podcast
details
.com
Print
Share
Look for any podcast host, guest or anyone
Search
Showing episodes and shows of
Ama & Mwaka
Shows
SBS Swahili - SBS Swahili
Makala leo:Shirika la Haki za Binadamu laonya kuwa demokrasia iko hatarini ikilinganishwa na miaka ya 1980
Demokrasia na utaratibu wa kimataifa unaozingatia sheria ziko hatarini, kulingana na ripoti ya kila mwaka ya Shirika la haki za binadamu ama Human Rights Watch. Kuna msisitizo mahususi juu ya Marekani na kile ambacho chombo cha kimataifa kinaelezea kama kudorora kwa haki za binadamu, lakini pia kuna tahadhari juu ya Australia. Sera za uhamiaji na kuwekwa kizuizini kwa vijana za Australia zinaorodheshwa kama 'mapungufu makubwa', zikionyeshwa kuwa ni demokrasia pekee ya Magharibi isiyo na sheria ya kitaifa ya haki za binadamu.
2026-02-09
10 min
SBS Swahili - SBS Swahili
Makala:Serikali ya Victoria kuendelea na ubomozi wa nyumba za umma licha ya upinzani
Katika wakati wa mgogoro wa makazi na gharama za maisha, serikali ya Victoria iko katika mchakato wa kubomoa minara yote 44 ya makazi ya umma ya Melbourne. Licha ya upinzani mkubwa na uchunguzi wa bunge unaotaka kusitishwa kwa haraka kwa kazi hizo, serikali ya Victoria inaendelea na mipango hiyo. Kuhama nyumba huchukuliwa kuwa moja ya matukio yenye msongo mkubwa zaidi katika maisha ya mtu. Kwa hivyo, mwaka 2023, wakati maelfu ya wakaazi wa Victoria walipokea taarifa kwamba nyumba zao zitabomolewa wakati fulani kati ya mwaka huo na 2051, msongo ulikuwa dhahiri. Tembelea tovuti yetu sbs.com.au kwa taarifa ama maelezo zaidi.
2026-01-23
13 min
Changu Chako, Chako Changu
Baadhi ya watangazaji wa RFI Kiswahili watuma salamu za mwaka mpya 2026
Karibu katika Makala haya ya kwanza kabisa mwaka mwaka 2026, changu chako chako changu, nikutakie heri ya mwaka mpya. Kumbuka makala haya hukuletea historia ya mambo mbalimbali, utamaduni le parler francophone na Muziki, ambapo leo nakuletea pongezi za mwaka mpya kutoka kwa watangazaji wenzangu hapa RFI Kiswahili. Mimi ni Ali Bilali mtangazaji wako asiependa makuu, bienvenue, ama Karibu.
2026-01-04
19 min
Changu Chako, Chako Changu
Baadhi ya watangazaji wa RFI Kiswahili watuma salamu za mwaka mpya 2026
Karibu katika Makala haya ya kwanza kabisa mwaka mwaka 2026, changu chako chako changu, nikutakie heri ya mwaka mpya. Kumbuka makala haya hukuletea historia ya mambo mbalimbali, utamaduni le parler francophone na Muziki, ambapo leo nakuletea pongezi za mwaka mpya kutoka kwa watangazaji wenzangu hapa RFI Kiswahili. Mimi ni Ali Bilali mtangazaji wako asiependa makuu, bienvenue, ama Karibu.
2026-01-04
19 min
Changu Chako, Chako Changu
Kumbukumbu ya makala za mwaka 2025 sehemu ya pili desemba 21 2025
Karibu katika Makala yetu ya leo Jumapili Desemba 21, wakati tukielekea kutamatisha mwaka 2025, ambapo nakukumbusha baadhi ya makala tulizokuwa nazo mwaka huu, utapata kuskiliza makala kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, lakini pia sehemu ya makala kuhusu mambo ambayo ni miiko kutoka makabila mbalimbali, na mwisho kabisa nitakuletea burudani ya Muziki kutoka kwake. Mimi ni A LI Bilali bienvenue ama Karibu
2025-12-21
20 min
Changu Chako, Chako Changu
Kumbukumbu ya makala za mwaka 2025 sehemu ya pili desemba 21 2025
Karibu katika Makala yetu ya leo Jumapili Desemba 21, wakati tukielekea kutamatisha mwaka 2025, ambapo nakukumbusha baadhi ya makala tulizokuwa nazo mwaka huu, utapata kuskiliza makala kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, lakini pia sehemu ya makala kuhusu mambo ambayo ni miiko kutoka makabila mbalimbali, na mwisho kabisa nitakuletea burudani ya Muziki kutoka kwake. Mimi ni A LI Bilali bienvenue ama Karibu
2025-12-21
20 min
SBS Swahili - SBS Swahili
Viza ya milioni moja kutolewa nchini Australia
Australia inatarajia kutoa kibali cha kila kudumu ama permanent humanitarian visa , cha milioni moja tangu kumalizika kwa Vita Kuu ya Pili ya Dunia mwisho wa mwaka huu. Hatua hii imewezesha sherehe juu ya mchango mkubwa ambao wakimbizi hufanya katika hadithi ya kitaifa ya Australia. Lakini mashirika ya haki za wakimbizi yanasema ni wakati muafaka kufikiria jinsi Australia inaweza kuboresha jibu lake kwa ukimbizi mkubwa wa dunia nzima.
2025-11-11
07 min
Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako Chako Changu, siku ya kimataifa ya ukalimani na utafsiri
Karibu katika Makala yetu ya leo Jumapili changu chako chako changu Makala ambayo khukuletra historia ya mambo mbalimbali utamaduni le parler francophone na Muziki, na eo nakuletea maadhimisho ya siku ya kimataifa ya ukalimani na utafsiri ambayo huamdihimishwa kila septemba 30 ya kila mwaka. Kwenye le parler francophone nitakujuwa yaliojiri kwenye kituo cha Alliance francaise, na kwenye Muziki nitakupa Burudani ya Muziki kutoka kwake Aslay. Mimi ni Ali Bilali Karibu ama Bienvenue,
2025-10-05
20 min
Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako Chako Changu, siku ya kimataifa ya ukalimani na utafsiri
Karibu katika Makala yetu ya leo Jumapili changu chako chako changu Makala ambayo khukuletra historia ya mambo mbalimbali utamaduni le parler francophone na Muziki, na eo nakuletea maadhimisho ya siku ya kimataifa ya ukalimani na utafsiri ambayo huamdihimishwa kila septemba 30 ya kila mwaka. Kwenye le parler francophone nitakujuwa yaliojiri kwenye kituo cha Alliance francaise, na kwenye Muziki nitakupa Burudani ya Muziki kutoka kwake Aslay. Mimi ni Ali Bilali Karibu ama Bienvenue,
2025-10-05
20 min
Shakilah's Tales
Maisha Baada ya Uchaguzi.
Kipindi hiki kinaghusia maisha baada ya uchaguzi mwaka 2022 Agosti.Je,maisha yamekuwa magumu zaidi ama mambo yako sawa? Je, Serikali ambayo iko usukani imetimiza ahadi kwa wananchi ama hapana? Sikiliza ili upate bayana ya mambo usikose kuwacha mawazo yako kuhusu mada hii. --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/shakilah-ochara/message Support this podcast: https://podcasters.spotify.com/pod/show/shakilah-ochara/support
2023-07-02
07 min
Meza Huru
Mezani na UNCLE JOHN KITIME #10
Mzee Kitime ama Ango "Uncle" Kitime kama mwenyewe anavyojitanabaisha kwenye mitandao. Ni mwanamuziki nguli wa Muziki wa Dansi kutoka Kilimanjaro Band maarufu kama "Wana Njenje", mmoja wa wanakamati ya kutetea muziki wa dansi na tasnia ya muziki kwa ujumla, Mtangazaji wa Radio, Muigizaji wa Filamu, Mchekeshaji na Mtunza historia ya Music wa Tanzania. Tumekaa naye na kupata historia ya muziki wake na harakati zake tangu mwaka 1967 hadi leo akiwa na JFK BAND. Jumuika nasi mezani tumsikilize Gwiji huyu wa Tasnia yetu, Karibu. #MezaniNaJOHNKITIME #MezaHuru Anchor - https://anchor.fm/meza-huru Go...
2022-10-07
2h 17
Siasa na Gumzo
Ukweli wa Mambo: Mudavadi alisema ukweli Bomas ama la? Tunaweka paruwanja
Katika Ukweli wa Mambo leo, tunaangazia hotuba ya Musalia Mudavadi wakati Kongamano la Kitaifa la ANC, Januari 23 mwaka wa 2022. Je, aliyoyasema yana ukweli ama la na kwa kiwango gani? Huu hapa ukweli wa mambo baada ya utafiti wa kina baina ya Shirika la Habari la Standard kwa ushirikiano na kampuni ya Africa Check. Katika hotuba yake ya kipekee ya kukubali uteuzi wa kupeperusha bendera ya urais kupitia chama chake, Musalia aliahidi kufufua uchumi jinsi alivyofanya alipokuwa Waziri wa Fedha miaka ya 90. Geoffrey Mung’ou anasimulia.
2022-01-31
12 min
When Did I Become An Adult?
Porsha and Simon are engaged! #rhoa
Yeeessss it’s the biggest hot topic of 2021. Porsha is engaged to her friend’s/not-so-friend’s husband 😳, after just 1 month of dating! You best listen to get the Tea!
2021-05-13
1h 04
When Did I Become An Adult?
Sexual harassment - Noel Clarke #metoo
In this episode we talk about the alleged sexual allegations made against Noel Clarke and Ashley Walters statement. Let us know what you think https://myurls.co/whendidibecomeanadult
2021-05-07
39 min
When Did I Become An Adult?
Would we get cosmetic surgery.
Today we are discussing cosmetic surgery and upcoming awards.
2021-05-02
52 min
When Did I Become An Adult?
Would you ever freeze your eggs? 🍼
In this episode we talk about fertility, the high, the low and the ugly. But would you ever consider freezing your eggs? Let us know on https://myurls.co/whendidibecomeanadult
2021-04-24
50 min
When Did I Become An Adult?
Taboo subjects 🤦🏾♀️🤷🏾♀️
Would you talk about sex with your parents? Are we our parents? Would you move back to your African country? Let us know... https://myurls.co/whendidibecomeanadult
2021-04-16
46 min
When Did I Become An Adult?
He gets off by spitting in my mouth 💦 🤷🏾♀️
We talk about it ALL in this episode. Don’t forget to let us what you think. https://myurls.co/whendidibecomeanadult
2021-04-01
43 min
When Did I Become An Adult?
He cheated!!! 😱😱😱 But he was so perfect 😩😩😩
Hot topics alert! 🚨 Relationship advice guru Derek Jaxn (Jackson) admits to cheating on his pregnant wife 🚨 What to do when a friend doesn’t fancy you back 🚨 Census...what the f***. Make sure to contact with us https://myurls.co/whendidibecomeanadult
2021-03-24
57 min
When Did I Become An Adult?
THAT interview.......
This week we discuss our take on THAT interview, women safety movies we have been watching this week. Our options differ a lot this week. Let us know whose side you are on. Mwaka or Ama. myurls.co/whendidibecomeanadult
2021-03-17
1h 04
When Did I Become An Adult?
Lost Friendships...
In the episode we discuss whether you should rekindle friendships that have broken down. If you or anyone you know anyone is in an abusive relationship are some charities who can help. Women's Aid Solace Respect: Mens Advice Line https://myurls.co/whendidibecomeanadult
2021-03-12
1h 10
When Did I Become An Adult?
I was in so much PAIN! 😫
March is Endometriosis awareness month. Listen to our experience. https://myurls.co/whendidibecomeanadult
2021-03-03
36 min
When Did I Become An Adult?
He kept talking about his P****
We’re talking about our best and worst first dates. You want to hear this! 😆. Tell us about your bad dates on... https://myurls.co/whendidibecomeanadult
2021-02-24
30 min
When Did I Become An Adult?
Valentines Days Stories
Welcome to the first episode of a brand new podcast When Did I Become an Adult? In this episode we talk about our worst Valentine’s Day gifts and experiences, and how our opinions about the day has changed. What was your worst Valentine’s Day gift or experience? Clink on the link and let us know. http://myurls.co/whendidibecomeanadult
2021-02-13
51 min
Msasa Media
WATU ZAIDI YA MILIONI 1.8 WANATAFUTA HIFADHI NCHINI UJERUMANI.
Idadi ya watu wanaotafuta hifadhi nchini Ujerumani kutokutoka na vita ama mateso katika nchi zao iliongezeka kupita milioni 1.8 mwishoni mwa mwaka jana kulingana na takwimu rasmi zilizotolewa tarehe 23, Julai. Idara ya takwimu ya serikali kuu (Destatis) imesema kuwa nb idadi hiyo iliongezeka kwa kiwango cha chini cha kila mwaka kutoka asilimia 3 mnamo mwaka 2012, idadi hiyo ilijumuisha raia wa kigeni ambao walikuja nchini Ujerumani kwasababu za kisheria, kisiasa ama kibinadamu. Mnamo Desemba 31, takribani watu 266000 miongoni mwa waomba hifadhi hao walikuwa bado wanasubiri uamuzi wa mwisho wa maombi yao ya kutafuta hifadhi, idara hiyo ya (Destatis) imeripoti kuwa kiwango hicho ni asilimia 13...
2020-07-25
01 min
Coach Aifa
24-THE BEGINNER'S GUIDE PROGRAM Eps01 (Jinsi ya ku-connect na Prospect au mteja wako) by G.A Moses
The beginner's guide PROGRAM ni PROJECT inayo wasaidia wajasiriamali binafsi wa biashara ya mtandao kumasta skills na internet kutoka kwa matop earner wa biashara ya mtandao na kuweza jifunza kwao kisha kufanikiwa ndani ya biashara yako. Hii ni Episode ya kwanza inayo kufundisha Jinsi gani unavyo weza ku CONNECT na mteja wa bidhaa yako ama mteja anaye weza kuwa ndani ya team yako. Mafunzo haya unajifunza kwa kijana ambaye ni mkenya aliye weza kufanya biashara ya mtandao kwa muda wa miaka 3 na amekuwa top 3 distibuter ndani ya kampuni na mwaka wa tatu amekuwa top 4 distributor ndani ya kampuni n nchini...
2020-04-06
1h 09
SBS Kirundi - SBS mu Kirundi
Fablice Manirakiza speaks on the power of education at the 2018 AMEP-SEE Forum in Canberra - Fablice Manirakiza umurundi yashikirije akamaro k'amashure mu nama ya AMEP-SEE i Canberra
Fablice Manirakiza, 2016 Young Victorian Achiever of the Year and the President of the Australian Burundian Community in Victoria (ABCV) attended the Adult Migrant English Program (AMEP) & Skills for Education and Employment (SEE) Forum in Canberra, ACT. He spoke on the power of education and the importance of programs that can enhance employment opportunities for Africans whose first language is not English. - Fablice Manirakiza, yatowe nk'umwe mu rwaruka rwa Victoria rwakoze ibikorwa bihambaye mu mwaka wa 2016 akongera akaba umukuru wa kominoti y'Abarundi baba muri Victoria (ABCV) aratubwira ivyavuye mu nama ya AMEP-SEE itegura ama porogaramu afasha abakomoka mu bihigu bitavuga...
2018-09-20
10 min