Look for any podcast host, guest or anyone
Showing episodes and shows of

Rev. Christine Mlingi

Shows

Faith Touch with Rev. Christine MlingiFaith Touch with Rev. Christine MlingiMSIMU MPYA WA KUJARIBIWA KWAKO Katika majira ya kupokea msimu mpya wa kujaribiwa, unapaswa kuwa makini sana 2023-08-2757 minFaith Touch with Rev. Christine MlingiFaith Touch with Rev. Christine MlingiUSIUZE MAONO YAKOUkubwa wa changamoto zako unaakisi ukubwa wa maono yako2023-08-2135 minFaith Touch with Rev. Christine MlingiFaith Touch with Rev. Christine MlingiSIKU YA KUTISHAIshike sana imani, wala usimuache Mungu, maana siku ya kutisha inakuja ambayo kila mtu atatoa hesabu kulingana na matendo yake hapa duniani, yawe matendo mema au mabaya. Kila mtu atahukumiwa kwa kadri ya matendo yake (Ufunuo 20:13).2023-08-011h 18Faith Touch with Rev. Christine MlingiFaith Touch with Rev. Christine MlingiUSIVUNJIKE MOYOKatika maisha tunaweza kukutana na changamoto mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kuvunjwa moyo hata na watu wa karibu yako. Katika yote hayo unatakiwa usivunjike moyo maana Mungu bado yuko upande wako kukupigania na kukushindia. 2023-07-2754 minFaith Touch with Rev. Christine MlingiFaith Touch with Rev. Christine MlingiCHUKIChuki ni moja ya sababu za ubaya na dhambi za kila aina. Kaini alikuwa mwanadamu wa kwanza kuua, na sababu yake ilikuwa ni chuki dhidi ya ndugu yake. Neno la Mungu linasema "kila amchukiaye ndugu yake ni mwuaji ... (1 Yohana 3:15) na kwamba huwezi kumpenda Mungu wakati unamchukia ndugu yako (1 Yohana 4:20)2023-06-091h 49Faith Touch with Rev. Christine MlingiFaith Touch with Rev. Christine MlingiUsishindane - Sehemu ya PiliUsishindane maana vita si yako ni ya BWANA (2Nyakati 20:15) kwa kuwa BWANA atakupigania nawe utanyamaza kimya (Kutoka 14:14).2023-05-271h 08Faith Touch with Rev. Christine MlingiFaith Touch with Rev. Christine MlingiKanuni za Kupata Mali za Kiungu - Sehemu ya TanoNi mapenzi ya Mungu tufanikiwe katika mambo yote (ikiwa ni pamoja na kupta mali na utajiri) kwa kadri tunavyofanikiwa katika mambo yote ya rohoni (3 Yohana 1:2). Mungu ndiye atupaye nguvu ya kufanikiwa na kupata utajiri (Kumbukumbu 8:18)2023-05-261h 18Faith Touch with Rev. Christine MlingiFaith Touch with Rev. Christine MlingiUsishindane - Sehemu ya KwanzaUsishindane maana vita si yako ni ya BWANA (2 Nyakati 20:15) kwa kuwa BWANA atakupigania nawe utanyamaza kimya (Kutoka 14:14). 2023-05-111h 18Faith Touch with Rev. Christine MlingiFaith Touch with Rev. Christine MlingiKanuni za Kupata Mali za Kiungu - Sehemu ya NneNi mapenzi ya Mungu tufanikiwe katika mambo yote (ikiwa ni pamoja na kupata mali na utajiri) kwa kadri tunavyofanikiwa katika mambo yote ya rohoni (3 Yohana 1:2). Mungu ndiye atupaye nguvu ya kufanikiwa na kupata utajiri (Kumbukumbu 8:18).2023-05-0842 minFaith Touch with Rev. Christine MlingiFaith Touch with Rev. Christine MlingiKanuni za Kupata Mali za Kiungu - Sehemu ya Tatu Ni mapenzi ya Mungu tufanikiwe katika mambo yote (ikiwa pamoja na kupata mali na utajiri) kwa kadri tunavyofanikiwa katika mambo ya rohoni (3 Yohana 1:2). Mungu ndiye atupaye nguvu ya kufanikiwa na kupata utajiri (Kumbukumbu 8:18).2023-05-031h 11Faith Touch with Rev. Christine MlingiFaith Touch with Rev. Christine MlingiKanuni za Kupata Mali za Kiungu - Sehemu ya Pili Ni mapenzi ya Mungu tufanikiwe katika mambo yote (ikiwa pamoja na kupata mali na utajiri) kwa kadri tunavyofanikiwa katika mambo ya rohoni (3 Yohana 1:2). Mungu ndiye atupaye nguvu ya kufanikiwa na kupata utajiri (Kumbukumbu 8:18). 2023-04-271h 23Faith Touch with Rev. Christine MlingiFaith Touch with Rev. Christine MlingiKanuni za Kupata Mali za Kiungu - Sehemu ya KwanzaNi mapenzi ya Mungu tufanikiwe katika mambo yote (ikiwa pamoja na kupata mali na utajiri) kwa kadri tunavyofanikiwa katika mambo ya rohoni (3 Yohana 1:2). Mungu ndiye atupaye nguvu ya kufanikiwa na kupata utajiri (Kumbukumbu 8:18).2023-04-241h 36