podcast
details
.com
Print
Share
Look for any podcast host, guest or anyone
Search
Showing episodes and shows of
Wingu La Mashahidi
Shows
Wingu la Mashahidi
KALAMU YENYE UONGO YA WAANDISHI IMEIFANYA KUWA UONGO.
SWALI: Mstari huu una maana gani? Je, ni kweli waandishi waliweza kubadilisha baadhi ya maneno ya torati, Na hivyo inaifanya biblia isiamike hadi sasa? Yer
2022-07-25
07 min
Wingu la Mashahidi
UNAWAZA NINI SASA, JUU YA UFALME WA MBINGUNI?
Unawaza nini juu ya kuipeleka injili mbele?..Je unafikiri nini juu ya hali ya kiroho ya wanao miaka kadhaa mbele?, endapo parapanda itakuwa haijalia
2022-07-23
08 min
Wingu la Mashahidi
Vitabu vya Deuterokanoni ni vya kiMungu?
Swali: Deuterokanoni ni nini? na je vitabu vya Deutorokanoni ni vitabu vya kiMungu? (ambavyo vimevuviwa na Roho Mtakatifu) na vyenye kufaa kwa mafundisho.? Jibu: Deuterokanoni ni vitabu vingine saba (7) ambavyo vimeongezwa na kanisa Katoliki juu ya vitabu 66 vya Biblia takatifu, na hivyo kufanya jumla ya vitabu 73 katika biblia ya kikatoliki. Maana ya Read More
2022-07-21
04 min
Wingu la Mashahidi
Mti wa Mshita ni mti wa namna gani?
Swali: Mti wa Mshita uliotengenezea sanduku la Agano ndio upi kwasasa?(Kutoka 25:10) Jibu: Tusome Kutoka 25:10 “Nao na wafanye sanduku la MTI WA MSHITA;
2022-07-20
04 min
Wingu la Mashahidi
Wana wa Manabii walikuwa ni watu gani?
Swali: Katika biblia tunasoma sehemu kadha wa kadha zikiwataja “wana wa manabii”.. Je! Hawa wana wa manabii walikuwa ni watu gani?, na kazi yao ilikuwa
2022-07-19
08 min
Wingu la Mashahidi
JINSI YA KUPOKEA UPONYAJI, TUNAPOMWOMBA BWANA ATUGUSE MARA YA PILI.
Jina kuu la Bwana na Mwokozi wa Ulimwengu, Simba wa kabila la Yuda, na Mkuu wa wafalme wa dunia, Yesu Kristo libarikiwe. Karibu tujifunze biblia, neno la M
2022-07-11
04 min
Wingu la Mashahidi
Wana wa Asafu ni akina nani katika biblia?
Kabla ya kuwafahamu wana wa Asafu, ni vizuri kumfahamu Asafu mwenyewe alikuwa ni nani. Asafu alikuwa ni mmoja wa walawi ambao, mfalme Daudi alimuweka
2022-07-05
05 min
Swahili
Zingatia Imani
Waebrania huwaambia watu waliokata tamaa, wanaoteswa, “Msiiache imani yenu, kwa sababu tunazungukwa na wingu kubwa la mashahidi! Waebrania sura ya 11 inaitwa "sura ya imani", na inatoa sababu kwa nini tunapaswa kushikilia imani yetu. Imani huokoa na kutoa kiini cha tumaini letu. Ni lazima tuishi kwa imani. Mwandishi anatoa mifano mingi ya nini imani inaweza kumaanisha na nini imani inaweza kufanya. Mwandishi anamalizia kwa kuhimiza utii kwa wale ambao ni wachungaji wetu wa kiroho.
2022-06-16
25 min
Wingu la Mashahidi
KUOTA MAFURIKO,KUOTA MAJI MENGI,KUOTA MAWIMBI.
Naomba kufahamu Je! Kuota mafuriko ni kiashiria cha nini? Mafuriko kazi yake si nyingine Zaidi ya kugharikisha, tofauti na mvua ambayo kazi yake ni kustawi
2020-02-11
06 min
Wingu la Mashahidi
SAA YA KIAMA.
Cha kushangaza ni kwamba wakristo tu peke yetu ndio hatujui saa tunayoishi na muda gani mchache tuliobakiwa nao, na hata kama tunajua basi wengi bado hatuj
2019-10-10
00 min