Look for any podcast host, guest or anyone
Showing episodes and shows of

Msasa Media

Shows

MSASA PodcastMSASA PodcastTrust the processSend us a textThere is clarity in chaos when you trust the process💪🏾🎧 Join us on the #Msasapodcast for a heartfelt conversation about faith, resilience, and the beauty of surrendering to something bigger this sunday with  @_TimFordJGuest: Tim Fordhttps://www.instagram.com/_timfordjr/?hl=enHost: Hisiahttps://instagram.com/hisiatz/🎙 MSASA PODCAST:💬 Let’s Touch Base on WhatsApp Channelhttps://whatsapp.com/channel/0029VaFg...🎧 For more content like this, SUBSCRIBE to our channel/ @msasapodcast🌐 Our Website:https...2024-12-0859 minMSASA PodcastMSASA PodcastMoyo unakuwaga mzito kwa mwanaumeSend us a textThis week on the #MsasaPodcast, we’re joined by the Michael Baruti of  @menthepodcast   We’re diving deep into the often-overlooked conversation, the struggles, the stigma, and the path to healing for men and mental health.#MenAndMentalHealthGuest: Michael Barutihttps://www.instagram.com/michaelbaruti/--Host: Hisia https://instagram.com/hisiatz/ MSASA PODCAST  🎙 :Let’s Touch Base on WhatsApp Channel 💬https://whatsapp.com/channel/0029VaFg... For more content like this SUBSCRIBE To our channel   / @msasapodcast  2024-12-011h 13MSASA PodcastMSASA PodcastWatu wa Kariakoo waliniokoaSend us a textTafuteni Popcon jamani @lamataleah ana yake ya kutupiga #Msasa🤭Guest: LAMATAhttps://www.instagram.com/lamataleah/--Host: Hisia https://instagram.com/hisiatz/ MSASA PODCAST  🎙 :Let’s Touch Base on WhatsApp Channel 💬https://whatsapp.com/channel/0029VaFg... For more content like this SUBSCRIBE To our channel   / @msasapodcast  Our Websitehttps://neiked.co.tz/msasa/Podcast Streaming: https://www.buzzsprout.com/2288412/share#sanaa #cinema #filmintanzania #filmmaker #director2024-12-011h 12MSASA PodcastMSASA PodcastFrom passion to profitSend us a textWhat happens when you're a creative but the hustle demands you be a businessman too?  #Today  we sit down with the fabulous hustler Ally Rehmtullah to unpack the chaos, the challenges, and the compromises of balancing artistry with #entrepreneurship Guest: Ally Rehmtullahhttps://www.instagram.com/allyrehmtullah/--Host: Hisia https://instagram.com/hisiatz/ MSASA PODCAST  🎙 :Let’s Touch Base on WhatsApp Channel 💬https://whatsapp.com/channel/0029VaFg... For more content like this SUBSCRIBE To our channel@msasapodcas...2024-11-2348 minMSASA PodcastMSASA PodcastFrom Child to BreadwinnerSend us a textToday, we’re thrilled to host Khalila Mbowe, also known as Kellz—a visionary social entrepreneur and the founder of Unleashed Africa. Her organization is dedicated to empowering East African youth through the arts, leadership, and entrepreneurship, providing skills and opportunities to fuel their creative and professional journeys. In this episode, Khalila shares her journey, drive for social change, and valuable insights on uplifting young people across the region. Join us for a powerful conversation on youth empowerment, growth, and the future of social entrepreneurship!🎧 Guest: Khalila Mbowe (Kellz)🎙 Host: Elisha Sim...2024-11-131h 27MSASA PodcastMSASA PodcastBaharia Mwenye SWAGSend us a textJ2 hii on the #MsasaPodcast @Mtani_bespoke  AKA Fundi ,tafuta mkasi, uzi na kiwembe, maana Msasa wa leo ni wa kitambaa. Tune in to find out how @mtani_bespoke tailored a life that suits him.🎧 Guest: Mtani Nyamakababi (Mtani Bespoke)🎙 Host: Elisha Simon (Hisiatz)Tune in for insights on: #Inspiration #Entrepreneurship  #StreetSmarts #GrowthMindset #Marketing #businessowner  #PersonalGrowth #MsasaPodcast #BusinessInFashion #LifeLessonsJoin us on the MSASA PODCAST 🎙️:🌐 Website: https://neiked.co.tz/msasa/📲 Follow the MSASA PODCAST on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VaFg...🎧 Listen on Buzzsprout: https...2024-11-101h 04MSASA PodcastMSASA PodcastMiaka 20 Kwenye Game na Bado AnakimbizaSend us a textKaribu kwenye #MsasaPodcast! Tunamkaribisha Jay Moe, mkongwe mwenye zaidi ya miaka 20 ya uzoefu katika kuburudisha Watanzania kwa nyimbo zenye mafumbo na ujumbe mkali kupitia muziki wa rap. Tutachambua safari ya muziki na mabadiliko ya tasnia ya muziki wa Bongo toka miaka ya nyuma mpaka sasa. Mazungumzo haya ni ya kuhamasisha, tukitazama mabadiliko, changamoto, na mafanikio katika entertainment industry!🎧 Mgeni: Juma Mchopanga a.k.a Jay Moe🎙 Mwenyeji: Elisha Simon a.k.a HisiatzJiunge kwa maarifa kuhusu:#Inspiration #Entrepreneurship #BusinessSuccess #StreetSmarts #Hustle #Marketing #SuccessMindset #PersonalGrowth #MsasaPodcast #BongoFlavor #bongoh...2024-10-271h 20MSASA PodcastMSASA PodcastFuraha yako ni Jukumu LakoSend us a textJiunge nasi kwenye #MsasaPodcast tunapomkaribisha Lumulike Mengele A.K.A Muli B, mfanyabiashara na DJ maarufu mwenye zaidi ya miaka 20 katika tasnia ya Bongo Flavor. Tutaangazia umuhimu wa kujitambua na nidhamu katika kufanikisha mafanikio ya muda mrefu. Usikose mazungumzo haya ya kuhamasisha!🎧 Guest: Lumuliko Mengele (Muli B)🎙 Host: Hisia (@hisiatz)#Inspiration #Entrepreneurship #BusinessSuccess #StreetSmarts #Hustle #Marketing #SuccessMindset #PersonalGrowth #MsasaPodcast #BongoFlavor____________MSASA PODCAST  🎙 :Website: https://neiked.co.tz/msasa/Follow the MSASA PODCAST channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VaFg...Podcast Streaming: https://ww...2024-10-201h 10SepetukoSepetukoBunge la Kitaifa Laanza Msasa wa Mawaziri WalioteuliwaBunge la Kitaifa linaanza kuwapiga msasa Mawaziri walioteuliwa na Rais William Ruto, katika Baraza jipya alilotangaza. Hii ni fursa adimu kwa Bunge kutekeleza wajibu wake wa Kikatiba na kuonesha kuwa ni taasisi huru na inayojisimamia bila kushurutishwa na Serikali tendaji. Hii ni fursa ya Bunge kusafisha jina lake ambalo limekuwa si lolote la kujivunia.2024-07-3104 minMSASA PodcastMSASA PodcastThe Silent Loud OneSend us a textBeing #different from the your competitors isn’t enough to win the market, so what is?Leo tumemkaribisha a media buying expert akituelezea jinsi #effectivebranding inaweza kutusaidia kuboresha na kukuza #biashara zetu. #msasapodcast #effectivecampaign  #marketing #mediabuying   #entrepreneurship  #Tanzania Guest: John Enos Otieno  / john-enos-otieno-69091919  --Host: Hisia   / hisiatz   MSASA PODCAST  🎙 :Let’s Touch Base on WhatsApp Channel 💬https://whatsapp.com/channel/0029VaFg... For more content like this SUBSCRIBE To our channel   / @msasapodcast  Our Websitehttps://ne...2024-07-011h 10MSASA PodcastMSASA PodcastThe Godfather of ComedySend us a textSometimes getting out of #comfortzone is the key to many doors that you wouldn’t have opened otherwise.Leo tumemkaribisha Godfather wa comedy Tanzania Evans Bukuku akitupa his personal experiences zenye #Msasa ndani yake that are guaranteed to leave you motivated to take on new #challenges and #opportunities #msasapodcast #entrepreneurship #biashara   #comedy #comedian  #Tanzania #podcast Guest: Evans Bukukuhttps://instagram.com/evansbukuku/http://linkedin.com/in/evans-bukuku-2a8a1076--Host: Hisia https://instagram.com/hisiatz/ MSASA PODCAST ...2024-05-051h 54MSASA PodcastMSASA PodcastOxygen is FreeSend us a textThe future of entrepreneurship in Africa it’s not just promising - it’s already unfolding na Kuna msemo wa Kiafrika unasema “Ukitaka kwenda haraka, nenda peke yako, ukitaka kwenda mbali, nenda na wenzako” Leo kwenye #Msasa tumemkaribisha an agribusiness expert and a serial entrepreneur, Steve Issac Angelo akituelezea why being an entrepreneur in Africa requires different lens and mindset.#MsasaPodcast #entrepreneurship  #africa #biashara #africaentrepreneur #ProblemSolvers #mjasiriamali   #ujasiriamali   #Tanzania Guest: Steve Issac Angelo  --Host: Hisia   MSASA PODCAST  🎙 :Let’s Touch Base on Whats...2024-04-281h 19MSASA PodcastMSASA PodcastMaisha na Sauti Ya GuitarSend us a textKama wewe ni msanii au unataka kuwa msanii hii episode inakuhusu, Utapata kujua uhalisia wa Sanaa and what it takes to thrive in this industryLeo tumekaribisha Grace Matata, Tanzania's beloved Afro soul singer, to share her personal insights, experiences, and wisdom gained from her journey in the #music industry#musician #afrosoul #Inspiration #singer #Msasa #msasapodcast #TanzaniaGuest: Grace Matatahttps://instagram.com/gracematata/http://linkedin.com/in/grace-matata-24511b100--Host: Hisia https://instagram.com/hisiatz/ MSASA PODCAST  🎙 :2024-04-141h 00MSASA PodcastMSASA PodcastBuckle up! Life is not freeSend us a textRefuse to let life happen to you - make it happen! Join us for a raw chat with Daniella Kwayu, a serial entrepreneur, economist, agriculture enthusiast and a founder of Pherma Agri and get ready to toughen up, take charge and take up space in a world that’s anything but easy. #MsasaPodcast #investors  #founder #dontbeavictim #beincharge #entrepreneurship #ujasiriamali #impactinvesting    #Tanzania Guest: Daniella Kwayu  / daniellakwayu    / daniella-raymond-kwayu-994a6364  --Host: Hisia   / hisiatz    / elisha-simon-151091  MSASA PODCAST  🎙 Let’s Touch Base on WhatsApp Channel 💬https...2024-04-131h 20MSASA PodcastMSASA PodcastBobby West Goes to TownSend us a textWhen the going gets tough, the tough gets going. Kwenye hii episode Bobby anatuelezea #changamoto mbali mbali alizokutana nazo kwenye maisha yake, lessons alizojifunza na njia anazotumia ku cope na new incoming #challenges #Msasa #madini #advertising #creatives #faith #bongo #BongoIsBrain #Tanzania Guest: Bobby Mongi  / bobbymongi  --Host: Hisia   / hisiatz  MSASA PODCAST  🎙 :Let’s Touch Base on WhatsApp Channel 💬https://whatsapp.com/channel/0029VaFg... For more content like this SUBSCRIBE To our channel   / @msasapodcast  Our Websitehttp...2024-04-131h 21MSASA PodcastMSASA PodcastMwanajeshi na NyotaSend us a textUkiona vyaelea ujue vimeundwa - Unamjua aliyeiunda EvoNem health App? Basi leo ndo yuko #msasani akitupa the ups and downs of building a #business in today’s world. From resilience in the face of #challenges to seizing opportunities for #growth, this episode is packed with tons of wisdom for all the aspiring #entrepreneurs out there!#msasapodcast #techstartups #businessowner #wisdomsunday #podcast #Tanzania #entrepreneurship  Guest: Emmanuel Mbeyelahttps://instagram.com/mbeyela255/ http://linkedin.com/in/emmanuel-mbeyela-539b2230--Host: Hisia https://instagram.com/hisiatz/ 2024-04-071h 15MSASA PodcastMSASA PodcastThe Curious Case of Arthur KyaraSend us a textkwenye game ya biashara, lazima ujue ni nini kinapiga kazi na nini hakiendi, otherwise utakuwa unapoteza muda na pesa. Na pia kwa vyote unavyofanya Mungu ndo caption number moja.Leo tumemkaribisha the man of God ambaye pia ni mtaalam wa data kutuelezea umuhimu wa data na jinsi tunavyoweza kuitumia kuboresha biashara zetu.#msasapodcast #datadriven #dataanalyst #biashara #data  #entrepreneurship  #Tanzania Guest: Arthur Kyarahttps://instagram.com/arthurkyara/http://linkedin.com/in/arthur-kyara-172b2b5b--Host: Hisia https://instagram.com/hisi...2024-04-051h 06Make Your Own DestinyMake Your Own DestinyFailure to Success | Behind the Scenes with Msasa’s Podcast Elisha| Failures, Marketing & CreativityJoin us for a compelling conversation with Elisha, the creative force behind the Msasa Podcast. We dive into Elisha's journey as an artist, marketer, and entrepreneur, exploring the lessons learned from failures and how they fuel growth and creativity. In This Episode: - Elisha's blend of creativity and marketing savvy. - The role of failure in success, as featured on the Msasa Podcast. - Insights for artists and entrepreneurs navigating their paths.2024-03-1140 minMSASA PodcastMSASA PodcastSaturn's ReturnSend us a textUlipotoka unakuja unakokwenda haukutambui - everything that happens happens for a reason/ there’s a reason behind every twist and turn in lifeJoin us for an enlightening and laughter-filled episode featuring the one and only Deogratius, a multi-talented comedian and serial entrepreneurOn this episode, you will be entertained and inspired with deogratius unique perspective and hilarious anecdotes. #msasapodcast  #comedian #comedyshow #watubaki #sisiniwatubaki #wachekeshaji #entrepreneur #Tanzania Guest: Deo Gratiushttps://instagram.com/deogratiusgram/--Host: Hisia https://instagram.com/hisiatz/MS...2024-03-1053 minMSASA PodcastMSASA PodcastUkitaka kusikilizwa, sikiliza kwanzaSend us a textDetermination: the stubborn refusal to let life’s #challenges turn you into a soggy sponge On this episode, we dive into the world of resilience and #determination with Edwin Musiba, the Founder & CEO of Salt Media Co#msasapodcast #CreativeDirector #founder #creative   #Tanzania Guest: Edwin Musibahttps://instagram.com/extraedinary/http://linkedin.com/in/edwin-musiba-17308346--Host: Hisia Instagram :  / hisiatz  MSASA PODCAST  🎙 :Explore ▶️#MsasaPodcast Episodes https://chat.google.com/dm/kbHqoMAAAA... Let’s Touch Base on WhatsApp Channel 💬2024-03-031h 26MSASA PodcastMSASA PodcastUsionyeshe Tatizo, Onyesha SuluhuSend us a textCare is the name of the game....join us as we talk what it takes to go above and beyond. Tune in  kwenye #MsasaPodcast with Jacqueline Lawrence entrepreneur and director of @mbeyahighlandsfm , as we uncover the power of genuine care in business.#Inspiration #entrepreneurship #businesssuccess Usikose Msasa Leo na Jacqueline LawrenceGuest: Jacqueline LawrenceInstagram:  @jackielawrencem  LinkedIn:  @ jacqueline-lawrence-mwakyambiki  #media #marketing #events #business #entrepreneurs #msasapodcast --Host: Hisia Instagram :   @hisiatz  MSASA PODCAST  🎙 :Website: https://neiked.co.tz/msasa/Follow th...2024-02-261h 02MSASA PodcastMSASA PodcastKujiajiri sio kutokaSend us a textWith freedom comes great responsibility. Jiunge nasi kwenye #msasapodcast na Tech Guru & Entrepreneur Ng’winula Kingamkono as we talk what it takes to succeed in business.Usikose Msasa Leo na Ng’winula KingamkonoGuest: Ng’winula Kingamkono#fintech #software #entrepreneurs --Host: Hisia  MSASA PODCAST  🎙 :Website: https://neiked.co.tz/msasa/Follow the MSASA PODCAST channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VaFg...Podcast Streaming: https://www.buzzsprout.com/2288412/share2024-02-1956 minMSASA PodcastMSASA PodcastPleasure, Passion & Pain na Baba UshauriSend us a textLessons in Life are numerous ila mwisho wa siku #maamuzi ya kutisha nayo ni ya kwako. #Jikubali #YouAreEnough Karibu Kwenye #MsasaPodcast with Legendary Media & Marketing Guru & former East Africa Radio & Choice FM's "The Fix" Presenter Sebastian Mwaikambo. Guest: Sebastian "The Warrior" Mwaikambo  #ControlYourThoughts #YouAreWhatYouThink #EmbraceYourPotential -- MSASA PODCAST  🎙 :Website: https://neiked.co.tz/msasa/Follow the MSASA PODCAST channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VaFg...Podcast Streaming: https://www.buzzsprout.com/2288412/share2024-02-1954 minMSASA PodcastMSASA PodcastMungu akitaka kukutumia hakuandikii baruaSend us a textKila mtu ana nafasi yake .Hata kama kwa nje wito utaonekana kufanana haina maana wito wa mtu mmoja na mwingine unafanana.Jiunge nasi leo tuki pata Msasa kwa Gwamaka Mwakalinga talking about his call to greatness. Guest: Gwamaka Mwakalinga#Musician #Worship #Leader #Songcomposer #essenceofworship Host: Hisia  MSASA PODCAST  🎙 :Website: https://neiked.co.tz/msasa/Follow the MSASA PODCAST channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VaFg...Podcast Streaming: https://www.buzzsprout.com/2288412/share2024-02-171h 12Baha\'i Education (Kiswahili)Baha'i Education (Kiswahili)Badasht Ndogo - Kambi ya Mafunzo ya VijanaMakala hii inasimulia safari ya kubadilisha maisha kupitia kusoma "The Dawn-Breakers," ikipigwa msasa wa huduma katika Kituo cha Dunia cha Baha'i Haifa. Inaunganisha uzoefu binafsi na ushawishi mkubwa wa mipango ya elimu ya Bw. Dunbar, ikisisitiza umuhimu wa kuelewa taasisi za Baha'i na uangalizi. Inachunguza urahisi na upanuzi wa usomaji wa kushirikiana, urejeshaji wa chombo cha elimu muhimu, na kuvuka vikwazo vya kujishughulisha na maandishi. Kupitia mchanganyiko wa visa vya kibinafsi na ufahamu wa tafakari, makala inaonyesha jinsi "The Dawn-Breakers" inavyotumikia kama chombo cha msukumo, kinachokabiliana na utambulisho wa kimaterialisti na kuwapa nguvu kizazi kipya kwa msingi madhubuti katika imani...2024-02-1614 minMSASA PodcastMSASA PodcastHatua ya kwanza ya kutoboa ni kufeliSend us a textWaswahili wanasema ukimpiga teke chura, unamuongezea mwendo. 🔥Kwenye episode hii tunapata madini raw kabisa from Fredrick Bundala AKA Sky, living proof of the fruits of perseverance.Guest: Sky Instagram: https://www.instagram.com/skytanzaniaSimulizi na Sauti (SNS):  https://www.youtube.com/@SimuliziNaSauti#Author #simulizinasauti #creative #director  --Host: Hisia Instagram :https://www.instagram.com/hisiatz/MSASA PODCAST  🎙 :Website: https://neiked.co.tz/msasa/Follow the MSASA PODCAST channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VaFgLWcFnSzBUOWCVm1APodcast Streaming: https://www...2024-01-281h 27MSASA PodcastMSASA Podcast'Unahitaji kufanya kazi,Kupata Kazi' with Lillian Madeje, Founder of Niajiri PlatformSend us a textWaswahili wanasemaga, ujanja kuwahi na mwenye nacho hongezewa. Je, umejiongeza mpaka wapi nawe uongezewe?Join us on this episode of  #MsasaPodcast with Lillian Madeje, Entrepreneur & Founder of the Niajiri Platform  as we talk Biashara na kuajiriwa.https://neiked.co.tz/msasa/2024-01-141h 19MSASA PodcastMSASA Podcast'Sitaki kua tajiri, nataka kufanikiwa' with artist & Hip hop legend Fid QSend us a textNini tofauti kati ya utajiri na kufanikiwa?Usikose #Msasa huu wa @therealfidq this #sunday on the #msasapodcast2023-12-2654 minOWN YOUR SPACEOWN YOUR SPACE60. Maxwell Ishmail, Building Community (starts with you)Maxwell Ishmail and I worked together for the 3 years I lived in Denver, Colorado from 2010 to 2013. I invited Max on the show as my guest, for a few reasons.    "Thank you, Max", for nudging me to start the podcast.... for putting the idea in my head.  Maxwell's energy is.... "life giving"... he's always bringing people together.  Max (a union employee) joined me, in Management (non-union)... and we built bridges and tore down the wall that had been up for more than 30 years, between the two sides.  It was the biggest metaphorical mountain that I've ever had to climb, in my caree...2022-02-0139 minUnleash your MagicUnleash your MagicUnleash Your Magic Show 26/01/22PART ONE- How to create everything that you’ve never had! In today’s show I’m introducing you all to a group of incredible business women! They are all co-authors alongside myself in our new book due to be released at the end of January; How to create everything that you’ve never had! Kirsty Medelain "Kiki" a 35 year old Scientific Research and Developer. Prior to Scientific research she was in retail management for 10 years. However after 13 operations and a mental breakdown she knew her purpose was to understand the causation of inflammatory disorders and auto...2022-01-3158 minMsasaonlineMsasaonlineLINAH : "MIMI NA MORRISON SIO WAPENZI, NI MARAFIKI TU".Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Linah Sanga (Linah) ameamua kuuvunja ukimya baada ya kusambaa taarifa za kuwepo na mahusiano ya kimapenzi kati yake na mchezaji wa Simba, Benard Morrison. Ule msemo wa "uongo ukiachwa ukasambaa kwa ukubwa zaidi, huwa unageuka ukweli" umejaribu kupingwa vikali na mrembo huyo na kusema kuwa, Yeye na Benard Morrison Ni washkaj tu na wala hakuna mapenzi yoyote yanayoendelea kati yao kama watu wanavyodhani. Linah akaongezea kwa kusema, "yeye ni shabiki yake na mimi ni shabiki yake, tulikutana kwenye mazingira fulani ambayo hata mimi sikutegemea kama ningekuwa hapo, kwani alivyoniona alisema ni mwanamuziki anaefatilia kazi...2020-08-1501 minDHC Podcast , Hosted By EpisodeDHC Podcast , Hosted By EpisodeAsylum Hour 44: (Part Three: The Travelling Guest Mix by Garry Montana) [Pretoria, South Africa]Garry Montana is a music lover, who has an excellent ear when it comes to deep house and old school house jams. He was mentored Jabjuice and Msasa from EonFunk. South Africa is one of the countries that know the true essence of house music, it joins people of all races and cultures together "house is black and white" and it's the reason why I love house music till this day. My all time favorite house djs are Roger Rene Sánchez, Vinny, Dj Fresh, Oskido, Christos, Bubbles, Apollonia, Luciano. I share my music with good ears and as t...2017-10-051h 03