mwendo wa merikebu katikati ya bahari; Na mwendo wa mtu pamoja na msichana. Mithali 30:1920 Hivyo ndivyo mwendo wa mwanamke mzinifu; Hula, akapangusa kinywa chake, Akasema, Sikufanya uovu. Mithali 30:2021 Kwa ajili ya mambo matatu nchi hutetemeka, Naam, kwa ajili ya manne haiwezi kuvumilia. Mithali 30:2122 Mtumwa apatapo kuwa mfalme; Mpumbavu ashibapo chakula; Mithali 30:2223 Mwanamke mwenye kuchukiza aolewapo; Na mjakazi aliye mrithi wa bibi...
2020-07-30
14 min
Linus Siwiti's podcast
Episode 2 MAOMBI YA UKOMBOZI Na Rev: Shedrack Herman>Linus Siwiti's podcast
YESU NI MAJI YA UZIMA6 Na hapo palikuwa na kisima cha Yakobo. Basi Yesu, kwa sababu amechoka kwa safari yake, akaketi vivi hivi kisimani. Nayo ilikuwa yapata saa sita. Yohana 4:67 Akaja mwanamke Msamaria kuteka maji. Yesu akamwambia, Nipe maji ninywe. Yohana 4:78 Kwa maana wanafunzi wake wamekwenda mjini kununua chakula. Yohana 4:89 Basi yule mwanamke Msamaria akamwambia, Imekuwaje wewe Myahudi kutaka maji kwangu, nami ni mwanamke Msamaria? (Maana Wayahudi hawachangamani na Wasamaria.) Yohana 4:910 Yesu akajibu, akamwambia, Kama ungaliijua karama ya Mungu, naye ni nani akuambiaye, Nipe maji ninywe...
2020-07-15
15 min
Linus Siwiti's podcast
MAMBO 3 YA MSINGI YA KUFANYIA KAZI UNAPOANZA WIKI MPYA
Mambo matatu ya msingi unapoanza wiki mpya1. Usiamke na mawazo ya wiki ambayo imeisha2. Amka mapema sana weka mipaka yako vizuri3. Usiamke na kukimbilia kwenye simu bali amka mshukuru Mungu, kwa wiki ambayo imeisha na wiki unayoianza panda mbegu.
2020-07-05
11 min
Linus Siwiti's podcast
Episode 13 - Linus Siwiti's podcast
*TESTIMONY THE BRIDGE OF VICTORY* ushuhuda daraja la mafanikio.Karibu kwenye program mpya ya ushuhuda daraja la ushidi hapa utapata kusikiliza shuhuda mbalimbali ambazo zitakupa kujifunza Kila siku na hamasa ya kuona upo uwezekana kwa yale ambayo unapitiaLeo nilikuwa na Baba yangu mkubwa Henry Siwiti ambaye aliugua kwa Muda mrefu sana zaidi ya miaka 32 leo Ni mzima na kumbukumbu zimerudi.
2020-07-01
13 min