podcast
details
.com
Print
Share
Look for any podcast host, guest or anyone
Search
Showing episodes and shows of
Amani Longishu
Shows
Amani Longishu Podcast
#98: Mbinu 5 Za Kupunguza Kukopesha Bidhaa Zako
Share episode hii na mwingine
2024-07-31
07 min
Amani Longishu Podcast
#98: Mbinu 5 Za Kupunguza Kukopesha Bidhaa Zako
www.mjasiriamalidigital.com/watejadeilee
2024-07-29
07 min
Amani Longishu Podcast
#97: Sababu 10 Kwanini Hawanunui Bidhaa Zako
Kozi Ya Uza Deilee👇🏿 https://mjasiriamalidigital.com/watejadeilee/
2024-07-24
09 min
Amani Longishu Podcast
#96: Jinsi Ya Kufikia Lengo Lako La Mauzo Ya Mwezi
Anza Kozi Hapa👇🏿 https://www.mjasiriamalidigital.com/watejadeilee/
2024-07-24
03 min
Amani Longishu Podcast
#95: BIASHARA YAKO Inaenda Polepole? Fanya Haya 5 Upate WATEJA WENGI
Jiunge kozi Ya Wateja Deilee hapa👇🏽 https://www.mjasiriamalidigital.com/watejadeilee/
2024-07-18
06 min
Amani Longishu Podcast
#94: NJIA 4 Za Kuongeza MAUZO kwenye Biashara Yako
Jiunge kozi Ya Wateja Deilee hapa👇🏽 https://www.mjasiriamalidigital.com/watejadeilee/
2024-07-11
05 min
Amani Longishu Podcast
#93: Mambo 8 UNAHITAJI Kuanza BIASHARA Mtandaoni
Jiunge kozi Ya Wateja Deilee hapa👇🏽 https://www.mjasiriamalidigital.com/watejadeilee/
2024-07-06
09 min
Amani Longishu Podcast
#92: Njia 6 Za KUPATA FOLLOWERS Instagram 2024
Jiunge kozi Ya Wateja Deilee hapa👇🏽 https://www.mjasiriamalidigital.com/watejadeilee/
2024-07-01
05 min
Amani Longishu Podcast
#91: Njia 4 Za Kupata REFERRALS Za WATEJA Wako
Jiunge kozi Ya Wateja Deilee hapa👇🏽 https://www.mjasiriamalidigital.com/watejadeilee/
2024-06-29
05 min
Amani Longishu Podcast
#90: Njia 3 Za Kuingiza KIPATO kwenye Biashara Hiyo Hiyo Unayofanya
Jiunge kozi ya kupata wateja wengi hapa👇🏽 https://www.mjasiriamalidigital.com/watejadeilee/
2024-06-22
07 min
Amani Longishu Podcast
#89: Tumia Features Hizi INSTAGRAM Utapata Wateja Wengi
Jiunge kozi ya kupata wateja wengi hapa👇🏽 https://www.mjasiriamalidigital.com/watejadeilee/
2024-06-21
05 min
Amani Longishu Podcast
#88: Jinsi Ya Kutambulisha Biashara Mtandaoni | Hatua 6 Muhimu Ili Kupata Wateja Wengi Zaidi
Jiunge kozi ya kupata wateja wengi hapa👇🏽 https://www.mjasiriamalidigital.com/watejadeilee/
2024-06-06
08 min
Amani Longishu Podcast
#87: Aina 5 Ya BIDHAA ZA KUUZA MTANDAONI
Jiunge kozi ya kupata wateja wengi hapa👇🏽 https://www.mjasiriamalidigital.com/watejadeilee/
2024-05-29
10 min
Amani Longishu Podcast
#86: Hatua 4 Za KUANZA BIASHARA Mtandaoni Hadi Kupata Wateja Wengi
Jiunge kozi ya kupata wateja wengi hapa👇🏽 https://www.mjasiriamalidigital.com/watejadeilee/
2024-05-27
15 min
Amani Longishu Podcast
#85: Mambo 6 Yanayo KUNYIMA KUPATA WATEJA Wengi Mtandaoni
Jiunge kozi ya kupata wateja wengi hapa👇🏽 https://www.mjasiriamalidigital.com/watejadeilee/
2024-05-27
11 min
Amani Longishu Podcast
#84: Mikakati 2 Ya KUNASA WATEJA Kila Siku Mtandaoni
Jiunge kozi ya kupata wateja wengi hapa👇🏽 https://www.mjasiriamalidigital.com/watejadeilee/
2024-05-26
12 min
Amani Longishu Podcast
#83: Mitandao 4 Ya KUPATA WATEJA WENGI Tanzania Na Nchi Jirani
Jiunge kozi ya kupata wateja wengi hapa👇🏽 https://www.mjasiriamalidigital.com/watejadeilee/
2024-05-26
29 min
Amani Longishu Podcast
#82: Njia 6 Za Kupata SHUHUDA & FEEDBACKS ZA WATEJA Wako
Jiunge kozi ya kupata wateja wengi hapa👇🏽 https://www.mjasiriamalidigital.com/watejadeilee/
2024-05-22
11 min
Amani Longishu Podcast
#81: Njia 5 Za KUJITANGAZA Bila SPONSORED ADS
Jiunge kozi ya kupata wateja wengi hapa👇🏽 https://www.mjasiriamalidigital.com/watejadeilee/
2024-05-18
04 min
Amani Longishu Podcast
#80: Hujisikii KUPOST Chochote Online! Fanya Haya!
Kwenya Episode hii utajifunza Mambo ya Kufanya Ikiwa Hujisikii Kupost Chochote Online! Jiunge kozi ya kupata wateja wengi hapa https://www.mjasiriamalidigital.com/watejadeilee/
2024-05-15
03 min
Amani Longishu Podcast
#79: Fanya Haya Tangazo La Sponsored Likiwa Approved
Kwenye Episode hii utajifunza Vitu vya Kufanya Tangazo La Sponsored Likiwa Approved!! Jiunge kozi ya kupata wateja wengi hapa https://www.mjasiriamalidigital.com/watejadeilee/
2024-05-15
01 min
Amani Longishu Podcast
#78: Jinsi Ya Kukuza Biashara Yako INSTAGRAM
Video hii inakupa mbinu 6 za Jinsi ya Kukuza Biashara Instagram. Jifunze hatua muhimu za kufanikiwa katika kuuza instagram na kufikia wateja wapya! Jiunge kozi ya kupata wateja wengi hapa https://www.mjasiriamalidigital.com/watejadeilee/ Instagram; https://www.instagram.com/amanilongishu/ Tiktok; https://www.tiktok.com/@amanilongishu Facebook; https://www.facebook.com/amanilongishu Jinsi ya kukuza biashara mtandaoni, Jinsi ya kutangaza biashara Instagram,
2024-04-25
13 min
Amani Longishu Podcast
#77: Mbinu 6 Za Kukuza Biashara Facebook
Episode hii inakupa mbinu za jinsi ya kukuza biashara facebook. Jifunze hatua muhimu za kufanikiwa katika kuuza facebook na kufikia wateja wapya! Jiunge kozi ya kupata wateja wengi hapa https://www.mjasiriamalidigital.com/watejadeilee/ Instagram; https://www.instagram.com/amanilongishu/ Tiktok; https://www.tiktok.com/@amanilongishu Facebook; https://www.facebook.com/amanilongishu Jinsi ya kukuza biashara mtandaoni, Jinsi ya kutangaza biashara facebook,
2024-04-24
11 min
Amani Longishu Podcast
#76: Jinsi Ya Kukuza Biashara TIKTOK
Episode hii inakupa mbinu za Jinsi Ya Kukuza Biashara Tiktok. Jifunze hatua muhimu za kufanikiwa katika uuzaji tiktok na kufikia wateja wapya! Jiunge kozi ya Kupata Wateja Wengi hapa https://www.mjasiriamalidigital.com/watejadeilee/ Instagram; https://www.instagram.com/amanilongishu/ Tiktok; https://www.tiktok.com/@amanilongishu Facebook; https://www.facebook.com/amanilongishu Jinsi ya Kukuza Akaunti Tiktok 2024 Jinsi ya Kukuza Biashara Yako Tiktok, Jinsi Ya Kupata Followers Wengi Tiktok Jinsi Ya Kupata Wateja Tiktok, Jinsi ya Kwenda Live Tiktok,
2024-04-23
09 min
Amani Longishu Podcast
#75: Mbinu 9 Za KUKUZA Biashara Yako Mtandaoni
Ndani ya episode hii inakupa mbinu za jinsi ya kukuza biashara yako mtandaoni. Jifunze hatua muhimu za kufanikiwa katika uuzaji mtandaoni na kufikia wateja wapya! Jiunge kozi ya kupata wateja wengi hapa https://www.mjasiriamalidigital.com/watejadeilee/ Instagram; https://www.instagram.com/amanilongishu/ Tiktok; https://www.tiktok.com/@amanilongishu Facebook; https://www.facebook.com/amanilongishu
2024-04-22
10 min
Amani Longishu Podcast
#74: Mbinu 9 Za Kukuza Biashara Online & Offline 2024
Kwenye Episode hii iitakupa mbinu za Jinsi ya Kukuza Biashara Online na Offline. Jifunze hatua muhimu za kufanikiwa katika kuuza instagram na kufikia wateja wapya! Jiunge kozi ya kupata wateja wengi hapa https://www.mjasiriamalidigital.com/watejadeilee/ Instagram; https://www.instagram.com/amanilongishu/ Tiktok; https://www.tiktok.com/@amanilongishu Facebook; https://www.facebook.com/amanilongishu Jinsi ya kukuza biashara mtandaoni, Jinsi ya kutangaza biashara Instagram,
2024-04-15
16 min
Amani Longishu Podcast
#73: Mambo Ya Kufanya ili UIBE Wateja Wa Mshindani Wako
Mambo ya kufanya ili UIBE WATEJA wa Mshindani wako! Nifuatilie Instagram: https://instagram.com/amanilongishu Mjasiriamali Digital Podcast Episode 73
2024-01-22
04 min
Amani Longishu Podcast
#72: Mambo Yanayo Kunyima KUAMINIKA INSTAGRAM
Mambo yanayo kunyima kuaminika Instagram kwa wewe unayefanya BIASHARA Anza kozi hapa https://selar.co/m/amanilongishu Nifuatilie Instagram: https://instagram.com/amanilongishu Amani Longishu Show Episode 72
2023-11-22
02 min
Amani Longishu Podcast
#71: Unahisi Upweke Kwenye BIASHARA YAKO? Fanya Haya!
Mambo 8 Ya Kufanya Ukihisi UPWEKE kwenye BIASHARA YAKO! Anza kozi hapa https://selar.co/m/amanilongishu Nifuatilie Instagram: https://instagram.com/amanilongishu Tiktok https://tiktok.com/@amanilongishu Amani Longishu Show Episode 71
2023-11-21
03 min
Amani Longishu Podcast
#70: Vitabu 3 Muhimu Kusoma Mfanyabiashara
Nimezungumzia Vitabu 3 Muhimu Kusoma Kwa Mfanyabiashara ambavyo ni; 1. Hatua 6 Za Kujiajiri - Joel Nanauka 2. Ongeza Kipato Chako - Joel Nanauka 3. Msaada Wa Kisaikolojia Kuboresha Mahusiano Yako - Chris Mauki Tafuta hivyo Vitabu kwenye bookshop yoyote uvisome hutajutia🔥 Kununua Ebook Ya PESAGRAM - Njia 50 Za Kutengeneza Pesa Instagram, bofya https://selar.co/pesagram Anza kozi hapa https://selar.co/m/amanilongishu Nifuatilie Instagram: https://instagram.com/amanilongishu Amani Longishu Show Episode 70
2023-10-21
07 min
Amani Longishu Podcast
#69: Vitu 5 Vya Kufanya Kabla Ya Kununua SIMU Facebook Marketplace
Nimezungumzia vitu 5 vya kufanya Kama Unataka Kununua Simu Facebook Marketplace Anza kozi hapa https://selar.co/m/amanilongishu Nifuatilie Instagram: https://instagram.com/amanilongishushow Amani Longishu Show Episode 69
2023-10-15
03 min
Amani Longishu Podcast
#68: Vitu 5 Vya Kuwa Navyo Ili Upige PICHA nzuri za Bidhaa Zako
Nimezungumzia vitu 5 vya kuwa navyo ili upige Picha Nzuri za Bidhaa Kununua Ebook Ya PESAGRAM - Njia 50 Za Kutengeneza Pesa Instagram, bofya https://selar.co/pesagram Anza kozi hapa https://selar.co/m/amanilongishu Nifuatilie Instagram: https://instagram.com/amanilongishushow Amani Longishu Show Episode 68
2023-10-08
06 min
Amani Longishu Podcast
#67: Bidhaa Zinazokubaliwa Facebook Marketplace
Nimezungumzia BIDHAA zinazokubaliwa / kukataliwa Facebook Marketplace Kununua Ebook Ya PESAGRAM - Njia 50 Za Kutengeneza Pesa Instagram, bofya https://selar.co/pesagram Anza kozi hapa https://selar.co/m/amanilongishu Nifuatilie Instagram: https://instagram.com/amanilongishushow Amani Longishu Show Episode 67
2023-10-06
04 min
Amani Longishu Podcast
#66: Jinsi Ya Kuweka BIDHAA Yako Facebook Marketplace
Nimezungumzia Jinsi Ya Kuweka Bidhaa Facebook Marketplace Kununua Ebook Ya PESAGRAM - Njia 50 Za Kutengeneza Pesa Instagram, bofya https://selar.co/pesagram Anza kozi hapa https://selar.co/m/amanilongishu Nifuatilie Instagram: https://instagram.com/amanilongishushow Amani Longishu Show Episode 66
2023-10-04
04 min
Amani Longishu Podcast
#65: Idea 3 Za Instagram Collaboration Kwa Wafanyabiashara
Kwenye Episode hii nimekupa ideas 3 za collabo za instagram kwa wafanyabiashara wa Tanzania Kununua Ebook Ya PESAGRAM - Njia 50 Za Kutengeneza Pesa Instagram, bofya https://selar.co/pesagram Anza kozi hapa https://selar.co/m/amanilongishu Nifuatilie Instagram: https://instagram.com/amanilongishushow Amani Longishu Show Episode 65
2023-09-29
04 min
Amani Longishu Podcast
#64: Njia 5 Za Kufanya Wateja Wa Maana Wakulipe Tena
Kwenye Episode hii nimeelezea Njia 5 Za Kufanya Wateja Wa Maana Wakulipe Wewe! Kununua Ebook Ya PESAGRAM - Njia 50 Za Kutengeneza Pesa Instagram, bofya https://selar.co/pesagram Anza kozi hapa https://selar.co/m/amanilongishu Nifuatilie Instagram: https://instagram.com/amanilongishushow Amani Longishu Show Episode 64
2023-09-27
05 min
Amani Longishu Podcast
#63: Njia 5 Nyingine Za Kutengeneza PESA Kwenye BIASHARA Yako
Je wewe ni mfanyabiashara na umekuwa ukijiuliza ni njia gani nyingine unaweza tumia kutengenza pesa? Hizi hapa Njia 5 za Kutengeneza Pesa kwenye Biashara Yako Kununua Ebook Ya PESAGRAM - Njia 50 Za Kutengeneza Pesa Instagram, bofya https://selar.co/pesagram Anza kozi hapa https://selar.co/m/digitoskool Nifuatilie Instagram: https://instagram.com/mjasiriamalidigital Mjasiriamali Digital Podcast Episode 63
2023-09-21
04 min
Amani Longishu Podcast
#62: Usiandike INSTAGRAM BIO kama Diamond Platnumz | Ondoa hivi Fastaa!
Usiandike Bio Yako Kama Diamond Platnumz, Andika Hivi! Anza kozi ya Miliki Insta Yako + Reels Academy hapa: https://selar.co/m/digitoskool Kununua Ebook Ya PESAGRAM - Njia 50 Za Kutengeneza Pesa Instagram, bofya https://selar.co/pesagram Nifuatilie Instagram: https://instagram.com/mjasiriamalidigital Mjasiriamali Digital Podcast Episode 62
2023-09-20
02 min
Amani Longishu Podcast
#61: Sina Duka! NIPOST nini Instagram?
Ndani ya Episode hii nimekupa mambo ya kufanya na kupost instagram ikiwa hauna Duka! Anza kozi hapa https://selar.co/m/digitoskool Kununua Ebook Ya PESAGRAM - Njia 50 Za Kutengeneza Pesa Instagram, bofya👇🏼 https://selar.co/pesagram Nifuatilie Instagram👇🏼: https://instagram.com/mjasiriamalidigital Mjasiriamali Digital Podcast Episode 61
2023-09-18
09 min
Amani Longishu Podcast
#60: Aina 3 Ya WATU Utakutana Nao Mtandaoni
Ndani ya Episode hii nimelezea Aina tatu(3) ya watu mtandaoni Anza kozi hapa https://selar.co/m/digitoskool Kununua Ebook Ya PESAGRAM - Njia 50 Za Kutengeneza Pesa Instagram, bofya👇🏼 https://selar.co/pesagram Nifuatilie Instagram👇🏼: https://instagram.com/mjasiriamalidigital Mjasiriamali Digital Podcast Episode 60
2023-09-10
10 min
Amani Longishu Podcast
#59: Sababu Kwanini Ulinunua BIDHAA Baada Ya Rafiki Yako Kukwambia
Ndani ya Episode hii nimelezea Sababu Kwanini Ulinunua ile Bidhaa Baada Ya Rafiki Kukwambia Anza kozi hapa https://selar.co/m/digitoskool Kununua Ebook Ya PESAGRAM - Njia 50 Za Kutengeneza Pesa Instagram, bofya👇🏼 https://selar.co/pesagram Nifuatilie Instagram👇🏼: https://instagram.com/mjasiriamalidigital Mjasiriamali Digital Podcast Episode 59
2023-09-07
06 min
Amani Longishu Podcast
#58: Njia Za Kuwafanya Wateja Wapya Wakuone Instagram
Ndani ya Episode hii nimelezea Njia 5 Za Kufanya Wateja Wapya Wakuone Mtandaoni Anza kozi hapa https://selar.co/m/digitoskool Kununua Ebook Ya PESAGRAM - Njia 50 Za Kutengeneza Pesa Instagram, bofya👇🏼 https://selar.co/pesagram Nifuatilie Instagram👇🏼: https://instagram.com/mjasiriamalidigital Mjasiriamali Digital Podcast Episode 58
2023-08-24
10 min
Amani Longishu Podcast
#57: Kwanini Niliacha Kutumia Tiktok
Ndani ya Episode hii nimeelezea Kwanini niliacha kutumia Tiktok kwa muda Kusoma Kitabu cha PESAGRAM chenye njia 50 za kutengeneza pesa kwenye Instagram, bofya👇🏼 Ulipie Tsh 13,500/= https://selar.co/pesagram Niulize swali kwenye Instagram https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Tembelea blog yangu https://www.mjasiriamalidigital.com Nifollow Tiktok: https://www.tiktok.com/mjasiriamalidigital Mjasiriamali Digital Podcast Episode 57
2023-08-18
05 min
Amani Longishu Podcast
#56: Njia Za Kunasa Wateja Potential Online
Ndani ya Episode hii Amani Longishu, ameelezea Njia 4 Za Kunasa Wateja Potential Online Ukiwa unasikiliza episode hii chukua screenshoot na post kwenye Instagram Story yako kisha unitag/mention "@mjasiriamalidigital" ili nijue wewe ni msikilizaji mzuri wa podcast hii Niulize swali kwenye Instagram https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Tembelea blog yangu https://www.mjasiriamalidigital.com Nifollow Tiktok: https://www.tiktok.com/mjasiriamalidigital Mjasiriamali Digital Podcast Episode 56
2023-07-25
04 min
Amani Longishu Podcast
#55: Siri Ya Kujenga Brand Kubwa Mtandaoni
Ndani ya Episode hii Amani Longishu, ameelezea Siri Ya Kujenga Brand Kubwa Mtandaoni Ukiwa unasikiliza episode hii chukua screenshoot na post kwenye Instagram Story yako kisha unitag/mention "@mjasiriamalidigital" ili nijue wewe ni msikilizaji mzuri wa podcast hii Niulize swali kwenye Instagram https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Tembelea blog yangu https://www.mjasiriamalidigital.com Nifollow Tiktok: https://www.tiktok.com/mjasiriamalidigital Mjasiriamali Digital Podcast Episode 55
2023-07-18
04 min
Amani Longishu Podcast
#54: Njia 5 Za Kucomment ili Kupata Potential Followers Instagram
Ndani ya Episode hii Amani Longishu, ameelezea Njia 5 Za Kucomment Ili Kupata Potential Followers Instagram Ukiwa unasikiliza episode hii chukua screenshoot na post kwenye Instagram Story yako kisha unitag/mention "@mjasiriamalidigital" ili nijue wewe ni msikilizaji mzuri wa podcast hii Niulize swali kwenye Instagram https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Tembelea blog yangu https://www.mjasiriamalidigital.com Nifollow Tiktok: https://www.tiktok.com/mjasiriamalidigital Mjasiriamali Digital Podcast Episode 54
2023-06-27
07 min
Amani Longishu Podcast
#53: Malengo 3 Usiyo Yajua Ya Maudhui Mtandaoni
Ndani ya Episode hii Amani Longishu, ameelezea Malengo 3 Usiyoyajua ya maudhui ya Mtandaoni mfano Instagram, Tiktok au Youtube Ukiwa unasikiliza episode hii chukua screenshoot na post kwenye Instagram Story yako kisha unitag/mention "@mjasiriamalidigital" ili nijue wewe ni msikilizaji mzuri wa podcast hii Niulize swali kwenye Instagram https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Tembelea blog yangu https://www.mjasiriamalidigital.com Nifollow Tiktok: https://www.tiktok.com/mjasiriamalidigital Mjasiriamali Digital Podcast Episode 53
2023-06-24
05 min
Amani Longishu Podcast
#52: Fomula 4 Za Kujenga Jina INSTAGRAM
Ndani ya Episode hii Amani Longishu, ameelizea Fomula 4 Za Kujenga Jina Instagram Ukiwa unasikiliza episode hii chukua screenshoot na post kwenye Instagram Story yako kisha unitag/mention "@mjasiriamalidigital" ili nijue wewe ni msikilizaji mzuri wa podcast hii Niulize swali kwenye Instagram https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Tembelea blog yangu https://www.mjasiriamalidigital.com Mjasiriamali Digital Podcast Episode 52
2023-06-10
08 min
Amani Longishu Podcast
#51: Njia 4 Za Kuwafanya Wateja Waje DM ili Ufunge MAUZO
Ndani ya Episode hii Amani Longishu, amekupa Njia 4 za kuwafanya wateja waje dm ili ufunge Mauzo Ukiwa unasikiliza episode hii chukua screenshoot na post kwenye Instagram Story yako kisha unitag/mention "@mjasiriamalidigital" ili nijue wewe ni msikilizaji mzuri wa podcast hii Niulize swali kwenye Instagram https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Tembelea blog yangu https://www.mjasiriamalidigital.com Mjasiriamali Digital Podcast Episode 51
2023-06-04
07 min
Amani Longishu Podcast
#50: Maswali 3 Ya Kujiuliza Kabla ya Kupost INSTAGRAM
Ndani ya Episode hii Coach Amani Longishu, amekupa maswali 3 ya kujiuliza kabla ya Kupost Instagram Ukiwa unasikiliza episode hii chukua screenshoot na post kwenye Instagram Story yako kisha unitag/mention "@mjasiriamalidigital" ili nijue wewe ni msikilizaji mzuri wa podcast hii Niulize swali kwenye Instagram https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Tembelea blog yangu https://www.mjasiriamalidigital.com Mjasiriamali Digital Podcast Episode 50
2023-06-01
05 min
Amani Longishu Podcast
#49: Sehemu 5 Ya Kupata Idea Ya MAUDHUI Ya Instagram
Ndani ya Episode hii Coach Amani Longishu, ameelezea sehemu 5 unazoweza kupata idea ya maudhui ya Kupost Instagram Ukiwa unasikiliza episode hii chukua screenshoot na post kwenye Instagram Story yako kisha unitag/mention "@mjasiriamalidigital" ili nijue wewe ni msikilizaji mzuri wa podcast hii Niulize swali kwenye Instagram https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Tembelea blog yangu https://www.mjasiriamalidigital.com Mjasiriamali Digital Podcast Episode 49
2023-05-28
10 min
Amani Longishu Podcast
#48: Jifunze Skills Kisha Tengeneza Connection | Ft Eric Baisi
Kwenye episode hii Eric Baisi kutoka Maje Digital ametoa mwanga kuhusu biashara instagram, ushauri wa wanafunzi wa chuo na je inachukua muda gani kuingiza pesa kupitia Instagram? Ukiwa unasikiliza episode hii chukua screenshoot na post kwenye Instagram Story yako kisha unitag/mention "@mjasiriamalidigital" ili nijue wewe ni msikilizaji mzuri wa podcast hii Niulize swali kwenye Instagram https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Tembelea blog yangu https://www.mjasiriamalidigital.com Mjasiriamali Digital Podcast Episode 48
2023-04-30
12 min
Amani Longishu Podcast
#47: Makosa Yanayo Chelewesha Ukuaji Wako Instagram
Ndani ya episode hii utajifunza makosa 5 yanayo chelewesha ukuaji wako Instagram! Ukiwa unasikiliza episode hii chukua screenshoot na post kwenye Instagram Story yako kisha unitag/mention "@mjasiriamalidigital" ili nijue wewe ni msikilizaji mzuri wa podcast hii Niulize swali kwenye Instagram https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Tembelea blog yangu https://www.mjasiriamalidigital.com Mjasiriamali Digital Podcast Episode 47
2023-04-23
11 min
Amani Longishu Podcast
#46: Jinsi Ya Kupata Kazi Kama Social Media Manager kupitia Social Media | Ft Digital Kendrick
Je unajua njia za kupata kazi kama Social Media Manager kupitia Social Media Platforms? Ndani ya episode hii Digital Kendrick na mimi tumezungumzia kwa kina njia hizo, changamoto, skills na ushauri kwa social media managers Sikiliza Episode Kujifunza Zaidi Ukiwa unasikiliza episode hii chukua screenshoot na post kwenye Instagram Story yako kisha unitag/mention "@mjasiriamalidigital" ili nijue wewe ni msikilizaji mzuri wa podcast hii Niulize swali kwenye Instagram https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Tembelea blog yangu https://www.mjasiriamalidigital.com Mjasiriamali Digital Podcast Episode 46
2023-04-09
55 min
Amani Longishu Podcast
#45: Nini Kinaufanya Ushuhuda wa Mteja Wako Kuwa Mzuri na Wenye Mashiko?
Umeshawahi kupokea ushuhuda wa mteja wa bidhaa au huduma yako hadi machozi ya furaha yakatoka? Ndani ya episode hii nimezungumzia nini kinaufanya ushuhuda wa mteja wako kuwa na mzuri na wenye mashiko! Hivi unajua Ushuhuda mzuri unaweza kukusaidia kukuza Biashara Yako na kuvutia Wateja Watarajiwa? Sikiliza Episode Kujifunza Zaidi Ukiwa unasikiliza episode hii chukua screenshoot na post kwenye Instagram Story yako kisha unitag/mention "@mjasiriamalidigital" ili nijue wewe ni msikilizaji mzuri wa podcast hii Niulize swali kwenye Instagram https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Tembelea blog yangu https://www.mjasiriamalidigital.com Mjasiriamali Digital Podcast Episode 45
2023-04-01
07 min
Amani Longishu Podcast
#44: Mambo 5 yanayo kunyima Kuaminika Instagram Kama Mfanyabiashara
Ndani ya episode hii nimezungumzia mambo 5 yanayo kunyima kuaminika Instagram kama Mfanyabiashara! Ukiwa unasikiliza episode hii chukua screenshoot na post kwenye Instagram Story yako kisha unitag/mention "@mjasiriamalidigital" ili nijue wewe ni msikilizaji mzuri wa podcast hii Niulize swali kwenye Instagram https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Tembelea blog yangu https://www.mjasiriamalidigital.com Mjasiriamali Digital Podcast Episode 44
2023-03-27
08 min
Amani Longishu Podcast
#43: Jinsi Ya Kusafisha Page Yako Instagram | Njia 6 Muhimu
Kwenye episode hii Amani Longishu amezungumzia jinsi ya kusafisha page yako ya Instagram kwa kukupa njia 6 muhimu kuzifuata. Ukiwa unasikiliza episode hii chukua screenshoot na post kwenye Instagram Story yako kisha unitag/mention "@mjasiriamalidigital" ili nijue wewe ni msikilizaji mzuri wa podcast hii Niulize swali kwenye Instagram https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Tembelea blog yangu https://www.mjasiriamalidigital.com Mjasiriamali Digital Podcast Episode 43
2023-03-26
10 min
Amani Longishu Podcast
#42: Ukweli Wa Kuujua ili Ufanye Vizuri Biashara Yako Wiki Hii
Ndani ya episode hii Amani Longishu amezungumzia Ukweli wote unaohitaji kuujua ili ufanye biashara yako kwa uhakika wiki hii. Ukiwa unasikiliza episode hii chukua screenshoot na post kwenye Instagram Story yako kisha unitag/mention "@mjasiriamalidigital" ili nijue wewe ni msikilizaji mzuri wa podcast hii Niulize swali kwenye Instagram https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Tembelea blog yangu https://www.mjasiriamalidigital.com Mjasiriamali Digital Podcast Episode 42
2022-11-30
14 min
Amani Longishu Podcast
#41: Jinsi Ya Kuwafanya Waweke Unachouza Kwenye Bajeti Zao Weekend hii
Kama unahitaji wateja wako waweke unachouza kwenye bajeti zao weekend hii!! Sikiliza kwa makini episode hii ya 41 Ukiwa unasikiliza episode hii chukua screenshoot na post kwenye Instagram Story yako kisha unitag/mention "mjasiriamalidigital" ili nijue wewe ni msikilizaji mzuri wa podcast hii Niufuatilie Instagram ⤵️ https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Tembelea blog yangu👇🏻 https://www.mjasiriamalidigital.com My Instagram: https://www.instagram.com/amanilongishu Mjasiriamali Digital Podcast Episode 41 Social Media Marketing podcast to grow you business and influence online✨
2022-11-17
07 min
Amani Longishu Podcast
#40: Jinsi Ya Kuwafanya Wanunue Ambacho Hawakupanga Kununua Kwako | Njia 5 Muhimu!
Je umeshawahi kwenda dukani ukaishia kununua kitu ambacho haukupanga kununua? Kwenye episode hii utajifunza njia 5 za kuwafanya wateja wanunue unachouza bila kuwa na mpango huo kwenye Social Media Ukiwa unasikiliza episode hii chukua screenshoot na post kwenye Instagram Story yako kisha unitag/mention "mjasiriamalidigital" ili nijue wewe ni msikilizaji mzuri wa podcast hii Social Media Marketing Podcast in Tanzania Niufuatilie Instagram ⤵️ https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Tembelea blog yangu👇🏻 https://www.mjasiriamalidigital.com My Instagram profile: https://www.instagram.com/amanilongishu Mjasiriamali Digital Podcast Episode 40
2022-11-08
06 min
Amani Longishu Podcast
#39: Aina 5 Ya WATEJA kwenye Comments na DM yako Instagram
Kwenye episode hii nimezungumzia Aina 5 ya wateja wanaonapatikana kwenye Comments na DM yako Instagram kwa Wewe mfanyabiashara wa kitanzania Ukiwa unasikiliza episode hii chukua screenshoot na post kwenye Instagram Story yako kisha unitag/mention "mjasiriamalidigital" ili nijue wewe ni msikilizaji mzuri wa podcast hii Niufuatilie Instagram ⤵️ https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Tembelea blog yangu👇🏻 https://www.mjasiriamalidigital.com Kutangaza biashara yako kwenye podcast hii Tuwasiliane: amani@mjasiriamalidigital.com My Instagram profile: https://www.instagram.com/amanilongishu Mjasiriamali Digital Podcast Episode 39
2022-09-23
12 min
Amani Longishu Podcast
#38: Njia 4 Za kujua MAUMIVU YA MTEJA Instagram
Kwenye episode hii nimezungumzia njia za kujua maaumivu ya mteja wako Instagram, Sikiliza na uchukue dondoo hii uifanyie kazi kwenye biashara yako!! Ukiwa unasikiliza podcast hii chukua screenshoot na post kwenye instastory yako kisha unitag "mjasiriamalidigital" ili nijue wewe ni msikilizaji mzuri wa podcast hii Niulize swali hapa https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Soma kwenye blog👇🏻 https://www.mjasiriamalidigital.com Kutangaza biashara yako kwenye podcast hii Tuwasiliane: amani@mjasiriamalidigital.com Host IG: https://www.instagram.com/amanilongishu Mjasiriamali Digital Podcast Episode 38
2022-08-25
07 min
Amani Longishu Podcast
#37: Mambo 5 ya kufanya kama Biashara inakua Polepole Mtandaoni
Msikilize Amani Longishu na uchukue dondoo hii uifanyie kazi kwenye biashara yako!! Ukiwa unasikiliza podcast hii chukua screenshoot na post kwenye instastory yako kisha unitag "mjasiriamalidigital" ili nijue wewe ni msikilizaji mzuri wa podcast hii Niulize swali hapa https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Soma kwenye blog👇🏻 https://www.mjasiriamalidigital.com Kutangaza biashara yako kwenye podcast hii Tuwasiliane: amani@mjasiriamalidigital.com Host IG: https://www.instagram.com/amanilongishu Mjasiriamali Digital Podcast Episode 37
2022-08-16
13 min
Amani Longishu Podcast
#36: Vitu vya kuepuka ukiwa unachagua username ya INSTAGRAM
Katika episode hii ya 36 nimelezezea mambo ya kuepuka ukiwa unaandika username yako ya instagram, na nini cha kuzingatia.Sikiliza uelimike na Amani Longishu Ukiwa unasikiliza chukua screenshoot na post kwenye instastory yako kisha unitag @mjasiriamalidigital Niulize swali hapa https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Soma kwenye blog👇🏻 https://www.mjasiriamalidigital.com/blog Kutangaza biashara yako kwenye podcast hii Tuwasiliane: mjasiriamalidigital@gmail.com Host IG: https://www.instagram.com/amanilongishu Mjasiriamali Digital Podcast Episode 36
2022-07-20
11 min
Amani Longishu Podcast
#35: Sababu 6 kwanini haupati FOLLOWERS wa maana INSTAGRAM
Katika episode hii nimezungumzia Sababu 6 kwanini haupati wafuasi wa maana Instagram Ukiwa unasikiliza chukua screenshoot na post kwenye instastory yako kisha unitag @mjasiriamalidigital Niulize swali hapa https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Soma kwenye blog👇🏻 https://www.mjasiriamalidigital.com/sabau-6-kwanini-haupati-wafuasi-wa-maana/ Kutangaza biashara yako kwenye podcast hii Tuwasiliane: mjasiriamalidigital@gmail.com Host IG: https://www.instagram.com/amanilongishu Mjasiriamali Digital Podcast Episode 35
2022-06-06
10 min
Amani Longishu Podcast
#34: Aina 5 ya maudhui ya kupost Instagram ili upate WATEJA
Katika episode hii nimezungumzia Aina 5 ya maudhui ya kupost Instagram ili upate wateja. Ambayo Ni: 1. Maudhui ya kuelimisha 2. Maudhui ya kuhamasisha/ kutoa motisha 3. Maudhui ya kuburudisha 4. Maudhui ya kujenga uaminifu 5. Maudhui ya Kujitangaza Ukiwa unasikiliza chukua screenshoot na post kwenye instastory yako kisha unitag @mjasiriamalidigital Niulize swali hapa https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Kutangaza biashara yako kwenye podcast hii Tuwasiliane: mjasiriamalidigital@gmail.com Host IG: https://www.instagram.com/amanilongishu Mjasiriamali Digital Podcast Episode 34
2022-04-12
11 min
Amani Longishu Podcast
#33: Ufanye nini utokee kwenye EXPLORE page ya Instagram? | Mambo 5 ya kufanya
Katika episode hii nimezungumzia mambo 5 ya kufanya ili kutokea na kuonekana kwenye EXPLORE page kwenye mtandao wa Instagram Ambayo Ni: 1. Kujenga mamlaka kwenye kitu unachofanya 2. Tengeneza maudhui yenye values 3. Weka hashtags kwenye chapisho lako 4. Focus na engagement 5. Tumia Reels Ukiwa unasikiliza chukua screenshoot na post kwenye instastory yako kisha unitag @mjasiriamalidigital Usisahau ku subscribe na kuipa 5 stars ratings na review kwenye Apple Podcasts Niulize swali hapa https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Kutangaza biashara yako Email: mjasiriamalidigital@gmail.com Host IG: https://www.instagram.com/amanilongishu Mjasiriamali Digital Podcast episode 33
2022-03-26
15 min
Amani Longishu Podcast
#33: Makosa 8 yanayo uwa mauzo yako Instagram
Sio kweli kwamba kuwa na ukurasa unaovutia na kupendeza, ndio tiketi ya wewe kupata mauzo kila wakati. Kuna watu wanauza zaidi yako na kurasa zao sio za kupendeza sana ( Sijamaanisha ni mbaya, ila focus yako yote isiwe kupendezesha ukurasa tuu) Katika episode hii nimekupa mambo 8 yanayo uwa mauzo yako Instagram kwa wewe mfanyabiashara au mjasiriamali Nimezungumzia: 1. Bio isiyoeleweka 2. Kutochapisha maudhui mara kwa mara 3. Picha, video ma design mbaya 4. Kutoweka caption kwenye chapisho lako 5. Kutojionyesha sura yako 6. Kutoshare mirejesho au shuhuda 7. Kutoweka bajeti ya kutosha kwenye masoko 8. Kutojua namna ya kufunga mauzo DM au Whatsapp Ukiwa unasikiliza chukua screenshoot na post...
2022-03-18
25 min
Amani Longishu Podcast
#32: Faida 6 ya kupost kila siku Instagram
Ukihitaji watu wakujue haraka na kukumbuka, ni vizuri kujua umuhimu wa kuchapisha maudhui kila siku kwenye ukurasa wako wa biashara Instagram Katika episode imekupa Faida 6 za kupost kila siku kwenye ukurasa wako wa Instagram Sikiliza kisha chukua screenshoot na kupost kwenye instastory kisha unitag. Niulize swali hapa🔻 https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Usisahau ku subscribe na kunipa 5 stars rating na review kwenye Apple Podcast Kutangaza biashara yako🔻 Email: mjasiriamalidigital@gmail.com Host🔻 https://www.instagram.com/amanilongishu Mjasiriamali Digital Podcast episode 32
2022-02-21
09 min
Amani Longishu Podcast
#31: Mambo 5 ya kufanya ukishindwa kupost mara kwa mara instagram
Ni kawaida kwa wafanyabiashara kupoteza muda mwingi kwenye Instagram pindi wanapokuwa hawana maudhui ya kuchapisha kwenye kurasa zao za kibiashara. Katika episode imekupa mambo 5 ya kufanya ukishindwa kuchapisha mara kwa mara kwenye ukurasa wako. Mambo yenyewe ni. 1. Kupost kwenye story 2. Post chapisho la miezi 3 iliyopita 3. Ungana na umuika na kurasa zingine 4. Kuwa active kwenye DM 5. Tenga siku ya kutafuta maudhui, kuandaa na kuya schedule in advance Sikiliza kisha chukua screenshoot na kupost kwenye instastory kisha unitag. Niulize swali hapa🔻 https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Usisahau ku subscribe na kunipa 5 stars rating na review kwenye Apple Podcast Kutangaza biashara yako🔻 Email: mjasiriama...
2022-01-17
10 min
Amani Longishu Podcast
#30: Sababu 5 kwanini hawasomi machapisho yako instagram
Kila mtu anapenda akichapisha kitu instagram, watu wasome na kujumuika na watu walioacha maoni!! Kwahiyo kama ukiona hakuna anayesoma machapisho yako kuna sababu!! Katika episode hii ya 30 nimekupa sababu 5 zinazosababisha wasisome machapisho yako! Sikiliza na share na mwinvine Niulize swali hapa🔻 https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Usisahau ku subscribe na kunipa 5 stars rating na review kwenye Apple Podcast For sponsorship🔻 Email: mjasiriamalidigital@gmail.com Host🔻 https://www.instagram.com/amanilongishu Mjasiriamali Digital Podcast episode 30
2021-12-29
10 min
Amani Longishu Podcast
#29: Njia 6 za kuongeza engagement kwenye instagram
Ili nisikuchanganye engagement ni no of likes, Comments, shares, saves nk. Sasa ili iwe kubwa na yenye kukupa hamasa ya kuendelea kuandaa maudhui, tumia hizo njia 6 zitakusaidia sana. Tumia link hii kuuliza swali https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Usisahau ku subscribe, kuandika review yako au Comment na kuipa 5 stars Podcast hii kama inakusaidia. For sponsorship👇🏻 Email: mjasiriamalidigital@gmail.com https://www.instagram.com/amanilongishu Mjasiriamali Digital Podcast Episode 29
2021-11-06
28 min
Amani Longishu Podcast
#28: Share na fundisha kile unachokijua
Mambo ya copy na kupaste kwenye mitandao ya kijamii, tupa kule!! Ni muda wa kushare na kusambaza kile unachokijua. Msikilize Amani Longishu kisha muulize swali hapa👇🏿 https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Usisahau ku subscribe, kuandika review yako au Comment na kuipa 5 stars Podcast hii kama inakusaidia. For sponsorship👇🏻 Email: mjasiriamalidigital@gmail.com https://www.instagram.com/amanilongishu Mjasiriamali Digital Podcast Episode 28
2021-10-19
09 min
Amani Longishu Podcast
#27: Njia 4 za kupata mauzo kwa muendelezo
Unapoona unapata mauzo usiache kuendeleaa kujitangaza ili mauzo yaendelee kuwa endelevu na yasio yake ya kushuka na kupanda. Katika episode hii, Amani Longishu amekupatia njia 4 za kukusaidia wewe kupata mauzo endelevu. Sikiliza na share na mfanyabiashara apate kujifunza! Je una swali lolote kuhusu biashara kwenye mitandao ya kijamii? Niulize hapa👇🏿 https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Tembelea blog hapa👇🏿 https://www.mjasiriamalidigital.com/blog Usisahau ku subscribe, kuandika review yako au Comment na kuipa 5 stars Podcast hii kama inakusaidia. For sponsorship👇🏻 Email: mjasiriamalidigital@gmail.com https://www.instagram.com/amanilongishu Mjasiriamali Digital Podcast Episode 27
2021-09-26
12 min
Amani Longishu Podcast
#26: Inachukua muda gani kupata mteja wa kwanza kwenye instagram? - Eric Baisi
Leo nimepata wasaa mzuri wa kuzungumza na Eric Baisi Mtaalamu wa masuala ya kidigitali kutoka Maje Digital, Kampuni inayojihusisha na kusaidia wafanyabishara wenye uwepo mdogo mtandaoni, Kujenga uaminifu kwa wateja wao kupitia maendeleo ya tovuti, graphic designs pamoja na Usimamizi wa kurasa za mitandao wa kijamii. Ameshare mengi nami hasa Jinsi anavyoingiza kipato, Ushauri kwa vijana walioko vyuoni na Inachukua muda gani kuanza kupata mteja wako wa kwanza instagram. Sikiliza na share na mfanyabiashara anayetoa huduma yoyote ya kidigitali. Niulize swali hapa👇🏼 https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Usisahau ku subscribe, kuandika review yako au Comment na kuipa 5 stars Podcast hii kama i...
2021-09-17
12 min
Amani Longishu Podcast
#25: Jinsi ya kujenga kujiamini kwenye kamera ili kujenga biashara mtandaoni
Kama wewe ni mfanyabiashara au mjasiriamali na bado hujaanza kutengeneza video kwaajili ya bidhaa au huduma zako!! Utaendelea kubaki nyuma kwenye mitandao ya kijamii. Katika episode hii ya 25 nimezungumzia njia 5 za kujenga kujiamini kwenye camera ili kujenga biashara mtandaoni. Niulize swali hapa⬇️ https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Usisahau ku subscribe, kuandika review yako au Comment na kuipa 5 stars Podcast hii kama inakusaidia. For sponsorship👇🏻 Email: mjasiriamalidigital@gmail.com
2021-08-28
08 min
Amani Longishu Podcast
#24: Njia 5 za kujenga uaminifu instagram
Je unahangaika kujenga uaminifu instagram wewe kama mfanyabiashara kwenye ukurasa wako wa kibiashara? Katika episode hii ya 24 nimezungumzia njia za kujenga uaminifu kwenye instagram. Kumbuka kushare na mfanyabiashara aje ajifunze. Niulize swali hapa⬇️ https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Usisahau ku subscribe, kuandika review yako au Comment na kuipa 5 stars Podcast hii kama inakusaidia
2021-08-18
07 min
Amani Longishu Podcast
#23: Ufanye nini wakikwambia "nitakutafuta"?
Kama wewe ni mfanyabiashara hakuna kitu kinauma kama uambiwe nitakutafuta!! Katika episode hii ya 23 nimezungumzia sababu 4 zinazowapelekea wao kufanya hivyo na nini ufanye ili uweze kuwaqualify wanunue. Kumbuka kushare na mfanyabiashara aje ajifunze. Niulize swali hapa⬇️ https://www.instagram.com/mjasiriamalidigitalpodcast Usisahau ku subscribe, kuandika review yako au Comment na kuipa 5 stars Podcast hii kama inakusaidia.
2021-08-12
08 min
Amani Longishu Podcast
#22: Vichwa vya habari 7 vitakavyowafanya waache kuscroll instagram
Je umekuwa ukichapisha maudhui na hakuna anayejali na kusoma ulichoandika?. Sikiliza episode ya 22 maneno 7 ya kuweka kwenye kichwa cha habari chako. Kumbuka kushare na mfanyabiashara. Niulize swali hapa⬇️ https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Usisahau ku subscribe, kuandika review yako na kuipa 5 stars Podcast hii kwenye Apple Podcasts.
2021-07-31
08 min
Amani Longishu Podcast
#21: Fomati 6 ya maudhui ya kuchapisha instagram
Instagram sio unapost picha tuu!! Kuna fomati Nyingine ya maudhui. Sikiliza episode ya 21 kujifunza fomati zingine za maudhui ya kuchapisha kwenye instagram. Kumbuka kushare na mfanyabiashara. Niulize swali hapa⬇️ https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Usisahau ku subscribe, kuandika review yako na kuipa 5 stars Podcast hii kwenye Apple Podcasts.
2021-07-22
08 min
Amani Longishu Podcast
#20: Mambo 6 ya kufanya kabla ya kuanza Biashara instagram
Wengine wameanza biashara naturally yaani maisha yao wamewapelekea kuanza biashara kutokana na vile vitu wanavyopenda kufanya kwenye mitandao ya kijamii. Kwenye Episode hii ya 20 utajifunza mambo 6 ya kufanya kabla ya kuanza biashara instagram, kama ndo kwanza unafirikia kuanza biashara kwenye mtandao huo wenye mamilioni ya watu. Sikiliza kisha share na mfanyabiashara. Niulize swali hapa⬇️ www.instagram.com/mjasiriamalidigital Usisahau ku subscribe, kuandika review yako na kuipa 5 stars Podcast hii kwenye Apple Podcasts.
2021-07-06
11 min
Amani Longishu Podcast
#19: Viungo 5 vya Caption tamu kwenye Instagram
Hivi unajua caption tamu imeundwa na vitu gani? Kwenye Episode hii ya 19 utajifunza Viungo 5 usivyovijua ili kufanya Caption iwe Tamu. Sikiliza kisha share na mfanyabiashara. Niulize swali hapa⬇️ www.instagram.com/mjasiriamalidigital Usisahau ku subscribe, kuandika review yako na kuipa 5 stars Podcast hii kwenye Apple Podcasts.
2021-07-02
10 min
Amani Longishu Podcast
#18: Sababu 5 kwanini hautatengeneza pesa instagram (Quick tip)
Kwenye Episode hii ya 18 nimekupa sababu 5 kwanini unashidwa kuingiza pesa kupitia instagram. Sikiliza kisha share na mfanyabiashara. Niulize swali instagram www.instagram.com/mjasiriamalidigital Usisahau ku subscribe, Kuipa 5 stars na kuandika review yako Kuhusu Mjasiriamali Digital Podcast kwenye Apple Podcasts Ikiongozwa na Amani Longishu.
2021-06-27
06 min
Amani Longishu Podcast
#17: Nina followers 50k ila sijawahi kutengeneza pesa, nifanyeje?
Kwenye Episode hii ya 17 nimekupa njia 4 za kuingiza pesa kama una followers 50k na huna biashara au hujui cha kufanya!! Sikiliza kisha share na influencer unayependa afanikiwe mtandaoni! Niulize swali instagram www.instagram.com/mjasiriamalidigital Usisahau ku subscribe, Kuipa 5 stars na kuandika review yako Kuhusu Mjasiriamali Digital Podcast kwenye Apple Podcasts Ikiongozwa na Amani Longishu.
2021-06-19
14 min
Amani Longishu Podcast
#16: Njia 6 za kupata mauzo bila kutumia sponsored ads
Je hauna bajeti ya kufanya matangazo ya kulipia? Kwenye Episode hii ya 16 nimezungumzia njia 6 za kupata mauzo bila kutumia sponsored ads!!. Sikiliza kisha share na mfanyabiashara unayependa afanikiwe na biashara yake! Nifollow Instagram www.instagram.com/mjasiriamalidigital Usisahau ku subscribe, Kuipa 5 stars na kuandika review yako Kuhusu Mjasiriamali Digital Podcast kwenye Apple Podcasts Ikiongozwa na Amani Longishu.
2021-06-05
14 min
Amani Longishu Podcast
#15: Uuzaji wa bidhaa kwenye mitandao ya kijamii umebadilika
Katika episode hii ya 15 Nimezungumzia jinsi uuzaji wa bidhaa kwenye mitandao ya kijamii ulivyobadika kwa sasa tofauti na miaka 10 nyuma. Sikiliza kisha share na mfanyabiashara unayependa afanikiwe na biashara yake! Nifollow Instagram www.instagram.com/mjasiriamalidigital Unahitaji kuniona mimi? Kupata appointment, Darasa au ebook https://beacons.page/mjasiriamalidigital Usisahau ku subscribe, Kuipa 5 stars na kuandika review yako Kuhusu Mjasiriamali Digital Podcast kwenye Apple Podcasts Ikiongozwa na Amani Longishu
2021-05-31
08 min
Amani Longishu Podcast
#14: Makosa 5 yanayo chelewesha ukuaji wako instagram
Je umeweka jitihada ila haukui instagram? Katika episode hii ya 14 Nimezungumzia makosa matano(5) yanayochelewesha ukuaji wako instagram. Sikiliza kisha share na mfanyabiashara unayependa afanikiwe na biashara yake! Nifollow Instagram👇🏿 www.instagram.com/mjasiriamalidigital Unahitaji kuniona mimi? Kupata appointment, Darasa au ebook👇🏿 https://beacons.page/mjasiriamalidigital Usisahau ku subscribe, Kuipa 5 stars na kuandika review yako Kuhusu Mjasiriamali Digital Podcast kwenye Apple Podcasts Ikiongozwa na Amani Longishu
2021-05-23
11 min
Amani Longishu Podcast
#13: Njia 6 za kurudisha passion na hamasa kwenye biashara yako
Je umepoteza hamasa na pasion ya biashara yako? Katika episode hii ya 13 Nimezungumzia Njia 6 za kurudisha hamasa na passion kwenye biashara yako. Sikiliza kisha share na mfanyabiashara unayependa afanikiwe na biashara yake! Nifollow Instagram👇🏿 www.instagram.com/mjasiriamalidigital Unahitaji kuniona mimi? Kupata appointment, Darasa au ebook👇🏿 https://beacons.page/mjasiriamalidigital Usisahau ku subscribe, Kuipa 5 stars na kuandika review yako Kuhusu Mjasiriamali Digital Podcast kwenye Apple Podcasts Ikiongozwa na Amani Longishu
2021-04-11
16 min
Amani Longishu Podcast
#12: Instagram bio ndio business card yako online
Ivi unajua kwa sasa hivi ukikutana na mtu mkapiga story wakati mnaagana anakuuliza unatumia jina gani instagram? Ungana na Amani Longishu kwenye episode ya 12 Nimezungumzia Mambo 6 muhimu kwenye instagram bio yako Sikiliza kisha share na mfanyabiashara unayependa afanikiwe na biashara yake instagram!! Nifollow Instagram👇🏿 www.instagram.com/mjasiriamalidigital Unahitaji kuniona mimi? Kupata appointment, Darasa au ebook👇🏿 https://beacons.page/mjasiriamalidigital Usisahau ku subscribe, Kuipa 5 stars na kuandika review yako Kuhusu Mjasiriamali Digital Podcast kwenye Apple Podcasts Ikiongozwa na Amani Longishu M3N8R8bF1dTCthCnOmEm
2021-03-30
21 min
Amani Longishu Podcast
#11: Mambo 7 ambayo hawajakwambia kuhusu kuanza biashara
Je unafikiria kuanza biashara? Ivi unajua kuna mambo hawajakwambia!! Katika episode hii ya 11 Nimezungumzia Mambo 7 ambayo hawajakwambia kuhusu kuanza biashara Sikiliza kisha share na mfanyabiashara unayependa afanikiwe na biashara yake instagram!! Nifollow Instagram👇🏿 www.instagram.com/mjasiriamalidigital Unahitaji kuniona mimi? Kupata appointment, Darasa au ebook👇🏿 https://beacons.page/mjasiriamalidigital Usisahau ku subscribe, Kuipa 5 stars na kuandika review yako Kuhusu Mjasiriamali Digital Podcast kwenye Apple Podcasts Ikiongozwa na Amani Longishu
2021-03-21
16 min
Amani Longishu Podcast
#10: Makosa 4 makubwa network marketers wanafanya kwenye mitandao ya kijamii
Haya ni makosa ya kuacha ili uweze kufanikiwa kwenye biashara yako ya Network Marketing, Nitumie ujumbe instagram "mjasiriamalidigital" ili kuanza kozi ya kugeuza followers wako kuwa wateja. Kumbuka kushare na mwingine.
2021-02-27
26 min
Amani Longishu Podcast
#9: Njia tano(5) za kutawala instagram 2021
Katika epidose hii ya tisa(9) kwenye Mjasiriamali Digital Podcast, Amani Longishu nimeelezea njia 5 za kutumia au kufuata ili kutawala ( kuwa mwenye power na ushawishi) instagram. Skiza na share na mwenzako. Nifuatilie instagram @mjasiriamalidigital
2021-02-15
19 min
Amani Longishu Podcast
#8: Jinsi ya kupata comments nyingi kwenye instagram
Katika episode hii kwenye Mjasiriamali Digital Podcast, ikiongozwa na Amani Longishu. Nimeelezea njia saba(7) ya kupata maoni mengi kwenye chapisho lako instagram. Sikiliza na Share na mwenzako.
2021-02-01
16 min
Amani Longishu Podcast
#7: Aina 8 ya video za kibiashara za kupost instagram 2021
Je unafikiria upost video zipi ukuze biashara yako na kuongeza mauzo! Tumia aina hizo zitakusaidiaa sana. Kwama unaswali nitumie ujumbe instagram Mjasiriamali Digital.
2021-01-16
17 min
Amani Longishu Podcast
#6: Sababu kubwa kwanini hawapendi maudhui(content) yako instagram na nini cha kufanya
Katika Episode hii nimezungumzia kwanini watu hawalike au kuacha comment kwenye machapisho yako kwenye akaunti yako ya kibiashara. Sikiliza na Share na Mwenzako.
2020-12-27
08 min
Amani Longishu Podcast
#5: Mambo ya kufanya ili usipoteze followers(wafuasi) wako kwenye instagram
Katika Episode hii ya tano(5) kwenye Mjasiriamali Digital Podcast nimeelezea mambo 6 ya kufanya ili followers wako waendelee kubaki kwenye akaunti yako, Sikiliza na Share na mwenzako.
2020-12-14
19 min
Amani Longishu Podcast
#4: Sababu tatu(3) kwanini hawanunui bidhaa yako instagram na nini cha kufanya
Katika Episode hii nimekupa sababu 3 kwanini followers au watu hawanunui bidhaa yako huko instagram na ufanye nini ili kupata mabadiliko. Sikiliza, Jifunze na Share na Mwenzako.
2020-11-29
10 min
Amani Longishu Podcast
#3: Mambo 7 yanayo wafukuza wateja walengwa instagram
Ni muda wa kubadilika sasa leo nimezungumzia mambo 7 ya kuyaacha ili usiendelee kupoteza wateja wako instagram. Sikiliza, Jifunze na share na mwingine.
2020-11-22
16 min
Amani Longishu Podcast
#2: Jinsi ya kugeuza instagram akaunti yako kuwa sumaku ya biashara yako
Katika Episode ya pili ya Mjasiriamali Digital podcast nimeelezea njia sita(6) za kufuata ilia kugeuza instagram yako kuwa sumaku ya biashara yako. Sikiliza Ujifunze.
2020-11-13
16 min
Amani Longishu Podcast
#1: Jinsi ya Kutambulisha biashara yako instagram
Katika Episode hii ya 1 kwenye Mjasiriamali Digital Podcast nimezungumzia njia 11 za kutambulisha bishara yako instagram. Sikiliza ujifunze.
2020-11-04
21 min