podcast
details
.com
Print
Share
Look for any podcast host, guest or anyone
Search
Showing episodes and shows of
Mvumbagumo
Shows
Washkaji Podcast
EP 03: Afya ya Akili na Mahusiano with Dr. Maymuna Mohammed
Afya ya Akili imezungumziwa kwa kina, Faida na Umuhimu wa Wanaume kufunguka na kuzungumzia yanayowasibu kwa uwazi, namna ya kutengeneza mazingira rafiki kwa afya ya akili bila kusahau Afya ya akili kama funguo kuu kwenye mahusiano....unahitaji nini ili kuwa na Afya ora ya akili kwa Mahusiano yako kusonga. Kupitia Podcast hii Daktari Kijana na Machachari Maymuna Mohammed ameeleza kwa kina #AfyaYaAkili #Akili #Afya #MentalHealth #Relationships #Health #Wanaume
2024-05-12
49 min
Washkaji Podcast
Ep02: Stori na ADRIAN NZAMBA, Mjasiriamali wa Teknolojia na mmiliki wa TAYARI App
Mjasiriamali wa Teknolojia, TAYARI App.
2024-04-28
45 min
Washkaji Podcast
Ep01: STORI NA WASHKAJI: Kazi ya ndoto yako.
#WashkajiTunaongea! Kuhusu Siri za Mafanikio Kazini, Ujuzi wa ziada mbali na taaluma, Maandalizi ya Kustaafu na mengine kadhaa kwa ajili ya Kazi ya ndoto yako!. #WashkajiDrivingPodcast #washkajiPodcast #Mvumbagumo #SwahiliPodcast
2024-04-13
40 min
Washkaji Podcast
UBALOZINI LEO: KUKATA MKONO WA SWETA: TOHARA YA HIYARI KWA MWANAUME (PROMO)
Tohara ya hiyari kwa Mwanaume: Ni umri gani sahihi wa kufanya Mwanaume kufanyiwa Tohara/ kukata Mkono wa Sweta?
2024-03-06
00 min
Washkaji Podcast
UBALOZINI LEO: UVUMI KUHUSU VIZA YA KUINGIA NCHINI MAREKANI
Una ndoto au Unahitaji kuingia nchini Marekani? Kuna Uvumi mwingi unasambaa kuhusu namna au njia sahihi ya kupata Viza ya Kuingia Nchini Marekani, Kupitia Podcast hii, tumekuletea afisa wa Ubalozi anayeshughulika na masuala ya Visa akitoa ufafanuzi kamili.
2024-02-22
15 min
Washkaji Podcast
SIMULIZI: FILAMU YA TANZANIA ROYAL TOUR
SIMULIZI: FILAMU YA TANZANIA ROYAL TOUR Ushiriki wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan. Vifahamu Vikwazo, Changamoto na Mafanikio ya zoezi zima la uandaaji wa filamu hii hadi kuzinduliwa kwake.
2024-02-22
04 min
Washkaji Podcast
SIMULIZI: Maadhimisho ya Siku ya Dr. Martin Luther King Jr.
Maadhimisho ya Siku ya Dr. Martin Luther King Jr. Mwanzo wa Maisha ya Harakati, Mafanikio na Mwisho wa uhai wa Dr. Martin Luther King Jr.
2024-02-21
02 min
Washkaji Podcast
SIMULIZI: Historia ya MAYA ANGELOU
Historia ya MAYA ANGELOU
2024-02-21
04 min
Washkaji Podcast
UBALOZINI LEO: 60 ya Uhusiano wa Kibalozi baina ya Tanzania na Marekani
UBALOZINI LEO: Miaka 60 ya Uhusiano wa Kibalozi baina ya Tanzania na Marekani
2024-02-21
01 min