Look for any podcast host, guest or anyone
Showing episodes and shows of

Tanzania Embassy Beijing Podcast

Shows

The Team HouseThe Team HouseInside the Afghanistan Negotiations in Doha | Dante Paradiso | Ep. 275Support the show here:⬇️https://www.patreon.com/TheTeamHouse----------------------------------------------------------------------------------------------Dante Paradiso is the current Director of the Office of East African Affairs and a career member of the Senior Foreign Service. He most recently served as a Senior Advisor to the Special Envoy for Afghanistan Reconciliation, and immediately before that as Director for Peace and Reconciliation at US Embassy Kabul. In previous tours he has been Charge d’Affaires and Deputy Chief of Mission at US Embassy Libreville, Economic and Political Counselor at US Consulate Hong Kong, Special Assistant to the Assistant Secretary for African Affairs, and Br...2024-05-042h 34The Real P3The Real P3Sustainability Series: Food Security for the Future with Peter KellySend us a textIn this inspiring episode of *The Real P3 Podcast*, we delve into the world of agricultural innovation with our guest, Peter Kelly, the visionary founder of Grow Further. This organization is at the forefront of combating global food insecurity through groundbreaking agricultural research and development.Peter Kelly's Background: Before his impactful journey with Grow Further, Peter was an assistant professor of economics at Renmin University in Beijing, specializing in agriculture, international development, and the environment. His academic prowess is backed by a PhD in Agricultural and Resource Economics from...2024-01-2524 minTanzania Embassy Beijing PodcastTanzania Embassy Beijing PodcastTaarifa Muhimu kwa Makampuni yanayouza Soybean katika soko la ChinaTaarifa Muhimu kwa Makampuni yanayouza Soybean katika soko la China2023-04-0303 minThe Rich Robinson Show - Season 1 - At the Speed of ChinaThe Rich Robinson Show - Season 1 - At the Speed of ChinaKaiser Kuo on Creating a Wave of Innovation in Chinese Journalism and TechnologyKaiser Kuo is the Host and Co-Founder of the Sinica Podcast, which talks about China’s current affairs. Kaiser was a professional rock guitarist for Tang Dynasty, a Mandarin metal band before he got involved with journalism, the Internet, and related industries.In this episode, Kaiser shares his journey from America to the Middle Kingdom, and China's innovation and the differences between the US and Chinese governments.Key Takeaways:•"Free Fall" was the first rock and roll band Kaiser joined.•"ChinaNow.com" was founded in 1996.•Beijing is the Silicon Valley of China...2023-01-2451 minTanzania Embassy Beijing PodcastTanzania Embassy Beijing PodcastTaarifa kwa Watanzania wanaoishi China kuhusu tahadhari dhidi ya maambukizi ya UVIKO19Taarifa kwa Watanzania wanaoishi China kuhusu tahadhari wanazopaswa kuchukua dhidi ya maambukizi ya UVIKO192022-12-1105 minTanzania Embassy Beijing PodcastTanzania Embassy Beijing PodcastTaarifa kuhusu Bidhaa za Uvuvi kutoka Tanzania zinazohitajika kwa wingi katika soko la ChinaTaarifa kuhusu bidhaa za uvuvi (wild aquatic products) zinazohitajika kwa wingi katika soko la China na utaratibu wa kujisajili ili kuuza China kufuatia mkataba uliosainiwa wakati wa Ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dk.Samia Suluhu Hassan nchini China2022-12-0510 minTanzania Embassy Beijing PodcastTanzania Embassy Beijing PodcastTaarifa ya Balozi Mbelwa Kairuki kwa Waandishi wa Habari kuhusu maandalizi ya ziara ya RaisTaarifa ya Balozi Mbelwa Kairuki kwa Waandishi wa Habari kuhusu maandalizi ya ziara ya Kitaifa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan2022-10-2918 minTanzania Embassy Beijing PodcastTanzania Embassy Beijing PodcastUjumbe Maalum kwa Wanafunzi wanaojiandaa kwenda Masomoni nchini ChinaUjumbe Maalum kwa wanafunzi watanzania wanaojiandaa kwenda Masomoni nchini China2022-09-1609 minTanzania Embassy Beijing PodcastTanzania Embassy Beijing PodcastTaarifa kwa Umma Kuhusu Maadhimisho ya Wiki ya Ushirikiano wa Uchumi kati ya Tanzania na ChinaTaarifa kwa Umma Kuhusu Maadhimisho ya Wiki ya Ushirikiano wa Uchumi kati ya Tanzania na Jimbo la Zhejiang la nchini China. o la Zhejiang (CCPIT- Zhejiang Sub Council) Ndugu Chen Zongyao jijini Hangzhou. Zhejiang ni mojawapo ya Majimbo ya China yenye nguvu kubwa ya kiuchumi ikiwa na GDP ya Dola za Kimarekani Bilioni 849 na GDP per capital ya Dola za Kimarekani 14,907. Kutokana na utajiri wa Jimbo hilo, zipo fursa nyingi za biashara na uwekezaji.2022-09-0305 minTanzania Embassy Beijing PodcastTanzania Embassy Beijing PodcastTaarifa Maalum kwa Wanafunzi wa Tanzania wanaosoma Vyuo vikuu vya ChinaTaarifa kwa Wanafunzi wa Tanzania wanaosoma katika Vyuo Vikuu nchini China2022-08-2208 minTanzania Embassy Beijing PodcastTanzania Embassy Beijing PodcastTaarifa ya ufafanuzi kuhusu Usafiri wa kwenda ChinaHivi karibuni Shirika letu la Ndege la Air Tanzania limetangaza kurejesha safari ya kwenda Guangzhou nchini China kuanzia tarehe 17 Julai 2022. Kufuatia tangazo hilo Ubalozi umepokea ujumbe kutoka kwa wananchi mbalimbali hususan wafanyabiashara wakitaka kujua kama hivi sasa China imefungua mipaka yake na kwamba watanzania wataweza sasa kuja China na Air Tanzania kwa ajili ya shughuli zao.2022-07-1009 minTanzania Embassy Beijing PodcastTanzania Embassy Beijing PodcastUjumbe kwa wafanyabiasha na Waagizaji wa bidhaa kutoka ChinaUjumbe kwa wafanyabiashara na waagizaji wa bidhaa kutoka China2022-06-2612 minMammalwatchingMammalwatchingEpisode 23: Terry TownshendWe interview British economist turned conservationist Terry Townshend from his home in Beijing. about the work he has done over the past 12 years in China and some of the mammals he has encountered along the way. Terry describes stumbling on the Valley of the Cats, and its Snow Leopards, thanks to two students who overslept their alarm. He explains why he thinks Tibetan people are some of the happiest and wealthiest on earth. And he recalls a mesmerizing encounter with a family of Pallas’s Cats was the best birthday present ever.Notes: You can read more ab...2022-04-1650 minTanzania Embassy Beijing PodcastTanzania Embassy Beijing PodcastHotuba ya Balozi Mbelwa Kairuki katika Jukwaa la Imperial Springs International ForumBalozi Kairuki aiomba Jumuiya ya kimataifa kushirikiana katika kulikabili janga la UVIKO19 badala ya kuyabagua mataifa ya Afrika yaliyoiwezesha dunia kufahamu aina mpya ya kirusi cha UVIKO19 (OMICRON). Rai ameitoa katika Mkutano wa Kimataifa wa Mwaka 2021 wa Imperial Springs uliofanyika jijini Guangzhou2021-12-0707 minTanzania Embassy Beijing PodcastTanzania Embassy Beijing PodcastTaarifa muhimu kuhusu Ufadhili wa Masomo (Scholarships) ChinaTaarifa muhimu kuhusu Ufadhili wa Masomo (Scholarships) China na changamoto kwa wanafunzi2021-10-1510 minTanzania Embassy Beijing PodcastTanzania Embassy Beijing PodcastMwongozo wa utaratibu wa kuuza muhogo mkavu katika soko la ChinaMwongozo wa utaratibu wa kuuza muhogo mkavu katika soko la China kwa Makampuni ya Tanzania yenye nia ya kuchangamkia fursa ya soko2021-10-1505 minTanzania Embassy Beijing PodcastTanzania Embassy Beijing PodcastMkutano wa Balozi na Watanzania wanaoishi na kufanya biashara nchini ChinaHotuba ya Balozi Mbelwa Kairuki katika Mkutano na Watanzania wanaofanya Biashara na Kuishi nchini China uliofanyika tarehe 8 Agosti 20212021-08-0834 minTanzania Embassy Beijing PodcastTanzania Embassy Beijing PodcastUjumbe kuhusu fursa ya kuuza maharage ya soyaUjumbe wa kuhamasisha kilimo cha Soybeans nchini Tanzania kwa ajili ya soko la China2021-08-0206 minTanzania Embassy Beijing PodcastTanzania Embassy Beijing PodcastUjumbe kwa Wafanyabiashara wa MadiniTaarifa kwa wadau wa Madini nchini kuhusu Mkutano wa Kimataifa wa Madini utakaofanyika jijini Tianjin tarehe 24 Oktoba 20212021-07-2606 minTanzania Embassy Beijing PodcastTanzania Embassy Beijing PodcastUbalozi wa Tanzania nchini China kuanzisha dawati la viwandaKwa kutambua uhitaji wa Msaada wa kununua Mashine na mitambo ya uzalishaji kwa ajili ya kuanzisha viwanda vidogo, vya kati na vikubwa- kuanzia tarehe 1 Septemba Ubalozi wa Tanzania Nchini China utaanzisha DAWATI LA VIWANDA. Dawati hilo litatoa huduma kwa watanzania watakaokuwa na nia ya kununua kutoka China mitambo ya kuzalisha bidhaa mbalimbali nchini.2021-07-0614 minTanzania Embassy Beijing PodcastTanzania Embassy Beijing PodcastUjumbe muhimu kwa wanafunzi wanaofadhiliwa na China Scholarship CouncilTaarifa muhimu kwa Watanzania wanaosoma nchini China kwa ufadhili wa China Scholarship Council. Taarifa hiyo inatoa mrejesho kuhusu baadhi ya masuala ambayo wanafunzi waliyawasilisha katika Mkutano Mkuu wa Wanafunzi wanaosoma China uliofanyika tarehe 22 Mei 20212021-06-0808 minTanzania Embassy Beijing PodcastTanzania Embassy Beijing PodcastUjumbe kwa wafanyabiashara wanaotaka kuuza bidhaa nje ya nchiMara nyingi Ubalozi unapotangaza fursa mpya ya soko- swali linaloulizwa na watu wengi ambao wanafikiria kuchangamkia fursa hiyo ni  "wananunua kwa bei gani au offer yao ni kiasi gani". Ni vizuri kuwa na ufahamu wa jumla kuhusu mwenendo wa bei ya soko la dunia la bidhaa hiyo. Hata hivyo ni muhimu zaidi kwa anayetaka kuuza bidhaa - awe ndio mtoa bei kwani mwenye mali ndio anajua gharama aliyoingia kuipata mali yake na ili asipate hasara anatakiwa kuuza kwa bei gani.Hivyo, unapojipanga kuuza bidhaa nje- ni muhumu ukajua bei itakayokupa faida ni ipi.2021-05-2707 minTanzania Embassy Beijing PodcastTanzania Embassy Beijing PodcastFursa kwa wauzaji wa kahawa kutangaza bidhaa zao katika soko la ChinaTaarifa ya kwa Umma kuhusu hafla ya kuonja kahawa ya Tanzania "Coffee Cupping" itakayofanyika jijini Changsha tarehe 14-18 Juni 2021. Hafla hiyo itakayohudhuriwa na Makampuni yanayonunua kahawa katika soko la China itawezesha wauzaji wa kahawa ya Tanzania kutangaza bidhaa yao katika soko la China2021-05-0605 minTanzania Embassy Beijing PodcastTanzania Embassy Beijing PodcastTaarifa Muhimu kwa Watanzania Wanaosoma Vyuo Vikuu vya ChinaTaarifa kwa umma inayohusu watanzania wanaosoma vyuo vikuu vya China ambao hivi sasa wapo Nje ya China kutokana na kufungwa mipaka ya China2021-05-0116 minTanzania Embassy Beijing PodcastTanzania Embassy Beijing PodcastMambo ya kuzingatia katika kufanya biashara ChinaWatanzania wengi hununua bidhaa mbalimbali nchini China kwa madhumuni ya bishara na matumizi binafsi. Baadhi yao wamekumbwa na kadhia ya kuibiwa au kutapeliwa na wafanyabiashara wa kichina. Ujumbe huu unatoa ushauri wa mambo ya kuzingatia ili kuepuka kadhia inayoweza kutokea2021-04-2511 minThe Authenticity ShowThe Authenticity ShowE88 Global Adventures w/ Dean KaralekasAdventure seems to follow Dean Karalekas around.  Originally from Canada, he has had adventures all over the world.  With a PhD in Military Sociology, Dean speaks with deep understanding about people, politics, culture, and religion.  He recently wrote a book about his experiences in Bir Tawil, on the border between Egypt and Sudan.  Bir Tawil is one of the last remaining places on earth to be considered a Terra Nullius, or unclaimed land.  His book is called The Men in No Man’s Land – A Journey in to Bir Tawil.  He also has some advice for you if you’re thinking abou...2020-11-0100 minThe Authenticity ShowThe Authenticity ShowGlobal Adventures w/ Dean Karalekas   Adventure seems to follow Dean Karalekas around.  Originally from Canada, he has had adventures all over the world.  With a PhD in Military Sociology, Dean speaks with deep understanding about people, politics, culture, and religion.  He recently wrote a book about his experiences in Bir Tawil, on the border between Egypt and Sudan.  Bir Tawil is one of the last remaining places on earth to be considered a Terra Nullius, or unclaimed land.  His book is called The Men in No Man’s Land – A Journey in to Bir Tawil.  He also has some advice for you if you’re thinking about...2020-11-011h 06The Itchy Feet Travel PodcastThe Itchy Feet Travel PodcastKarl Spain, ComedianSome say that humour knows no borders. And while there is some truth in it, my guest for this episode is witness to how comedy is both perceived and received by different people in different countries.Karl Spain has been a staple of Irish stand-up comedy for two decades now and in that time, he has toured across the world bringing his brand of humour to all walks of life. Among the places he has done stand-up are China, the US, the Middle East, Australia and, as he says in his bio, "even as...2020-05-3000 minThe China Africa ProjectThe China Africa ProjectThe Future of Chinese Rail Financing in AfricaChina famously lent billions of dollars to countries across Africa to build expensive, new railways. Nigeria, Ethiopia, Djibouti and Kenya all used loans from Beijing to build new lines using a standard gauge (SGR) that will one day make it possible for these various railways to interconnect with one another. While a number of African countries are still eager to build out railways, it appears that the days of easy access to Chinese financing are coming to an end. Chinese policy banks like the China Exim Bank and the China Development Bank are becoming increasingly reluctant to lend money for...2020-04-0347 minNEWSPlus RadioNEWSPlus Radio【专题】慢速英语(英音版)完整文稿看周六微信第三条,你懂的呦~ This is NEWS Plus Special English. I'm Mark Griffiths in Beijing. Here is the news.Tanzania's anti-poaching crusade received a boost when China donated 50 special vehicles worth 1.3 million U.S. dollars for patrolling in the East African nation's parks and game reserves.The Chinese Ambassador to Tanzania handed over the vehicles to Tanzanian officials in the commercial capital Dar es Salaam.The Chinese government also donated mountaineering jackets, tents, patrol generator sets and mobile radio phones.The vehicles and other facilities will be distributed to national parks and game reserves across the country.The support came days after a C...2015-07-3025 min