podcast
details
.com
Print
Share
Look for any podcast host, guest or anyone
Search
Showing episodes and shows of
MWALIMU WA NENO UFOO KASSA GEORGE
Shows
A life well lived Spiritually, Health, Realatinships and being Rich is a Treasured Possession.
SOMOLANNE;- MWANAMKE ANA JUKUMU LA KUURUDISHA UTAWALA WA MUNGU DUNIANI.
SOMOLANNE:- MWANAMKE ANA JUKUMU LA KUURUDISHA UTAWALA WA MUNGU DUNIANI. MWANZO 3: 14 Bwana Mungu akamwambia nyoka, Kwa sababu umeyafanya hayo, umelaaniwa wewe kuliko wanyama wote, na kuliko hayawani wote walioko mwituni; kwa tumbo utakwenda, na mavumbi utakula siku zote za maisha yako; 15 nami nitaweka uadui kati yako na huyo mwanamke, na kati ya uzao wako na uzao wake; huo utakuponda kichwa, na wewe utamponda kisigino. Msitari wa 15; Mungu ameweka uadui kati ya mwanamke na shetani. Lakini kwa sababu ya roho ya uasi inaitawala dunia bado mwanamke anapenda kulekule kwa shetani kutafuta msaada kwa ajili ya mume wake na watoto na...
2021-03-20
21 min
A life well lived Spiritually, Health, Realatinships and being Rich is a Treasured Possession.
SOMOLATATU;- CONTACT ME WATSAPP: 0758600428. MIMI KAMA MWANAMKE NI NANI KATIKA UUMBAJI WA MUNGU?
CONTACT ME WATSAPP: 0758600428. MWALIMU WAKO UFOO KASSA GEORGE. MWANZO 2:16 Bwana Mungu akamwagiza huyo mtu, akisema, Matunda ya kila mti wa bustani waweza kula, 17 walakini matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya usile, kwa maana siku utakapokula matunda ya mti huo utakufa hakika. 18 Bwana Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye. 19 Bwana Mungu akafanyiza kutoka katika ardhi kila mnyama wa msituni, na kila ndege wa angani, akamletea Adamu ili aone atawaitaje; kila kiumbe hai, jina alilokiita Adamu likawa ndilo jina lake. 20 Adamu akawapa majina yao kila mnyama wa kufugwa, na ndege wa...
2021-03-20
34 min
A life well lived Spiritually, Health, Realatinships and being Rich is a Treasured Possession.
SOMOLAPILI;- CONTACT ME WATSAPP: 0758600428. MUME MMOJA MKE MMOJA.
CONTACT ME WATSAPP: 0758600428. MWALIMU WAKO UFOO KASSA GEORGE. MWANZO 3: 10 Akasema, Nalisikia sauti yako bustanini, nikaogopa kwa kuwa mimi ni uchi; nikajificha. 11 Akasema, Ni nani aliyekuambia ya kuwa u uchi? Je! Umekula wewe matunda ya mti niliyokuagiza usiyale? TUNA MANENO MENGI AMBAYO TUMEAMBIWA AMA KUSIKIA KUHUSU MUME NA NDOA. MFANO: MUME AKIWA NYUMBANI KWAKO NI WAKO AKITOKA NI WA WOTE!! MUME NI LAZIMA AWE NA MAHUSIANO NA WANAWAKE ZAIDI YA MMOJA!! NA WENGI WENGI WETU TUNAAMINI HIVYO, NA TUMECHUKULIA NDIYO MAISHA MUNGU KATUPANGIA. MWANZO 1: 27 Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba. MWANZO 5: 2 mwanamume...
2021-03-19
29 min
A life well lived Spiritually, Health, Realatinships and being Rich is a Treasured Possession.
SOMOLAKUMINASABA;- CONTACT ME WATSAPP: 0758600428. MUME WAKO KIROHO NI KAKA YAKO NA MKE NI DADA YAKE
CONTACT ME WATSAPP: 0758600428. MWALIMU WAKO UFOO KASSA GEORGE. MWANZO 20: 11 Ibrahimu akasema, Kwa sababu naliona, Yakini hapana hofu ya Mungu mahali hapa, nao wataniua kwa ajili ya mke wangu. 12 Naye kweli ni ndugu yangu, binti wa baba yangu ila siye mwana wa mama yangu, ndipo akawa mke wangu. 13 Ikawa hapo Mungu aliponisafirisha kutoka nyumba ya baba yangu, nikamwambia, Hii ndiyo fadhili yako, utakayonifanyia. Kila mahali tuingiapo, useme, Huyu ni ndugu yangu. MWANZO 4: 9 Bwana akamwambia Kaini, Yuko wapi Habili ndugu yako? Akasema, Sijui, mimi ni mlinzi wa ndugu yangu? 10 Akasema, Umefanya nini? Sauti ya damu ya ndugu yako inanililia kutoka katika ardhi...
2021-03-19
26 min
A life well lived Spiritually, Health, Realatinships and being Rich is a Treasured Possession.
SOMOLAKUMINASITA: CONTACT ME WATSAPP: 0758600428. NAFASI ALIYOKALIA SHETANI AKIONDOKA LAZIMA UIJAZE.
CONTACT ME WATSAPP: 0758600428. MWALIMU WAKO UFOO KASSA GEORGE. KESI YA MAFUNZO LOVENESS STORY. MITHALI 24: 3 Nyumba hujengwa kwa hekima, Na kwa ufahamu huthibitika, 4 Na kwa maarifa vyumba vyake hujazwa Vitu vyote vya thamani na vya kupendeza. 5 Mtu mwenye hekima ana nguvu; Naam, mtu wa maarifa huongeza uwezo; 6 Maana kwa mashauri ya akili utafanya vita; Na kwa wingi wa washauri huja wokovu. MATHAYO 12: 43 Pepo mchafu, amtokapo mtu, hupitia mahali pasipo maji, akitafuta mahali pa kupumzika, asipate. 44 Halafu husema, Nitarudi nyumbani kwangu nilikotoka; hata akija, aiona tupu, imefagiwa, na kupambwa. 45 Mara huenda, akachukua pamoja naye pepo wengine saba walio waovu kuliko yeye mwenyewe...
2021-03-18
17 min
A life well lived Spiritually, Health, Realatinships and being Rich is a Treasured Possession.
SOMOLAKWANZA:- CONTACTS WATSAPP: 0758600428. UTAKASOUTAKASO. NJAA NA KIU YA KUONA MATENDO YA MUNGU.
CONTACT ME WATSAPP: 0758600428. MWALIMU WAKO UFOO KASSA GEORGE. UNA AMANI NA FURAHA YA MUNGU ISIYOTEGEMEA KITU KIZURI AMA KIBAYA KINACHOENDELEA KWENYE MAISHA YAKO? ILI KUTOKOMEZA NA KUKOMESHA KABISA MICHEPUKO KWENYE NDOA HUDUMA YA MATENGENEZO INAANZA NA MIMI NA WEWE AMBAO NI WANAWAKE. LUKA 6: 41 Basi, mbona wakitazama kibanzi kilicho ndani ya jicho la ndugu yako, na boriti iliyo ndani ya jicho lako mwenyewe huiangalii? 42 Au, utawezaje kumwambia ndugu yako, Ndugu yangu, niache nikitoe kibanzi kilicho ndani ya jicho lako, nawe huiangalii boriti iliyo ndani ya jicho lako mwenyewe? Mnafiki wewe, itoe kwanza ile boriti katika jicho lako mwenyewe, ndipo utakapoona vema...
2021-03-15
23 min
A life well lived Spiritually, Health, Realatinships and being Rich is a Treasured Possession.
WHAT IS IMMUNE SYSTEM
IN OUR LIFETIME WE NEED SO VERY MUCH A BODY'S DEFENCE MECHANISM WHICH IS OUR IMMUNE SYSTEM. LETS GET GOING👍🏾🤝🏾🙏🏾
2021-03-06
02 min
A life well lived Spiritually, Health, Realatinships and being Rich is a Treasured Possession.
SOMOLAKUMINANNE;- BADILIKO LA KWELI HUANZIA NDANI ROHONI
BADILIKA NDANI ILI UPATE BADILIKO SAHIHI, THABITI NA LA KUDUMU. Mathayo 15: 11 Sikilizeni, mfahamu; Sicho kiingiacho kinywani kimtiacho mtu unajisi; bali kitokacho kinywani ndicho kimtiacho mtu unajisi. Mathayo 12: 2 Wala msiifuatishe namna ya dunia hii; bali mgeuzwe kwa kufanywa upya nia zenu, mpate kujua hakika mapenzi ya Mungu yaliyo mema, ya kumpendeza, na ukamilifu.
2021-03-05
11 min
A life well lived Spiritually, Health, Realatinships and being Rich is a Treasured Possession.
SOMOLAKUMINATANO;- MIUJIZA/MATENDO VS KUMJUA/MAARIFA/NJIA ZA MUNGU. NA MWALIMU UFOO KASSA GEORGE
Zaburi 103:7 Alimjulisha Musa njia zake, Wana wa Israeli matendo yake. Hosea 4: 6 Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami nitakukataa wewe, usiwe kuhani kwangu mimi; kwa kuwa umeisahau sheria ya Mungu wako, mimi nami nitawasahau watoto wako. Yohana 17: 3 Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.
2021-02-26
09 min