Look for any podcast host, guest or anyone
Showing episodes and shows of

Michael Kamukulu

Shows

LENZI Podcast with Michael KamukuluLENZI Podcast with Michael KamukuluS1E22 Unatumia Siku 28 kwenye Social Media kwa Mwaka: Ijue Gharama Halisi | LENZI | Michael KamukuluIjue gharama halishi ya muda ambao unautumia kwenye social media (mitandao ya kijamii). Kwa wastani mtumiaji wa kawaida wa internet anatumia saa 2.5 mpaka 3 kwenye mitandao ya kijamii kwa siku. Mtanzania wa kawaida anatumia wastani wa saa 2.5 kwa siku ambayo ni sawa na siku 28 za kazi kwenye social media kwa mwaka. Huu ni muda mwingi ambao usipotumika vizuri unasababisha hasara kifedha na kiafya pia. Jifunze na upate siri na maarifa zaidi kuhusu ukweli juu ya matumizi ya simu, internet na mitandao ya kijamii. Ungana na Michael Kamukulu kupitia LENZI  @lenzipodcast  2023-11-0404 minLENZI Podcast with Michael KamukuluLENZI Podcast with Michael KamukuluS1E21 Digital Detox: Jinsi nilivyojiondoa kwenye addiction ya SIMU na Mitandao | Michael Kamukulu LENZIDIGITAL DETOX Watumiaji wengi hawazifahamu athari zinazotokana na matumizi makubwa ya mitandao ya kijamii, simu, TV pamoja na aina nyingine ya vifaa vinavyotumia screen. Athari hizi zina madhara makubwa sana ikiwemno kusababisha changamoto za afya ya akili. Athari nyingine ni kama matumizi mabaya ya muda, kupunguza ufanisi kwenye uzalishaji, kuvunjika kwa mahusiano pamoja na madhara mengine mengi. Mawasiliano ni kitu cha kuhimu lakini ni muhimu kufuatilia miendendo ya matumizi ya simu za mkononi na mitandao ili kuepuka madhara na athari mbaya. Punguza matumizi makubwa ya mitandao ya kijamii na simu za mkononi ili ulinde maisha na afya yako. Kabla...2023-10-2810 minLENZI Podcast with Michael KamukuluLENZI Podcast with Michael KamukuluS1E20 Matumizi ya SIMU: Fahamu athari za matumizi yaliyopitiliza ya simu | LENZI | Michael KamukuluWatumiaji wengi hawazifahamu athari zinazotokana na matumizi makubwa ya mitandao ya kijamii, simu, TV pamoja na aina nyingine ya vifaa vinavyotumia screen. Athari hizi zina madhara makubwa sana ikiwemno kusababisha changamoto za afya ya akili. Athari nyingine ni kama matumizi mabaya ya muda, kupunguza ufanisi kwenye uzalishaji, kuvunjika kwa mahusiano pamoja na madhara mengine mengi. Mawasiliano ni kitu cha kuhimu lakini ni muhimu kufuatilia miendendo ya matumizi ya simu za mkononi na mitandao ili kuepuka madhara na athari mbaya. Punguza matumizi makubwa ya mitandao ya kijamii na simu za mkononi ili ulinde maisha na afya yako. Kabla ya kukabiliana...2023-10-2107 minLENZI Podcast with Michael KamukuluLENZI Podcast with Michael KamukuluS1E19 Mjasiriamali: YAJUE MAENEO MANNE (4) YA UWEKEZAJI USIOKUWA WA KIBIASHARA | LENZI | Michael KamukuluMafanikio hayatokei kwa bahati, wanaofanikiwa wote wanajuia na kuifuata misingi inayowapelekea mafanikio kwa kuwekeza kwenye maeneo yanayoongeza thamani yao kwenye maisha. Siri ya mjasiriamala au mfanyakazi mwenye mafanikio iko kwenye uwezo wake wa kuongeza thamani yake katika biashara au kazi anayoifanya. Thamani huongezeka kwa kuzingatia misingi mkuu ya fedha, maisha na mafanikio. Unaweza kutumia nguvu na muda mwingi kwenye kuikuza biashara na kutafuta mafanikio, lakini mara baada ya kuyafikia mafanikio hayo, ukashindwa kuyafurahji. Unahitaji kufuata misingi ya uwekezaji kwa kuwekeza kwenye maeneo muhimu yatakayokuongezea thamani na kukuwezesha kudumu kwa muda mrefu katika mafanikio yako. Acha mazoea ya kuwekeza kwenye...2023-10-1405 minLENZI Podcast with Michael KamukuluLENZI Podcast with Michael KamukuluS1E18 MTUMIAJI WA SIMU: Fahamu njia tano (5) za kuongeza usalama wako mtandaoni | LENZI | Michael KamukuluKatika zama hizi za kidijitali tulizonazo, kulinda usalama wa taarifa zako kwenye mitandao ni muhimu kuliko ilivyokuwa hapo awali. Jiunge nasi katika video hii tunapoongelea njia tano (5) muhimu za kuimarisha usalama wako mtandaoni. Jifunze jinsi ya kulinda namba yako ya simu, kuweka kinga imara kwenye akaunti zako za baruapepe, kuhifadhi alama za vidole vyako, kujilinda dhidi ya tishio la "deepfake," na kuweka sauti yako salama kutokana na matumizi mabaya kwa njia ya uigizaji wa AI. Epuka vitisho vya kimtandao na kufurahia mtandao usalama zaidi Usisahau kubofya kitufe cha like, kusajili, na kugonga kengele ya taarifa ili kupata taarifa nyingine...2023-10-0706 minLENZI Podcast with Michael KamukuluLENZI Podcast with Michael KamukuluS1E17 Jinsi ya Kufanya Manunuzi Salama Mtandaoni: Mambo Matano (5) ya Muhimu | LENZI | Michael KamukuluWatu walio wengi hawajui jinsi ya kununua bidhaa kwa njia salama kwenye mtandao kama vile Alibaba, Amazon, Kikuu, Ali Express na mitandao mingine ya aina hii. Kabla ya kuagiza bidhaa kwenye mtandao au simu, ni muhimu kuhakikisha kwamba pesa yako iko salama na unanunua kwa wauzaji wanaoaminika. Unaweza kutumia njia kama vile M Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money au nyingine kama vile Sim Banking. Na unaweza pia ukaagiza buidhaa kwa delivery na ukalipia cash baada ya kupokea bidhaa yako. Ni muhimu kujua Mamboi matano (5) muhimu ambayo yatakusaidia kuwa salama wakati wa manunuzi ya mtandaoni: 1. Kuwa na Akaunti Maalum ya...2023-09-3005 minLENZI Podcast with Michael KamukuluLENZI Podcast with Michael KamukuluS1E16 Harufu Ya Chakula Haitibu Njaa: Furaha inayotegemea kuwaridhisha watu wengine bila faida binafsi, ni UTUMWANjaa hutibiwa na chakula, wala harufu nzuri na hata sio lazima chakula kiwe kitamu sana. Haijalishi kama kinaliwa jioni, mchana, asubuhi wala usiku. Harufu ni hisia inayokuvutia kuelekea kwenye chakula, lakini usipokula hicho chakula, njaa haitaondoka. Hii inatokea sana kwenye maisha yetu ya kila siku katika kutafuta mafanikio ya career, mahusiano, nk. Tunahitaji maarifa sahihi ili kufanya maamuzi sahihi yatakayotupa kufanikiwa kwenye kazi, kukuza faida kwenye biashara, kuongeza wigo kama viongozi / kiongozi, kuboresha mahusiano ndani na nje ya ndoa pamoja na mambo mengine mengi. Mojawapo ya njia za kuongeza mafanikio yanayotokana na maamuzi yetu ni kujitambua, kuweka malengo na...2023-09-2303 minLENZI Podcast with Michael KamukuluLENZI Podcast with Michael KamukuluS1E15 Ishara 5 kwamba unapoteza kuliko unavyopata (unapoteza MUDA, THAMANI, FEDHA kwenye kazi na biashara)Kama hasara ama gharama ya kupata jambo lolote inakuwa kubwa kuliko faida zinazotokana na jambo hilo, basi hatuna budi kuachana na jambo husika na kutafuta mbadala unataofaa na kutupa manufaa tunayoyahitaji. Kama gharama za matumizi zinazidi kiwango cha mshahara ama faida ya biashara, ni wakati wa kubadilisha kazi au biashara hiyo. Mara nyingine inakuwa vigumu kufahamu kwamba tayari uko kwenye hali ya kupoteza na kuliko kunufaika. Hizi ni ishara 5 kati ya nyingi zinazokufungua macho ili kujua kwamba ni wakati wa kufanya jambo tofauti. 1. Gharama za matumizi ni kubwa kuliko kipato (mshaharara au faida ya biashara) 2. Kutokuona mabadiliko (matokeo) yanayotokana...2023-09-1608 minLENZI Podcast with Michael KamukuluLENZI Podcast with Michael KamukuluS1E14 Fahamu sababu za kuichoka kazi yako (Mambo Matatu [3] ya kuzingatia) | LENZI | Michael KamukuluWengi wetu tunaamini kwamba biashara ya bodaboda inawanufaisha zaidi waendesha pikipiki na bajaji lakini ukweli unaweza ukawa tofauti. Waendeshaji wengi wa vyombo hivi vya moto sio wamiliki wa biashara, wao ni watoa huduma. Mtazamo wao kwenye biashara hii unawafanya wasiwe wamiliki wa kazi yao wenyewe. Wanaweka mkazo zaidi kwenye kurejesho hesabu ya mabosi wao kuliko kuisimimaia biashara kwa ajili ya maslahi mapana ya uchumi wao binafsi na familia zao. Ungana na Michael Kamukulu kwenye LENZI ​⁠​⁠ @lenzipodcast  ili uweze kujifunza zaidi ni kwa jinsi gani bodaboda wanaweza kujikomboa na kuimiliki kazi yao wenyewe. Zifahamu huduma za ziada ambazo waendesha bodaboda na bajaj w...2023-09-0910 minLENZI Podcast with Michael KamukuluLENZI Podcast with Michael KamukuluS1E13 Ni Nani Anashikilia Uchumi, Soko na Umiliki wa Biashara ya Bodaboda?? | LENZI | Michael KamukuluWengi wetu tunaamini kwamba biashara ya bodaboda inawanufaisha zaidi waendesha pikipiki na bajaji lakini ukweli unaweza ukawa tofauti. Waendeshaji wengi wa vyombo hivi vya moto sio wamiliki wa biashara, wao ni watoa huduma. Mtazamo wao kwenye biashara hii unawafanya wasiwe wamiliki wa kazi yao wenyewe. Wanaweka mkazo zaidi kwenye kurejesho hesabu ya mabosi wao kuliko kuisimimaia biashara kwa ajili ya maslahi mapana ya uchumi wao binafsi na familia zao. Ungana na Michael Kamukulu kwenye LENZI ​⁠​⁠ @lenzipodcast  ili uweze kujifunza zaidi ni kwa jinsi gani bodaboda wanaweza kujikomboa na kuimiliki kazi yao wenyewe. Zifahamu huduma za ziada ambazo waendesha bodaboda na bajaj w...2023-09-0209 minLENZI Podcast with Michael KamukuluLENZI Podcast with Michael KamukuluS1E12 Kwa nini hatuwezi kulipa madeni?? (2/3 ya watanzania hawawezi kumudu gharama za maisha)Ripoti ya  @finscope  ya 2023 imeongelea mambo mengi ikiwa ni pamoja na sababu zinazowafanya Watanzania kukopa fedha. Katika kuichambua zaidi hii ripoti na kuunganisha taarifa nyingine (nje ya ripoti) tumegundua kuwa watu wengi wanaamini kwamba kumekuwepo na u]kukosekana kwa uaminifu baina yta watu hususani kwenye masuala ya kifedha ambapo watu walio wengi wanakopa na wanakuwa hawalipi madeni yao. Uaminifu sio sababu PEKEE inayopelekea watu kutolipa madeni yao, kuna sababu nyingine kama vile kutokuwa na ELIMU sahihi kuhusu masuala ya kifedha, ugumu wa maisha (kipato kidogo) - jambo ambalo linasababisha watu kukosa njia ya kuzalisha (kutengengeza) kipato cha kutosha na km...2023-08-1913 minLENZI Podcast with Michael KamukuluLENZI Podcast with Michael KamukuluS1E11 Zijue Kazi 10 Mpya Kwenye Soko la Ajira (Duniani!)Kama ni mwanafunzi, episode hii itakusaidia kuchagua kozi sahihi za kusomea vyuoni katika kipindi hiki ambacho ajira hazitabiliki. Kozi zenye ajira leo zinaweza zisiwe na nafasi za ajira tena sokoni ndani ya mmiaka michache. Mfanyakazi yeyote asiyejiendeleza (binafsi) kwa kuongeza maarifa yake katika anachokifanya, uwezekano wake wa kufanikiwa kwenye Maisha ni mdogo. Kutokana na mabadiliko ya maendeleo na teknolijia, baadhi ya kazi zitaendela kupoteza umuhimu wako jambo litakalopelekea kazi hizo kutoweka sokoni taratibu mpaka hapo zitakapokwisha kabisa, kwa sababu hakuna mtu yeyote atakayekuwa akizihitaji. Kwa upande mwingine, KAZI mpya zinazaliwa kila siku na uhitaji wake katika soko ni mkubwa...2023-08-1214 minLENZI Podcast with Michael KamukuluLENZI Podcast with Michael KamukuluS1E10 SIRI 5 za KUKUA, na KUFANIKIWA kwenye KAZI (AJIRA) na maishaElimu rasmi ni muhimu sana katika kufungua milango ya kazi (ajira); lakini vyeti peke yake havitoshi kukupa mafanikio unayotamanni kuyapata kwenye Maisha kwa kupitia kazi/ajira yako. Kuna mbinu na kanuni nyingi ambazo hazifundishwi kwenye mifumo ya elimu rasmi lakini zinapatikana mtaani baada ya kuanza kufanya kazi. Mfanyakazi yeyote asiyejiendeleza (binafsi) kwa kuongeza maarifa yake katika anachokifanya na zaidi ya hichi anachokifanya, uwezekano wake wa kufanikiwa kwenye Maisha ni mdogo. Kupata madaraja ya juu ya ufaulu shuleni au vyuoni sio kigezo cha kupata mafanikio makubwa kwenye Maisha. Ni muhimu pia kujua mafanikio ni...2023-08-0514 minLENZI Podcast with Michael KamukuluLENZI Podcast with Michael KamukuluS1E9 Biashara na Wajasiriamali 7 wenye washindani usioutegemea (bila kujali pesa) - Unusual RivalsUnveiling the Hidden Rivals: How Unexpected Foes Shape the Market! 🚀 Discover the secret competition behind the scenes as seemingly unrelated products and services battle for your attention and loyalty. From phone-camera filters vs cosmetics makers to writing AI vs editors, we expose the surprising clashes that influence customer choices. 🤔 Join us for an eye-opening journey into the world of indirect competitors and how they serve YOU! 🌟 Don't miss this mind-bending episode! 🎬 #MarketSecrets #HiddenRivals #BusinessCompetition *** Wajue washindani waliofichika: Jinsi baadhi ya biashara, bidhaa na huduma zinavyoathiri mwenendo wa soko kwa kushindania...2023-07-2918 minLENZI Podcast with Michael KamukuluLENZI Podcast with Michael KamukuluS1E8 [Part 2] Simu Sio Chanzo za Migogoro kwenye Mahusiano ft. Teacher GonzaKatika ulimwengu huu ambao matumizi ya simu na mitandao ya kijamii yamekuwa makubwa, simu zinadhaniwa kuwa mojawapo ya vyanzo vikuu vinavyosababisha migogoro na kuvunjika kwa mahusiano na ndoa. Msikilize Michael Kamukulu pamoja na Teacher Gonza wakielezea ni kwa namna gani simu SIO chanzo cha migogoro ya mahusionao kama wengi wanavyodhani.2023-07-2224 minLENZI Podcast with Michael KamukuluLENZI Podcast with Michael KamukuluS1E7 [Part 1] Simu Sio Chanzo cha Migogoro kwenye Mahusiano ft Teacher GonzaKatika ulimwengu huu ambao matumizi ya simu na mitandao ya kijamii yamekuwa makubwa, simu zinadhaniwa kuwa mojawapo ya vyanzo vikuu vinavyosababisha migogoro na kuvunjika kwa mahusiano na ndoa. Msikilize Michael Kamukulu pamoja na Teacher Gonza wakielezea ni kwa namna gani simu SIO chanzo cha migogoro ya mahusionao kama wengi wanavyodhani.2023-07-1525 minLENZI Podcast with Michael KamukuluLENZI Podcast with Michael KamukuluS1E5. UBUNIFU [Part 2]: Jinsi DIGITALI inavyofungua milango ya FURSA za uzalishaji wa MAUDHUI na MAWASILIANO ft. Jane Shussa Katika episode hii, Michael Kamukulu anaongea na Jane Shussa kuhusu jinsi mabadiliko ya kidigitali yanavyobadilisha namna ya UZALISHAJI WA MAUDHUI na MAWASILIANO. Pamoja, wanachunguza athari za mabadiliko haya kwenye sekta mbalimbali. Wanaongeleo pia usalama mitandaoni nan je ya mitandao katika zama hizi mpya. Jiunge nao kwenye mada hii ya kuvutia inayojikita katika mabadiliko yasiyokwepeka kwa wabunifu wa maudhui na mawasilino.   *** Creative Disruption: The Transformative Power of Digital Shifts in Content Creation and Communication   In this episode of "Creative Disruption," host Michael Kamukulu engages in a captivating conversation wi...2023-07-0828 minLENZI Podcast with Michael KamukuluLENZI Podcast with Michael KamukuluS1E5. UBUNIFU [Part 1]: Jinsi DIGITALI inavyofungua milango ya FURSA za uzalishaji wa MAUDHUI na MAWASILIANO ft. Jane ShussaKatika episode hii, Michael Kamukulu anaongea na Jane Shussa kuhusu jinsi mabadiliko ya kidigitali yanavyobadilisha namna ya UZALISHAJI WA MAUDHUI na MAWASILIANO. Pamoja, wanachunguza athari za mabadiliko haya kwenye sekta mbalimbali. Wanaongeleo pia usalama mitandaoni nan je ya mitandao katika zama hizi mpya. Jiunge nao kwenye mada hii ya kuvutia inayojikita katika mabadiliko yasiyokwepeka kwa wabunifu wa maudhui na mawasilino. *** Creative Disruption: The Transformative Power of Digital Shifts in Content Creation and Communication In this episode of "Creative Disruption," host Michael Kamukulu engages in a captivating conversation with special guest Jane Shussa. They explore how digital shifts are transforming...2023-07-0128 minLENZI Podcast with Michael KamukuluLENZI Podcast with Michael KamukuluS1E4. [Part 2] Je, tuko salama kwenye ulimwengu wa Data na Teknolojia? ft. Miriam MwaibulaSEHEMU YA PILI Zifahamu siri na maarifa ya kuwa salama katika zama mpya za Data na Teknolojia. Jifunze: Data ni nini? Matumizi salama ya mitandao! Utunzaji wa taarifa muhimu, na mengine mengi...2023-06-2420 minLENZI Podcast with Michael KamukuluLENZI Podcast with Michael KamukuluS1E3. [Part 1] Je, tuko salama kwenye zama mpya za Data na Teknolojia? ft.Miriam MwaibulaZifahamu siri na maarifa ya kuwa salama katika zama mpya za Data na Teknolojia. Jifunze kuhusu: 1. Maana ya data na takwimu! 2. Matumizi salama ya mitandao! 3. Utunzaji wa taarifa muhimu, na mengine mengi...2023-06-1723 minLENZI Podcast with Michael KamukuluLENZI Podcast with Michael KamukuluS1E2. SIRI ya kufanya KAZI mbili: Moja ikitegemea ELIMU na nyingine ikitegemea KIPAJI ft. Grace BrownKatika soko gumu la ajira ambapo wanaopoteza kazi ni wengi kuliko wanaopata kazi mpya, Grace Brown anaelezea ni kwa jinsi gani yeye anaweza kufanya kazi mbili, moja ikitegemea KIPAJI chake wakati nyingine ikitegemea ELIMU yake. In the tough job market where there are more people losing jobs than finding new ones, Grace Brown explains how she can work two jobs, one relying on her TALENT and the other relying on her EDUCATION.2023-06-1026 minLENZI Podcast with Michael KamukuluLENZI Podcast with Michael KamukuluS1E1: Fahamu kwa nini takribani 1/4 ya shule zote za Msingi za Binafsi Tanzania ziko Dar es SalaamFahamu kwa nini takribani 22% ya shule za msingi za binafsi ziko Dar es Salaam wakati 25% nyingine ikiwa katika mikoa ya Mwanza, Arusha, Kilimanjaro na Pwani. 📺 Video Podcast Description: "Unlocking Tanzania's Private Education Secret: Inside Dar es Salaam's School Boom!" English Description 🏫 Discover the captivating story behind Dar es Salaam, Tanzania's private education powerhouse! Join us in this eye-opening podcast as we unveil why nearly a quarter of the country's private primary schools are thriving in this bustling city. 💡 From the allure of affluent...2023-06-0325 minLENZI Podcast with Michael KamukuluLENZI Podcast with Michael KamukuluLENZI Podcast TrailerJifunze kupitia mijadala na maelezo yanayohusu mada mbalimbali ili upate ufahamu juu mienendo ya sasa katika nyanja na tasnia tofauti. Tunakupatia uchanmguzi wa takwimu rasmi katika kuleta uhalisia wa mada tunazozijadili. Uwe ni mmiliki wa biashara unayetaka kuboresha shughuli zako, mfanyabiashara unayetafuta kufungua mradi mpya, au mtu binafsi anayetaka kuongeza ufanisi wako, podcast yetu ina kitu kwa ajili yako kwako. Sikiliza ili uweze kujuzwa.2023-05-0801 min