podcast
details
.com
Print
Share
Look for any podcast host, guest or anyone
Search
Showing episodes and shows of
Privaty Rugambwa
Shows
Sheria Poa Podcast
The concept of Marital Rape: Time to amend our laws? (Suala la Ubakaji ndani ya ndoa: Je ni muda wa kurekebisha sheria zetu?)
Swala la ubakaji ndani ya ndoa; yaani mume kumbaka mke wake, ni tatizo kubwa sana duniani. Suala hili pia limekuwa likiwatokea wanandoa wengi sana Tanzania na hivyo kuibua maswali mengi sana juu ya sheria zetu katika suala hili, na wengi wamekuwa wakiuliza kama ndoa ni kibali au leseni ya kubaka (whether marriage is a licence to rape) Kwenye mada hii leo tupo na Wakili Msomi Victor Mwakimi, Wakili Msomi Andrew Manumbu na Dada Carol Manyama. Tukiangalia kwa undani suala zima la ubakaji ndani ya ndoa na kama kwa sheria zetu za Tanzania swala hili linaweza likajitokeza na...
2021-08-25
38 min
Sheria Poa Podcast
Mikataba ya wachumba kabla ya Ndoa (Prenups Agreements) - Tanzania
Mikataba ya wachumba kabla ya ndoa (Prenups agreements) ni Mikataba ambayo wanandoa watarajiwa huingia kuhusu mali walizochuma kabla ya kufungua ndoa husika. Aina hii ya mikataba lengo lake kuu huwa ni kuhakikisha mali ambazo wanandoa wamechuma kabla ya ndoa husika hazitokuwa mali za pamoja za wanandoa hao endapo ndoa hiyo itavunjika. Katika kipindi cha leo tupo na Wakili msomi Emmanuel Bakilana, ambaye anatufafanulia kuhusu mikataba hii, madhumuni yake, faida na hasara zake kwenye jamii yetu ya kitanzania na sisi kama jamii tunahitaji aina hii ya mikataba. Kwa maelezo zaidi kuhusu wazungumzaji; Privaty Rugambwa
2021-08-11
28 min
Sheria Poa Podcast
Masuala ya Ardhi katika Mirathi
katika kipindi hiki, tuko pamoja na wakili Victor Mwakimi akiendelea kuzungumzia kwa kina Masuala ya ardhi katika mirathi. Karibu ujumuike nasi. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/sheriapoa/message
2021-07-07
50 min
Sheria Poa Podcast
Unyanyasaji wa Kingono kwenye Sehemu za Kazi
Sheria ya kazi na mahusiano ya kazi ya mwaka 2004 kama ilivyofanyiwa maboresho mwaka 2019, imezungumzia kidogo sana juu wa unyanyasi wa kingono kwenye sehemu za kazi. Sheria imeweka unyanyasaji wa kingono chini ya makundi au aina ya ubaguzi mahala pa kazi na hivyo kuonekana kama ni tatizo dogo sana kwenye eneo la kazi na mahusiano ya kazi. Kumekuwa na matatizo mengi sana juu ya tatizo hili la unyanyasaji wa kingono kazini, watu wengi sana wamekuwa wakinyanyaswa na watu mbalimbali ikiwemo waajiri au hata wafanyakazi wenzao na hivyo kusababisha matatizo makubwa sana kwao ikiwemo msongo wa mawazo. Katika kipindi...
2021-06-23
44 min
Sheria Poa Podcast
Haki za wanyama wafugwao majumbani Tanzania
Sikuhizi imekuwa ni kitu cha kawaida kuona nyumba au watu wakifuga wanyama mbalimbali kama mbwa au paka kama wanyama rafiki, kwa ajili ya majumbani kwa ilinzi au tu kama marafiki. Pia imekuwa ni kama desturi kuona vijana wakiwa wanauza wanyama hawa barabarani au sehemu mbalimbali kwenye miji mbalimbali Tanzania. Kumekuwa na maswali mengi sana kutoka kwa wadau na kwenye mitandao juu ya haki za wanyama wafugwao majumbani na wajibu ya watunza wanyama hawa. Katika kipindi cha leo, watoa mada wetu leo ni Mawakili Wasomi Ndugu Privaty Rugambwa, na Emmanuel Bakilana wamefanya tafiti juu ya haki za...
2021-06-09
31 min
Sheria Poa Podcast
Jinsi ya kumiliki eneo ndani ya jengo Tanzania (Unit Titles / Condominium)
Kipindi cha leo ni muendelezo wa mada ya kujua jinsi ya kumiliki ardhi Tanzania. Leo tupo na Wakili Msomi Victor Mwakimi, na mazungumzo ya leo ni kujua hasa jinsi mtu anaweza akamiliki eneo ndani ya jengo. Pia kuzungumzia kuhusu haki azipatazo mtu anayenunua eneo ndani ya jengo au eneo na zile anazopata mtu aliyenunua kiwanja au nyumba na kama kuna utaofauti wowote kati ya wamiliki hawa. Kujua zaidi kuhusu wawasilishaji; Victor Mwakimi; https://tz.linkedin.com/in/victor-mwakimi-5a5188125 https://www.lysonlaw.co.tz/member/vmwakimi@lysonlaw.co.tz
2021-05-26
21 min
Sheria Poa Podcast
Land as a source of investment through Mortgages
With us in today's episode is Advocate Victor Mwakimi, the Founding and Managing Partner of Lyson Law Group. Victor has nearly 10yrs of experience in legal practice specializing in Banking and Finance, Litigation and Conveyancing. Advocate Mwakimi gained his experience and passion for litigation and drafting of legal instruments while working for Trustworth Attorneys and later Gabriel & Co, where he was in charge of preparing and perfection of mortgages and other securities as Head of the Firm's Banking and Finance Practice. He is a well rounded Corporate Attorney who is admired by his clients and colleagues alike for...
2021-05-12
35 min
Sheria Poa Podcast
Dos and Donts on acquisition of Land In Tanzania, Part One
Today we are discussing the Dos & Donts on Acquisition of Land In Tanzania, Acquisition of Land in Tanzania is a verse subject and one of the most challenging transactions as it requires individuals or organisations to visit various government offices to make sure this transaction goes smooth, it does-not matter whether you have acquired a general or village land, but the process of getting one is cumbersome. Our Guest in today's episode is Advocate Mr. Victor Mwakimi, is the Founding and Managing Partner of Lyson Law Group, has nearly 10yrs of experience in legal practice...
2021-04-28
34 min
Sheria Poa Podcast
Striking a Balance Between Tight Work Schedule & Mental Health
In our episode 4 we are discussing on how to strike a balance between a tight work schedule and Mental health, Mental health is a challenging problem to our society and we are discussing on how to face this problem in accordance to the laws available. Our guest today is Nadia Ahmed who is a Psychologist and Registered Counsellor, Lecturer, Yoga and Mindfulness Meditation Teacher, Neurolinguiatic Programming and Life Coach, Mental Health and Wellness Expert, Founder and Director of Mind Matters Counselling and Human Development, TEDx Speaker, Young African Leaders Initiative - YALI Alumni, and African Women's Entrepreneurship...
2021-04-14
32 min
Sheria Poa Podcast
Women in Legal Practice, Challenges and Opportunities Available, Part 2
Today we are extending our discussion on challenges and opportunities available to women in Legal practice, and our guest today is Flora Obeto, Flora is an Associate at DLA Piper Africa, IMMMA Advocates and the Co- Founder and Managing Director at One Insurance Agency. We will be discussing in details main challenges facing women in legal practice and our main focus being junior lawyers who have just joined the profession, and how to go about the challenges that they are facing. Hosted by Emmanuel Gashi Bakilana and Privaty Rugambwa; To go further about; ...
2021-04-07
33 min
Sheria Poa Podcast
Women in Legal Practice, Challenges and Opportunities, Part 1
International Women's Day is celebrated in many countries around the world. It is a day when women are recognized for their achievements without regard to divisions, whether national, ethnic, linguistic, cultural, economic or political. Source; https://www.un.org/en/observances/womens-day/background#:~:text=The%20first%20National%20Woman's%20Day,was%20much%20earlier%20%2D%20in%201848. Since those early years, International Women's Day has assumed a new global dimension for women in developed and developing countries alike. The growing international women's movement, which has been strengthened by four global United Nations women's conferences, has helped make the commemoration a...
2021-03-31
47 min
Sheria Poa Podcast
Matumizi ya lugha ya kiswahili kwenye mfumo wa utoaji haki; Nini ni faida kwa wadau wa mahakama na mfumo mzima wa sheria.
Kiswahili ni Lugha ya Taifa na Matumizi ya Kiswahili yanazidi kukua kadri siku zinavyozidi kwenda, pamoja na kukua kwa lugha hii, Kiswahili kimekuwa hakitumiki katika mfumo mzima wa utoaji haki, kwa maana ya kwamba sheria zote za nchi yetu bado zipo kwa lugha ya Kiingereza na hata Mahakama zetu kuanzia ngazi ya Mahakama ya wilaya mpaka Mahakama ya rufani, lugha inayotumika ni Kiingereza. Kitu ambacho kimekuwa ni changamoto kwenye shughuli mbali mbali za utoaji haki. Lugha ya Kiswahili nchini imekuwa ikitumika kwenye mabaraza yote na Mahakama zote za Mwanzo tangu mwaka 1985 kwenye kuendesha mashauri na kutunza kumbukumbu...
2021-03-24
32 min