podcast
details
.com
Print
Share
Look for any podcast host, guest or anyone
Search
Showing episodes and shows of
Michael Baruti
Shows
Men The Podcast
100 Episodes later, Bado Tunapambana
Walipoanza Men Men Men The Podcast mwishoni mwa mwaka 2019, Michael na Nadia walikuwa wawili tu – na maikrofoni. Hakukuwa na studio ya kitaalamu, wala mpango mkubwa. Kulikuwa tu na wazo moja: kuanzisha mazungumzo ya kweli kuhusu afya ya akili ya wanaume.Hawakujua kama kuna mtu atawasikiliza. Hawakujua kama kuna yeyote atajali kuhusu maongezi haya. Lakini leo hii, baada ya miaka mitano na episodes 100, imekuwa wazi kuwa podcast hii imekuwa zaidi ya wao wawili. Imebeba sauti za uchungu, ushindi, maswali magumu, na ukweli ambao mara nyingi husalia kimya.Katika episode hii ya...
2025-04-23
59 min
Men The Podcast
100 Episodes Later, Bado Tunapambana
Walipoanza Men Men Men The Podcast mwishoni mwa mwaka 2019, Michael na Nadia walikuwa wawili tu – na maikrofoni. Hakukuwa na studio ya kitaalamu, wala mpango mkubwa. Kulikuwa tu na wazo moja: kuanzisha mazungumzo ya kweli kuhusu afya ya akili ya wanaume.Hawakujua kama kuna mtu atawasikiliza. Hawakujua kama kuna yeyote atajali kuhusu maongezi haya. Lakini leo hii, baada ya miaka mitano na episodes 100, imekuwa wazi kuwa podcast hii imekuwa zaidi ya wao wawili. Imebeba sauti za uchungu, ushindi, maswali magumu, na ukweli ambao mara nyingi husalia kimya.Katika episode hii ya kipekee, Michael na Nadia wanarudi wa...
2025-04-22
59 min
Men The Podcast
Ijue Sifuri Yako (Part 2)
Baada ya kuzungumza naye katika sehemu ya kwanza, Bwana Ng’winula Kingamkono au maarufu zaidi kama #Unu wa Tunzaa anarejea tena katika Podcast yetu kwa sehemu ya pili na ya mwisho kwa sasa. Safari hii Unu anaendelea kutupa ujuzi na uzoefu wake katika kuanzisha, kusimamia na kuendesha biashara ya “StartUp” yake Tunzaa. Kumbuka, Unu hakuanzia hapa. Anaongea na Michael Baruti na Nadia Ahmed kuhusu maana ya mafanikio, maumivu aliyopitia, kitu anachojivunia na namna pia kwa upande mwingine kuwa baba kumekuja kuwa jambo bora na funzo bora sana kwake kama mwanau...
2024-07-24
1h 14
Men The Podcast
Ijue Sifuri Yako (Part 2)
Baada ya kuzungumza naye katika sehemu ya kwanza, Bwana Ng’winula Kingamkono au maarufu zaidi kama #Unu wa Tunzaa anarejea tena katika Podcast yetu kwa sehemu ya pili na ya mwisho kwa sasa.Safari hii Unu anaendelea kutupa ujuzi na uzoefu wake katika kuanzisha, kusimamia na kuendesha biashara ya “StartUp” yake Tunzaa.Kumbuka, Unu hakuanzia hapa. Anaongea na Michael Baruti na Nadia Ahmed kuhusu maana ya mafanikio, maumivu aliyopitia, kitu anachojivunia na namna pia kwa upande mwingine kuwa baba kumekuja kuwa jambo bora na funzo bora sana kwake kama mwanaume, kaka...
2024-07-24
1h 14
Men The Podcast
Ijue Sifuri Yako
Welcome to episode 92 of Men Men Men the Podcast, titled "Know Your Zero (Ijue sifuri yako)." In this enlightening episode, we are honoured to have Ng'winula Kingamkono, the Founder and CEO of TUNZAA, as our special guest. Hosted by Michael Baruti and co-hosted by Nadia Ahmed, this episode delves into the inspiring journey of Ng'winula and the innovative work he is doing with TUNZAA.Ng'winula Kingamkono shares his experiences and insights on entrepreneurship, the challenges he faced, and the pivotal moments that shaped his path to success. Join us as we explore the co...
2024-07-10
1h 36
Men The Podcast
Ijue Sifuri Yako
Welcome to episode 92 of Men Men Men the Podcast, titled "Know Your Zero (Ijue sifuri yako)." In this enlightening episode, we are honoured to have Ng'winula Kingamkono, the Founder and CEO of TUNZAA, as our special guest. Hosted by Michael Baruti and co-hosted by Nadia Ahmed, this episode delves into the inspiring journey of Ng'winula and the innovative work he is doing with TUNZAA. Ng'winula Kingamkono shares his experiences and insights on entrepreneurship, the challenges he faced, and the pivotal moments that shaped his path to success. Join us as...
2024-07-09
1h 36
Men The Podcast
Living with the choices we make
Happy New Year, fabulous listeners! Guess who's back to kick off 2024 with a bang? That's right, it's your favorite podcast, and we've got an episode that's more thrilling than a rollercoaster ride with a twist. Meet Zlatan Milisic, the UN Resident Coordinator for Tanzania. He's not just your average globe-trotter; this guy has seen it all – living in war zones, dodging bullets like a pro, and surviving to share his jaw-dropping tales. But hold on, this isn't your typical action movie; it's a podcast about life choices, mental health, and the art of thriving am...
2024-02-01
58 min
Men The Podcast
Living with the choices we make
Happy New Year, fabulous listeners! Guess who's back to kick off 2024 with a bang? That's right, it's your favorite podcast, and we've got an episode that's more thrilling than a rollercoaster ride with a twist.Meet Zlatan Milisic, the UN Resident Coordinator for Tanzania. He's not just your average globe-trotter; this guy has seen it all – living in war zones, dodging bullets like a pro, and surviving to share his jaw-dropping tales. But hold on, this isn't your typical action movie; it's a podcast about life choices, mental health, and the art of...
2024-02-01
58 min
Men The Podcast
Men and Healing
Katika “episode” yetu ya leo, wanaume wawili wameketi na kuulizana, kweli kuna mwanaume aliyepona? “A healed man”? Tunaposema “A healed man” au mwanaume aliyepona, hapa tuna maanisha mwanaume ambaye amechukua muda wake kujitambua na kujua mapungufu yake, historia yake, sababu ya kwanini yupo jinsi alivyo, amejifunza kutokana na makosa yake, na pia yupo katika mapambano ya kumfanya awe mwanaume bora zaidi siku za usoni. Kwa mujibu wa mgeni wetu wa leo, ndugu Leslie Omwenga, anasema hakuna kitu kama hicho. Hakuna kitu kama “A healed man”, na sababu kuu ya yeye kusema hivyo ni kwamba anaamini kila mwanaume ana...
2023-12-07
1h 42
Men The Podcast
Men and Healing
Katika “episode” yetu ya leo, wanaume wawili wameketi na kuulizana, kweli kuna mwanaume aliyepona? “A healed man”? Tunaposema “A healed man” au mwanaume aliyepona, hapa tuna maanisha mwanaume ambaye amechukua muda wake kujitambua na kujua mapungufu yake, historia yake, sababu ya kwanini yupo jinsi alivyo, amejifunza kutokana na makosa yake, na pia yupo katika mapambano ya kumfanya awe mwanaume bora zaidi siku za usoni. Kwa mujibu wa mgeni wetu wa leo, ndugu Leslie Omwenga, anasema hakuna kitu kama hicho. Hakuna kitu kama “A healed man”, na sababu kuu ya yeye kusema...
2023-12-07
1h 42
Men The Podcast
Baba na mtoto wa kiume
Kaa tayari kusikiliza mazungumzo mazuri, yenye kufurahisha, kufundisha na kujenga kwenye episode yetu ya 78. Michael Baruti, na mgeni wetu maalum wa siku ya leo, mtangazaji mashuhuri bwana Harris Kapiga wanazungumza kuhusu dunia ya “u-baba”, na ina maana gani kwa mtoto wa kiume. Na ndiyo sababu ya mazungumzo ya leo kuitwa “Baba na mtoto wa kiume”. Ni kazi gani ambayo baba inabidi afanye ili aweze kulea mtoto wake wa kiume katika dunia ya sasa?. Katika maongezi haya Michael na Harris Kapiga ambaye ni...
2023-10-05
1h 11
Men The Podcast
Baba na mtoto wa kiume
Kaa tayari kusikiliza mazungumzo mazuri, yenye kufurahisha, kufundisha na kujenga kwenye episode yetu ya 78.Michael Baruti, na mgeni wetu maalum wa siku ya leo, mtangazaji mashuhuri bwana Harris Kapiga wanazungumza kuhusu dunia ya “u-baba”, na ina maana gani kwa mtoto wa kiume. Na ndiyo sababu ya mazungumzo ya leo kuitwa “Baba na mtoto wa kiume”. Ni kazi gani ambayo baba inabidi afanye ili aweze kulea mtoto wake wa kiume katika dunia ya sasa?.Katika maongezi haya Michael na Harris Kapiga ambaye ni b...
2023-10-05
1h 11
Men The Podcast
Unveiling the unspoken: Exploring the roots of men's mental health struggles
Life can be a battleground, and within each of us, silent battles rage on. But amidst these struggles, there are profound challenges deeply embedded within us, waiting to be understood and addressed. In this poignant episode of "Men. Men. Men - The Podcast," we embark on a journey to the core of men's mental health struggles, illuminating the path towards healing and personal growth. Join us as we welcome Yashuke Masura, a remarkable individual who bravely shares his transformative story alongside Michael and Nadia. Together, they delve into the importance of unraveling the origins...
2023-05-26
1h 57
Men The Podcast
Unveiling the unspoken: Exploring the roots of men's mental health struggles
Life can be a battleground, and within each of us, silent battles rage on. But amidst these struggles, there are profound challenges deeply embedded within us, waiting to be understood and addressed. In this poignant episode of "Men. Men. Men - The Podcast," we embark on a journey to the core of men's mental health struggles, illuminating the path towards healing and personal growth.Join us as we welcome Yashuke Masura, a remarkable individual who bravely shares his transformative story alongside Michael and Nadia. Together, they delve into the importance of unraveling the origins...
2023-05-26
1h 58
Men The Podcast
Re-examining masculinity
Welcome to "Men. Men. Men –The Podcast" with your hosts Michael and Nadia. In this episode, we will be exploring the complex and ever-evolving concept of masculinity.Society often has a narrow definition of what it means to be a man, which can lead to harmful and limiting stereotypes. In this podcast, we will be breaking down those stereotypes and discussing what it truly means to be a man in today's world.Through insightful conversations with our guest, Kennedy Mmari, we examine how masculinity intersects with mental health. We al...
2023-05-12
1h 37
Men The Podcast
Re-examining masculinity
Welcome to "Men. Men. Men –The Podcast" with your hosts Michael and Nadia. In this episode, we will be exploring the complex and ever-evolving concept of masculinity. Society often has a narrow definition of what it means to be a man, which can lead to harmful and limiting stereotypes. In this podcast, we will be breaking down those stereotypes and discussing what it truly means to be a man in today's world. Through insightful conversations with our guest, Kennedy Mmari, we examine how masculinity intersects with mental health. We al...
2023-05-12
1h 37
Men The Podcast
The Silent struggles of fatherhood
Fatherhood, for many, might seem like it begins in the waiting room, when he’s pacing up and down, waiting for the doctor to come out of the delivery room, and give him the good news. Sadly, what many don’t realize, is fatherhood, for many men, is also a journey through pregnancy, to delivery, and thereafter.Often, society fails to notice that a man expecting a child, goes through motions that also affect his mental wellbeing. Fathers to be lack safe spaces that can allow them to express and address their anxiety of beco...
2023-04-14
1h 29
Men The Podcast
The silent struggles of fatherhood
Fatherhood, for many, might seem like it begins in the waiting room, when he’s pacing up and down, waiting for the doctor to come out of the delivery room, and give him the good news. Sadly, what many don’t realize, is fatherhood, for many men, is also a journey through pregnancy, to delivery, and thereafter. Often, society fails to notice that a man expecting a child, goes through motions that also affect his mental wellbeing. Fathers to be lack safe spaces that can allow them to express and address their anxiety of beco...
2023-04-14
1h 29
Men The Podcast
Social constructs & men's mental health
Social constructs and men’s mental health. Where do we even begin with this one? One of the major barriers when it comes to men’s mental health in most cases is how society has programmed them to think about some of the things that affect their well-being. While in m most cases we speak about how society does not allow safe spaces for men to express their feelings and their emotions about certain things, this same society has also caused men to normalize some of the things that are...
2023-03-09
1h 32
Men The Podcast
Social constructs & Men's mental health
Social constructs and men’s mental health. Where do we even begin with this one?One of the major barriers when it comes to men’s mental health in most cases is how society has programmed them to think about some of the things that affect their well-being.While in m most cases we speak about how society does not allow safe spaces for men to express their feelings and their emotions about certain things, this same society has also caused men to normalize some of the things that are detrimental to their mental and phys...
2023-03-09
1h 32
Men The Podcast
Career choices & fulfillment
How much of what you do for a living is really you? What influenced your career choice? Do you feel fulfilled with the choice that you made? These are the questions that Michael and Nadia are trying to dissect on this episode. Dr Alpha Kapola (MD) is an amazing videographer, yes, you read that right, he is a Doctor but also an amazing videographer. Alpha feels like he has found his calling in mixing up his profession with his passion But it has not always been easy for him. It meant defying his parents...
2023-02-23
1h 22
Men The Podcast
Career choices & fulfillment
How much of what you do for a living is really you? What influenced your career choice? Do you feel fulfilled with the choice that you made? These are the questions that Michael and Nadia are trying to dissect on this episode.Dr Alpha Kapola (MD) is an amazing videographer, yes, you read that right, he is a Doctor but also an amazing videographer. Alpha feels like he has found his calling in mixing up his profession with his passion But it has not always been easy for him. It meant defying his parents' expectations of him...
2023-02-23
1h 22
Men The Podcast
Ukweli wa ndoa yangu
Linapokuja swala la ndoa na mafanikio ya ndoa watu wengi huwa na mitazamo tofauti. Wapo wanaosema ndoa ni ngumu na si rahisi kufanikiwa kwenye ndoa, na wapo wanaosema ndoa ni ngazi ya mafanikio pale wanandoa wanapokubaliana kwenye hilo. Leo hii, sisi tunajiuliza, ni nini nafasi ya mwanaume kwenye kuifanya ndoa ifanikiwe? Ni kweli kwamba ndoa inapaswa kuwa ngumu? Kwa wanaume ambao wamefanikiwa kuishi kwenye ndoa vizuri na kwa muda mrefu, ipi imekuwa chachu ya mafanikio hayo? Julius Mlacha ana umri wa miaka 50, na ndoa yake inakaribia miaka 25. Ameungana na...
2022-10-14
1h 29
Men The Podcast
Ukweli wa ndoa yangu
Linapokuja swala la ndoa na mafanikio ya ndoa watu wengi huwa na mitazamo tofauti. Wapo wanaosema ndoa ni ngumu na si rahisi kufanikiwa kwenye ndoa, na wapo wanaosema ndoa ni ngazi ya mafanikio pale wanandoa wanapokubaliana kwenye hilo.Leo hii, sisi tunajiuliza, ni nini nafasi ya mwanaume kwenye kuifanya ndoa ifanikiwe? Ni kweli kwamba ndoa inapaswa kuwa ngumu? Kwa wanaume ambao wamefanikiwa kuishi kwenye ndoa vizuri na kwa muda mrefu, ipi imekuwa chachu ya mafanikio hayo?Julius Mlacha ana umri wa miaka 50, na ndoa yake inakaribia miaka 25. Ameungana na Michael na Nadia kwenye maongezi haya...
2022-10-14
1h 29
Men The Podcast
Let's keep it real, we need each other (Part 2)
Karibu katika sehemu ya pili ya mazungumzo yetu kuhusu mtoto wa kiume na majukumu yanayomkabili katika dunia inayopambania usawa wa kijinsia. Baada ya mazungumzo marefu katika sehemu ya kwanza, sehemu hii ya pili inajaribu kuona ni nini kifanyike ili kuweza kuleta huu usawa na nafasi ya mwanaume katika kulifanikisha hili. Lakini pia, je tunahitaji kubadili mbinu tunazotumia au inabidi tuboreshe hizi hizi zilizopo ili wanaume na wao wapate kushiriki kikamilifu? Rolland Malaba (Madenge) anamalizia sehemu ya pili ya maongezi haya pamoja na watayarishaji wa podcast hii, Michael Baruti na...
2022-08-12
43 min
Men The Podcast
Let's keep it real, we need each other (Part 2)
Karibu katika sehemu ya pili ya mazungumzo yetu kuhusu mtoto wa kiume na majukumu yanayomkabili katika dunia inayopambania usawa wa kijinsia.Baada ya mazungumzo marefu katika sehemu ya kwanza, sehemu hii ya pili inajaribu kuona ni nini kifanyike ili kuweza kuleta huu usawa na nafasi ya mwanaume katika kulifanikisha hili. Lakini pia, je tunahitaji kubadili mbinu tunazotumia au inabidi tuboreshe hizi hizi zilizopo ili wanaume na wao wapate kushiriki kikamilifu?Rolland Malaba (Madenge) anamalizia sehemu ya pili ya maongezi haya pamoja na watayarishaji wa podcast hii, Michael Baruti na...
2022-08-12
43 min
Men The Podcast
Let's keep it real, we need each other (Part 1)
Ni karne ya 21, na mapinduzi mengi sana ya kimaendeleo yametokea duniani na yanaendelea kutokea. Na tunajua kwamba ili tuweze kuendelea kuwa bora kama jamii na kamą wanadamu basi hatuna budi kuyakumbatia mapinduzi yenye tija na yenye kuleta mabadiliko chanya katika jamii yetu. Moja ya mapinduzi ambayo kama binadamu tumechelewa sana kuanza kuyapambania kwa nguvu zote ni mapinduzi juu ya usawa wa kijinsia. Hili ni jambo jema na lenye msingi wenye kuleta heri kwa jamii nzima. Lakini, ili mapinduzi haya yafanikiwe na yaweze kufikiwa malengo yanayopaswa kufikiwa basi ni lazima jinsia zote mbili ziweze kushiriki k...
2022-07-29
45 min
Men The Podcast
Let's keep it real, we need each other
Ni karne ya 21, na mapinduzi mengi sana ya kimaendeleo yametokea duniani na yanaendelea kutokea. Na tunajua kwamba ili tuweze kuendelea kuwa bora kama jamii na kamą wanadamu basi hatuna budi kuyakumbatia mapinduzi yenye tija na yenye kuleta mabadiliko chanya katika jamii yetu.Moja ya mapinduzi ambayo kama binadamu tumechelewa sana kuanza kuyapambania kwa nguvu zote ni mapinduzi juu ya usawa wa kijinsia. Hili ni jambo jema na lenye msingi wenye kuleta heri kwa jamii nzima. Lakini, ili mapinduzi haya yafanikiwe na yaweze kufikiwa malengo yanayopaswa kufikiwa basi ni lazima jinsia zote mbili ziweze kushiriki k...
2022-07-29
46 min
Men The Podcast
Consent and Power Dynamics
One of the things that we set out to do when we started the podcast was to also challenge the stereotypes and to question the habits that for the longest time we’ve never had to question as a society, today’s episode is going to do exactly that. Today, let’s talk about “Consent and Power Dynamics”As a man, a Tanzanian man, what is your knowledge about consent? Where did you learn about it? Were you taught about it or is it something that you had to learn on your own...
2022-07-15
1h 01
Men The Podcast
Consent and Power Dynamics
One of the things that we set out to do when we started the podcast was to also challenge the stereotypes and to question the habits that for the longest time we’ve never had to question as a society, today’s episode is going to do exactly that. Today, let’s talk about “Consent and Power Dynamics” As a man, a Tanzanian man, what is your knowledge about consent? Where did you learn about it? Were you taught about it or is it something that you had to learn on your own? Do power dyna...
2022-07-14
1h 01
Men The Podcast
Insecurities, How do we fight them?
As men, especially African men one thing we were taught growing up was the importance of being secure and how it was such a weakness or even shameful to admit to your weaknesses and insecurities. But most importantly, the importance of displaying the role of a perfect man to the public. But the truth of the matter is, as humans, we are all flawed and we all have our insecurities. Matter of fact, there is absolutely nothing wrong with you owning up to your insecurities. The question is, do you know your insecurities?
2022-06-30
1h 38
Men The Podcast
Insecurities - How do we fight them?
As men, especially African men one thing we were taught growing up was the importance of being secure and how it was such a weakness or even shameful to admit to your weaknesses and insecurities. But most importantly, the importance of displaying the role of a perfect man to the public.But the truth of the matter is, as humans, we are all flawed and we all have our insecurities. Matter of fact, there is absolutely nothing wrong with you owning up to your insecurities. The question is, do you know your insecurities?Henry Sondo...
2022-06-30
1h 38
Men The Podcast
Ep 53 - Streets Raised Me
Identity and a sense of belonging are things that we all want in this life. Now imagine this, a father decides to disown you before you were even born. Before you reach two years of age, your mother abandons you in the middle of nowhere and she moves on with her life. As a result, you end up feeling rejected, and growing up, you always feel as if you’re not good enough. Do you know the impact this can have on someone’s life? In this episode, our guest Anthony opens up about grow...
2022-06-09
1h 21
Men The Podcast
Streets Raised Me
Identity and a sense of belonging are things that we all want in this life. Now imagine this, a father decides to disown you before you were even born. Before you reach two years of age, your mother abandons you in the middle of nowhere and she moves on with her life. As a result, you end up feeling rejected, and growing up, you always feel as if you’re not good enough. Do you know the impact this can have on someone’s life?In this episode, our guest Anthony opens up about growing up as an a...
2022-06-06
1h 21
Men The Podcast
Ep 52 - I still want to be a father
Mahusiano huisha, na mara nyingine pia ndoa huvunjika. Si vitu ambavyo tunafurahia vikitokea ila uhalisia wa maisha ndivyo ulivyo. Swali ni pale tu, vipi ndoa ikivunjika wakati tayari kuna mtoto ambaye ni zao la ndoa hiyo ni nini kifanyike ili wazazi wote wawili waweza kuwa na haki sawa juu ya mtoto au watoto wao? Michael na Nadia wameketi pamoja na J (si jina lake halisi) wakijadili namna mwisho wa mahusiano ya ndoa yake kulivyokua chanzo cha yeye kutopata nafasi ya kuwa baba kwa namna ambayo angependa kuwa baba kwa mtoto wake
2022-05-26
1h 14
Men The Podcast
I still want to be a father
Mahusiano huisha, na mara nyingine pia ndoa huvunjika. Si vitu ambavyo tunafurahia vikitokea ila uhalisia wa maisha ndivyo ulivyo. Swali ni pale tu, vipi ndoa ikivunjika wakati tayari kuna mtoto ambaye ni zao la ndoa hiyo ni nini kifanyike ili wazazi wote wawili waweza kuwa na haki sawa juu ya mtoto au watoto wao?Michael na Nadia wameketi pamoja na J (si jina lake halisi) wakijadili namna mwisho wa mahusiano ya ndoa yake kulivyokua chanzo cha yeye kutopata nafasi ya kuwa baba kwa namna ambayo angependa kuwa baba kwa mtoto wakeJ anawakilisha wanaume wengine...
2022-05-26
1h 14
Men The Podcast
Ep 51 - Men VS Communicating their emotions
Our favorite podcast is baaaaack. And the amazing conversations are back as well. After 5 months hiatus, Michael Baruti and Nadia Ahmed are back to producing and hosting this podcast.In today’s episode, we ask, why is it so hard for men to communicate their emotions? What happens when men don’t communicate their emotions? Do men know how to communicate their emotions? And why is that important for their mental well-being?In the studio, they are joined by Justice Rutenge, a communications and results measurement consultant. Together they embark on the journey of unpacking many...
2022-05-13
1h 07
Men The Podcast
Ep 51 - Men VS Communicating their emotions
Our favorite podcast is baaaaack. And the amazing conversations are back as well. After 5 months hiatus, Michael Baruti and Nadia Ahmed are back to producing and hosting this podcast. In today’s episode, we ask, why is it so hard for men to communicate their emotions? What happens when men don’t communicate their emotions? Do men know how to communicate their emotions? And why is that important for their mental well-being? In the studio, they are joined by Justice Rutenge, a communications and results measurement consultant. Together they emba...
2022-05-13
1h 07
Men The Podcast
Ep 50 - 2021 Unfiltered
We’ve heard Michael and Nadia interview many people, and we’ve listened to them discuss many issues about mental health and specifically about mental health for men. As we are closing the year and welcoming a new year, they’ve decided to share their experiences about 2021 and the expectations and plans for 2022. They open up about the different struggles they all went through in 2021, what challenged them mentally, how these challenges affected their mental health and the people around them, and most importantly, what were the lessons learned? They leave no stone unturned. Like w...
2021-12-30
43 min
Men The Podcast
Ep 50 - 2021 Unfiltered
We’ve heard Michael and Nadia interview many people, and we’ve listened to them discuss many issues about mental health and specifically about mental health for men. As we are closing the year and welcoming a new year, they’ve decided to share their experiences about 2021 and the expectations and plans for 2022.They open up about the different struggles they all went through in 2021, what challenged them mentally, how these challenges affected their mental health and the people around them, and most importantly, what were the lessons learned? They leave no stone unturned. Like w...
2021-12-30
43 min
Men The Podcast
Ep 49 - Shoot your shot
It is the 21st Century, and a lot has changed regarding the dynamics of both men and women. While in the past, things like arranged marriages made it slightly easier for men to find women they wanted as life partners, the current climate requires most men to step up and approach women first, and in some cases, we’ve had women approaching men as well. While this is the reality of the world right now, there are still many questions that need to be answered. Are men equipped enough to have good conversations with women? Can men handle rejections wh...
2021-12-16
1h 31
Men The Podcast
Ep 49 - Shoot your shot
It is the 21st Century, and a lot has changed regarding the dynamics of both men and women. While in the past, things like arranged marriages made it slightly easier for men to find women they wanted as life partners, the current climate requires most men to step up and approach women first, and in some cases, we’ve had women approaching men as well. While this is the reality of the world right now, there are still many questions that need to be answered. Are men equipped enough to have good conversations with women? Can men handle rejections wh...
2021-12-16
1h 31
Men The Podcast
Ep 48 - A man's obsession with power and control
Why are men so obsessed with power and being seen in control of everything? Is that what makes a real man? Where did this obsession come from? What impact does it have when it comes to men and relationships? Have you ever heard of the wheel of control? Have you ever been trapped in it? Have you ever trapped someone in it? Is the wheel of power toxic? Can we eliminate the men’s desire to take hold of the wheel of power and control?Enters Rajab Mziray, an active member of Men Engage Ta...
2021-12-02
1h 44
Men The Podcast
Ep 48 - A man's obsession with power and control
Why are men so obsessed with power and being seen in control of everything? Is that what makes a real man? Where did this obsession come from? What impact does it have when it comes to men and relationships? Have you ever heard of the wheel of control? Have you ever been trapped in it? Have you ever trapped someone in it? Is the wheel of power toxic? Can we eliminate the men’s desire to take hold of the wheel of power and control? Enters Rajab Mziray, an active member of Men Engage Ta...
2021-12-02
1h 44
Men The Podcast
Ep 47 - A man's journey into fame
At the age of just 21 years old, Idris Sultan won the grand prize of $300,000 from Big Brother Africa House. He lost it all by the age of 23 and he was sinking in debts. He got his life together and cleared his debts by 24, and made three times the money he had lost by the age of 25. Sounds like a story made for Hollywood or Nollywood, right? I mean, for most of us probably that would be the end of us, and we would never be able to pick ourselves up and start again. BUT Idris is not most of...
2021-11-18
2h 02
Men The Podcast
Ep 47 - A man's journey into fame
At the age of just 21 years old, Idris Sultan won the grand prize of $300,000 from Big Brother Africa House. He lost it all by the age of 23 and he was sinking in debts. He got his life together and cleared his debts by 24, and made three times the money he had lost by the age of 25. Sounds like a story made for Hollywood or Nollywood, right? I mean, for most of us probably that would be the end of us, and we would never be able to pick ourselves up and start again. BUT Idris is not most of...
2021-11-18
2h 02
Men The Podcast
Ep 46 - Childhood attachment styles & Adult relationships
Given Edward has mastered the tech world, has his own company, he has traveled the world and has received an award from the Queen. Having done all that at the age of just 27, Given looks like he has accomplished it all. And let’s be real, the man has done well for himself. It’s almost tempting to pin it purely on luck. However, as far as luck is concerned, Given would have been considered unlucky from the day he was born. Raised only by his mother, who had no job, after his father ran a...
2021-11-04
1h 31
Men The Podcast
Ep 46 - Childhood attachment styles & Adult relationships
Given Edward has mastered the tech world, has his own company, he has traveled the world and has received an award from the Queen. Having done all that at the age of just 27, Given looks like he has accomplished it all. And let’s be real, the man has done well for himself. It’s almost tempting to pin it purely on luck. However, as far as luck is concerned, Given would have been considered unlucky from the day he was born. Raised only by his mother, who had no job, after his father ran a...
2021-11-04
1h 31
Men The Podcast
Ep 45 - Black Tax, maker or breaker of poverty cycle?
Black Tax has always existed in our African communities. It is what has helped most of our parents to achieve what they have been able to achieve BUT also, some say it has limited their potentials.As modern men, most of us are the beneficiaries of this system. Through the whole community chipping in and helping out, some of the men in our communities were able to live up to and achieve their full potentials. Now, is it a must for them to pay back their dues by helping others?
2021-10-22
1h 30
Men The Podcast
Ep 45 - Black Tax, maker or breaker of poverty cycle?
Black Tax has always existed in our African communities. It is what has helped most of our parents to achieve what they have been able to achieve BUT also, some say it has limited their potentials. As modern men, most of us are the beneficiaries of this system. Through the whole community chipping in and helping out, some of the men in our communities were able to live up to and achieve their full potentials. Now, is it a must for them to pay back their dues by helping others?
2021-10-22
1h 30
Men The Podcast
Ep 40 - My Time in Prison
Kutana na Tito Magoti, mwanasheria kijana kutoka Tanzania. Mwaka 2019, alijikuta gerezani ambapo alikaa kwa zaidi ya mwaka mmoja. Sasa Tito ametoka, anaendelea na maisha yake.Unahitaji nini ili uweze ku “survive” maisha ya gerezani? Watu wako wanaokuzunguka inabidi wafanye nini ili waweze endelea kukutia moyo? Nini kilichompa Tito nguvu na moyo wa kuishi gerezani na kumfanya asikate tamaa ya maisha? Baada ya kutoka gerezani, jamii imempokeaje Tito? Yupo tayari kuishi maisha ya mtu anayeangaliwa sana na jamii kila anapokwenda? Gerezani kumembadilisha vipi Tito? Na zaidi ya yote, vipi kuhusu afya ya akili magerezani?Maswali ni mengi sana kutoka kwa Michael Baru...
2021-08-12
1h 08
Men The Podcast
Ep 40 - My Time in Prison
Kutana na Tito Magoti, mwanasheria kijana kutoka Tanzania. Mwaka 2019, alijikuta gerezani ambapo alikaa kwa zaidi ya mwaka mmoja. Sasa Tito ametoka, anaendelea na maisha yake. Unahitaji nini ili uweze ku “survive” maisha ya gerezani? Watu wako wanaokuzunguka inabidi wafanye nini ili waweze endelea kukutia moyo? Nini kilichompa Tito nguvu na moyo wa kuishi gerezani na kumfanya asikate tamaa ya maisha? Baada ya kutoka gerezani, jamii imempokeaje Tito? Yupo tayari kuishi maisha ya mtu anayeangaliwa sana na jamii kila anapokwenda? Gerezani kumembadilisha vipi Tito? Na zaidi ya yote, vipi kuhusu afya ya akili magerezani? Maswali ni mengi sana kutoka kwa Michael Baru...
2021-08-12
1h 08
Men The Podcast
Ep 39 - Men do communicate, differently
Wanaume hawajui namna ya bora ya kuwasiliana, kuanzisha mazungumzo ya muhimu na inawezekana hawajui kabisa kuongelea wanayoyapitia, wanayoyafikiria au kuelezea hisia zao wakiwa kwenye mahusiano, hii ni dhana iliyojengeka kwa watu wengi sana, je ina ukweli wowote?Baadhi ya wanaume wanapingana na hili, na wanasema si kweli. Wanaume wanaweza sana kuwasiliana, sema tu wanawasiliana kwa namna ambayo ni tofauti na inahitaji muda kuielewa.Michael na Nadia wanazungumza kwa kirefu sana na Gillsant pamoja na Leslie juu ya mawasiliano, matarajio na changamoto za kutokuwa na mawasiliano mazuri kwenye mahusiano kwa upande wa mwanaume na namna gani...
2021-07-29
1h 45
Men The Podcast
Ep 39 - Men do communicate, differently
Wanaume hawajui namna ya bora ya kuwasiliana, kuanzisha mazungumzo ya muhimu na inawezekana hawajui kabisa kuongelea wanayoyapitia, wanayoyafikiria au kuelezea hisia zao wakiwa kwenye mahusiano, hii ni dhana iliyojengeka kwa watu wengi sana, je ina ukweli wowote? Baadhi ya wanaume wanapingana na hili, na wanasema si kweli. Wanaume wanaweza sana kuwasiliana, sema tu wanawasiliana kwa namna ambayo ni tofauti na inahitaji muda kuielewa. Michael na Nadia wanazungumza kwa kirefu sana na Gillsant pamoja na Leslie juu ya mawasiliano, matarajio na changamoto za kutokuwa na mawasiliano mazuri kwenye mahusiano kwa upande wa mwanaume na namna gani...
2021-07-29
1h 45
Men The Podcast
Ep 38 - Ukweli kuhusu nguvu za kiume
Tatizo la nguvu za kiume ni tatizo gani? Linaathiri wanaume wangapi duniani? Chanzo cha hili tatizo ni nini? Matumizi ya dawa za asili kama “Vumbi la Congo” na “Al Kasusi” ni kweli yanasaidia kutatua tatizo hili? Ni tatizo linalotibika? Kuna madaktari wanaoweza kusaidia kwenye hili tatizo? Linahusiana vipi na afya ya akili? Mbona mara nyingine hili tatizo kama linapotea na mara nyingine kama linarudi? Kuna suluhisho la kudumu?Haya ni baadhi ya maswali ambayo wanaume wengi sana hujiuliza kuhusiana na “Nguvu za Kiume”. Katika nia ya kujenga na kuboresha afya ya akili kwa wanaume, episode hii imeamua kuzungumzia...
2021-07-15
1h 11
Men The Podcast
Ep 38 - Ukweli kuhusu nguvu za kiume
Tatizo la nguvu za kiume ni tatizo gani? Linaathiri wanaume wangapi duniani? Chanzo cha hili tatizo ni nini? Matumizi ya dawa za asili kama “Vumbi la Congo” na “Al Kasusi” ni kweli yanasaidia kutatua tatizo hili? Ni tatizo linalotibika? Kuna madaktari wanaoweza kusaidia kwenye hili tatizo? Linahusiana vipi na afya ya akili? Mbona mara nyingine hili tatizo kama linapotea na mara nyingine kama linarudi? Kuna suluhisho la kudumu? Haya ni baadhi ya maswali ambayo wanaume wengi sana hujiuliza kuhusiana na “Nguvu za Kiume”. Katika nia ya kujenga na kuboresha afya ya akili kwa wanaume, episode hii imeamua kuzungumzia...
2021-07-15
1h 11
Men The Podcast
Ep 33 - Blended Family, Fatherhood & Therapy
Moja kati ya mambo ambayo yapo kwenye jamii zetu ila hayazungumziwi sana ni namna ya kuweza kuwa baba bora na mume bora pale ambapo unaishi katika familia iliyochanganyika (Blended Family).Lakini ni namna gani unaweza kufikia hilo lengo pale ambapo kuna zaidi ya baba mmoja kwenye familia, zaidi ya mama mmoja, zaidi ya bibi na babu mmoja kwa kila upande na zaidi ya mtoto mmoja ambar yupo katikati ya haya yote?Michael na Nadia wameingia ndani na kulijadili hili kwa kina na ndugu Reuben Ndege anaefahamika zaidi kama Ncha Kalih
2021-04-30
1h 22
Men The Podcast
Ep 33 - Blended Family, Fatherhood & Therapy
Moja kati ya mambo ambayo yapo kwenye jamii zetu ila hayazungumziwi sana ni namna ya kuweza kuwa baba bora na mume bora pale ambapo unaishi katika familia iliyochanganyika (Blended Family). Lakini ni namna gani unaweza kufikia hilo lengo pale ambapo kuna zaidi ya baba mmoja kwenye familia, zaidi ya mama mmoja, zaidi ya bibi na babu mmoja kwa kila upande na zaidi ya mtoto mmoja ambar yupo katikati ya haya yote? Michael na Nadia wameingia ndani na kulijadili hili kwa kina na ndugu Reuben Ndege anaefahamika zaidi kama Ncha Kalih
2021-04-30
1h 22
Men The Podcast
Ep 32 - Unpacking The Man Box
“The man box” Hili ni box ambalo sio rasmi, na limetengenezwa na Jamii linalotumika kuchanganua tabia za mwanaume. Kwenye box hili kuna mazuri kuhusu wanaume, lakini pia kuna vitu ambavyo sio sahihi kuendelea kuvishikilia kwa mwanaume anaetaka kubadilika na anaetaka kuwa bora. Lakini, nani alianzisha “box” hili? Mambo gani mazuri yanayopatikana katika hili box? Yepi ambayo si mazuri na hayafai? Na pia, namna gani wanaume tunaweza kuanza kuchambua na kutoa yasiyofaa kutoka kwenye hili box? Ungana na Michael, Nadia pamoja na Sadick Ali ambapo kwa wiki hii wameamua kulifungua hili box ili Jamii yote ipate kuona ya...
2021-04-16
58 min
Men The Podcast
Ep 32 - Unpacking The Man Box
“The man box” Hili ni box ambalo sio rasmi, na limetengenezwa na Jamii linalotumika kuchanganua tabia za mwanaume. Kwenye box hili kuna mazuri kuhusu wanaume, lakini pia kuna vitu ambavyo sio sahihi kuendelea kuvishikilia kwa mwanaume anaetaka kubadilika na anaetaka kuwa bora.Lakini, nani alianzisha “box” hili? Mambo gani mazuri yanayopatikana katika hili box? Yepi ambayo si mazuri na hayafai? Na pia, namna gani wanaume tunaweza kuanza kuchambua na kutoa yasiyofaa kutoka kwenye hili box?Ungana na Michael, Nadia pamoja na Sadick Ali ambapo kwa wiki hii wameamua kulifungua hili box ili Jamii yote ipate kuona ya...
2021-04-16
58 min
Men The Podcast
Ep 29 - Why men cheat?
We are back with a million dollar question, Why do men cheat? Kwa walio wengi hili ni swali ambalo bado halijapatiwa jibu. Kwanini wanaume wanakosa uaminifu kwenye mahusiano? Je ni tabia? Ni mapokeo? Ni swala ambalo jamii halijaliongelea kwa undani? Je lina suluhisho? Michael Baruti pamoja na Nadia, wanazungumza na John (sio jina lake halisi) na kujaribu kuliangalia kwa kirefu hili swala.
2021-02-19
1h 12
Men The Podcast
Ep 29 - Why men cheat?
We are back with a million dollar question, Why do men cheat? Kwa walio wengi hili ni swali ambalo bado halijapatiwa jibu. Kwanini wanaume wanakosa uaminifu kwenye mahusiano? Je ni tabia? Ni mapokeo? Ni swala ambalo jamii halijaliongelea kwa undani? Je lina suluhisho?Michael Baruti pamoja na Nadia, wanazungumza na John (sio jina lake halisi) na kujaribu kuliangalia kwa kirefu hili swala.
2021-02-19
1h 12
Men The Podcast
Ep 28 - Fatherhood & Parenting
Moja kati ya vipimo vya mwanaume bora kwa watu walio wengi ni namna mwanaume huyo anavyobeba majukumu yake kama baba. Lakini baba ni nani? Kazi ya baba ni nini? Baba anatakiwa awe vipi? Nini kinamfanya mtu kuwa baba bora? Nimelelewa na baba bora? Mimi ni baba bora? Nataka kuwa baba bora? Nitaweza kuwa baba bora? Nini nifanye ili niweze kua aina ya baba ambae mwanangu anahitaji? Haya ni baadhi ya maswali ambayo wanaume wengi sana hujiuliza pindi linapokuja suala la kuwa mzazi na suala la malezi kwa ujumla. Kitu ambacho tunakifahamu ni kwamba si rahisi hata kidogo kuwa baba n...
2020-12-18
1h 14
Men The Podcast
Ep 28 - Fatherhood & Parenting
Moja kati ya vipimo vya mwanaume bora kwa watu walio wengi ni namna mwanaume huyo anavyobeba majukumu yake kama baba. Lakini baba ni nani? Kazi ya baba ni nini? Baba anatakiwa awe vipi? Nini kinamfanya mtu kuwa baba bora? Nimelelewa na baba bora? Mimi ni baba bora? Nataka kuwa baba bora? Nitaweza kuwa baba bora? Nini nifanye ili niweze kua aina ya baba ambae mwanangu anahitaji? Haya ni baadhi ya maswali ambayo wanaume wengi sana hujiuliza pindi linapokuja suala la kuwa mzazi na suala la malezi kwa ujumla. Kitu ambacho tunakifahamu ni kwamba si rahisi hata kidogo kuwa baba n...
2020-12-18
1h 14
Men The Podcast
Ep - 26 - Kupiga Chabo & Mental Health
Kupiga chabo, kula deo, kupiga kideo, kuchungulia.(Voyeurism). Kama ni mtoto wa kiume ambae umekua hapa hapa nchini Tanzania, basi haya si maneno mageni na wengi sana wamekua wakiona hili ni jambo la kawaida la kufanya kwenye jamiio. Si jambo jema, si jambo la kujivunia LAKINI pia si jambo ambalo watu wanaliongelea. Je unafahamu kua kuna uhusiano wa afya ya akili na tabia hii? Unafahamu kua kuna urahibu (Addiction) ambayo inaweza kutokana na hiki kitendo? Nini chanzo chake? Kinaweza kuathiri vipi afya yako ya akili? Michael na Nadia wanajadili hili kwenye “episode” hii ya 26: Kupiga Chab...
2020-11-20
54 min
Men The Podcast
Ep - 26 - Kupiga Chabo & Mental Health
Kupiga chabo, kula deo, kupiga kideo, kuchungulia.(Voyeurism). Kama ni mtoto wa kiume ambae umekua hapa hapa nchini Tanzania, basi haya si maneno mageni na wengi sana wamekua wakiona hili ni jambo la kawaida la kufanya kwenye jamiio. Si jambo jema, si jambo la kujivunia LAKINI pia si jambo ambalo watu wanaliongelea.Je unafahamu kua kuna uhusiano wa afya ya akili na tabia hii? Unafahamu kua kuna urahibu (Addiction) ambayo inaweza kutokana na hiki kitendo? Nini chanzo chake? Kinaweza kuathiri vipi afya yako ya akili?Michael na Nadia wanajadili hili kwenye “episode” hii ya 26: Kupiga Chab...
2020-11-20
54 min