podcast
details
.com
Print
Share
Look for any podcast host, guest or anyone
Search
Showing episodes and shows of
Angani Media
Shows
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Shirika la Weather Mtaani labuni teknolojia ya kuepuka majanga ya hali ya hewa Kibera
Mvua huja kwa sauti ya baraka lakini katika kitongoji, sauti hiyo hubeba hofu. Maji yanapoteremka kutoka angani, katika sekunde chache, barabara hugeuka mito. Vyumba vya kulala vinageuka mabwawa. Katika kitongoji cha Kibera jijini Nairobi nchini Kenya, hali hiyo ya hofu imebadilishwa kupitia kundi la vijana linalojiita Weather Mtaani. Shirika la Weather Mtaani linatumia teknolojia ya simu kutafsiri jumbe za utabiri wa hali ya hewa kutoka kwa mamlaka ya utabiri wa hali ya hewa ya Kenya, kwa lugha inayoeleweka.
2025-11-18
09 min
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Shirika la Weather Mtaani labuni teknolojia ya kuepuka majanga ya hali ya hewa Kibera
Mvua huja kwa sauti ya baraka lakini katika kitongoji, sauti hiyo hubeba hofu. Maji yanapoteremka kutoka angani, katika sekunde chache, barabara hugeuka mito. Vyumba vya kulala vinageuka mabwawa. Katika kitongoji cha Kibera jijini Nairobi nchini Kenya, hali hiyo ya hofu imebadilishwa kupitia kundi la vijana linalojiita Weather Mtaani. Shirika la Weather Mtaani linatumia teknolojia ya simu kutafsiri jumbe za utabiri wa hali ya hewa kutoka kwa mamlaka ya utabiri wa hali ya hewa ya Kenya, kwa lugha inayoeleweka.
2025-11-18
09 min
TEFO
ELEVATE by TEFO #011
🐫 Neste décimo primeiro episódio da serie ELEVATE, TEFO explora as fronteiras entre o Progressive House e a música Étnica, conectando novas melodias a linhas de percuções detalhistas. O set traz dois momentos exclusivos com a assinatura de TEFO, dois "Vocal Edits" unreleased, um para a track “India” dos brasileiros Gui Motta 🇧🇷 e Soul Of Time 🇧🇷, lançada recentemente pela Pyramid Waves Records, e também para a clássica “Disco Volante” de Ida Engberg 🇸🇪 e Sébastien Léger 🇫🇷, reforçando assim sua identidade única na pista. Um mergulho sonoro, o puro suco do progressive house. ELEVATE by TEFO 011 Tracklist [00:00] UnknownS 🇮...
2025-09-12
1h 01
Kiswahili Kitukuzwe - Afrika Imara (Swahili Podcast)
Sumaku Ya Dunia - Nguvu Ya Ajabu Inayotulinda Kutoka Kwa Hatari Za Angani!
Je, umewahi kujiuliza ni nini hasa hutulinda dhidi ya hatari za anga za juu?Katika video hii ya kuvutia, tunazama ndani ya mojawapo ya miujiza mikuu ya sayari yetu, sumaku ya Dunia. Kutoka kwa sumaku za utotoni hadi kwenye chuma cha kiowevu chenye joto kali maili elfu chini ya miguu yetu, utaelewa jinsi Dunia yetu inavyozalisha kinga yake ya asili dhidi ya upepo wa jua na hatari kutoka angani.
2025-06-12
19 min
Redolent Music Podcast
MATAN CASPI Redolent Radio 231
Enjoy this week’s episode with DJ & Producer MATAN CASPI. Renowned as a four-time Beatport-nominated Best Progressive House Artist, Matan Caspi solidifies his stature as a luminary in the global electronic music scene. As one of the top 10 most charted artists in the Progressive House genre on Beatport to date, Matan's illustrious career is marked by a series of milestones, earning him recognition as one of the most refreshing electronic music producers emerging from the vibrant Israeli underground scene. Matan's music stands as a beacon of innovation, seamlessly blending a wide array of genres and styles. His signature sound is...
2025-05-05
00 min
Mario Florek (SAMA & XM Project)
04-26-2025 Party Zone EP 243 XM Project
Mario Florek & Xavier Sounds presents XM Project - Party Zone @ 103.1FM Chicago 04-25-2025 - EP 243 - #ProgressiveHouse #XMProject #MarioFlorek #XavierSoundZ Show play list includes: 01. Matan Caspi - Angani (Edited Original Mix) 02. Edu Imbernon - Bitter Fate (Leandro Murua Edit) 03. TomDan - Constellations (Extended Mix) 04. Artbat - Humans (11.11 Remix) 05. Anyma - After Love feat. Delilah Montagu (1LINE Remix) 06. London Grammar - Hey Now (EM Remix) 07. Gotye - Somebody 2024 (Fabulous Edited Remix) Join us every Friday & Saturday @ 103.1FM Chicago & WPNA.FM/Party-Zone + YouTube Fridays 8pm-4am & Saturdays 6pm-2am for your weekly dosage of the latest in #Progressive #House, #MelodicTechno & #DeepTrance. ...
2025-04-27
26 min
Mario Florek (SAMA & XM Project)
XM Project @ Global Groove Radio April 2025 Part 2
Mario Florek & Xavier SoundZ presents XM Project @ Global Groove Radio April 2025 Part 2 #ProgressiveHouse #MelodicHouse #XMProject #MarioFlorek Show play list includes: 01. Matan Caspi - Angani (Original Mix) 02. Edu Imbernon - Bitter Fate (Leandro Murua Edit) 03. TomDan - Constellations (Extended Mix) 04. Artbat - Humans (11.11 Remix) 05. Anyma - After Love feat. Delilah Montagu (1LINE Remix) 06. London Grammar - Hey Now (EM Remix) 07. Gotye - Somebody 2024 (Fabulous Remix) 08. Bolth - Lost In Love (Original Mix) 09. YampolSky - Believe (Original Mix) 10. Rauschhaus, Peer Kusiv - Memory (Extended Version) 11. Blaze, Barbara Tucker, UDAUFL, YOTTO, Something Good - Most Precious Love (Extended Mix) 12. Protoculture - Come Together...
2025-04-19
1h 00
Moozik
Moozik 207
Episode 207: 1 Dark Feel Mbali (Original Mix) 2 Casnik, Gonzalo Cotroneo Cause & Effect (Original Mix) 3 Dj Taco Nama Ye (Original Mix) 4 Flash Brothers Hazy March (Paul Thomas Extended Mix) 5 Paul Thomas, Christian Burns Enjoy the Silence (Extended Mix) 6 Yordee Don't Stop the Rave (Original Mix) 7 Milkwish, Van Dope Rivers (Jerome Isma-Ae Remix) 8 PROFF, Volen Sentir Luna Amazonia (PM Mix) 9 John Cala, Afshin Momadi Sayam (Extended Mix) 10 Beckers, D-Nox Pretend (Original Mix) 11 Paul Hazendonk, Mira Nait, Riigs Waiting For The Sun (Lexicon Avenue Remix) 12 Skua, Eric Olivier Mario Loose Ends (Extended Mix) 13 Dennis Sheperd, Katty Heath, DeepMe, Daniel Pinho (US) Liberation (Extended Mix) 14 ...
2025-03-05
2h 57
Play and Fresh
Dj set # 65 🎧Progressive House & Melodic Techno🔥 Play and Fresh / Connection /
TRACK LIST 1.- Make Your Choice (Original Mix) - Casnik, Nantiel 2.-Cerebral -Cendryma 3.- One Guy, One Dream -Rama (AR) 4.- Eon (Extended Mix)- Cendryma 5.- For Another Storm (Cendryma Extended Mix)- Julian Nates, Julieta Kühnle, Cendryma 6.- Inner Sanctum -Jauhar.J (PK) 7.- Sogni Di Gloria (Allan McLoud Remix) - Danilo Marinucci 8.- Sea of Dreams (Original Mix) - Fernan De Santis 9 .- Moonbows (Original Mix) - Maze 28 10.- Amritham - ANix JAy 11.- Dune (Extended Mix) - Cammora 12.- Maya (Original Mix) - Teklix, SANTIABLO 13.- Nong’Ona - Stan Kolev & Matan Caspi 14.- Angani (Ext...
2025-02-07
1h 15
Kiswahili Kitukuzwe - Afrika Imara (Swahili Podcast)
UFOs Kwa Kiswahili
Unidentified Flying Objects (UFOs). Ushawahi kusikia chochote kuhusiana na vitu visiviojulikana vya angani (UFOs)? Sikiza kanda hii ili ujue mengi kuhusiana na maswala yanayo huyu UFOs. Asante.
2025-01-14
07 min
Acrobat
Acrobat | SoundFocus 114 | Dec 2024
Happy New Year for all my Friends around the Globe! 🎉 Wish you great Year 2005 full of Music & Adventures! Enjoy the december magic mixtape 🧙🏼♂️ Tracklist: 1. Acrobat, Ilias Katelanos, Plecta - Ruyi (Original Mix) [Amulanga] 2. Khen - Inner Growl (Original Club Mix) [Closure] 3. Eli Nissan - Miami (Original Mix) [Closure] 4. Elliot Moriarty - Particles (Nicolas Viana Remix) [AMITABHA] 5. Marsh, Volen Sentir - Ascension (Extended Mix) [Anjunadeep] 6. Matan Caspi - Angani (Extended Mix) [Outta Limits] 7. Budakid - Lovin' Sun (Hernan Cattaneo & Kevin Di Serna Remix) [Flores] 8. Jamie Stevens, Zankee Gulati - Low Tide (Ezequiel Arias Remix) [Bedrock Records] 9. Quivver - Infinity (Original Mix) [Controlled Subs...
2025-01-05
56 min
Acrobat | SoundFocus Podcast
Acrobat | SoundFocus 114 | Dec 2024
Happy New Year for all my Friends around the Globe! 🎉 Wish you great Year 2005 full of Music & Adventures! Enjoy the december magic mixtape 🧙🏼♂️ Tracklist: 1. Acrobat, Ilias Katelanos, Plecta - Ruyi (Original Mix) [Amulanga] 2. Khen - Inner Growl (Original Club Mix) [Closure] 3. Eli Nissan - Miami (Original Mix) [Closure] 4. Elliot Moriarty - Particles (Nicolas Viana Remix) [AMITABHA] 5. Marsh, Volen Sentir - Ascension (Extended Mix) [Anjunadeep] 6. Matan Caspi - Angani (Extended Mix) [Outta Limits] 7. Budakid - Lovin' Sun (Hernan Cattaneo & Kevin Di Serna Remix) [Flores] 8. Jamie Stevens, Zankee Gulati - Low Tide (Ezequiel Arias Remix) [Bedrock Records] 9. Quivver - Infinity (Original Mix) [Controlled Subs...
2025-01-05
56 min
Beatfreak Radio Show by D-Formation
Beatfreak Radio Show By D - Formation #360 | Darksidevinyl
1 - Fahlberg, Arodes - She Asked Me To Dance (Extended Mix) [Unreleased Records] 2 - Mike Koglin, MoodFreak & Sudhaus - Pulse (Kebin Van Reeken Remix) [languages music] 3 - Mike Koglin, MoodFreak & Sudhaus - Pulse (Kebin Van Reeken Remix) [languages music] 4 - Toto Chiavetta, Enya II - Shadow (Tape One Remix) [Siamese] 5 - D-Formation, Lonya - Sonder (Darksidevinyl Remix) [BeatFreak Recordings] 6 - Antix - Feed Your Head (Original mix) [Iboga Records] 7 - Stan Kolev - 5D [Outta Limits] 8 - Silver Panda, Ruback - Underground (Extended Mix) [Panda Lab Records] 9 - Matan Caspi - Angani (Extended Mix) [Outta Limits] 10 - CamelPhat, Massano, David...
2024-12-02
58 min
Mario Florek (SAMA & XM Project)
11-22-2024 Party Zone EP 198 XM Project
Mario Florek & Xavier Sounds presents XM Project - Party Zone @ 103.1FM Chicago 11-22-2024 - EP 198 - #ProgressiveHouse #XMProject #MarioFlorek #XavierSoundZ Show play list includes: 01. Ruben Karapetyan - Silentium (Intro Edit Mix) [RKP] 02. Th;en - Tria EP [ZAMNA Records] 03. Desyfer ft. Emma Konnanov - ADA (Original Mix) [KOMAL] 04. PACS - Omnia (Original Mix) [SIMULATE] 05. CamelPhat & Massano - Glowing (feat. David O’Dowda)[Simulate Recordings] 06. Argy & Omiki & Son Of Son - RITMO (Original Mix) [NEW WORLD] 07. Matan Caspi - Angani (Extended Mix) [Outta Limits] Join us every Friday & Saturday @ 103.1FM Chicago & WPNA.FM/Party-Zone + YouTube Fridays 8pm-4am & Saturdays 6pm-2am...
2024-11-23
26 min
dimitrisF - Podcast
Vicious Circle 227 by dimitrisF +Guest AGLAIA RAVE
dimitrisF 01. Lopezhouse, Angela - Crosses and Angels (Guy Mantzur Remix)02. Matan Caspi - Breathe (Original Mix)03. Dennis Lee (DE) - The Future Has Come (Original Mix)04. D-Formation & Ark Nomads - Earth Fall (Original Mix)05. Nora En Pure - Train of Thoughts (Extended Mix)06. Matan Caspi - Angani (Extended Mix)07. Moe Turk - Missing You (Original Mix)08. Cloaked - Hornbeam (Seyah Remix)09. Maze 28 - Superbloom (Original Mix)10. Cloaked - Always Been (Ziger Remix)11. Aman Anand - Sunset in Kabini (Original Mix) AGLAIA RAVE 01.Dimitri Skouras - Traveling North (Aglaia Rave Remix) [Estribo Records]02.Aglaia Rave - Quiescent (Praveen (SL) Remix) [Mystic...
2024-11-23
2h 03
Matan Caspi
Matan Caspi - Angani (Extended Mix) [Outta Limits]
Release Date: September 27, 2024, on all major platforms.
2024-09-27
07 min
SBS Swahili - SBS Swahili
Taarifa ya Habari 11 Julai 2024
Jumuiya katika maeneo ya magharibi Melbourne, zime ambiwa kuepuka kiwanda cha kemikali ambako moto ulituma moshi wenye sumu angani mjini humo baada ya wazima moto kukabiliana na moto huo usiku kutwa.
2024-07-11
06 min
Assembly of Yahweh Natzraya
Kundi Moja.
Karibu katika usomaji wa juma hili kutoka kwa Torati na haftarah. Uelewa wa kimsingi wa mtu yeyote anayetumia mafundisho ya Bunge la Yahweh Natzraya ni kwamba waumini wote ni wa kundi moja, linaloongozwa na mchungaji mmoja. Hivi ndivyo Yehoshua Masihi alisema katika kurudia kauli na mifano ya Baba Yake, Yahweh. Katika masomo ya juma hili, nitaonyesha jinsi Yakobo alivyokwenda Misri kuunganishwa na Yusufu na kuunganishwa kwa makabila ya Israeli yaliyotabiriwa katika kitabu cha Ezekieli kutoka kifungu cha haftarah ni njia nyingine inayowafundisha waumini kwamba Masihi atakaporudi duniani kutawala kwa miaka elfu moja, waamini walio hai na waliolala (waaminio hawafi...
2023-12-16
12 min
Assembly of Yahweh Natzraya
Kutafuta mchumba.
Kabla tu ya kuendelea na masomo ya wiki hii, nina tangazo maalum. Tangazo hilo linahusu mapigano au vita vya sasa kati ya Wapalestina wanaoongozwa na Hamas na watu au taifa la Israel. Nina hakika lazima umesikia kuhusu vita hivi. Ilianza siku ya mwisho ya Sukkot (sikukuu ya Vibanda) katika mwaka huu wa dunia 5874 na mwaka wa Nazari 1994. Katika kalenda ya Gregorian, ambayo inatumiwa na mataifa mengi duniani, tarehe iliyoanza mapigano haya ni Oktoba 7, 2023, wakati Hamas ilipovamia ardhi ya Israeli kwa angani, baharini, na nchi kavu. Vita hivi vitaongezeka na kuhusisha mataifa mengine mengi. Ili kupata maelezo sahihi kuhusu jinsi...
2023-11-07
17 min
Hope for Today (Swahili)
BABA YETU IBRAHIMU
MATUMAINI PROG 1502 TITLE: BABA YETU IBRAHIMU TEXT: WAGALATIA 3:6-9 Hujambo msikilizaji wangi mpenzi na karibu tulichambue neno la mungu pamija. Jina langu ni david mungai. Wagalatia 3:6-9 baba yetu ibrahimu. Wimbo alfu tutaendelea. WIMBO Naam karibu tena tulichambue fungu la nenp kutoka wagalatia 3:6-9 baba yetu ibrahimu Kwanini ibrahimu alijulikana sana katika historia ya biblia? Jibu ni kwamba ibrahimu alikuwa mtu wa vitendo na mtu wa Imani na ndiye baba yetu. Lakini mtume Paulo amwonaje ibrahimu? Nasoma kutoka wagalatia 3:6-9 Ibrahimu na maisha yake ni changamoto kubwa kwetu kwasabu gani? 1 ibrahimu alikuwa na Imani katika mungu aliye wa kweli...
2023-06-30
08 min
Komentare na Mahubiri Juu ya Kitabu cha Ufunuo - JE, NYAKATI ZA MPINGA KRISTO, KUFIA-DINI, KUNYAKULIWA NA UFALME WA MILENIA ZINAKUJA? (II)
SURA YA 15-1. Watakatifu Wanaoyasifia Matendo ya Bwana ya Kushangaza Angani (Ufunuo 15:1-8)
Sura ya 15 inatueleza juu ya mwisho wa ulimwengu utakaoletwa na mapigo ya mabakuli saba yatakayomiminwa na malaika saba. Je, hii “ishara nyingine katika mbingu, iliyo kubwa, na ya ajabu,” ambayo Mtume Yohana aliiona ni nini? Ni mwonekano wa kushangaza wa watakatifu wakiwa wamesimama katika bahari ya kioo huku wakizisifia kazi za Bwana. https://www.bjnewlife.org/https://youtube.com/@TheNewLifeMissionhttps://www.facebook.com/shin.john.35
2023-01-14
21 min
Komentare na Mahubiri Juu ya Kitabu cha Ufunuo - JE, NYAKATI ZA MPINGA KRISTO, KUFIA-DINI, KUNYAKULIWA NA UFALME WA MILENIA ZINAKUJA? (II)
SURA YA 19-1. Ufalme Utakaomilikiwa Na Mwenyezi (Ufunuo 19:1-21)
Kifungu hiki kinawaelezea watakatifu wakimsifu Bwana Mungu wakati siku yao ya harusi na Mwana-kondoo ikikaribia. Bwana, Mungu wetu amewapatia watakatifu wokovu wao na utukufu, ili kwamba waweze kumsifu Bwana kwa nia njema. Watakatifu walionyakuliwa angani wataendelea kumsifu Bwana Mungu, kwa kuwa neema zake ni kuu kwa kuwakomboa toka katika dhambi zao zote na adhabu ya dhambi hizo isiyokwepeka. https://www.bjnewlife.org/https://youtube.com/@TheNewLifeMissionhttps://www.facebook.com/shin.john.35
2023-01-14
23 min
Sravanam Diaries
732 - Brahma Samhita: Prayers to Lord Govinda
Let's sing together: ishvarah paramah krishnah sac-cid-ananda-vigrahaha anadir adir govindaha sarva-karana-karanam / chintamani prakara-sadmasu kalpa-vriksha- laksavriteshu surabhir abhipalayantam lakshmi-sahasra-shata- sambhrama-sevyamanam govindam adi-purusham tam aham bhajami / Venum kvanantam aravinda-dalayataksam barhavatam samasitambuda-sundarangam kandarpa-koti-kamaniya vishesha-shobham govindam adi-purusham tam aham bhajami / angani yasya sakalendriya-vrittimanti pashyanti panti kalayanti chiram jaganti ananda-chinmaya-sad-ujjvala- vigrahasya govindam adi-purusham tam aham / bhajami advaitam achyutam anadim ananta-rupam adyam purana-purusham navayauvanam cha vedesu durlabham adurlabham atma-bhaktau govindam adi-purusham tam aham bhajami / premanjana-cchurita-bhakti- vilochanena santah sadaiva hridayeshu vilokayanti yam shyama-sundaram achintya-guna-svarupam govindam adi-purusham tam aham bhajami / sriyah kantah kantah parama-purusah kalpa-taravo druma bhumis cintamani-gana-mayi toyam amrtam katha ganam natyam gamanam api vamsi priya-sakhi cid-anandam jyo...
2022-11-21
02 min
Ebenezer Revival International Ministry
Wewe Ni Kama Mti wa Haradali - Apostle Alex Mbasha
Marko 4 : 30 - 32 Akawaambia tena, “Tuufananishe Ufalme wa Mungu na nini? Au tutumie mfano gani ili kuuelezea? Tunaweza kuufa nanisha na punje ya haradali, ambayo ni mbegu ndogo sana kuliko mbegu zote zinazopandwa ardhini. Lakini ikishaota, hukua ikawa mmea mkubwa kuliko yote katika bustani, ikawa na matawi makubwa hata ndege wa angani wakaweza kujenga viota kwenye kiv uli chake.”
2022-10-10
18 min
Beira Music
Salésio do Pânico FT Don Wilson & Kanabrava - Angani Tendere
Here’s an episode that will keep you waiting for the next one. Tune in now!
2022-09-07
05 min
EMK Techworld🚀
Studio Kubwa ISS
Kampuni ya uingereza yaja na mradi wa kutengeneza studio kwaajili ya burudani katika space station iliyo angani
2022-01-26
04 min
News in KiSwahili
ETHIOPIA - ZAIDI YA WATU HAMSINI WAUAWA TIGRAY
Zaidi ya watu 50 wakiwemo raia, wameuawa katika mashambulio ya angani yanayosemekana kutekelezwa na vikosi vya anga vya Ethiopia, katika soko moja karibu na mji mkuu wa Jimbo la Tigray, Mekelle
2021-06-24
04 min
SIRI ZA BIBLIA
SIRI ZA BIBLIA: SIKU SITA ZA UUMBAJI WA MUNGU
Mwanzo 1:1-25 BHN Hapo mwanzo, Mungu aliumba mbingu na dunia. Dunia ilikuwa bila umbo na tupu. Giza lilikuwa limefunika vilindi vya maji na roho ya Mungu ilikuwa ikitanda juu ya maji. Mungu akasema, “Mwanga uwe.” Mwanga ukawa. Mungu akauona mwanga kuwa ni mwema. Kisha Mungu akautenganisha mwanga na giza, mwanga akauita “Mchana” na giza akaliita “Usiku.” Ikawa jioni, ikawa asubuhi; siku ya kwanza. Mungu akasema, “Anga liwe katikati ya maji, liyatenge maji sehemu mbili.” Mungu akalifanya anga, akayatenga maji yaliyo juu ya anga na yale yaliyo chini ya anga hilo. Ikawa hivyo. Mungu akaliita anga “Mbingu.” Ikawa jioni, ikawa asubuhi...
2021-04-13
10 min
A life well lived Spiritually, Health, Realatinships and being Rich is a Treasured Possession.
SOMOLATATU;- CONTACT ME WATSAPP: 0758600428. MIMI KAMA MWANAMKE NI NANI KATIKA UUMBAJI WA MUNGU?
CONTACT ME WATSAPP: 0758600428. MWALIMU WAKO UFOO KASSA GEORGE. MWANZO 2:16 Bwana Mungu akamwagiza huyo mtu, akisema, Matunda ya kila mti wa bustani waweza kula, 17 walakini matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya usile, kwa maana siku utakapokula matunda ya mti huo utakufa hakika. 18 Bwana Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye. 19 Bwana Mungu akafanyiza kutoka katika ardhi kila mnyama wa msituni, na kila ndege wa angani, akamletea Adamu ili aone atawaitaje; kila kiumbe hai, jina alilokiita Adamu likawa ndilo jina lake. 20 Adamu akawapa majina yao kila mnyama wa kufugwa, na ndege wa...
2021-03-20
34 min
NoticiAudio
NoticiAudio Changana 12.02.2021
Varhandziwa vayingisete, hoyo hoyo ka xiyenge xinwani xa Magungo ya NoticiAudio. A tilhoko maka ta xiyenge lexi: ▪OLAM a huwelela ku pfala a nkomponi yaku vandla tinkanju lomu tikweni; ▪Varimi va Nampula va xukuvala hi projecto Sustenta; ▪A mihandzu ya ma raio X a xibelhela xa Mavalane yi kumiwa hi lweyi angani telefone raku susa svithombhe; ▪Vululami bza tiko bzi vula svaku aku dula ka vuherheki ikukulu svinene. Akuva wu yingela a mahungo ya NoticiAudio, hikola ka xitirhu Podcast ka fone ya wena, deketa kola. Riya a ndleve k...
2021-02-13
04 min
Amedeus Live Podcast
Fikiria Unyakuo Katika Mawazo Yako
Rhapsodi ya Uhakika Unyakuo wa Kanisa u karibu kuliko wakati wowote. Tu katika nyakati za hitimisho au mwishoni mwa “nyakati za ishara” kabla kutokea kwa Bwana. Ni muhimu kwamba ukawe tayari kwa ajili Yake. 1 Wathesalonike 4:16-17 inasema “wafu katika Kristo” watainuka kwanza, na wale walio hai na wamebaki watanyakuliwa pamoja nao ili kumlaki Bwana angani.
2020-10-24
10 min
Msasa Media
MWANAMKE WA KWANZA MWEUSI KUENDESHA NDEGE YA KIKOSI CHA WANAMAJI MAREKANI.
Luteni Jenerali Madeline Swegle amekuwa mwanamke wa kwanza Mmarekani mweusi kuendesha ndege ya kivita inayotumiwa na kikosi cha wanamaji cha Marekani. Ameandika historia kwa kupaa angani kama rubani wa ndege ya kivita ya Marekani inayotumiwa na wanamaji na atatunukiwa cheo cha "wings of Gold" au (mbawa za dhahabu), baadae mwezi huu wa Julai kwa mujibu wa ujumbe wa twitter uliotumwa alhamisi wiki hii na mkuu wa mafunzo ya ndege za kijeshi za majini. Mkuu wa mafunzo ya kijeshi alimsifu Bi Swegle akitumia herufi"BZ" au "Bravo Zulu",neno linalotumiwa na wanajeshi wanamaji linalomaanisha"umefanya vyema". BZ kwa Lt.j.g...
2020-07-13
01 min
NoticiAudio
NoticiAudio Changana 04.06.2019
Varhandziwa vayingisete, hoyo hoyo ka xiyenge xinwani xa Magungo ya NoticiAudio. A tilhoko maka ta xiyenge lexi: ▪️Mavonela manpswa ya pfuxetelo wa xikwenete xa tiko ▪️EUA a kombela a fumo wa tiko la Africa dzonga leswaku wunga posi Chang a tikwene la Moçambique, lana angani a wuvikelo, mayelano navha Jurista ▪️Xipimo xaku fika khume wa vanhu ni ntlanhu va dlayiwile hi ntlawa waku lhoma a xifundzankulo Cabo Delgado
2019-06-04
10 min
Onair With Obby Claud
Ndege Yatoweka Angani Ikiwa Na Abiria Zaidi Ya Mia moja(100)
Kwa habari zaidi tembelea www.obbyclaud.blogspot.com
2017-06-07
02 min
African Tech Roundup
Pule Taukobong of CRE Venture Capital on grooming African founders for success
Pule Taukobong is a Founding Partner at CRE Venture Capital (CRE VC), a seed-focussed fund which invests in technology-enabled startup companies in Sub-Saharan Africa. Their impressive portfolio includes stakes in startups like Andela, Esaja, Angani, Flutterwave and more recently, Yoco. Pule is responsible for the group's deal flow and performs industry and financial due diligence on both incoming business plans and targeted companies, while also sitting on several startup advisory boards. In this conversation, Pule unpacks his approach to identifying sound prospects and discusses what it takes to groom promising startup founders for success.
2017-03-08
16 min
African Tech Roundup
Mbwana Alliy of Savannah Fund on the advantages of being a homegrown venture capitalist
Mbwana Alliy is the founder and managing partner at Savannah Fund, an Africa focused Technology Venture Capital fund that runs both an accelerator and seed investments in e-commerce, gaming, education technology and social networking. In this not-so-quick chat with Andile Masuku and Tefo Mohapi, Mbwana shares insights on the venture capital scene in Sub-Saharan Africa, and fields tough questions about the very public troubles at one of his more high-profile investments-- the cloud data service startup, Angani.
2016-04-11
1h 17
African Tech Roundup
Mbwana Alliy Talks About Startup Governance & Funding Tech Startups In Africa
We attended Afrikoin Johannesburg on 3 December 2015. At the event, Andile Masuku posed a question that led to a very lively debate about whether improved “access” to seamless, more affordable financial services does in fact equal “inclusion” for Africa’s poorest— especially given how centralised the world’s computing power is, and how huge stashes of Bitcoin are held by a relatively few well-resourced interests. We also caught up with Savannah Fund founder, Mbwana Alliy for a chat after the event. In this week’s episode of the African Tech Round-Up (the last full-length episode of 2015), you can not only look forward to...
2015-12-07
1h 52
African Tech Roundup
The Angani Saga Sets Silicon Savannah Ablaze
Kenya’s tech scene aka Silicon Savannah is on fire! At least, that’s according to commentators like Brenda Wambui, who’s recent blog posted on Medium threw serious shade the way of some looming figures in Kenya’s tech ecosystem following the diabolical fallout at cloud services firm, Angani. It turns out that some of the details surrounding this story that we reported on some weeks ago— details whose validity we later questioned, might in fact be accurate. In this week’s episode of the African Tech Round-up, Tefo Mohapi and Andile Masuku analyse the state of investor-founder relations at...
2015-11-23
27 min
Radio D 1 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle
Tukio 19 – Kuingilia Jambo kwa Kina
Ingawa maduara ya mimea yalitengezwa na Wakulima, Eulalia bado anaamini kuna madude yanayoanguka kutoka angani. Katika kuchunguza ulaghai huo, Philipp na Paula wanakwenda baa ya mahali ambako wanazungumza na wanakijiji. Paula na Philipp wametengua kitendawili cha maduara ya mimea lakini bado wana shaka kuhusu kuweko kwa madude yanayoanguka kutoka angani. Madude hayo ni nini? Eulalia anasisitiza amewahi kuliona moja. Hatimaye waandishi habari hao wanawauliza wateja kwenye baa maoni yao kuhusu maduara bandia ya mimea. Ziara ya baa ni fursa nzuri ya kutanguliza wakati uliopita, hasa kitenzi kisichotabirika "sein" (kuwa). Kitenzi cha utaratibu "können" (kuweza) pia kimeangaziwa katika tukio hili. Z...
2009-08-26
00 min
Radio D 1 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle
Tukio 18 – Uchunguzi wa Usiku
Paula na Philipp wanataka kujua mbivu na mbichi kuhusu maumbo ya duara ya mimea na wanakwenda usiku kuchunguza. Lakini wanachokumbana nacho hakihusu viumbe kutoka angani. Mwenye shamba lenye maumbo ya duara yasiyoeleweka anawatoza watalii ada ya Yuro 5 kila mmoja ili wapige picha maumbo hayo. Wakati huo huo Philip na Paula wamepiga kambi mwituni kusubiri madude yanayoanguka kutoka angani. Badala yake, wanaume wawili wanajitokeza wakiwa na mtambo. Je wao ndio waliotayarisha hayo maduara ya mimea kuwavutia watalii? Hatimaye, dude kutoka angani linaonekana na hivyo kuzidisha kizungumkuti. Kitenzi "machen" kinaeleweka kwa urahisi. Katika tukio hili mwalimu anakufunza namna tofauti za kutumia neno...
2009-08-26
00 min
Radio D 1 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle
Tukio 17 – Maduara ya Mimea
Paula na Philipp wanakwenda kuchunguza wakati maumbo ya duara yanapogunduliwa kwenye shamba la mahindi. Je kuna dude lililoanguka kutoka angani au kuna mtu anawacheza watu shere? Wakati Ayhna anapowasili katika afisi ya Radio D, nao Paula na Philipp wamo njiani kutoka afisini. Maumbo ya duara yamegunduliwa katika shamba la mahindi na hakuna anayeweza kueleza jinsi yalivyojitokeza. Si waandishi habari hao wawili pekee walio na hamu ya kushuhudia jambo hilo; watalii wengi wanakuja kushuhudia pia. Wakazi wa kijiji hicho wanapata namna ya kujifaidi kutokana na tukio hilo la ajabu. Katika zogo hilo, watu wenye nia tofauti wanajumuika. Watalii wana hamu ya...
2009-08-26
00 min
Radio D 1 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle
Tukio 16 – Ikarus
Waandishi wote wawili wanashangazwa na kisa cha tanzia cha Ikarus, shujaa wa visaasili vya Kigiriki. Paula na Philipp wanaeleza kisa chake. Paula na Philipp wanapomwona mvulana mdogo amevaa vazi la Icarus wanaingiwa na fikra: Wanaamua kukizungumzia kisa hicho cha Kigiriki kwenye mmoja wapo wa michezo yao ya redio. Kisa chenyewe ni kumhusu kijana ambaye hakufuata nasaha ya baba yake Daedalus na anaanguka anapojaribu kupaa angani. Amezidiwa na tamaa ya kulikaribia jua lakini anapolikaribia nta iliyo kwenye mbawa zake inaanza kuyeyuka. "Usipae juu sana, na usishuke chini sana," Daedalus anamwambia mwanawe Ikarus. Kitenzi cha amri, kilichoshughulikiwa katika tukio hili, kinaweza kutumiwa...
2009-08-26
00 min