podcast
details
.com
Print
Share
Look for any podcast host, guest or anyone
Search
Showing episodes and shows of
Luphurise Lema
Shows
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Mkristo na Majaribu na Pastor Luphurise Mawere
Somo lililofundishwa katika fellowship ya Wanawake Jumanne tarehe 13 Juni 2023. Kwenye Somo hili utajifunza mambo kadhaa kama; Ni kwanini Mkristo upitie majaribu? Namna ya kutoka kwenye majaribu.
2023-06-14
1h 03
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Bring out your full potential by Pastor Luphurise Mawere
Sermon preached at Special Sunday for Professionals and Business Owners, Lampshine Church, Dar es Salaam, Tanzania. For prayers and counseling contact +255754934693
2023-03-27
1h 35
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Cultivating the Mind of Christ- Part 2 by Pastor Luphurise Mawere
Sermon preached at Women Fellowship on Tuesday 14th March 2023
2023-03-15
1h 06
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Remembered by God by Pastor Luphurise Mawere
Sermon preached today 12th March 2023 at Lampshine Church. Have ever been in situation where it seems God have forgotten you? God has remembered you, tune in. For prayer and counseling WhatsApp +255754934693
2023-03-12
1h 15
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Cultivating the mind of Christ by Pastor Luphurise Mawere
Sermon preached on Tuesday 7th March 2023 at Women Fellowship. For prayer and counseling WhatsApp +255754934693
2023-03-09
41 min
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Overcoming in the midst of wickedness by Pastor Luphurise Mawere
Sermon preached at Women Fellowship on Tuesday 21st February 2023.
2023-02-21
48 min
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Be intentional to be useful in the Kingdom of God by Pastor Luphurise Mawere
Sermon preached at Lampshine Church on Sunday 12th February 2023, English-Swahili translation
2023-02-15
1h 27
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
How to discover,operate and activate Spiritual Gifts by Pastor Luphurise Mawere
English/ Swahili translation Sermon preached at Lampshine Church on Sunday 8th January 2023
2023-01-10
1h 29
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Empowered to Shine in 2023 by Pastor Luphurise Mawere
Sermon preached at Lampshine Church on New Year Service, English -Swahili translation
2023-01-01
1h 15
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
FREEDOM IN CHRIST SERIES-3. UHURU KATIKA KRISTO by Pastor Luphurise Mawere
Somo lililofundishwa Jumapili tarehe 11 Decemba 2022 katika Kanisa la Lampshine
2022-12-11
1h 32
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Walking in Divine Excellence by Pastor Luphurise Mawere
Sermon preached at Lampshine Church on Sunday 2nd October 2022. English/Swahili Translation. May God bless you as you listen.
2022-10-02
1h 38
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Usimwache Mungu kwasababu ya njama za adui by Pastor Luphurise Mawere
Somo lililofundishwa kwenye Fellowship ya Wanawake iliyofanyika Jumanne tarehe 30 Agosti 2022.
2022-09-01
43 min
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Who you walk with will determine your destination by Pastor Luphurise Mawere
Your association will determine your destination. Sermon preached at Lampshine Church on Sunday 21st August 2022. English/Swahili Translation. May the Holy Spirit minister to you as you listen. You are Blessed. For Prayers and Counseling +255 754934694
2022-08-22
1h 05
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Jifunze Kuridhika by Pastor Luphurise Mawere
Somo lililofundishwa kwenye Fellowship ya Wanawake iliyofanyika Jana Jumanne tarehe 09/08/2022.
2022-08-10
1h 07
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Praying in the middle of Crisis by Luphurise Mawere
Sermon preached at Lampshine Church on Sunday 31st July 2022. English/Swahili Translation. May God minister to you as you listen. With Christ Love Pastor Henry and Pastor Luphurise Mawere
2022-08-04
1h 16
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Kutembea katika Uwepo wa Mungu by Grace Bitegeko
Somo lililofundishwa kwenye Fellowship ya Wanawake Jumanne tarehe 26 Julai 2022.
2022-07-26
1h 09
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Secret to Answered Prayers by Pastor Luphurise Mawere
The sermon preached on Sunday 24th July 2022 at Lampshine Church. English/Swahili Translation. God bless you as you listen. Contact +255 754934693
2022-07-25
1h 32
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Silaha za Vita by Pastor Luphurise Mawere
Somo lililofundishwa kwenye Fellowship ya Wanawake iliyofanyika Jana Jumanne tarehe 19 Julai 2022.
2022-07-20
1h 28
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Prayer that produces results by Luphurise Mawere
The sermon preached at Lampshine Church on Sunday 17th July 2022. English/Swahili Translation.
2022-07-18
1h 06
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Mwanamke anayejitambua na Pastor Luphurise Mawere
Somo lililofundishwa leo Jumanne tarehe 22 July 2022 kwenye Fellowship ya Wanawake
2022-07-12
1h 06
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Uncommon Faith Part 2 by Luphurise Mawere
Sermon preached at Lampshine Church on 26th June 2022. English/Swahili Translation.
2022-06-28
1h 36
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Uncommon Faith-Part 1
Sermon preached at Lampshine Church on Sunday 19th June 2022 by Pastor Luphurise Mawere. English/Swahili translation. May God bless you as you listen to his word.
2022-06-19
1h 26
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Kuwa makini wakati wa kuishi kawaida kawaida umeisha by Luphurise Mawere
Somo lililofundishwa kwenye Fellowship ya Wanawake iliyofanyika Jumanne tarehe 17 Mei 2022
2022-05-18
45 min
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Kuamini tu haitoshi chukua hatua by Luphurise Mawere
Neno lililofundishwa kwenye Fellowship ya Wanawake iliyofanyika Jumanne tarehe 10 Mei 2022.
2022-05-11
41 min
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Yesu ni rafiki mwema by Luphurise Mawere
Somo lililofundishwa kwenye Fellowship ya Wanawake iliyofanyika Jumanne tarehe 19 April 2022.
2022-04-20
57 min
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Msubiri Bwana yeye atafanya by Luphurise Mawere
Somo lililofundishwa kwenye Fellowship ya Wanawake iliyofanyika Jumanne tarehe 29 Machi 2022
2022-04-01
59 min
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Kuwa macho unaweza kuanza na Mungu ukamaliza ukiwa muovu by Luphurise Mawere
Neno lililofundishwa kwenye Ibada ya Wanawake iliyofanyika Jumanne tarehe 08 Machi 2022.
2022-03-08
1h 21
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Nguvu ya ajabu iliyoko kwenye Neno la Mungu na Luphurise Mawere
Somo lililofundishwa kwenye Mkesha wa Wanawake uliofanyika Ijumaa tarehe 18 Februari 2022.
2022-02-20
1h 31
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Siri ya Maombi yanayojibiwa by Luphurise Mawere
Somo lililofundishwa kwenye Retreat ya Wanawake iliyofanyika kuanzia tarehe 28 hadi tarehe 30 Januari 2022.
2022-02-01
1h 08
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Kutembea katika nguvu za Mungu mwaka 2022 by Luphurise Mawere
Somo lililofundishwa kwenye Fellowship ya Wanawake iliyofanyika Jumanne tarehe 4 Januari 2022
2022-01-07
1h 56
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Ushuhuda wangu wa Wokovu kupitia Bishop Prof Ranwel Mwenisongole by Luphurise Mawere
Namna Bishop Prof Ranwel Mwenisongole alivyoimpact maisha yangu Hadi nikaokoka pamoja na kuwa moyo mgumu sana.
2021-12-25
16 min
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Utoaji unaleta baraka by Luphurise Mawere
Somo lililofundishwa kwenye Fellowship ya Wanawake iliyofanyika Jumanne tarehe 21 Decemba 2021
2021-12-22
1h 44
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Mateso yanavyokuwa mengi ndivyo unavyozidi kuongozeka by Luphurise Mawere
Somo lililofundishwa kwenye Fellowship ya Wanawake iliyofanyika Jumanne tarehe 30 Novemba 2021
2021-12-01
1h 50
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Madhara ya Kiburi by Luphurise Mawere
Somo lililofundishwa kwenye Fellowship ya Wanawake iliyofanyika Jumanne tarehe 23 Novemba 2021.
2021-11-24
1h 39
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Tambua nafasi yako katika Kristo by Luphurise Mawere
Somo lililofundishwa kwenye Fellowship ya Wanawake iliyofanyika Jumanne tarehe 16 Novemba 2021.
2021-11-17
1h 49
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Karama na Kipawa chako kitakutoa gerezani by Luphurise Mawere
Somo lililofundishwa kwenye Fellowship ya Wanawake iliyofanyika Jumanne tarehe 09 Novemba 2021
2021-11-09
1h 51
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Kujenga Mahali palipoharibiwa by Luphurise Mawere
Somo lililofundishwa kwenye Fellowship ya Wanawake iliyofanyika Jumanne tarehe 02 Novemba 2021.
2021-11-03
1h 37
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Kujenga Mahali Paliboharibiwa by Luphurise Mawere
Somo lililofundishwa kwenye Fellowship ya Wanawake iliyofanyika Jumanne tarehe 02 Novemba 2021.
2021-11-03
1h 37
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Nguvu ya Damu ya Yesu by Luphurise Mawere
Somo lililofundishwa kwenye Fellowship ya Wanawake iliyofanyika Jumanne tarehe 26 Octoba 2021
2021-10-26
1h 40
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Becoming Powerful where you are planted by Luphurise Mawere
Lunch Hour Fellowship on Instagram Live ONLINE on Thursday 21st October 2021
2021-10-21
39 min
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Maombi yanayovunja Minyororo by Luphurise Mawere
Somo lililofundishwa kwenye Fellowship ya Wanawake iliyofanyika Jumanne tarehe 19 Octoba 2021
2021-10-20
1h 09
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Kutembea katika Mamlaka by Luphurise Mawere
Somo lililofundishwa kwenye Fellowship ya Wanawake inayofanyika Kila Jumanne saa 11:30 Jioni, Makumbusho Dar es Salaam. Kupata maelezo zaidi wasiliana nasi 0754934693
2021-10-13
1h 50
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Maombi yanavyokutengeneza uushinde Ulimwengu by Luphurise Mawere
Somo lililofundishwa tarehe 05 September 2021 kwenye Fellowship ya Wanawake inayofanyika kila Jumanne. Namna ya kufika Wasiliana nasi +255628704781
2021-10-06
1h 35
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Ukiamini yote yanawezekana by Luphurise Mawere
Somo lililofundishwa leo Jumanne tarehe 28 September 2021 kwenye Fellowship ya Wanawake
2021-09-28
1h 53
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Watapigana nawe lakini hawatakushinda by Luphurise Mawere
Somo lililofundishwa kwenye Fellowship ya Wanawake iliyofanyika Jumanne tarehe 21 September 2021
2021-09-22
1h 14
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Mtazamo Unaoleta Matokeo by Luphurise Mawere
Neno lililofundishwa kwenye Mkesha wa Wanawake uliofanyika Ijumaa tarehe 17 September 2021
2021-09-18
2h 06
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Ziko faida kwenye kuwa na Ushirika na Mungu by Luphurise Mawere
Fellowship ya Wanawake iliyofanyika Jumanne tarehe 13 September 2021
2021-09-14
1h 53
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Je unapitia changamoto basi Omba
Neno lililofundishwa kwenye Fellowship ya Wanawake iliyofanyika leo Jumanne tarehe 7 September 2021
2021-09-07
1h 27
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Nguvu ya Neno la Mungu by Luphurise Mawere
Power in the Word of God, Neno lililofundishwa kwenye Fellowship ya Wanawake inayofanyika Kila Jumanne. Tarehe 31 August 2021.
2021-09-01
1h 47
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Mtazame Mungu Sahau Unayoyapitia by Luphurise Mawere
Mafundisho yaliyofundishwa kwenye Women Fellowship ya Jumanne tarehe 24 August 2021
2021-08-25
1h 48
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Mwanamke Mwenye Ushawishi, Bathsheba by Luphurise Mawere
The influential Woman, Somo lililofindishwa Women Fellowship tarehe 17 August 2021
2021-08-17
2h 00
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Usiogope Bwana atakupigania na Luphurise Mawere
Women Fellowship ya tarehe 10 August 2021.
2021-08-10
2h 01
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Namna ya kupokea Muujiza kutoka kwa Mungu na Luphurise Mawere
Mafundisho yaliyofundishwa kwenye Women Fellowship ya Jumanne tarehe 03 August 2021. Karibu ujumuike nasi kwenye Fellowship na Maombi Kila Jumanne saa 11: 30 Jioni. Kwa maelezo zaidi wasiliana na +255 628 704 781
2021-08-03
1h 29
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Nguvu ya Jina la Yesu by Luphurise Mawere at Women Fellowship
Power in the Name of Jesus
2021-07-27
1h 12
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Karama za Roho Mtakatifu by Luphurise Mawere
Somo lililofundishwa kwenye Fellowship ya Wanawake inayofanyika kila Siku ya Jumanne
2021-07-01
1h 04
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
JIEPUSHE NA KUJIINUA By Luphurise Mawere
Jiepushe na Kujiinua
2021-06-28
10 min
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
SIFA ZA BINTI WA VIWANGO/ THE ATTRIBUTES OF A SINGLE LADY OF CLASSY By Luphurise Mawere
Karibu katika mtiririko wa somo hili kwa ajili ya mabinti/single ladies nilifundisha kwenye Semina ya Mabinti, Ngome Holdings, Sinza Africasana, Jumamosi 1 May 2021_ *1. Kuweka vitu vya kwanza kuwa vya kwanza, Kuhakikisha Mungu ni kwanza kwenye ubinti wako* _Mathayo 22: 37-38_ _Mathayo 6: 33_ Yatupasa kumpenda Mungu kwanza na kumuweka wa kwanza kwenye maisha yetu. Usiweke wazazi, walezi, ma-sponsor, boyfriend wako kwenye nafasi ya Mungu, Mungu anapaswa kuwa namba moja kwenye ubinti wako. *Tunafanyaje ili Mungu wa Kwanza* ▪Kumpenda kwa moyo wako wote, roho yako yote na akili zako zote *Kwanini tumpende Mungu* _1 John 4: 19 Sisi twapenda kwa maana yeye alitupenda sisi kwanza._ ▪Mungu alitupenda kwan...
2021-05-03
2h 05
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Apandacho mtu ndicho atakachovuna By Luphurise Mawere
Wagalatia 6: 7-9_ _6 Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi; kwa kuwa cho chote apandacho mtu, ndicho atakachovuna._ _8 Maana yeye apandaye kwa mwili wake, katika mwili wake atavuna uharibifu; bali yeye apandaye kwa Roho, katika Roho atavuna uzima wa milele._ _9 Tena tusichoke katika kutenda mema; maana tutavuna kwa wakati wake, tusipozimia roho._ _2 Wakoritho 9: 6 Lakini nasema neno hili, Apandaye haba atavuna haba; apandaye kwa ukarimu atavuna kwa ukarimu_ Mpendwa umepanda nini kwenye maisha ya watu? Unavuna nini kwenye maisha yako? Matunda ambayo umeyapata kwenye maisha yako yanatokana na vitu gani ulivyovipanda? Vitu vyema au vibaya? Je umevuna mambo uzima wa milele au umevuna uharibifu? Au umevuna ha...
2021-04-12
22 min
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Jiepushe na Ubinafsi by Luphurise Mawere
Wafilipi 2: 4 Kila mtu asiangalie mambo yake mwenyewe, bali kila mtu aangalie mambo ya wengine. *Ubinafsi* ni ile hali ya kujali mambo yako kwa kiasi kikubwa sana na kuyapa mambo ya wengine nafasi ndogo mno. Kujali mambo yako zaidi na kutoangalia mambo ya wengine kabisa. Dunia tunayoishi imejaa watu wengi wenye ubinafsi, maendeleo na changamoto zilizoko ulimwenguni zinazidi kufanya watu kuwa wabinafsi. Lakini Mungu wetu hapendi tuwe wabinafsi na ndio maana hili neno limekujia leo. Hali ya ubinafsi iliyoko duniani inaongezeka sana na imepelekea wengi wenye uhitaji yaani masikini, yatima, wasiojiweza kuongezeka na kukosa msaada kwasababu wale ambao wangesimama kuwasaidia wanaangalia...
2021-03-15
16 min
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Ukipita katika Shida mtumaini Mungu atakuokoa By Luphurise Mawere
Zaburi 138: 7 Nijapokwenda kati ya shida utanihuisha, Utanyosha mkono juu ya hasira ya adui zangu, Na mkono wako wa kuume utaniokoa._ Soma pia _2 Mambo ya Nyakati 20: 1-30_ Tunaishi katika Ulimwengu uliojaa shida na taabu nyingi. Tuko kwenye Majira ambayo dunia imegubikwa na hofu na huzuni kubwa kwasababu ya shida ya janga la Corona, changamoto za upumuaji na tauni vinavyomaliza watu. Watu wengi wamekosa tumaini kwasababu wapendwa wao wamepoteza maisha au wengine wako mahtuti kwasababu ya janga hili. Ukifungua vyombo vya habari na ukiangalia mitandao ya kijamii imejaa habari mbaya za vifo. Watu wengi wanaona mwisho wa dunia umefika. Wanaogopa. Nyakati kama...
2021-02-24
38 min
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Ondoa macho yako kwenye upepo, Mtazame Yesu by Luphurise Mawere
Somo lililofundishwa leo Jumanne tarehe 26/01/2021 katika Fellowship ya Wanawake inayofanyika kila Jumanne, saa 11: 30 Jioni, Makumbusho, Dar es Salaam
2021-01-26
43 min
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Ukimruhusu Mungu atunze kazi za mikono yako, HAUTATAABIKA By Luphurise Mawere
*Ukimruhusu Mungu atunze kazi za mikono yako, HAUTATAABIKA!* _Kumbukumbu la Torati 11: 10-12 _10 Kwa kuwa nchi mwingiayo kuimiliki, si mfano wa nchi ya Misri mlikotoka, uliyokuwa ukipanda mbegu zako humo na kuinywesheleza kwa mguu wako, kama shamba la mboga;_ _11 lakini nchi mwivukiayo kuimiliki ni nchi ya vilima na mabonde, nayo hunyweshwa maji ya mvua ya mbinguni;_ _12 nayo ni nchi itunzwayo na BWANA, Mungu wako; macho ya BWANA Mungu wako, ya juu yake, tangu mwanzo wa mwaka hata mwisho wa mwaka._ Inasikitisha sana namna ambavyo wanadamu tumekuwa tukiishi maisha yaliyojaa taabu yaani ku-TOIL, kibaya zaidi hata matunda ya kutaabika kwao hayaonekani. Shetani...
2021-01-25
14 min
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
4. Amini kwamba Mungu atakufanikisha By Luphurise Mawere
2 Wafalme 4: 1-7 Hesabu 27: 1-11 _Nehemia 2: 20 Ndipo nikawajibu, nikawaambia, Mungu wa mbinguni, yeye atatufanikisha; kwa hiyo sisi, watumishi wake, tutaondoka na kujenga; lakini ninyi hamna sehemu, wala haki, wala kumbukumbu, katika Yerusalemu._ Mistari hiyo hapo juu inaonyesha namna ambavyo Mwanamke mjane na mabinti za Selofehadi walikuwa kwenye changamoto kubwa. Walikuwa kwenye mazingira ambayo kibinadamu yalikuwa hayawezekani Mama mjane alikuwa na madeni na watoto wake wawili walikuwa wachukuliwe kuwa watumwa ili kulipia deni aliloacha baba yao ambaye alikuwa amekufa. Huyu mama alikuwa kwenye financial crisis na kibinadamu alikuwa hana kitu chochote cha kumsaidia kulipa yale madeni. Alipokwenda kwa mtumishi wa Mungu Elisha...
2021-01-04
26 min
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Interview TBC Taifa FM: Kujipanga kwa matumizi ya fedha kipindi hiki cha Sikukuu za mwisho wa mwaka
By Luphurise Mawere
2020-12-22
23 min
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
SIFA ZA MWANAMKE ALIYE-STRETCH YAANI ALIYEFANYA ZAIDI - PART 3 By Luphurise Mawere
2 Wafalme 4: 1-7 Hesabu 27: 1-11 3. Amezungukwa na watu sahihi Umezungukwa na watu wa namna gani? Watu waliokuzunguka wanakusadia kufikia hatma yako au ndio wanakwamisha usifikie hatma yako? Watu waliokuzunguka wanaweza kubeba maono makubwa uliyonayo? Ukisoma hiyo mistari hapo juu utaona Mwanamke mjane ambaye alikuwa kwenye madeni yaani changamoto ngumu ya kifedha alikuwa amezungukwa na watu sahihi. Mwanamke huyu alikuwa alikuwa amezungukwa na Nabii Elisha aliyemshauri cha kufanya lakini pia alikuwa na watu sahihi ambao waliweza kumwazima vyombo alivyovitumia kuzalisha mafuta aliyoyauza akatoka katika kwenye madeni. Ukisoma pia hiyo mistari kwenye Hesabu utaona hawa mabinti watano wa Selofehadi namna ambavyo nao walikuwa...
2020-12-21
23 min
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
SIFA ZA MWANAMKE ALIYE-STRETCH, ALIYEFANYA ZAIDI-PART 2 By Luphurise Mawere
2 Wafalme 4: 1-7 Hesabu 27: 1-11 *2. Anaamini kwamba ndani yake kuna kitu cha kuleta mabadiliko anayoyataka* Ukisoma habari za Wanawake hao hapo juu ilifika mahali wakaamini kitu cha kubadilisha maisha yao kiko ndani yao na kwa kufanya hivyo changamoto walizokuwa wanapitia ziliondoka. Mwanamke aliye-Stretch anaamini anaweza, Ameondoka kwenye mazoea, Anajua yeye sio mtupu, Anajua ana uwezo, mkubwa ndani yake yaani potential, Yule mwanamke mjane alimwambia Elisha hana kitu, japo alikuwa ana chupa ya mafuta ambayo hakujua kwamba ndio itamnasua kwenye madeni aliyokuwa nayo. Mtumishi wa Mungu Elisha akamsaidia aka-Stretch na kuamini ana kitu cha kumsaidia, Alilazimishwa kutoka kwenye mazoea, Binti za Selofehadi...
2020-12-07
23 min
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Unaweza kusimama kwenye kusudi lako hata kama hujulikani by Luphurise Mawere
2 Samweli 20: 16-22 Ukisoma kitabu cha 2 Samuel 20 utaona habari za mtu asiyefaa Sheba ambaye alitaka kuhatarisha amani ya Israel kwa kuwafanya watu kumfuata yeye badala ya kumfuata mfalme Daudi. Katika mistari inayotuongoza leo tunasoma habari za Mwanamke mmoja ambaye hata jina lake halijulikani lakini aliweza kusimama kwenye kusudi na kusaidia kuwepo kwa Amani Israeli na kuukomesha mpango wa Sheba. Yoabu mkuu wa majeshi alijipanga na watu wake wammalize Sheba lakini kungekuwa na machafuko na wangeuharibu mji wa Israel Huyu Mwanamke asiyekuwa na jina alipotambua nia ya Yoabu akalia au akapaza sauti yake. Huyu Mwanamke alijiingiza matatani kwasababu alimpigia kiongozi wa jeshi...
2020-11-09
14 min
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Ondoka kwenye Mazoea au kwenye Comfort Zone
Naomba usome pamoja nami *2 Wafalme 7: 3-16* Watu wengi hawapigi hatua maishani kwasababu ya kukaa sana kwenye mazoea. Wengi wanatamani kufanikiwa ila hali za kukaa kwenye mazoea zinawazuia kabisa kupiga hatua katika maisha yao. Mazoea au Comfort zone ni ile hali ya kuwa mahali ambapo panakupa faraja na panakufanya ujisikie amani, usalama na nafuu. Katika habari tuliyosoma kwenye *2 Wafalme 7: 3-16* tunaona Wakoma wanne huko Samaria ambao ninawaita ma-Champion yaani mashujaa maana waliamua kutoka kwenye mazoea. Hali ya uchumi ilikuwa mbaya sana Samaria, kulikuwa na njaa kali na vitu vilikuwa vinauzwa bei kubwa sana. Hali ilikuwa mbaya mpaka ikafika mahali wanawake wakaanza...
2020-11-02
15 min
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Usifiche Talanta yako By Luphurise Mawere
USIFICHE TALANTA YAKO _By Luphurise Mawere_ Mathayo 25: 14-18 _Mathayo 5: 15 Wala watu hawawashi taa na kuiweka chini ya pishi, bali juu ya kiango; nayo yawaangaza wote waliomo nyumbani._ Habari tuliyosoma kwenye Kitabu cha Mathayo 25: 14-18 inafananishwa na maisha yetu hapa duniani. Mungu amewekeza ndani yetu talanta, yaani ameweka karama, vipawa, ujuzi na maarifa. Kila mtu amepewa kadri uwezo wake, na Mungu anatutegemea kile alichowekeza ndani yetu kitumike hata kama unakiona ni kidogo kuliko wengine. Tuepuke kabisa kuwa kama mtu huyu aliyepewa talanta moja yeye badala ya kuzalisha akaifukia chini. Watu wengi wanafukia uwezo yaani potential Mungu alizoweka ndani yao kwasababu wanafikiri...
2020-10-26
17 min
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Fanya zaidi, Stretch, Panua mahali pa hema zako By Luphurise Mawere
_Isaya 54: 2 Panua mahali pa hema yako, na wayatandaze mapazia ya maskani yako; usiwakataze; ongeza urefu wa kamba zako; vikaze vigingi vya hema yako._ Pia soma _2 Wafalme 4: 1-7_ Huduma ya Soaring Women International tumeandaa Summit ya Wanawake na tunasimama na neno STRETCH sawasawa na _2 Wafalme 4: 1-7_. STRETCH ina maana nyingi zinazolenga kumsukuma mtu afanye zaidi. Kwa Kiswahili tunaweza kuweka kwenye neno moja FANYA ZAIDI. Dictionary ya Merriam Webster imetoa maana nyingi za neno STRETCH ila nimependa hii inayosema kupanua kwa kutumia nguvu ( _to expand or enlarge especially by force_), kumfanya mtu au kitu kiweze kufanya zaidi ya mazoea. Mara nyingi tunapenda...
2020-10-19
16 min
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Usiweke moyo wako kwenye vitu au mali ulizonazo _By Luphurise Mawere_
Luka 12: 15-21 _Zaburi 62: 10b Mali izidipo msiiangalie sana moyoni._ Kwa kiingereza huu mstari unasema _"If your riches increase, don't set your heart upon them"_ Mistari hiyo hapo juu kutoka kitabu cha Luka tunaona habari za mtu tajiri aliyekuwa na shamba lililokuwa limezaa sana, kwa lugha nyepesi mtu huyu alikuwa amefanikiwa sana na mali kumzidi. Tunaona hadi anaweka mikakati namna ambavyo ataweza kutunza vizuri mavuno yake na anajiwekea mikakati ya kujipongeza pia. Moyo wa tajiri huyu ulikuwa kwenye mali zake, ndio maana mipango yake ni anajiweka yeye na mali zake tu, huoni akimtaja Mungu wala mtu mwingine yoyote. Ukiangalia habari hii...
2020-10-12
22 min
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Jiepushe na Kiburi usije ukashushwa By Luphurise Mawere
Jiepushe na Kiburi usije ukashushwa _By Luphurise Mawere_ _Mithali 29: 23 Kiburi cha mtu kitamshusha; Bali mwenye roho ya unyenyekevu ataheshimiwa._ Kiburi ni nini? Yeremia 9: 23-24 inatupa maana nzuri ya Kiburi _23 BWANA asema hivi, Mwenye hekima asijisifu kwa sababu ya hekima yake, wala mwenye nguvu asijisifu kwa sababu ya nguvu zake, wala tajiri asijisifu kwa sababu ya utajiri wake;_ _24 bali ajisifuye na ajisifu kwa sababu hii, ya kwamba ananifahamu mimi, na kunijua, ya kuwa mimi ni BWANA, nitendaye wema, na hukumu, na haki, katika nchi; maana mimi napendezwa na mambo hayo, asema BWANA,_ Kwa kifupi *Kiburi* ni hali ya kujisikia au kujiona...
2020-10-05
15 min
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
UKIZIMIA SIKU YA TAABU NGUVU ZAKO NI KIDOGO
UKIZIMIA SIKU YA TAABU NGUVU ZAKO NI KIDOGO _By Luphurise Mawere_ _Mithali 24: 10 Ukizimia siku ya taabu, Nguvu zako ni chache._ Tunaishi katika dunia ambayo imejaa taabu nyingi. Vyombo vya habari kila mara vinatoa taarifa za taabu katika mataifa mbalimbali, utaona Taifa hili likipita katika taabu moja hadi nyingine. Lakini watu pia wanapitia taabu mbalimbali. Yamkini unapitia ujumbe huu uko kwenye taabu nzito; labda umeondokewa na mpendwa wako, umetelekezwa na mwenzi wako, umesalitiwa na mwenzi au mchumba wako uliyempenda na kumwamini sana, au mtoto wako amefanyiwa vitendo viovu vya udhalilishaji kijinsia, au umebakwa, au nyumba yako imeungua yote, au umefilisika, umefukuzwa...
2020-09-28
16 min
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Usikatishwe tamaa na makosa uliyoyafanya jifunze, jirekebishe, inuka na uanze upya na Mungu
_Luka 15: 11-24_ _Mithali 24: 16 Kwa maana mwenye haki huanguka mara saba akaondoka tena; Bali wasio haki hukwazwa na mabaya._ Katika maisha kuna nyakati tutafanya makosa kwasababu sisi sio wakamilifu, sisi ni wanadamu Leo nataka kuongea na mtu mmoja ambaye unajiona una makosa mengi Unayejiona una dhambi nyingi Labda wewe ni binti una ujauzito kabla ya ndoa Au Umeokoka lakini umerudi nyuma, umefanya vitu ambavyo havimpi Mungu utukufu Labda umetenda tendo la ndoa kabla ya ndoa Umezaa nje ya ndoa Umetekwa na pornography na kujichua Umeachika kwenye ndoa Uko kanisani, unaimba praise au ni kiongozi lakini una mahusiano na mume au mke...
2020-09-14
15 min
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
UNAPOPITA KWENYE MAPITO JIFUNZE KUWA NA MTAZAMO CHANYA
_*Yohana 16: 33* Hayo nimewaambieni mpate kuwa na amani ndani yangu. Ulimwenguni mnayo dhiki; lakini jipeni moyo; mimi nimeushinda ulimwengu._ _*Ayubu 1: 22* Katika mambo hayo yote Ayubu hakufanya dhambi, wala hakumwazia Mungu kwa upumbavu._ (Soma Ayubu yote mlango 1 na wa 2) Bwana Yesu hatukuahidi kwamba tutaishi tu kwa furaha siku zote Hatukuahidiwa kwamba kila siku itakuwa birthday, wedding anniversary au party Nakumbuka nikiwa chuoni kuna wadada walikatiwa jina _"Everyday is holiday"_maana wao walikuwa kuanzia Jumatatu hadi Jumapili walikuwa busy kwenye starehe wakasahau kabisa kwamba walikuwa pale kwa lengo la kusoma Yesu hakutuambia kwamba everyday is holiday, katika maneno yake anasema ulimwenguni mnayo dhiki...
2020-09-07
15 min
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Kitu cha Kukuvusha hapo ulipo kiko nyumbani mwako -STRETCH
*KITU CHA KUKUVUSHA ULIPOKWAMA KIKO NYUMBANI MWAKO* _STRETCH !_ By Luphurise Mawere *2 Wafalme 4: 1-7* _1 Basi, mwanamke mmoja miongoni mwa wake za wana wa manabii alimlilia Elisha, akasema, Mtumishi wako mume wangu amekufa; nawe unajua ya kuwa mtumishi wako alikuwa mcha BWANA; na aliyemwia amekuja ili ajitwalie wana wangu wawili kuwa watumwa._ _2 Elisha akamwambia, Nikufanyie nini? Niambie; una kitu gani nyumbani? Akasema, Mimi mjakazi wako sina kitu nyumbani, ila chupa ya mafuta._ _3 Akasema, Nenda, ukatake vyombo huko nje kwa jirani zako wote, vyombo vitupu; wala usitake vichache._ _4 Kisha uingie ndani, ukajifungie mlango wewe na wanao, ukavimiminie mafuta vyombo vile vyote; navyo vilivyojaa...
2020-08-31
18 min
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
15. Usidhulumu Mali ya Mtu
VITU VYA KUFANYA ILI UWEZE KUFANIKIWA KIUCHUMI _By Luphurise Mawere_ *15. Usidhulumu Mali ya Mtu* *Kumbukumbu la Torati 24: 14-15* _14 Usimwonee mtumishi mwenye ujira aliye maskini na uhitaji, kama ni wa nduguzo, au kama ni wageni wako mmojawapo walio katika nchi yako, ndani ya malango yako;_ _15 mpe ujira wake kwa siku yake, wala jua lisichwe juu yake; kwa maana ni maskini, moyo wake umeutumainia huo; asije akamlilia BWANA juu yako, ikawa ni dhambi kwako._ *Yakobo 5:4* _Angalieni, ujira wa wakulima waliovuna mashamba yenu, ninyi mliouzuia kwa hila, unapiga kelele, na vilio vyao waliovuna vimeingia masikioni mwa Bwana wa majeshi._ Watu wengi wanapenda kupata...
2020-08-24
17 min
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
14. Fanya Kazi kwa Bidii na kwa Werevu pia
VITU VYA KUFANYA ILI UWEZE KUFANIKIWA KIUCHUMI _By Luphurise Mawere_ *14. Fanya Kazi kwa Bidii na kwa Werevu* _2 Timotheo 2: 6-7_ _6 Yampasa mkulima mwenye taabu ya kazi kuwa wa kwanza wa kupata fungu la matunda._ _7 Yafahamu sana hayo nisemayo, kwa maana Bwana atakupa akili katika mambo yote._ Mithali 22: 29 _Mithali 16: 3 Mkabidhi BWANA kazi zako, Na mawazo yako yatathibitika._ Unaposoma hiyo mistari hapo juu utaona tunatakiwa kufanya kwa bidii ndio lakini kwa *werevu* pia. Kwa Kiingereza wanasema _Work Hard and Smart_ Wengi wameishia kufanya kazi kwa bidii tu huku wakijichosha, wakisota yaani *kutoil*, hawapumziki, hawalali kiasi kwamba hata muda wa kufurahia matunda ya walichokisotea...
2020-08-17
18 min
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Ishi kwa Mipango
VITU VYA KUFANYA ILI UWEZE KUFANIKIWA KIUCHUMI _By Luphurise Mawere_ *13. Ishi kwa Mipango* _Mithali 21: 5 Mawazo ya wenye bidii huuelekea utajiri tu; Bali kila mwenye pupa huuelekea uhitaji._ Kiingereza inasema _The plans of the diligent lead only to plenty, but everyone who is hasty comes only to poverty._ Pia soma _Luka 14: 28 - 30_ Je mipango yako ya mwaka huu 2020 ni ipi? Vitu unavyovufanya viko kwenye mipango yako? Au umekurupuka tu kuvifanya? Neno hapo juu linasema usipojipanga utauelekea umaskini Mipango ni muhimu sana maana inakuonyesha wapi unaelekea Kama hujui wapi unaelekea ina maana utaishia popote Wengi wamepata hasara, wamepoteza kila kitu na kufilisika...
2020-08-10
12 min
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Epuka Kutamani Utajiri wa Haraka
VITU VYA KUFANYA ILI UWEZE KUFANIKIWA KIUCHUMI _By Luphurise Mawere_ *12. Epuka Kutamani Utajiri wa Haraka* _Mithali 13: 11 Mali iliyopatikana kwa haraka itapunguka; Bali yeye achumaye kidogo kidogo atazidishiwa._ Kwa Kiingereza inasema _Proverbs 13: 11 Wealth quickly got will become less; but he who gets a store by the work of his hands will have it increased._ Tunaishi katika ulimwengu ambao vitu vingi vinafanyika kwa haraka ni maendeleo na kweli vimeturahisishia kazi Sasa badala ya kupasha chakula dakika 15 unapasha dakika 1 Badala ya kupika masaa 2 unapika dakika 15 tu Kuna mashine za kufua, kupasi, kufanya usafi na kadhalika Vitu vinakwenda fasta fasta Sasa hii imeleta watu...
2020-08-03
10 min
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Tambua Nyakati na Majira
VITU VYA KUFANYA ILI UWEZE KUFANIKIWA KIUCHUMI _By Luphurise Mawere_ *11. Tambua Nyakati na Majira* _Mwanzo 41: 28 -32_ _28 Ndivyo nilivyomwambia Farao, ya kwamba Mungu amemwonyesha Farao atakayoyafanya hivi karibu._ _29 Tazama, miaka saba ya shibe inakuja, katika nchi yote ya Misri._ _30 Kisha kutakuja miaka saba ya njaa baada yake; na shibe ile yote itasahauliwa katika nchi ya Misri, na njaa itaiharibu nchi._ _31 Wala shibe ile haitajulikana katika nchi kwa sababu ya njaa inayokuja baadaye, maana itakuwa nzito sana._ Pia soma _Mhubiri 3: 1-8_ Maisha yana Majira na Nyakati Kuna wakati wa Kuzaliwa na wakati wa Kufa Kuna wakati wa Kucheka na wakati wa Kulia ...
2020-07-27
21 min
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Tangaza Vita ya Madeni na Luphurise Mawere
VITU VYA KUFANYA ILI UWEZE KUFANIKIWA KIUCHUMI _By Luphurise Mawere_ *10. Tangaza Vita Vya Madeni* _Nehemia 5: 1-5_ 1 Ndipo kukatokea kilio kikuu cha watu, na wake zao, juu ya ndugu zao Wayahudi. 2 Maana, walikuwako watu waliosema, Sisi, na wana wetu na binti zetu, tu wengi; na tupate ngano, tule, tukaishi. 3 Tena walikuwako wengine waliosema, Tumeweka rehani mashamba yetu, na mizabibu yetu, na nyumba zetu; tupate ngano, kwa sababu ya njaa. 4 Tena walikuwako wengine waliosema, Tumekopa fedha ili kulipa kodi ya mfalme kwa kuweka rehani mashamba yetu, na mizabibu yetu. 5 Walakini miili yetu ni kama miili ya ndugu zetu, na watoto wetu kama...
2020-07-20
20 min
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Usitapanye Mali na Pesa Mungu alizokupa
VITU VYA KUFANYA ILI UWEZE KUFANIKIWA KIUCHUMI _By Luphurise Mawere_ *9. Usitapanye Mali na Pesa Mungu alizokupa* _Luka 16: 1-12_ Mungu anatutaka tuwe mawakili wema wa mali na pesa alizotupa, *Wakili* ni mtu anayesimamia mali za mtu mwingine, Sisi ni mawakili wa vitu Mungu alivyoweka kwenye maisha yetu, _Mwanzo 2: 15 BWANA Mungu akamtwaa huyo mtu, akamweka katika bustani ya Edeni, ailime na kuitunza._ Mungu alimweka Adamu pale bustani ya Edeni kuitunza, haikuwa mali yake hivyohivyo kazi, biashara, nafasi na pesa tulizonazo sio zetu Mungu ametupa ili tu tuzisimamie sisi ni Mameneja yaani Mawakili tu, *Sifa za Wakili Mwema* ▪Anatambua Mungu ndie mwenye pesa, ma...
2020-07-13
16 min
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
8 Kutiisha na Kutawala Nchi Luphurise Mawere
17 Chuma hunoa chuma; Ndivyo mtu aunoavyo uso wa rafiki yake. 19 Kama uso ufananavyo na uso katika maji; Kadhalika moyo wa mtu na mwenzake.
2020-07-06
13 min
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
7 Ukaijaze Nchi
VITU VYA KUFANYA ILI UWEZE KUFANIKIWA KIUCHUMI _By Luphurise Mawere_ *7. Kuijaza Nchi* _Mwanzo 1: 28_ _Ezekiel 27: 25 Merikebu za Tarshishi zilikuwa misafara yako, kwa bidhaa yako; nawe ulijazwa sana, ukawa mtukufu sana, katika moyo wa bahari._ _Isaya 23: 2_ Mungu mojawapo ya kazi waliyopewa Adam na Eva ni kuijaza nchi. Mungu anataka mimi na wewe tuijaze nchi baada ya kuzalisha na kuongezeka Hiyo bidhaa ambayo umeizalisha inapatikana wapi? Umeijaza wapi? Au bidhaa zako zinapatikana kwa ndugu zako tu na watu wa mtaani kwako tu? Kama unataka kufanikiwa kiuchumi itakupasa uijaze Dar es Salaam, Tanzania, Afrika na ulimwengu wote na vipaji, karama, ujuzi na bidhaa zako ...
2020-06-29
14 min
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
1 Mungu awe wa Kwanza katika maisha yako
Mwendelezo wa Vitu vya kukusaidia uweze kufanikiwa kiuchumi na Luphurise Mawere
2020-06-22
08 min
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
2 Nia yako ya kufanikiwa kiuchumi iwe njema
Mwendelezo wa Vitu vya kukusaidia uweze kufanikiwa kiuchumi na Luphurise Mawere
2020-06-22
16 min
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
3 Kuwa na Mtazamo sahihi kuhusu Mafanikio ya kiuchumi
Mwendelezo wa Vitu vya kukusaidia uweze kufanikiwa kiuchumi na Luphurise Mawere
2020-06-22
11 min
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
4 Usipende Pesa
Mwendelezo wa Vitu vya kukusaidia uweze kufanikiwa kiuchumi na Luphurise Mawere
2020-06-22
17 min
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
5 Zalisha Kitu
Mwendelezo wa Vitu vya kukusaidia uweze kufanikiwa kiuchumi na Luphurise Mawere
2020-06-22
15 min
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
6 Ongezeka
Mwendelezo wa Vitu vya kufanya ili uweze kufanikiwa kiuchumi
2020-06-22
16 min
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
VITU VYA KUFANYA ILI UWEZE KUFANIKIWA KIUCHUMI by Luphurise Mawere
Kama unataka mafanikio ya kiuchumi ambayo yanaongozwa na Mungu usiache kusikiliza mtiririko kwa somo hili la Vitu vya kufanya ili uweze kufanikiwa kiuchumi. Weka kila unachojifunza kwenye matendo, maisha yako ya kiuchumi yatabadilishwa kabisa!
2020-06-15
1h 09
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Vitu vya kufanya uweze kuzishinda nyakati ngumu by Luphurise Mawere
Nyakati ngumu zitakuja, zikija ufanyeje, sikiliza hii podcast
2020-06-15
29 min
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Kuna faida kwenye kila dhoruba unayopitia by Luphurise Mawere
Wengi wakipata dhoruba hukata tamaa kwasababu wanaangalia upande mmoja wa dhoruba. Sikiliza ujue faida zilizopo kwenye kila dhoruba au changamoto unayopitia
2020-06-15
15 min