podcast
details
.com
Print
Share
Look for any podcast host, guest or anyone
Search
Showing episodes and shows of
Mwalimu Huruma Gadi
Shows
Mwalimu Huruma Gadi
K0821. Neema Na Imani Katika Matoleo
Mungu amekusudia ufanikiwe katika kila eneo la maisha yako! Baraka si matokeo ya bahati au juhudi pekee, bali ni mfumo wa kiroho unaoendeshwa na kanuni za Ufalme wa Mungu. Mkristo anapojua na kufuata mfumo huu, lazima maisha yake yadhihirishe ukuu wa Mungu.🔥 Je, mfumo huu unafanyaje kazi? Ungana na Mwalimu Huruma Gadi katika mfululizo huu wa somo
2025-04-06
28 min
Mwalimu Huruma Gadi
K0820. Neema Na Imani Katika Matoleo
Mungu amekusudia ufanikiwe katika kila eneo la maisha yako! Baraka si matokeo ya bahati au juhudi pekee, bali ni mfumo wa kiroho unaoendeshwa na kanuni za Ufalme wa Mungu. Mkristo anapojua na kufuata mfumo huu, lazima maisha yake yadhihirishe ukuu wa Mungu.🔥 Je, mfumo huu unafanyaje kazi? Ungana na Mwalimu Huruma Gadi katika mfululizo huu wa somo
2025-04-05
29 min
Mwalimu Huruma Gadi
K0819. Neema Na Imani Katika Matoleo
Mungu amekusudia ufanikiwe katika kila eneo la maisha yako! Baraka si matokeo ya bahati au juhudi pekee, bali ni mfumo wa kiroho unaoendeshwa na kanuni za Ufalme wa Mungu. Mkristo anapojua na kufuata mfumo huu, lazima maisha yake yadhihirishe ukuu wa Mungu.🔥 Je, mfumo huu unafanyaje kazi? Ungana na Mwalimu Huruma Gadi katika mfululizo huu wa somo
2025-04-04
29 min
Mwalimu Huruma Gadi
K0818. Neema Na Imani Katika Matoleo
Mungu amekusudia ufanikiwe katika kila eneo la maisha yako! Baraka si matokeo ya bahati au juhudi pekee, bali ni mfumo wa kiroho unaoendeshwa na kanuni za Ufalme wa Mungu. Mkristo anapojua na kufuata mfumo huu, lazima maisha yake yadhihirishe ukuu wa Mungu.🔥 Je, mfumo huu unafanyaje kazi? Ungana na Mwalimu Huruma Gadi katika mfululizo huu wa somo
2025-04-03
27 min
Mwalimu Huruma Gadi
K0817. Neema Na Imani Katika Matoleo
Mungu amekusudia ufanikiwe katika kila eneo la maisha yako! Baraka si matokeo ya bahati au juhudi pekee, bali ni mfumo wa kiroho unaoendeshwa na kanuni za Ufalme wa Mungu. Mkristo anapojua na kufuata mfumo huu, lazima maisha yake yadhihirishe ukuu wa Mungu.🔥 Je, mfumo huu unafanyaje kazi? Ungana na Mwalimu Huruma Gadi katika mfululizo huu wa somo
2025-04-02
28 min
Mwalimu Huruma Gadi
K0816. Neema Na Imani Katika Matoleo
Mungu amekusudia ufanikiwe katika kila eneo la maisha yako! Baraka si matokeo ya bahati au juhudi pekee, bali ni mfumo wa kiroho unaoendeshwa na kanuni za Ufalme wa Mungu. Mkristo anapojua na kufuata mfumo huu, lazima maisha yake yadhihirishe ukuu wa Mungu.🔥 Je, mfumo huu unafanyaje kazi? Ungana na Mwalimu Huruma Gadi katika mfululizo huu wa somo
2025-04-01
27 min
Mwalimu Huruma Gadi
S1107. Maisha Chini ya Baraka _Mambo 5 ya Kuzingatia
Mungu amekusudia ufanikiwe katika kila eneo la maisha yako! Baraka si matokeo ya bahati au juhudi pekee, bali ni mfumo wa kiroho unaoendeshwa na kanuni za Ufalme wa Mungu. Mkristo anapojua na kufuata mfumo huu, lazima maisha yake yadhihirishe ukuu wa Mungu.🔥 Je, mfumo huu unafanyaje kazi? Ungana na Mwalimu Huruma Gadi katika mfululizo huu wa somo
2025-03-31
2h 31
Mwalimu Huruma Gadi
S1106. Maisha Chini ya Baraka _Mambo 5 ya Kuzingatia
Mungu amekusudia ufanikiwe katika kila eneo la maisha yako! Baraka si matokeo ya bahati au juhudi pekee, bali ni mfumo wa kiroho unaoendeshwa na kanuni za Ufalme wa Mungu. Mkristo anapojua na kufuata mfumo huu, lazima maisha yake yadhihirishe ukuu wa Mungu.🔥 Je, mfumo huu unafanyaje kazi? Ungana na Mwalimu Huruma Gadi katika mfululizo huu wa somo
2025-03-31
2h 13
Mwalimu Huruma Gadi
S1105. Maisha Chini ya Baraka _Mambo 5 ya Kuzingatia
Mungu amekusudia ufanikiwe katika kila eneo la maisha yako! Baraka si matokeo ya bahati au juhudi pekee, bali ni mfumo wa kiroho unaoendeshwa na kanuni za Ufalme wa Mungu. Mkristo anapojua na kufuata mfumo huu, lazima maisha yake yadhihirishe ukuu wa Mungu.🔥 Je, mfumo huu unafanyaje kazi? Ungana na Mwalimu Huruma Gadi katika mfululizo huu wa somo
2025-03-31
2h 27
Mwalimu Huruma Gadi
S1104. Mkristo Na Mfumo Wa Baraka
Mungu amekusudia ufanikiwe katika kila eneo la maisha yako! Baraka si matokeo ya bahati au juhudi pekee, bali ni mfumo wa kiroho unaoendeshwa na kanuni za Ufalme wa Mungu. Mkristo anapojua na kufuata mfumo huu, lazima maisha yake yadhihirishe ukuu wa Mungu.🔥 Je, mfumo huu unafanyaje kazi? Ungana na Mwalimu Huruma Gadi katika mfululizo huu wa somo
2025-03-31
1h 07
Mwalimu Huruma Gadi
S1103. Mkristo Na Mfumo Wa Baraka

S1102. Mkristo Na Mfumo Wa Baraka

2h 15
Mwalimu Huruma Gadi
S1101. Mkristo Na Mfumo Wa Baraka
Mungu amekusudia ufanikiwe katika kila eneo la maisha yako! Baraka si matokeo ya bahati au juhudi pekee, bali ni mfumo wa kiroho unaoendeshwa na kanuni za Ufalme wa Mungu. Mkristo anapojua na kufuata mfumo huu, lazima maisha yake yadhihirishe ukuu wa Mungu.🔥 Je, mfumo huu unafanyaje kazi? Ungana na Mwalimu Huruma Gadi katika mfululizo huu wa somo
2025-03-31
2h 11
Mwalimu Huruma Gadi
A7. Jinsi ya Kusikia Sauti ya Mungu
Je, unatafuta kuelewa jinsi ya kusikia sauti ya Mungu katika maisha yako ya kila siku? Katika podcast hii, Mwalimu Huruma Gadi anafundisha njia mbalimbali ambazo Mungu hutumia kuzungumza nasi.
2025-02-07
28 min
Mwalimu Huruma Gadi
A6. Jinsi ya Kusikia Sauti ya Mungu
Je, unatafuta kuelewa jinsi ya kusikia sauti ya Mungu katika maisha yako ya kila siku? Katika podcast hii, Mwalimu Huruma Gadi anafundisha njia mbalimbali ambazo Mungu hutumia kuzungumza nasi.
2025-02-07
28 min
Mwalimu Huruma Gadi
A5. Jinsi ya Kusikia Sauti ya Mungu
Je, unatafuta kuelewa jinsi ya kusikia sauti ya Mungu katika maisha yako ya kila siku? Katika podcast hii, Mwalimu Huruma Gadi anafundisha njia mbalimbali ambazo Mungu hutumia kuzungumza nasi.
2025-02-07
28 min
Mwalimu Huruma Gadi
A4. Jinsi ya Kusikia Sauti ya Mungu
Je, unatafuta kuelewa jinsi ya kusikia sauti ya Mungu katika maisha yako ya kila siku? Katika podcast hii, Mwalimu Huruma Gadi anafundisha njia mbalimbali ambazo Mungu hutumia kuzungumza nasi.
2025-02-07
28 min
Mwalimu Huruma Gadi
A3. Jinsi ya Kusikia Sauti ya Mungu
Je, unatafuta kuelewa jinsi ya kusikia sauti ya Mungu katika maisha yako ya kila siku? Katika podcast hii, Mwalimu Huruma Gadi anafundisha njia mbalimbali ambazo Mungu hutumia kuzungumza nasi.
2025-02-07
28 min
Mwalimu Huruma Gadi
A2. Jinsi ya Kusikia Sauti ya Mungu
Je, unatafuta kuelewa jinsi ya kusikia sauti ya Mungu katika maisha yako ya kila siku? Katika podcast hii, Mwalimu Huruma Gadi anafundisha njia mbalimbali ambazo Mungu hutumia kuzungumza nasi.
2025-02-07
28 min
Mwalimu Huruma Gadi
A1. Jinsi ya Kusikia Sauti ya Mungu
Je, unatafuta kuelewa jinsi ya kusikia sauti ya Mungu katika maisha yako ya kila siku? Katika podcast hii, Mwalimu Huruma Gadi anafundisha njia mbalimbali ambazo Mungu hutumia kuzungumza nasi.
2025-02-03
28 min
Mwalimu Huruma Gadi
A6. Warumi Sura ya 1
Karibu kwenye Mwalimu Huruma Gadi podcast ambapo atatufundisha kitabu cha Warumi sura ya kwanza Katika sura hii ya kwanza, Mwalimu anatufundisha juu ya wokovu, neema, na uhusiano wetu na Mungu. Pia jinsi mafundisho haya yanavyoweza kuathiri maisha yetu ya kila siku na kutuongoza katika imani yetu.
2024-09-28
28 min
Mwalimu Huruma Gadi
A5. Warumi Sura ya 1
Karibu kwenye Mwalimu Huruma Gadi podcast ambapo atatufundisha kitabu cha Warumi sura ya kwanza Katika sura hii ya kwanza, Mwalimu anatufundisha juu ya wokovu, neema, na uhusiano wetu na Mungu. Pia jinsi mafundisho haya yanavyoweza kuathiri maisha yetu ya kila siku na kutuongoza katika imani yetu.
2024-09-27
28 min
Mwalimu Huruma Gadi
A4. Warumi Sura ya 1
Karibu kwenye Mwalimu Huruma Gadi podcast ambapo atatufundisha kitabu cha Warumi sura ya kwanza Katika sura hii ya kwanza, Mwalimu anatufundisha juu ya wokovu, neema, na uhusiano wetu na Mungu. Pia jinsi mafundisho haya yanavyoweza kuathiri maisha yetu ya kila siku na kutuongoza katika imani yetu.
2024-09-26
27 min
Mwalimu Huruma Gadi
A3. Warumi Sura ya 1
Karibu kwenye Mwalimu Huruma Gadi podcast ambapo atatufundisha kitabu cha Warumi sura ya kwanza Katika sura hii ya kwanza, Mwalimu anatufundisha juu ya wokovu, neema, na uhusiano wetu na Mungu. Pia jinsi mafundisho haya yanavyoweza kuathiri maisha yetu ya kila siku na kutuongoza katika imani yetu.
2024-09-25
27 min
Mwalimu Huruma Gadi
A1. Warumi Sura ya 1
Karibu kwenye Mwalimu Huruma Gadi podcast ambapo atatufundisha kitabu cha Warumi sura ya kwanza Katika sura hii ya kwanza, Mwalimu anatufundisha juu ya wokovu, neema, na uhusiano wetu na Mungu. Pia jinsi mafundisho haya yanavyoweza kuathiri maisha yetu ya kila siku na kutuongoza katika imani yetu.
2024-09-23
29 min
Mwalimu Huruma Gadi
A7. Mabadiliko Ya Kudumu Katika Fedha Na Uchumi
Bila kufanya maamuzi ya kumwamini Mungu katika eneo la fedha na uchumi wako kwa kutegemea neema yake, utaendelea kutaabika kila siku pasipo kuona mwanga wa kazi kamilifu ya Msalaba. Katika mfululizo wa somo hili Mwalimu Huruma Gadi anafundisha namna ya kuishinda hofu na kuchukua hatua ya imani kwa kuanza kumtegemea Mungu katika fedha zako na uchumi wako.
2023-07-02
28 min
Mwalimu Huruma Gadi
A6. Mabaduliko Ya Kudumu Katika Fedha Na Uchumi
Bila kufanya maamuzi ya kumwamini Mungu katika eneo la fedha na uchumi wako kwa kutegemea neema yake, utaendelea kutaabika kila siku pasipo kuona mwanga wa kazi kamilifu ya Msalaba. Katika mfululizo wa somo hili Mwalimu Huruma Gadi anafundisha namna ya kuishinda hofu na kuchukua hatua ya imani kwa kuanza kumtegemea Mungu katika fedha zako na uchumi wako.
2023-07-01
27 min
Mwalimu Huruma Gadi
A5. Mabadiliko Ya Kudumu Katika Fedha Na Uchumi
Bila kufanya maamuzi ya kumwamini Mungu katika eneo la fedha na uchumi wako kwa kutegemea neema yake, utaendelea kutaabika kila siku pasipo kuona mwanga wa kazi kamilifu ya Msalaba. Katika mfululizo wa somo hili Mwalimu Huruma Gadi anafundisha namna ya kuishinda hofu na kuchukua hatua ya imani kwa kuanza kumtegemea Mungu katika fedha zako na uchumi wako.
2023-06-30
28 min
Mwalimu Huruma Gadi
A4. Mabadiliko Ya Kudumu Katika Fedha Na Uchumi
Bila kufanya maamuzi ya kumwamini Mungu katika eneo la fedha na uchumi wako kwa kutegemea neema yake, utaendelea kutaabika kila siku pasipo kuona mwanga wa kazi kamilifu ya Msalaba. Katika mfululizo wa somo hili Mwalimu Huruma Gadi anafundisha namna ya kuishinda hofu na kuchukua hatua ya imani kwa kuanza kumtegemea Mungu katika fedha zako na uchumi wako.
2023-06-29
28 min
Mwalimu Huruma Gadi
A3. Mabadiliko Ya Kudumu Katika Fedha Na Uchumi
Bila kufanya maamuzi ya kumwamini Mungu katika eneo la fedha na uchumi wako kwa kutegemea neema yake, utaendelea kutaabika kila siku pasipo kuona mwanga wa kazi kamilifu ya Msalaba. Katika mfululizo wa somo hili Mwalimu Huruma Gadi anafundisha namna ya kuishinda hofu na kuchukua hatua ya imani kwa kuanza kumtegemea Mungu katika fedha zako na uchumi wako.
2023-06-28
27 min
Mwalimu Huruma Gadi
A2. Mabadiliko Ya Kudumu Katika Fedha Na Uchumi
Bila kufanya maamuzi ya kumwamini Mungu katika eneo la fedha na uchumi wako kwa kutegemea neema yake, utaendelea kutaabika kila siku pasipo kuona mwanga wa kazi kamilifu ya Msalaba. Katika mfululizo wa somo hili Mwalimu Huruma Gadi anafundisha namna ya kuishinda hofu na kuchukua hatua ya imani kwa kuanza kumtegemea Mungu katika fedha zako na uchumi wako.
2023-06-27
28 min
Mwalimu Huruma Gadi
A1. Mabadiliko Ya Kudumu Katika Fedha Na Uchumi
Bila kufanya maamuzi ya kumwamini Mungu katika eneo la fedha na uchumi wako kwa kutegemea neema yake, utaendelea kutaabika kila siku pasipo kuona mwanga wa kazi kamilifu ya Msalaba. Katika mfululizo wa somo hili Mwalimu Huruma Gadi anafundisha namna ya kuishinda hofu na kuchukua hatua ya imani kwa kuanza kumtegemea Mungu katika fedha zako na uchumi wako.
2023-06-26
28 min
Mwalimu Huruma Gadi
A7. Siri Ya Yesu Kushinda Dhambi - NEEMA
Yesu aliishi hapa duniani akiwa kama mwanadamu pasipo kutenda dhambi. Nini ilikuwa siri nyuma ya maisha yake ya ushindi yaani, kuishi hapa duniani pasipo kutenda dhambi. Ungependa kujua, ungana na Mwalimu Huruma Gadi katika mfululizo huu wa somo.
2022-10-09
28 min
Mwalimu Huruma Gadi
A6. Siri Ya Yesu Kushinda Dhambi - NEEMA
Yesu aliishi hapa duniani akiwa kama mwanadamu pasipo kutenda dhambi. Nini ilikuwa siri nyuma ya maisha yake ya ushindi yaani, kuishi hapa duniani pasipo kutenda dhambi. Ungependa kujua, ungana na Mwalimu Huruma Gadi katika mfululizo huu wa somo.
2022-10-08
28 min
Mwalimu Huruma Gadi
A5. Siri Ya Yesu Kushinda Dhambi - NEEMA
Yesu aliishi hapa duniani akiwa kama mwanadamu pasipo kutenda dhambi. Nini ilikuwa siri nyuma ya maisha yake ya ushindi yaani, kuishi hapa duniani pasipo kutenda dhambi. Ungependa kujua, ungana na Mwalimu Huruma Gadi katika mfululizo huu wa somo.
2022-10-07
28 min
Mwalimu Huruma Gadi
A4. Siri Ya Yesu Kushinda Dhambi - NEEMA
Yesu aliishi hapa duniani akiwa kama mwanadamu pasipo kutenda dhambi. Nini ilikuwa siri nyuma ya maisha yake ya ushindi yaani, kuishi hapa duniani pasipo kutenda dhambi. Ungependa kujua, ungana na Mwalimu Huruma Gadi katika mfululizo huu wa somo.
2022-10-06
28 min
Mwalimu Huruma Gadi
A3. Siri Ya Yesu Kushinda Dhambi - NEEMA
Yesu aliishi hapa duniani akiwa kama mwanadamu pasipo kutenda dhambi. Nini ilikuwa siri nyuma ya maisha yake ya ushindi yaani, kuishi hapa duniani pasipo kutenda dhambi. Ungependa kujua, ungana na Mwalimu Huruma Gadi katika mfululizo huu wa somo.
2022-10-05
28 min
Mwalimu Huruma Gadi
A2. Siri Ya Yesu Kushinda Dhambi
Yesu aliishi hapa duniani akiwa kama mwanadamu pasipo kutenda dhambi. Nini ilikuwa siri nyuma ya maisha yake ya ushindi yaani, kuishi hapa duniani pasipo kutenda dhambi. Ungependa kujua, ungana na Mwalimu Huruma Gadi katika mfululizo huu wa somo.
2022-10-04
27 min
Mwalimu Huruma Gadi
A1. Siri Ya Yesu Kushinda Dhambi - NEEMA
Yesu aliishi hapa duniani akiwa kama mwanadamu pasipo kutenda dhambi. Nini ilikuwa siri nyuma ya maisha yake ya ushindi yaani, kuishi hapa duniani pasipo kutenda dhambi. Ungependa kujua, ungana na Mwalimu Huruma Gadi katika mfululizo huu wa somo.
2022-10-03
27 min
Firebrand Podcast
The Huruma Clean Water Project, with Dr. Jason Thorn
Huruma is a section of Mathare, the third-largest slum of Africa. One of their greatest needs in Huruma is clean water. Dr. Jason Thorn joins us to talk about the work of Spirit and Truth to provide for this need and his own experience of traveling to Huruma. We mention two videos in the podcast (here and here). Check 'em out!Â
2022-09-26
40 min
Mwalimu Huruma Gadi
A1: Hofu Ya Maisha - Mtego Wa Ibilisi
Rafiki, Mungu alikuokoa ili uishi maisha ya pumziko na si ya mihangaiko kama walimwengu wanavyosema, mihangaiko inakuingiza katika hofu, pumziko linakuingiza katika pendo la Baba. Ungana na Mwalimu Huruma Gadi katika sehemu hii ya somo ili uanze kuishi pasipo hofu bali kuwa na ujasiri tele.
2022-02-21
28 min
Mwalimu Huruma Gadi
C1: UCHAMBUZI WA KITABU CHA WAFILIPI
C1: UCHAMBUZI WA KITABU CHA WAFILIPI
2020-08-16
29 min
Mwalimu Huruma Gadi
B6: UCHAMBUZI WA KITABU CHA WAFILIPI
B6: UCHAMBUZI WA KITABU CHA WAFILIPI
2020-08-15
29 min
Mwalimu Huruma Gadi
B7: UCHAMBUZI WA KITABU CHA WAFILIPI
B7: UCHAMBUZI WA KITABU CHA WAFILIPI
2020-08-15
29 min
Mwalimu Huruma Gadi
B5: UCHAMBUZI WA KITABU CHA WAFILIPI
B5: UCHAMBUZI WA KITABU CHA WAFILIPI
2020-08-14
29 min
Mwalimu Huruma Gadi
B4: UCHAMBUZI WA KITABU CHA WAFILIPI
B4: UCHAMBUZI WA KITABU CHA WAFILIPI
2020-08-13
29 min
Mwalimu Huruma Gadi
A3: FEDHA NA UCHUMI KATIKA UFALME WA MUNGU

2020-08-12
54 min
Mwalimu Huruma Gadi
A2: FEDHA NA UCHUMI KATIKA UFALME WA MUNGU
A2: FEDHA NA UCHUMI KATIKA UFALME WA MUNGU
2020-08-12
1h 09
Mwalimu Huruma Gadi
A1: FEDHA NA UCHUMI KATIKA UFALME WA MUNGU

1h 04
Mwalimu Huruma Gadi
B3: UCHAMBUZI WA KITABU CHA WAFILIPI
B3: UCHAMBUZI WA KITABU CHA WAFILIPI
2020-08-12
29 min
Mwalimu Huruma Gadi
B2: UCHAMBUZI WA KITABU CHA WAFILIPI
B2: UCHAMBUZI WA KITABU CHA WAFILIPI
2020-08-11
29 min
Mwalimu Huruma Gadi
B1: UCHAMBUZI WA KITABU CHA WAFILIPI
B1: UCHAMBUZI WA KITABU CHA WAFILIPI
2020-08-10
29 min
Mwalimu Huruma Gadi
A7: UCHAMBUZI WA KITABU CHA WAFILIPI
A7: UCHAMBUZI WA KITABU CHA WAFILIPI
2020-08-08
28 min
Mwalimu Huruma Gadi
A6: UCHAMBUZI WA KITABU CHA WAFILIPI
A6: UCHAMBUZI WA KITABU CHA WAFILIPI
2020-08-08
29 min
Mwalimu Huruma Gadi
A5: UCHAMBUZI WA KITABU CHA WAFILIPI
A5: UCHAMBUZI WA KITABU CHA WAFILIPI
2020-08-07
29 min
Mwalimu Huruma Gadi
A4: UCHAMBUZI WA KITABU CHA WAFILIPI
A4: UCHAMBUZI WA KITABU CHA WAFILIPI
2020-08-06
28 min
Mwalimu Huruma Gadi
A3: UCHAMBUZI WA KITABU CHA WAFILIPI
A3: UCHAMBUZI WA KITABU CHA WAFILIPI
2020-08-05
29 min
Mwalimu Huruma Gadi
A2: UCHAMBUZI WA KITABU CHA WAFILIPI
A2: UCHAMBUZI WA KITABU CHA WAFILIPI
2020-08-04
28 min
Mwalimu Huruma Gadi
A1: UCHAMBUZI WA KITABU CHA WAFILIPI
A1: UCHAMBUZI WA KITABU CHA WAFILIPI
2020-08-03
29 min
Mwalimu Huruma Gadi
A9: MAPINDUZI YA KIUCHUMI KUPITIA UFALME WA MUNGU

2020-07-31
1h 02
Mwalimu Huruma Gadi
A8: MAPINDUZI YA KIUCHUMI KUPITIA UFALME WA MUNGU

2020-07-29
1h 01
Mwalimu Huruma Gadi
A7: MAPINDUZI YA KIUCHUMI KUPITIA UFALME WA MUNGU

2020-07-25
1h 23
Mwalimu Huruma Gadi
A5: MAPINDUZI YA KIUCHUMI KUPITIA UFALME WA MUNGU

A4: MAPINDUZI YA KIUCHUMI KUPITIA UFALME WA MUNGU

2020-07-24
1h 08
Mwalimu Huruma Gadi
A3: MAPINDUZI YA KIUCHUMI KUPITIA UFALME WA MUNGU

1h 06
Mwalimu Huruma Gadi
A2: MAPINDUZI YA KIUCHUMI KUPITIA UFALME WA MUNGU

2020-07-23
1h 10
Mwalimu Huruma Gadi
A1: MAPINDUZI YA KIUCHUMI KUPITIA UFALME WA MUNGU

1h 00
Mwalimu Huruma Gadi
A6: MTIZAMO SAHIHI KATIKA MAOMBI
Mtizamo wa kwanza ni kwamba unapoenda kwenye maombi usipayukepayuke maana unaenda kuzungumza na Baba yako. Baba ambaye anajua yale yote unayoyahitaji kabla hujaomba. Tusikilize somo kutoka kwa Mwalimu Huruma Gadi
2020-02-29
28 min
Mwalimu Huruma Gadi
A4: UMEFANANA NA KRISTO
Mtu ambaye amezaliwa mara ya pili anafanana na Kristo na mtu ambaye hajazaliwa mara ya pili anafanana na Adam, wewe ambaye umezaliwa mara ya pili maana yake kwamba sasa hivi mzazi wako wewe yaani Mungu na mzaliwa wako wa kwanza ni Yesu Kristo. Msikilize Mwalimu Huruma Gadi ili uweze kuijua kweli hii ya Kristo.
2020-01-16
28 min
Mwalimu Huruma Gadi
A3: UMEFANANA NA KRISTO
Umeumbwa katika sura na mfano wa Mungu, yaani kama vile Mungu alivyo ndivyo na wewe ulivyo hapa duniani, kama ni hivyo mazingira na kila kitu cha ulimwenguni kimetiishwa kwako, wewe ni mtawala, msikilize Mwalimu Huruma Gadi katika sehemu hii ya somo ili uanze kuishi katika uhalisia wa kufanana na Kristo
2020-01-16
28 min
Mwalimu Huruma Gadi
A1: UMEFANANA NA KRISTO
Kama kuna eneo lolote katika maisha yako linakusumbua (afya, uchumi, mahusiano n.k) ni kwasababu uzima wa Mungu haujaweza kuingia katika hilo eneo, msikilize Mwalimu Huruma Gadi katika sehemu hii ya somo ili uanze kuruhusu uzima wa Mngu kuingia katika kila eneo la maisha yetu
2020-01-13
28 min
Mwalimu Huruma Gadi
B4: MKRISTO NI NANI?
Hatua ya kwanza ya kanisa ni mtu kupata ufunuo ufunuo kwamba Yesu wa Nazareth ndiye Kristo mwana wa Mungu aliye hai. Tumsikilize Mwalimu Huruma gadi katika hatua ya pili ya kanisa
2020-01-09
28 min
Mwalimu Huruma Gadi
A2: MKRISTO NI NANI?
Mkristo ni mwanafunzi wa Kristo. Sisi kama wanafunzi wa Kristo, tunatakiwa kuishi kwa kujifunza yale ambayo Bwana Yesu alikuwa akiyafundisha na kuyafanya. Katika sehemu hii Mwalimu Huruma Gadi anafundisha mambo ambayo Bwana Yesu alikuwa akiyafundisha na kuyatenda.Tusikilize ili kuyafahamu haya yote.
2020-01-02
27 min
Mwalimu Huruma Gadi
C3: NEEMA NA IMANI KATIKA MATOLEO
Kutoa matoleo yako ukiwa na mtizamo sahihi ni msingi wa kuwa na matokeo stahiki. Ungana na Mwalimu Huruma Gadi katika sehemu hii ya somo.
2019-12-18
29 min
Mwalimu Huruma Gadi
B4: NEEMA NA IMANI KATIKA MATOLEO
Kama Mungu amekwisha kukuandalia kila kitu katika maisha yako kupitia neema yake, kwanini kupokea kwako kunategemeana na kutoa kwako? Jifunze kweli hii kwa kusikiliza kutoka kwa Mwalimu Huruma Gadi.
2019-12-12
29 min
Mwalimu Huruma Gadi
D5: MWENYE HAKI ATAISHI KWA IMANI
Leo Mwalimu Huruma Gadi anafundisha utaratibu ambao Mungu ameuweka kuhusiana na mbegu zote duniani.
2019-11-29
29 min
Mwalimu Huruma Gadi
D4: MWENYE HAKI ATAISHI KWA IMANI
Kama wewe ni mwenye haki ya Mungu ndani ya Kristo Yesu tambua kuwa Bwana anafurahia ustawi wako na siku zote, anahakikisha una utoshelevu katika maeneno yote ya maisha yako, nyumbani kwako kumejaa mali na utajiri, na unauwezo wa kufadhili na kukopesha na uzao wako umebarikiwa, kama haya mambo manne hayaonekani maana yake ni kwamba haumfurahishi Mungu, ungana na Mwalimu Huruma Gadi katika sehemu hii ya somo ili uanze kuishi maisha ya kumfurahisha Mungu.
2019-11-28
29 min
Mwalimu Huruma Gadi
D1: MWENYE HAKI ATAISHI KWA IMANI - UCHUMI
Watu wote tunatakiwa tuendeshe shughuli zetu za kiuchumi kwa imani maana pasipo imani haiwezekani kumpendeza Mungu, maana yake kama unafanya kazi yako hutegemei imani maana yake ni kwamba haumpendezi Mungu, kama unafanya biashara yako pasipo kutegemea imani tambua kwa haumpendezi Mungu. Ungana na Mwalmu Huruma Gadi ujifunze na kufanya maamuzi ya kuendesha maisha yako kwa kutegemea imani.
2019-11-25
29 min
Mwalimu Huruma Gadi
C2: MWENYE HAKI ATAISHI KWA IMANI
Kama wewe umemuamini Yesu Kristo, tambua kuwa wewe ni haki ya Mungu ndani ya Kristo Yesu na kuishi kwa imani ni lazima siyo pendekezo, ungana na Mwalimu Huruma Gadi katika sehemu hii ya somo  uanze kuishi kwa imani na si kwa matendo ya sheria.
2019-11-20
28 min
Ado Veli Podcast
Ado Veli Podcast - Area Code; Mathare, Huruma & Dandora Hip Hop City
Kenyan Hop Hip scene started way back in the 1990s. It was highly influenced by the Hip Hop group known as Kalamashaka or simply K Shaka. K Shaka originated from Dandora in the Eastern parts of Nairobi, Kenya. Since then Dandora was acknowledged as the cradle of Hip Hop in Kenya. After Dandora being baptized as the Hip Hop city in Kenya, many hoods have come along producing some of the best Kenyan Hip Hop MCs. On this episode, we are focusing on the talents as far Kenyan Hip Hop is concerned coming from Mathare Skeme Music, Huruma Tonny Syumah...
2019-11-17
06 min
Mwalimu Huruma Gadi
B6: MWENYE HAKI ATAISHI KWA AMANI
Yakobo 5: 16 inasema"...... Kuomba kwake mwenye haki kwafaa sana, akiomba kwa bidii" Kwanini maombi ya mwenye haki yanafaa sana na si maombi ya mtu asiye haki. Ungana na Mwalimu Huruma Gadi katika sehemu hii ya somo.
2019-11-16
29 min
Mwalimu Huruma Gadi
B5: MWENYE HAKI ATAISHI KWA IMANI
Jifunze kutoka kwa Mwalimu Huruma Gadi namna ya kifo cha Yesu msalabani kilivyoshughulika na dhambi ya ulimwengu mzima na kufufuka kwake kutoka katika kaburi kumekupatia vipi haki ya Mungu.
2019-11-15
29 min
Mwalimu Huruma Gadi
B4: MWENYE HAKI ATAISHI KWA IMANI
Utaitambuaje kuwa hii unayosikiliza ama unayojifunza ni Injili ya kweli ama ya uongo? Ungana na Mwalimu Huruma Gadi katika sehemu hii ujifunze sifa na tabia ya Injili ya kweli
2019-11-14
29 min
Mwalimu Huruma Gadi
A7: MWENYE HAKI ATAISHI KWA IMANI
Bwana Yesu alikuwa amewezeshwa kwa Roho Mtakatifu na nguvu kwenda kila mahali kuponya na kufungua watu wote waliokuwa wakionewa na Ibilisi. Hii inaonyesha kuwa magonjwa yote na maradhi yote yanatoka kwa Ibili pamoja na mauti. Ungana na Mwalimu Huruma Gadi katika somo hili ujiweke huru wewe pamoja na wanaokuzunguka
2019-11-10
29 min
Mwalimu Huruma Gadi
A6: MWENYE HAKI ATAISHI KWA IMANI
Haki ni kuwa na uhusiano na Mungu usiokuwa na dosari wala kasoro ya aina yoyote, rafiki unapopokea zawadi ya haki maana yake ni kwamba mbele za Mungu unakuwa sawasawa na Yesu Kristo alivyo mbele za Mungu sasahivi, unakuwa hauna hatia, hauna lawama wala mawaa mbele zake, unasimama kama mtu mkamilifu ambaye hana mapungufu ya aina yoyote. Ungana na Mwalimu Huruma Gadi katika somo hili ujifunze kupokea na kuishi maisha ye mwenye haki daima hapa duniani.
2019-11-09
29 min
Mwalimu Huruma Gadi
A5: MWENYE HAKI ATAISHI KWA IMANI
Neno linasema mwenye haki ataishi kwa imani (Waebrania 10:38). Unatakiwa kuishi kwa imani ipi? Kwa imani iliyo kwa Yesu Kristo na kazi yake kamilifu ya msalaba.  Kama imani yako haijajikita kwa Yesu Kristo na kile ambacho amekifanya kupitia msalaba. Rafiki ni vizuri kulizingatia hili kuwa wakati wote imani yako uielekeze kwa Yesu Kristo na kazi yake kamilifu ya msalaba. Ungana na  Mwalimu Huruma Gadi katika msingi huu imara wa imani
2019-11-08
29 min
Mwalimu Huruma Gadi
A4: MWENYE HAKI ATAISHI KWA IMANI
Mtu yeyote aliyezaliwa mara ya pili kuishi kwa imani siyo hiyari bali ni lazima.Imani ya kweli ama imani yenye matunda ama imani inayoweza kuleta matunda kwenye maisha ya mtu ni imani ambayo imejikita katika Yesu Kristo na kusulubiwa kwake, nje ya hapo hiyo imani imetetereka. Mwalimu Huruma Gadi anafundisha katika sehemu hii msingi thabiti wa imani yako.
2019-11-07
29 min
Mwalimu Huruma Gadi
A7: MABADILIKO YA KUDUMU KATIKA FEDHA NA UCHUMI
Umeokolewa kwa neema kwa njia ya imani, kama ulivyookolewa kwa neema kwa njia ya imani vivyo hovyo unatakiwa kuendesha maisha yako ya wokovu kwa neema kwa njia ya imani, Watu wengi waliposikia habari hii njema wengi waliamua kuchukua hatua ya kutoa na kumuamini Mungu kwa kussuport kazi yake ya kueneza habari njema, hii maana yake ni nini? maana yake ni kwamba neema na imani vilikutana pamoja na matendo yao, nguvu ya Mungu ikaelekezwa katika uchumi wako na wakaanza kuishi katika utoshelevu na ustawi lakini adui alivyokuja kuwadanganya kwamba hela waliyonayo haitoshi, majukumu yamekuwa mengi, itumie kwanza Mungu utamtolea baadae...
2019-11-02
29 min
Mwalimu Huruma Gadi
A6: MABADILIKO YA KUDUMU KATIKA FEDHA NA UCHUMI
Katika kitabu cha Yakobo 2: 20 imeandikwa imani pasipo matendo imekufa, imani siku zote iliyo kamili inafanya kazi na matendo, imani isiyokuwa na matendo hiyo imani haizai ama haikufaidii kitu, imani inatenda kazi na hatua na imani inakamilishwa na hatua, ungana na Mwalimu Huruma Gadi katika sehemu hii akichambua jambo la pili la kuzingatia ili kuwa na matokeo ya kudumu katika fedha na uchumi wako.
2019-11-01
29 min
Mwalimu Huruma Gadi
A5: MABADILIKO YA KUDUMU KATIKA FEDHA NA UCHUMI
Mungu ni Mungu anayekuwazia mema na anataka siku zote uishi katika utele na utoshelevu, sababu ya wewe kuendelea kuishi katika madeni, ukosefu, upungufu na umasikini ni kukataa kushirikiana na Mungu na kuikumbatia hofu, leo hii Mungu kupitia mtumishi wake Mwalimu Huruma Gadi anasema kama unataka Bwana awe utoshelevu wako katika fedha na uchumi lazima hatua ya kwanza uishinde hofu kisha ushirikiane na neno la Mungu ambalo linakualika kutia kipaumbele katika Ufalme wake na Injili yake. Â Kwenye hali uliyokuwepo huchomoki mpaka umeamua kushirikiana na Bwana kwa kuikataa hofu. Tusikilize somo.
2019-10-31
29 min
Mwalimu Huruma Gadi
A4: MABADILIKO YA KUDUMU KATIKA UCHUMI NA FEDHA
Watu wengi wamekuwa wakitafuta kuombewa badala ya kutafuta hekima ya Mungu ama mkakati wa Mungu wa kuwatoa hapo walipo, tunaona mfano mzuri ni maisha ya Musa, Musa kila wakati alikuwa na tabia ya kwenda katika hema ya kukutania kumuuliza Mungu kuhusiana na jambo lililokuwa likimkabiri, Daudi pia alikuwa na tabia inayofanana na  ya Musa, na walipoenda mbele za Bwana, Bwana aliwapa maelekezo na walipochukua hatua sawasawa na maelekezo ya Bwana walipata matokeo, leo hii Mwalimu Huruma Gadi anafundisha kama wewe una madeni ama umefika mahali umekwama kiuchumi hatua ya kwanza ni tafuta kujua Mungu anasema nini kuhusu madeni yako a...
2019-10-30
29 min
Mwalimu Huruma Gadi
A3: MABADILIKO YA KUDUMU KATIKA FEDHA NA UCHUMI
Mwanamke mjane wa Sarepta alipoamua kumsikiliza na kutendea kazi kile alichokuwa akiambiwa na Mtumishi wa Mungu Eliya , ilisababisha Mungu kumuwezesha kula yeye, mtoto wake na kuendelea kumhudumia mtumishi kwa siku nyingi. Leo hii ni zamu yako kumruhusu Mungu aingie katika ufedha zako na uchumi wako kwa kuchukua hatua sawasawa na maelekezo amabayo anayatoa kupitia tumishi wake Mwalimu Huruma Gadi na kukataa kuendelea kuteseka na hofu, hakika utaingia katika mabadiliko ya kudumu katika fedha zako na uchumi wako. Tusikilize somo
2019-10-29
29 min
Mwalimu Huruma Gadi
A2: MABADILIKO YA KUDUMU KATIKA FEDHA NA UCHUMI
Mungu anataka ushirikiane nae ili aweze kuingia katika maisha yako na kuyabadilisha, ungana na Mwalimu Huruma Gadi ujifunze ni kwa namna gani unaweza mruhusu kuingia katika uchumi wako na kurekebisha.
2019-10-28
29 min
Mwalimu Huruma Gadi
A5: NGUVU YA MAONO NA PARTNERSHIP
Neema ni uwezesho wa kiungu unaomuwezesha mtu kushiriki na kufurahia yale mema yote ambayo yesu Kristo amekwisha kuyafanya kwa niaba ya huyo mtu, unapoamua kushirikiana pamoja na Mwalimu Huruma Gadi katika kumuwezesha kuitetea injili na kuhubiri Injili na kuithibitisha Injili unakuwa mshiriki wa Neema iliyoko katika maisha ya Mwalimu Huruma Gadi. Endelea kujifunza umuhimu wa maono na partnership katika maisha ya mkristo.
2019-10-24
29 min
Mwalimu Huruma Gadi
A4: NGUVU YA MAONO NA PARTNERSHIP
Ufalme wa Mungu unatenda kazi tofauti na ufalme wa dunia hii, Ufalme wa Mungu unafanya kazi katika maisha yako pale ambapo umefanya maamuzi ndipo ufalme unaingia kazini na kutenda sawasawa na maamuzi yako, utakapoamua kuanza kuwa partner wa Mwalimu Huruma Gadi kupitia vipindi hivi vya Neema na Kweli Ufalme wa Mungu ataingia kazini kuhakikisha unaipata hiyo hela na pia kukutimizia mahitaji yako yote.Â
2019-10-23
29 min
Mwalimu Huruma Gadi
A3: NGUVU YA MAONO NA PARTNERSHIP
Kama Paulo ili aweze kuhubiri Injili na kuwafundisha watu ili waweze kufika katika cheo cha kimo cha utimilifu wa Kristo alihitaji kuwa na partneres hvyohivyo hata leo hii ili kazi ya Mungu itendeke inahitaji kuwa na partnership, kwahiyo lazima kuwe na maono kisha lazima wawepo watu wa kusupport hayo maono. Maono aliyopewa Mwalimu Huruma Gadi ni watu wote waingie katika Ufalme wa Mungu na kufanana na Kristo. Hakikisha una maono ya kiungu unayoyasupport. Ungana na Mwalimu Huruma Gadi katika somo hili.
2019-10-22
29 min
Mwalimu Huruma Gadi
A2: NGUVU YA MAONO NA PARTNERSHIP
"Alitoa wengine kuwa Mitume, Â na wengine kuwa manabii, na wengine kuwa wainjilisti na wengine kuwa wachungaji na waalimu kwa kusudi la kuwakamilisha watakatifu, hata kazi ya huduma itendeke..." - Â Waefeso 4: 11-12 Ulipopelekwa mahali kwenye mwili wa Kristo unatarajiwa ushiriki katika kujenga mwili wa Kristo, haitoshi tu kukaa na kujifunza, Je wewe unashiriki vipi katika kusababisha maono yaliyoko katika hilo kanisa ama huduma yanatimia? Ungana na Mwalimu Huruma Gadi katika somo hili.
2019-10-21
29 min
Mwalimu Huruma Gadi
A1: NGUVU YA MAONO NA PARTNERSHIP
Kwasababu ya watu wengi kushindwa kujua namna ambayo Mungu anatenda kazi, nafasi zao baada ya kuokoka, wajibu wao baada ya kuokoka na haki zao baada ya kuokoka imesababisha ukristo wao uwe duni, maisha yao yawe maisha ya milima na mabonde leo hii Mwalimu Huruma Gadi anafundisha nguvu ya Mungu unapoamua kupartner katika kussapoti maono ya Mungu.Â
2019-10-20
28 min
Mwalimu Huruma Gadi
A7: NEEMA NA UTUME WA MKRISTO
Tumepokea neema na utume ili kuwafanya mataifa yote wajitiishe kwa imani kwa Jina lake Yesu. Kama unahubiri ama unafundisha siku zote hakikisha unaowafundisha wanaelekeza imani yao kwa Yesu Kristo na Jina lake na si vinginevyo. Ungana na Mwalimu Huruma Gadi katika muendelezo wa somo hili
2019-10-16
29 min
Mwalimu Huruma Gadi
A6: NEEMA NA UTUME WA MKRISTO
Utume wetu ambao tumepewa na Bwana Yesu ni kuwafanya mataifa wajitiishe kwa imani katika Jina la yesu Kristo, ndiyo maana Mwalimu Huruma Gadi kwa kutambua utume huu amejikita katika kufundisha habari za Yesu Kristo akiwa na lengo la kusababisha watu wasiomjua Yesu Kristo wamjue na kumtii kwa imani na wale ambao wamekwisha kumtii kwa imani waweze kumuelewa Yesu Kristo ili waweze kukua na kufikia Cheo cha kimo cha utimilifu wa Kristo.
2019-10-15
29 min