Look for any podcast host, guest or anyone
Showing episodes and shows of

Mtoto News

Shows

Jua Haki ZakoJua Haki ZakoKenya : Haki ya mtoto aliyezaliwa nje ya ndoakatika makala haya mskilizaji tunazAma kuangazia  uamuzi wa kihistoria uliofanywa hivi majuzi na Mahakama ya juu zaidi ya Kenya kuhusu haki za mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa ya dini ya Kiislamu—hasa kuhusu haki ya kurithi mali ya baba yake. Uamuzi huu umetangazwa kuwa hatua muhimu katika mapambano ya kuhakikisha kila mtoto anaheshimiwa na kulindwa kikatiba bila kujali dini au mazingira ya kuzaliwa kwake. Kwa miongo mingi, baadhi ya watoto waliozaliwa nje ya ndoa, hasa katika jamii za Kiislamu, wamekuwa wakinyimwa haki ya kurithi mali ya baba zao moja kwa moja  kwa mujibu tamaduni ya dini...2025-07-1709 minMental GlowMental Glow39 - Mchango wa Mila na Desturi za Kizanzibari kwenye Mahusiano na Afya ya Mtoto wa kike ft. Yusra AmeirKila jamii ina mila na desturi zake ambazo zinakua na mchango mkubwa sana katika makuzi na malezi ya mtoto, aidha wa kiume ama wa kike. Katika kipindi hiki nimeungana na nesi mkunga, Yusra Ameir ambae ana uzoefu wa kufanya kazi na watoto pamoja na wajawazito katika sekta ya afya kisiwani Unguja. Ungana nasi tukiongelea kiundani ni kwa namna gani baadhi ya mila na desturi za Kizanzibari zilivyo na mchango mkubwa katika kukuza unyanyasaji wa kijinsia ambao una athari kubwa kwenye afya ya akili ya mtoto wa kike na ni kwa jinsi gani serikali ya Mapinduzi inaweza ikarekebisha utoaji wa huduma...2024-08-1659 minUkweli FM PodikasitiUkweli FM PodikasitiUlinzi na Usalama wa MtotoIli jamii iweze kuwa salama suala la ulinzi wa mtoto ni jukumu la kila mmoja. Jukumu hili hapaswi kuachiwa mtu… The post Ulinzi na Usalama wa Mtoto first appeared on Ukweli FM.2024-06-2001 minUkweli FM PodikasitiUkweli FM PodikasitiUlinzi na Usalama wa MtotoIli jamii iweze kuwa salama suala la ulinzi wa mtoto ni jukumu la kila mmoja. Jukumu hili hapaswi kuachiwa mtu… The post Ulinzi na Usalama wa Mtoto first appeared on Ukweli FM.2024-06-2001 minUkweli FM PodikasitiUkweli FM PodikasitiUlinzi na Usalama wa MtotoIli jamii iweze kuwa salama suala la ulinzi wa mtoto ni jukumu la kila mmoja. Jukumu hili hapaswi kuachiwa mtu… The post Ulinzi na Usalama wa Mtoto first appeared on Ukweli FM.2024-06-2001 minSBS Swahili - SBS SwahiliSBS Swahili - SBS SwahiliWazazi wanaweza msaidiaje mtoto kupona kiwewe?Iwapo mtoto wako amepata kiwewe ng'ambo au nchini Australia, iwapo ilitokea hivi karibuni au katika siku za nyuma, pakiwa msaada unao faa, mtoto anaweza pona.2024-01-1812 minMending Thoughts AfricaMending Thoughts AfricaMTA S02E06 - KUSHUGHULIKIA TABIA ZA NDANI NA ZA NJE ZA MTOTO WAKO PART 2KUSHUGHULIKIA TABIA ZA NDANI NA ZA NJE ZA MTOTO WAKO.Tabia za mtu zunaweza kuwa fiche au za wazi, na hii inatokana na makuzi na malezi anayopitia mtoto. Mjadala wetu utaangazia eneo hili kwa sababu tabia hizo zinaweza kuwa ni dalili za changamoto za afya ya akili.DEALING WITH YOUR CHILD'S INTERNALIZING AND EXTERNALIZING BEHAVIORS.A person's behavior can be hidden or open, and this is due to the development and upbringing that the child goes through. Our discussion will focus on this area because those behaviors have symptoms of mental challenges.2023-12-1228 minMending Thoughts AfricaMending Thoughts AfricaMTA S02E06 - KUSHUGHULIKIA TABIA ZA NDANI NA ZA NJE ZA MTOTO WAKO PART 1KUSHUGHULIKIA TABIA ZA NDANI NA ZA NJE ZA MTOTO WAKO.Tabia za mtu zunaweza kuwa fiche au za wazi, na hii inatokana na makuzi na malezi anayopitia mtoto. Mjadala wetu utaangazia eneo hili kwa sababu tabia hizo zinaweza kuwa ni dalili za changamoto za afya ya akili.DEALING WITH YOUR CHILD'S INTERNALIZING AND EXTERNALIZING BEHAVIORS.A person's behavior can be hidden or open, and this is due to the development and upbringing that the child goes through. Our discussion will focus on this area because those behaviors have symptoms of mental challenges.2023-12-1226 minMending Thoughts AfricaMending Thoughts AfricaMTA S02E05 - KUASILI (ADOPTION) MTOTO NA AFYA YA AKILI PART 2KUASILI MTOTO NA AFYA YA AKILIKuna nyakati ambazo mtoto anaweza kupewa wazazi wengine kisheria, mchakato huu unaitwa kuasili. Hata hivyo, kuasiliwa kunaweza kumpelekea mtoto kupata changamoto za afya ya akili hasa zile za kihaiba na kitabia. Majadiliano yetu yataangazia mchakato wa kuasili, kuasiliwa na namna unavyoweza kumuathiri mtoto na njia bora za kuchukuwa ili kuepusha athari hizo.ADOPTION AND MENTAL HEALTHThere are times when a child can be legally given to other parents, this process is called adoption. However, adoption can lead the child to experience mental health challenges, especially those...2023-12-0932 minMending Thoughts AfricaMending Thoughts AfricaMTA S02E05 - KUASILI (ADOPTION) MTOTO NA AFYA YA AKILI PART 2KUASILI MTOTO NA AFYA YA AKILIKuna nyakati ambazo mtoto anaweza kupewa wazazi wengine kisheria, mchakato huu unaitwa kuasili. Hata hivyo, kuasiliwa kunaweza kumpelekea mtoto kupata changamoto za afya ya akili hasa zile za kihaiba na kitabia. Majadiliano yetu yataangazia mchakato wa kuasili, kuasiliwa na namna unavyoweza kumuathiri mtoto na njia bora za kuchukuwa ili kuepusha athari hizo.ADOPTION AND MENTAL HEALTHThere are times when a child can be legally given to other parents, this process is called adoption. However, adoption can lead the child to experience mental health challenges, especially those...2023-12-0932 minMending Thoughts AfricaMending Thoughts AfricaMTA S02E05 - KUASILI (ADOPTION) MTOTO NA AFYA YA AKILI PART 1 KUASILI MTOTO NA AFYA YA AKILIKuna nyakati ambazo mtoto anaweza kupewa wazazi wengine kisheria, mchakato huu unaitwa kuasili. Hata hivyo, kuasiliwa kunaweza kumpelekea mtoto kupata changamoto za afya ya akili hasa zile za kihaiba na kitabia. Majadiliano yetu yataangazia mchakato wa kuasili, kuasiliwa na namna unavyoweza kumuathiri mtoto na njia bora za kuchukuwa ili kuepusha athari hizo.ADOPTION AND MENTAL HEALTHThere are times when a child can be legally given to other parents, this process is called adoption. However, adoption can lead the child to experience mental health challenges, especially those...2023-12-0927 minSBS Swahili - SBS SwahiliSBS Swahili - SBS SwahiliAustralia ya elezewa: Wazazi wanaweza msaidiaje mtoto kupona kiwewe?Ikiwa mtoto wako amepata kiwewe ng'ambo au nchini Australia, ikiwa ilifanyika hivi karibuni au katika siku za nyuma, pakiwa msaada unao faa, mtoto anaweza pona.2023-11-2812 minMending Thoughts AfricaMending Thoughts AfricaMTA S2E01 - MUUNGANIKO WA KIHISIA BAINA YA MAMA NA MTOTO PART 2MUUNGANIKO WA KIHISIA BAINA YA MAMA NA MTOTO.Moja ya mazingira hatarishi kwa mtu kupata changamoto za Afya ya Akili na kupata magonjwa ya akili ni kukosekana muunganiko wa kihisia wenye afya baina ya mtoto na mzazi wake, hasa mama! Majadiliano haya yatakupa mwangaza kwenye eneo hili na kukuonesha umuhimu wa mzazi kupatikana kwa mtoto wake.EMOTIONAL CONNECTION BETWEEN MOTHER AND CHILD.One of the dangerous conditions for a person to experience mental health challenges and get mental illnesses is the lack of a healthy emotional connection between the child and his parent...2023-11-2721 minMending Thoughts AfricaMending Thoughts AfricaMTA S2E01 - MUUNGANIKO WA KIHISIA BAINA YA MAMA NA MTOTO PART 1MUUNGANIKO WA KIHISIA BAINA YA MAMA NA MTOTO.Moja ya mazingira hatarishi kwa mtu kupata changamoto za Afya ya Akili na kupata magonjwa ya akili ni kukosekana muunganiko wa kihisia wenye afya baina ya mtoto na mzazi wake, hasa mama! Majadiliano haya yatakupa mwangaza kwenye eneo hili na kukuonesha umuhimu wa mzazi kupatikana kwa mtoto wake.EMOTIONAL CONNECTION BETWEEN MOTHER AND CHILD.One of the dangerous conditions for a person to experience mental health challenges and get mental illnesses is the lack of a healthy emotional connection between the child and his parent...2023-11-2728 minMending Thoughts AfricaMending Thoughts AfricaMTA S02 - KLINIKI YA BABA MAMA NA MTOTO. KLINIKI YA BABA MAMA NA MTOTO.Karibu kliniki ya Baba, Mama na MtotoKliniki hii imekusudia zaidi kuangazia namna Mahusiano ya wazazi kabla, wakati na baada ya mtoto kuzaliwa yanavyoweza kuathiri Afya ya Akili ya Mtoto kwa siku za Usoni. Kadhalika tutaangazia vihatarishi na kadhia nyinginezo mtambuka ambazo kwa namna moja au nyingine zinawaweka watoto wetu katika hatari ya kupata changamoto za Afya ya Akili.Ni matumaini yetu kuwa utajifunza pamoja nasi na pia utachukuwa jukumu la kusambaza maarifa haya kwa kadiri utakavyoweza. Bilas haka wema wowote utakaoufanya utapata fungu lako. Inawezekana usiweze...2023-11-2704 minMental GlowMental Glow25 - Jinsi ya Kuzingatia na Kujali Afya ya Akili ya Mtoto ft. Flora WadutyaKatika malezi, wazazi wengi huwekeza nguvu nyingi katika kutimiza mahitaji ya kimwili na husahau umuhimu wa kutimiza mahitaji ya kiakili (mental needs) katika maisha ya watoto wao. Hii hupelekea changamoto mbalimbali katika ukuaji wa mtu mzima ajaye. Katika kipindi hiki, nimeungana na mwanasaikolojia Flora Wadutya tukiongelea kiundani kuhusu malezi na umuhimu wa wazazi kutimiza mahitaji ya kiakili kwa watoto wao. Kwa kusikiliza kipindi hiki unapata kujifunza umuhimu wa mzazi kuwa mfano wa kwanza kwenye maisha ya mtoto wake na katika kumjengea misingi iliyo bora kwa maisha ya badae.2023-10-2747 minToto On PodcastToto On PodcastEP:3 SSN:6 Children ActivismJoin Karen Mwikhoma and Al-Amin Ahmed as they discuss more about being child rights advocates at Mtotonews, and what being a child rights advocate means. 2023-10-1819 minToto On PodcastToto On PodcastSeason:6 EP:2 Children and TechnologyIn your day to day activities how do you include technology Host - Karen Mwikhoma Guest - Al-Amin Ahmed 2023-10-0912 minMen The PodcastMen The PodcastBaba na mtoto wa kiumeKaa tayari kusikiliza mazungumzo mazuri, yenye kufurahisha, kufundisha na kujenga kwenye episode yetu ya 78. Michael Baruti, na mgeni wetu maalum wa siku ya leo, mtangazaji mashuhuri bwana Harris Kapiga wanazungumza kuhusu dunia ya “u-baba”, na ina maana gani kwa mtoto wa kiume. Na ndiyo sababu ya mazungumzo ya leo kuitwa “Baba na mtoto wa kiume”.   Ni kazi gani ambayo baba inabidi afanye ili aweze kulea mtoto wake wa kiume katika dunia ya sasa?. Katika maongezi haya Michael na Harris Kapiga ambaye ni...2023-10-051h 11Men The PodcastMen The PodcastBaba na mtoto wa kiumeKaa tayari kusikiliza mazungumzo mazuri, yenye kufurahisha, kufundisha na kujenga kwenye episode yetu ya 78.Michael Baruti, na mgeni wetu maalum wa siku ya leo, mtangazaji mashuhuri bwana Harris Kapiga wanazungumza kuhusu dunia ya “u-baba”, na ina maana gani kwa mtoto wa kiume. Na ndiyo sababu ya mazungumzo ya leo kuitwa “Baba na mtoto wa kiume”.  Ni kazi gani ambayo baba inabidi afanye ili aweze kulea mtoto wake wa kiume katika dunia ya sasa?.Katika maongezi haya Michael na Harris Kapiga ambaye ni b...2023-10-051h 11Toto On PodcastToto On PodcastEP:1 S:6 NEW HOST?Eric Namayi introduces a new host? Karen Mwikhoma joins the Toto on Podcast Crew.2023-09-2518 minToto On PodcastToto On PodcastSEASON5:EP9: CHILD TRAFFICKINGJoin Eric and Moraa(Resident Councillor at Mtoto News and Psychologist) as they disscuss more on Chil trafficking how to handle yourself emotionally, and physically when you realise you are lost. Sound Technician/Editor: Omar Hemed 2023-04-0817 minToto On PodcastToto On PodcastSEASON:5 EP:8 Should a child demonstrateJoin Eric Namayi and Alando Adede (Head of the wakili wa Watoto clubs ) as they talk about picketing and how children are affected by these demonstrations. Sound Technician/ Editor: Omar Hemed 2023-03-3113 minToto On PodcastToto On PodcastSEASON:5:EP7 THE GIRL TALKJoin Eric, Brian, Upendo and Marshall as the discuss more about boys and girls in relation to today's society. Sound Technician/Editor: Omar Hemed 2023-03-2412 minToto On PodcastToto On PodcastSEASON: 5 EP: 6 Benefits of Bilingualism and MultilingualismJoin Eric, Omar and Margaret, in an engaging discussion as they discuss the benefits of bilingualism and multilingualism. CREDIT Hosted by: Eric Namayi, Omar Hemed and Margaret Wanderi Edited by: Margaret Wanderi Produced by: Mtotonews 2023-03-2118 minToto On PodcastToto On PodcastSEASON:5 EP5: BOOKS AND SPORTSJoin Eric and Brian, in an engaging discussion as they discuss about interaction and choices of kids in books and sports. CREDIT Hosted by: Eric Namayi and Brian Edited by: Margaret Wanderi Produced by: Mtotonews2023-03-1015 minToto On PodcastToto On PodcastSEASON:5 EP 4 CHILDREN IN CONFLICT WITH THE LAWJoin Eric and Brian as they talk to the Wakili Wa Watoto club members Alando Adede and Mercy Mwaura about Children in Conflict with the Law. 2023-03-0318 minToto On PodcastToto On PodcastSEASON:5:EP3 Are mixed schools better than segregated schools?Join The Three Stranger Kids (Brian, Eric and Omar) and Guest Brian Omondi, CEO and Founder of Tripple f Production as they discuss on the issue of segregation in high schools. 2023-02-2421 minToto On PodcastToto On PodcastExpectations Of The New Year https://youtu.be/ijfAFTJLFzgJoin Eric and Brian as they discuss the expectations towards the new year on children rights 2023-02-1715 minToto On PodcastToto On PodcastSeason:5:EP2 Are you comfortable Expressing yourself towards your parents?Join The Three Stranger Kids (Eric, Omar and Brian) and Brian Omondi CEO and Founder of Tripple F production as they discuss on the issue of expressing oneself towards your parents.2023-02-1715 minToto On PodcastToto On PodcastEP 1: SEASON 5: THE MIND OF A TEENAGERJoin The Three Stranger Kids (Omar, Eric and Brian) together with Brian Omondi the executive director for Tripple F production as they give their views concerning the mind of a teenager.2023-02-1020 minToto On PodcastToto On PodcastEP 10 - Children and TherapyJoin Eric Namayi, Omar Hemed and Brian King as the give more insights on the importance of Therapy in children.2022-12-0917 minToto On PodcastToto On PodcastTHE IMPORTANCE OF EARLY RESPONSIBILITIES IN CHILDRENJoin Eric Namai, Omar Hemed and Brian King as they breakdown the importance of early responsibilities in children and the need for children to learn how to save money. 2022-11-0416 minToto On PodcastToto On PodcastLEADERSHIP IN CHILDRENIt is important for children to be able to explore their leadership qualities at a young age, today our child journalists explore on the importance of being in leadership at a young age, tune in and have FUUNN!!!2022-10-2716 minToto On PodcastToto On PodcastEP 7 | WHY HAVE PETS.Join us as we get to learn on why we should all get pets.2022-10-1414 minToto On PodcastToto On PodcastEP 6 | CLIMATE CHANGE-THE OTHER PERSPECTIVEJoin us as we get to understand the other perspective of climate change from our very own hosts.2022-10-0816 minToto On PodcastToto On PodcastEP 5 | EQUALITY IN CHILDRENJoin us as we get to understand Equality from a child's perspective.2022-10-0117 minRadioRahmaRadioRahmaKilio cha mtoto mwenye ulemavu wa akili aliyebakwa na kupachikwa mimbaWatoto wengi wenye matatizo ya akili upitia unyanyasaji wa kingono,kupachikwa ujauzito na wengi wa wanao bakwa usalia kimya wasijue wapi pa kuripoti kisa hicho,Mariam mwenye umri wa miaka 16 ni kati ya watoto wenye ulemavu wa akili walionajisiwa na kupachikwa mimba. Mariam ambalo si jina lake kamili alibakwa na kusalia kimya bila hata kumjulisha mamake. Kwa Sasa Mariam analea mtoto mvulana mwenye umri wa miezi mitatu.Anataja kuwa alikuwa ameenda msalaani kujisaidia na huko ndiko alikumbana na jamaa aliyemdhulumu kwa kumbaka. Mwandishi:Athuman Luchi2022-09-2707 minToto On PodcastToto On PodcastEP 4 | MISSING CHILDREN.Join us today as we get to learn more on why children get missing from our very own Eric and Omar.2022-09-2319 minToto On PodcastToto On PodcastEP 3 | CONFLICT RESOLUTION.Join us as we get to understand peaceful conflict resolution from a children's perspective.2022-09-1614 minToto On PodcastToto On PodcastEP 2 | THE CBC CURRICULUMjoin us as we understand the CBC curriculum from a child's perspective.2022-09-0919 minToto On PodcastToto On PodcastEP 1 | CHILDREN IN THE WAKE OF ELECTIONS.Join us today as we look at how the Kenya General elections have been experienced by children hosted by our very own Omar.2022-09-0213 minToto On PodcastToto On PodcastEP 13 | CORPORAL PUNISHMENT IN SCHOOLS.Join us for our final episode of Toto on podcast episode 3 as we talk about the injustice that is corporal punishment.2022-07-3016 minToto On PodcastToto On PodcastEP 12 | THE SEX TOPICJoin us this week as we talk about a topic considered an abomination in most African societies with our very own Omar and Brian.2022-07-2214 minToto On PodcastToto On PodcastEP 11 | ABOUT THE POLITICAL MANIFESTOS.Join us today as our children Journalists analyze the recent manifestos presented by our leaders2022-07-1614 minToto On PodcastToto On PodcastEP 10 | SPORTS BACK IN SCHOOLS.Join us today as we listen in to Omar and Sheila2022-07-0212 minToto On PodcastToto On PodcastEP 9 | THE CHILDREN'S BILL.Join us today as we learn about the children's bill with Omar and Brian.2022-06-2411 minToto On PodcastToto On PodcastEP 8 | DAY OF THE AFRICAN CHILD.The Day of the African Child has been celebrated on June 16 every year since 1991, when it was first initiated by the OAU Organisation of African Unity. It honors those who participated in the Soweto Uprising in 1976 on that day.2022-06-1111 minToto On PodcastToto On PodcastEP 7 | CHALLENGES FACING CHILDREN IN KIBERA.Listen in to today's episode as we listen in to the challenges facing children in Kibera from a child's perspective.2022-06-0313 minToto On PodcastToto On PodcastEP 7 | TREES.Do you know just how important our trees are? Get to hear it from our kids by listening in to this exciting episode 2022-05-2709 minToto On PodcastToto On PodcastEXPRESSION AND ARTJoin us today for our weekly episode hosted with our very own Brian king!2022-05-2012 minToto On PodcastToto On PodcastEP 5 | CHILDREN AND TECHNOLOGY.Join us today as we get to understand the impact technology has on children, straight from the children themselves.2022-05-1309 minToto On PodcastToto On PodcastEP 4 | OCSEA (ONLINE CHILD SEXUAL EXPLOITATION AND ABUSE).Sexual exploitation refers to any actual or attempted abuse of a position of vulnerability, differential power, or trust, for sexual purposes, perpetrated by aid workers against the children and families they serve. Sexual abuse is the actual or threatened physical intrusion of a sexual nature, whether by force or under unequal or coercive conditions, perpetrated by aid workers against the children and families they serve. When a child is subjected to related misconduct at the hands of someone other than an aid worker, this is defined as sexual violence. Occurs in every country, across all segments of...2022-05-0611 minToto On PodcastToto On PodcastEP 3. | CHALLENGES FACING STAREHE CHILDREN.Listen in to today's episode as the challenges facing children in Starehe Sub-county are narrated by a child.2022-04-2910 minToto On PodcastToto On PodcastEP 2. | CHILDREN AND CLIMATE CHANGERising temperatures and decreased air quality affect kids by increasing asthma attacks and allergies, worsening pregnancy outcomes, creating food insecurity, increasing mental health problems, developmental delays, and changes in their genetic makeup. Welcome to today's episode as we get to listen to a child's take on climate change.2022-04-2217 minVijana na MapenziVijana na MapenziVijana na Mapenzi Podcast; Mwanamke mwenye mtoto, atapataje mume mwaminifu?Mwanamke anapopata mtoto nje ya ndoa ama kumzaa mtoto katika ndoa kisha kutengana na mumewe, wapo wanaojipata katika njia panda anapotafuta mchumba. Baadhi huhofia kuwa katika mapenzi kwa hofu ya kulaghaiwa tena na hofu ya kupata mwanamume atakayempenda pamoja na mwanawe. Je, mwanamke huyu afanye nini ili ampate mchumba wa kumwamini?Tunaliangazia suala hili kwa kuhusisha kauli za wananchi vilevile mshauri.2022-04-2106 minToto On PodcastToto On PodcastEP 1 | INTERNATIONAL DAY FOR STREET CHILDREN.On the 12th of April, organizations around the world will be recognizing International Day for Street Children: a special day acknowledging the strength and resilience of millions of street children around the world.2022-04-1314 minSenzo Mtoto\'s podcastSenzo Mtoto's podcastEmancipation ProclamationRevolution is true2022-02-2502 minSenzo Mtoto\'s podcastSenzo Mtoto's podcastMkinayaMojo Moja2022-02-2501 minSenzo Mtoto\'s podcastSenzo Mtoto's podcastKinayaKarakta za trakta panta2022-02-2501 minSenzo Mtoto\'s podcastSenzo Mtoto's podcastInITaita my story and Istory2022-02-2503 minToto On PodcastToto On PodcastEP 5 | MENTAL HEALTHMental health refers to cognitive, behavioral, and emotional well-being. It is all about how people think, feel, and behave. Mental health can affect daily living, relationships, and physical health.2021-12-1707 minToto On PodcastToto On PodcastEP 4 | II. TOTO ONGEAMany children will experience a temporary delay in speech and language development. Most will eventually catch up. Others will continue to have difficulty with communication. Some of the most common disorders include Articulation Disorders, Receptive Disorders, Autism-Related Speech Disorders,,,2021-12-0308 minToto On PodcastToto On PodcastEP 3 | STREETS NI HOMEExperts estimate that there are 250,000-300,000 children living and working on the streets, with more than 60,000 of them in Nairobi. According to statistics from ‘the new humanitarian’ Street children face endless cruelties. Their rights have been violated many times by the adults who were supposed to protect them. In many cases these children are subject to sexual exploitation in return for food or clothes. Often, police detain and beat them without reason.Experts estimate that there are 250,000-300,000 children living and working on the streets, with more than 60,000 of them in Nairobi. According to statistics from...2021-12-0112 minToto On PodcastToto On PodcastEP 3 | STREETS NI HOME PART IStreets ni Home is a charity founded by Lisa Muthoni to offer assistance to Streets children by means of donations I.e foodstuffs, clothes, sanitary towels... --- Send in a voice message: https://anchor.fm/toto-podcast/message2021-11-2612 minToto On PodcastToto On PodcastTHE NURTURING CARE PART I | EP 02Nurturing care refers to conditions created by public policies, programmes and services. These conditions enable communities and caregivers to ensure children’s good health and nutrition, and protect them from threats. Nurturing care also means giving young children opportunities for early learning, through interactions that are responsive and emotionally supportive. The Nurturing Care Program for Siaya presents to you some the developmental milestones they have taken as county in Early Childhood Development  with views from different stakeholders from the county.2021-11-1914 minToto On PodcastToto On PodcastTHE NURTURING CARE PART I | EP 01Nurturing care refers to conditions created by public policies, programmes and services. These conditions enable communities and caregivers to ensure children’s good health and nutrition, and protect them from threats. Nurturing care also means giving young children opportunities for early learning, through interactions that are responsive and emotionally supportive. The Nurturing Care Program for Siaya presents to you some the developmental milestones they have taken as county in Early Childhood Development  with views from different stakeholders from the county.2021-11-1212 minDhamanaDhamanaMatunzo ya mtoto baada ya Talaka.MATUNZO YA WATOTO BAADA YA TALAKA.Baada ya ndoa kuvunjwa na mahakama, hutolewa amri ya mahakama kuhusu uangalizi na matunzo ya watoto.Haki ya kuishi na watoto hutegemea umri wa mtoto au watoto, uwezo wa kifedha wa kuwatunza na ustawi wa mtoto mwenyewe.Mtoto mwenye umri wa chini ya miaka 7 hupaswa kuishi na mama kwaajili ya ustawi wake kama mtoto, lakini ni lazima ionekane wazi kuwa mama ana tabia njema na ustawi wa mtoto hautaathiwa.Mtoto mwenye miaka zaidi ya saba anaruhusiwa kuchagua kuishi na baba au mama. Baba atawajibika kutoa matunzo ya kifedha kadri ya uwezo/kipato chake kama...2021-10-1802 minToto On PodcastToto On PodcastEP 13 | THIS IS US PART2Mtoto News is an online platform for news information and resources on children. We aim at making a significant change in the lives of children by making them visible.2021-10-0713 minToto On PodcastToto On PodcastEP 12 | THIS IS USMtoto News is an online platform for news information and resources on children. We aim at making a significant change in the lives of children by making them visible.2021-09-2912 minToto On PodcastToto On PodcastEP 11 | THE MIND OF AN ADOLESCENT IIIAdolescence is the phase of life between childhood and adulthood, from 10 to 19 years. It is a unique stage of human development and an important time for laying the foundations of good health. Adolescents experience rapid physical, cognitive and psychosocial growth. This affects how they feel, think, make decisions, and interact with the world around them. Despite being thought of as a healthy stage of life, there is significant death, illness and injury in the adolescent years with much of this being preventable or treatable. During this phase, adolescents establish patterns of behavior – for instance, related to...2021-09-2217 minToto On PodcastToto On PodcastEP 10 | THE MIND OF AN ADOLESCENT IIAdolescence is the phase of life between childhood and adulthood, from 10 to 19 years. It is a unique stage of human development and an important time for laying the foundations of good health. Adolescents experience rapid physical, cognitive and psychosocial growth. This affects how they feel, think, make decisions, and interact with the world around them. Despite being thought of as a healthy stage of life, there is significant death, illness and injury in the adolescent years with much of this being preventable or treatable. During this phase, adolescents establish patterns of behavior – for instance, related to...2021-09-1509 minNukta the PodcastNukta the PodcastVita ya baba na mtoto inayoacha alama kwenye familiaHuzuni, hasira na majuto yanamfanya Wenwu kuchochea moto wa kisasi huku kuni yake akiwa ni mtoto wake , Shang Chi.2021-09-1107 minToto On PodcastToto On PodcastEP 9 | THE MIND OF AN ADOLESCENTAdolescence is the phase of life between childhood and adulthood, from 10 to 19 years. It is a unique stage of human development and an important time for laying the foundations of good health. Adolescents experience rapid physical, cognitive and psychosocial growth. This affects how they feel, think, make decisions, and interact with the world around them. Despite being thought of as a healthy stage of life, there is significant death, illness and injury in the adolescent years with much of this being preventable or treatable. During this phase, adolescents establish patterns of behavior – for instance, related to...2021-09-0110 minToto On PodcastToto On PodcastEP 8 |PARENTING IN PRISONParenting a child in prison is very challenging for both the mother and the child as both are forced to co-habit in environments with poor sanitary conditions. In addition, Children whose parents are involved in the criminal justice system, in particular, face a host of challenges and difficulties: psychological strain, antisocial behavior, suspension or expulsion from school, economic hardship, and criminal activity. It is difficult to predict how a child will fare when a parent is intermittently or continually incarcerated, and research findings on these children's risk factors are mixed.2021-08-2507 minToto On PodcastToto On PodcastEP 7 | MIRACLE FEETClubfoot is a deformity in which an infant's foot is turned inward, often so severely that the bottom of the foot faces sideways or even upward. Approximately one infant in every 1,000 live births will have clubfoot, making it one of the more common congenital (present at birth) foot deformities. Clubfoot is not painful during infancy. However, if your child's clubfoot is not treated, the foot will remain deformed, and he or she will not be able to walk normally. With proper treatment, however, the majority of children are able to enjoy a wide range of physical activities...2021-08-1806 minToto On PodcastToto On PodcastEP 6 | BETTER DAYSIn December 2016, UNICEF reported that an estimated 535 million children, a quarter of the world's children,  lived in countries affected by conflict or disasters. Nearly 50 million have been forcibly displaced from their homes, increasing their vulnerability to exploitation and violence. Children are the most vulnerable victims of conflict due to many factors. Besides being among the many civilian casualties during an armed conflict, children may be orphaned or separated from their families and become heads of households which leaves them vulnerable to forced labour, sexual exploitation or recruitment in armed forces.2021-08-1109 minToto On PodcastToto On PodcastEP 5 | THE STORY OK KEANE KAGAI PART 2This part 2 of the story of Keane Kagai, an intersex child born into a family of two parents and two siblings. Intersex is a general term used for a variety of situations in which a person is born with reproductive or sexual anatomy that doesn’t fit the boxes of “female” or “male.” Sometimes doctors do surgeries on intersex babies and children to make their bodies fit binary ideas of “male” or “female”. Mr and Mrs Kagai have been on a tough medical journey since their son was born and they have had to endure a lot of emotional...2021-08-0407 minToto On PodcastToto On PodcastEP 4| THE STORY OK KEANE KAGAIThis part 1 of the story of Keane Kagai, an intersex child born into a family of two parents and two siblings.  Intersex is a general term used for a variety of situations in which a person is born with reproductive or sexual anatomy that doesn’t fit the boxes of “female” or “male.” Sometimes doctors do surgeries on intersex babies and children to make their bodies fit binary ideas of “male” or “female”. Mr and Mrs Kagai have been on a tough medical journey since their son was born and they have had to endure a lot of emotional...2021-07-2808 minToto On PodcastToto On PodcastEP 3 | ENDING MENSTRUAL STIGMAMenstruation is the monthly shedding of the lining of a woman’s uterus (more commonly known as the womb). Menstruation is also known by the terms menses, menstrual period, cycle or period. The menstrual blood—which is partly blood and partly tissue from the inside of the uterus—flows from the uterus through the cervix and out of the body through the vagina. The discrimination faced by someone menstruating may be small or large, but it is harmful regardless of whether it's a lighthearted joke or the perpetuation of a belief that isn't true.2021-07-2109 minToto On PodcastToto On PodcastTOTO ON PODCAST| EP 2| THE BATTLE OF THE MINDMental health includes our emotional, psychological, and social well-being. It affects how we think, feel, and act. It also helps determine how we handle stress, relate to others, and make choices. Mental health is important at every stage of life, from childhood and adolescence through adulthood. Although many children with mental health problems are in contact with primary health care services, few receive appropriate help. Join us as we delve deeper into this very sensitive topic on Mental health and children.2021-07-1409 minToto On PodcastToto On PodcastTOTO ON PODCAST | EP 1 | FROM CUT TO HOPE - FGM STORY(FGM) Female genital mutilation, also known as female circumcision, excision or genital cutting, comprises all procedures that involve partial or total removal of the external female genitalia, or other injuries to the genital organs for non-medical reasons, mostly carried out between infancy and age 15. It is practiced all around the world, affecting 200 million women and girls alive today. Yet there are survivors who refuse to be defined by their traumas and give hope to other survivors to tell their stories Join us for an insightful conversation with an FGM Survivor and Activist, Sadiah Hussein2021-07-1207 minSenzo Mtoto\'s podcastSenzo Mtoto's podcastBrother Nevil And IMy best friend and I love you2021-06-3002 minSenzo Mtoto\'s podcastSenzo Mtoto's podcastEpisode 4 - Senzo Mtoto's podcastBrother nevil2021-06-1700 minSenzo Mtoto\'s podcastSenzo Mtoto's podcastEpisode 3 - Senzo Mtoto's podcast2021-06-1701 min99.9 GHETTO FM99.9 GHETTO FMMakalu ya mtoto wa kiafrikaUnaelewa nini kuhusu siku ya mtoto wa 2021-06-1614 minCoffee chats with PhelistersCoffee chats with PhelistersMaadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika 16 Juni 2021Tunapoadhimisha Siku ya Mtoto wa Kiafrika, kwa Pamoja tunaungana Kama Familia, Kama Jumuiya, Kama Wataalamu, Kama Watunga Sera na Viongozi kukuza Mtoto wa Kiafrika. Miaka 30 Baada ya Kupitishwa kwa Hati: Kuharakisha Utekelezaji wa Ajenda 2040 Kwa ajili ya Mtoto wa Kiafrika ni kwa Kutanguliza mahitaji ya Mtoto wa Kiafrika na Kujenga Msingi Imara kwa Afrika na Ulimwenguni. Afrika ina Vijana wengi Zaidi Na Ina Uwezo Mkubwa Wa Kuongoza Ulimwengu kuleta mabadiliko. Umoja wa Afrika unahitaji Sera tabithi ili kumnufaisha Mtoto wa Kiafrika. Heri ya Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kiafrika!2021-06-1501 minElimuElimuELIMU PODCAST: Usalama wa mtoto wa kike - kwenda na kutoka shuleniVisa vya wanafunzi kudhulumiwa wanapokwenda au kutoka shuleni vinazidi kuongezeka. Baadhi wanatekwa nyara, kubakwa au kuuliwa. Je, unamwamini anayemsafirisha mtoto wako? Jamii na washikadau wote wamewajibika vya kutosha ili kukabili visa hivi? Kipi kifanywe ili kuwahakikishia watoto wa kike usalama wanapokwenda au kutoka shuleni? Mwanahabari wetu, Frank Otieno amezungumza na Teresia Otieno wa Forum for African Women Educationalists, FAWE na Dr. Susan Chang'orok Chemtai ambaye ni Mwanasosholojia kuhusu masuala haya.2021-06-1316 minDäññ Stärböëy\'s podcastDäññ Stärböëy's podcastmtoto Akipotoka Nani Wakuraumiwa:Toa Maoni YakoMtoto umleavyo:2021-04-2107 minSenzo Mtoto\'s podcastSenzo Mtoto's podcastBlack My Way Home NowYes blacks are free during the morning!2021-04-1104 minSenzo Mtoto\'s podcastSenzo Mtoto's podcastFantasticKeep it lyrical2021-04-1102 minSIRI ZA BIBLIASIRI ZA BIBLIAMATHAYO 2:MFALME HERODE APANGA KUMUUA MTOTO YESUMathayo 2 1  Yesu alipozaliwa katika Bethlehemu ya Uyahudi zamani za mfalme Herode, tazama, mamajusi wa mashariki walifika Yerusalemu, wakisema, 2  Yuko wapi yeye aliyezaliwa mfalme wa Wayahudi? Kwa maana tuliiona nyota yake mashariki, nasi tumekuja kumsujudia. 3  Basi mfalme Herode aliposikia hayo, alifadhaika, na Yerusalemu pia pamoja naye. 4  Akakusanya wakuu wa makuhani wote na waandishi wa watu, akatafuta habari kwao, Kristo azaliwa wapi? 5  Nao wakamwambia, Katika Bethlehemu ya Uyahudi; kwa maana ndivyo ilivyoandikwa na nabii, 6  Nawe Bethlehemu, katika nchi ya Yuda, Hu mdogo kamwe katika majumbe wa Yuda; Kwa kuwa kwako atatok...2021-03-0904 minThe Absolute PodcastThe Absolute PodcastSiku ya mtoto wa kike duniani.Octoba 11 nisiku ya mtoto wa kike duniani. Wasichana wengi duniani wanakabiliwa na vikwazo katika safari yao ya kuelekea utuuzima, huku mimba na ndoa za utotoni zikiwalazimisha mamilioni kuacha shule na kukatisha ndoto zao. Hivyo umewadia wakati wa dunia kuchukua hatua na kuwapa fursa ya maisha bora wasichana hawa. Naanda kikao na wasichana baadhi ya wasichana hao mtaani kibra.2020-10-1309 minHabari - Voice of AmericaHabari - Voice of AmericaSiku ya Mtoto wa Kike Duniani : UN yasema magumu yanayomkabili yameongezeka - Oktoba 11, 2020Dunia leo inaadhimisha siku ya kimataifa ya mtoto wa kike, katika kipindi ambacho kuna janga la Covid 19 na hali yauchumi imedorora na kuongeza zaidi changamoto kwa wasichana.2020-10-1124 minNaweza ShowNaweza ShowNaweza Show - Msimu wa 2, Sehemu ya 6: Umuhimu wa Kumnyonyesha mtoto mchanga maziwa ya mama pekee kwa muda wa miezi sita ya awali.Sehemu ya 6 ya Naweza Show inakuletea simulizi kutoka Mama kiko.  Yeye ni Mama ila alishindwa kabisa kufuata kanuni za kumnyonyesha mwanae kwa kipindi cha miezi sita, sasa ni yapi yalimsibu mama kiko baada ya hapo? Simulizi hii itakufunza umuhimu ya maziwa ya mama kwa mtoto ndani ya miezi sita ya mwanzo bila kumpatia kitu chochote kile zaidi ya maziwa ya mama.2020-05-0226 minNaweza ShowNaweza ShowNaweza Show - Msimu wa 2, Sehemu ya 4: Hatua za kuchukua pale tunapoona Dalili za Hatari kwa Mtoto Mchanga na jinsi ya kumkinga dhidi ya malaria.Katika sehemu ya nne ya msimu mpya wa Naweza Show tunasikiliza simulizi kutoka kwa Sitti. Simulizi hii itafundisha mengi kuhusu hatua za kuchukua pale tunapoona dalili za hatari kwa mtoto. Na jinsi gani wanaume wanapaswa kushiriki katika malezi ya watoto na kuwapeleka watoto katika vituo vya kutolea huduma za afya pale tu waonapo dalili za hatari.2020-04-1826 minNaweza ShowNaweza ShowNaweza Show - Msimu wa 2, Sehemu ya 3: Hatua za kuchukua pale tunapoona Dalili za Hatari kwa Mtoto MchangaKatika sehemu ya pili ya msimu mpya wa Naweza Show tunasikiliza simulizi kutoka kwa Waridi.   Simulizi hii itafundisha mengi kuhusu hatua za kuchukua pale tunapoona dalili za hatari kwa mtoto mchanga.2020-04-1326 minNaweza ShowNaweza ShowNaweza Show - Msimu wa 2, Sehemu ya 1: Kumpeleka mtoto kwenye kituo cha afya anapoonesha dalili ya #Malaria. #NawezaSikiliza simulizi ya Ruta, kutoka Bukoba. Leo tutajifunza kuhusu umuhimu wa kumuwahisha mtoto kwenye kituo cha afya pale anapoonesha dalili za #Malaria. #Naweza2020-03-3025 minNaweza ShowNaweza ShowNAWEZA Show - Sehemu ya 7 (Samia: Umuhimu wa Kumnyonyesha mtoto mchanga maziwa ya mama ndani ya saa moja baada ya kujifungua)Maisha bora huanza kwa kusema #Naweza. Sikiliza sehemu ya saba ya kipindi cha Naweza, leo tena sikiliza stori ya Samia. Kupitia simulizi yake tutajifunza umuhimu wa kumnyonyesha mtoto mchanga maziwa ya mama ndani ya saa moja baada ya kujifungua.2019-04-2921 minTeck-ZillaTeck-ZillaMtoto B-BoyInspired by being selected as the official deejay for this year’s Red Bull-sponsored “Battle of the Year” competition in Nigeria for breakdancers, producer Teck-Zilla delivers his neck-snapping and straight-up addictive new EP, ‘B-Boy Zilla,’ inspired by famed Florida turntablist, DJ Chief. The seven-track project is absolutely brimming with breaks for the b-boys and b-girls, some of whom have already shown off their talents to tracks on here as part of the competition. The Nigerian-born deejay/producer was tasked with coming up with sounds that blended Afro and EDM elements and, suffice to say, he absolutely nailed it. You can hear this...2017-12-0603 min