podcast
details
.com
Print
Share
Look for any podcast host, guest or anyone
Search
Showing episodes and shows of
Baada Ya Kazi
Shows
Doctor Rafiki Afrika
NJIA 05 ZA KUJIANDAA ILI KUPATA MAZIWA YA KUTOSHA BAADA YA KUJIFUNGUA
Habari Rafiki, tukiwa kwenye wiki ya unyonyeshaji karibu tujifunze njia 05 za kujiandaa ili kupata maziwa ya kutosha baada ya kujifungua, tukiwa na mtaalamu wa lishe na unyonyeshaji, Idda Katigula. Kwa maulizo na ushauri Email: dr.rafikiafrica@gmail.com
2025-07-30
45 min
SBS Swahili - SBS Swahili
Socceroos wafuzu kucheza katika Kombe la Dunia baada ya kuishinda Saudi Arabia
Wiki hii timu ya mpira wa miguu ya taifa Socceroos, ili fuzu kwa Kombe la Dunia tena baada yakupata ushindi dhidi wenyeji wao Saudi Arabia.
2025-06-13
07 min
Nyumba ya Sanaa
Msanii Real Jofu asema amejifunza kuwa mvumilivu baada ya kuondoka jela
Mara baada ya kutoka Jela Msanii Real Jofu anasema amejifunza kuwa mvumilivu ili kufikia malengo,Ungana na Steven Mumbi kaktika Makala ya Nyumba ya Sanaa akizungumza na Msanii huyo.
2025-06-07
20 min
Nyumba ya Sanaa
Msanii Real Jofu asema amejifunza kuwa mvumilivu baada ya kuondoka jela
Mara baada ya kutoka Jela Msanii Real Jofu anasema amejifunza kuwa mvumilivu ili kufikia malengo,Ungana na Steven Mumbi kaktika Makala ya Nyumba ya Sanaa akizungumza na Msanii huyo.
2025-06-07
20 min
SBS Swahili - SBS Swahili
Warudiana tena: mkataba mpya wa upinzani wa mseto baada ya siku nane zaku achana
Siku nane baada ya upinzani wa mseto kuachana, vyama vya Liberal na Nationals vime tangaza kuwa vime rudiana tena.
2025-05-30
08 min
SBS Swahili - SBS Swahili
Jinsi yakupata shughuli za baada ya shule za bei nafuu na jumuishi
Shughuli za baada ya shule huwapa watoto na vijana faida nyingi, kuanzia kujifunza ujuzi mpya hadi jinsi yakupata marafiki wapya. Wakati kuna chaguzi nyingi nchini ya vitu vyakufanya nchini Australia, shughuli hizo zina weza kuwa ghali.
2025-02-25
13 min
Doctor Rafiki Afrika
ZIPI CHANGAMOTO NA MABADILIKO BAADA YA MATIBABU YA KANSA
Habari Rafiki, karibu kwenye episode mpya ya doctor rafiki, tukiendelea na mada yetu ya kansa. Wiki hii tunazungumzia kuhusu changamoto na mabadiliko baada ya matibabu ya kansa. Karibu ungana nami host wako Dr. Julieth Sebba, MD.
2025-02-20
21 min
Wimbi la Siasa
Nini hatima ya Afrika baada ya Trump kusitisha misaada ?
Rais wa Marekani Donald Trump, baada ya kurejea madarakani Januari 20, ametangaza hatua ya serikali yake, kusitisha misaada hasa ya kifedha kwa nchi za kigeni, kupitia Shirika la Misaada ya Kimataifa (USAID).Hatua hii inamaanisha nini hasa kwa mataifa ya Afrika ? Tunajadili hili kwa akina na Suba Churchil, rais wa kituo cha taifa cha mashirika ya kiraia akiwa jijini Arusha Tanzania.
2025-02-05
10 min
Wimbi la Siasa
Nini hatima ya Afrika baada ya Trump kusitisha misaada ?
Rais wa Marekani Donald Trump, baada ya kurejea madarakani Januari 20, ametangaza hatua ya serikali yake, kusitisha misaada hasa ya kifedha kwa nchi za kigeni, kupitia Shirika la Misaada ya Kimataifa (USAID).Hatua hii inamaanisha nini hasa kwa mataifa ya Afrika ? Tunajadili hili kwa akina na Suba Churchil, rais wa kituo cha taifa cha mashirika ya kiraia akiwa jijini Arusha Tanzania.
2025-02-05
10 min
Kwa Undani - Voice of America
Sudan imekuwa na mgogoro mkubwa zaidi wa kibinadamu kuwahi kutambuliwa baada ya miezi 20 ya vita - Desemba 11, 2024
Sudan imekuwa na mgogoro mkubwa zaidi wa kibinadamu kuwahi kutambuliwa baada ya miezi 20 ya vita
2024-12-11
29 min
Kwa Undani - Voice of America
Sintofahamu Kenya baada ya vyama viwili vya walimu kutofautiana kuhusu mgomo - Agosti 27, 2024
Sintofahamu Kenya baada ya vyama viwili vya walimu kutofautiana kuhusu mgomo
2024-08-27
29 min
Kwa Undani - Voice of America
Taharuki yatanda Mashariki ya Kati baada ya israel kushambulia ngome za Hezbollah - Agosti 26, 2024
Taharuki yatanda Mashariki ya Kati baada ya israel kushambulia ngome za Hezbollah
2024-08-26
29 min
Baada Ya Kazi
Baada ya Kazi #13 : Navigating Black Tax, Aging Parents, and Gentle Parenting Woes
This week on Baada ya Kazi, your favorite trio—Chad, Sharon, and Rosemary—dives deep into some serious yet relatable topics. We explore the concept of "black tax," comparing how American and Kenyan societies navigate the financial responsibilities toward aging parents. From the expectations of family support in Kenya 🇰🇪 to the role of social security in the U.S. 🇺🇸, we break down the cultural differences that shape these responsibilities. But it doesn't stop there! We also take a look at the challenges and triumphs of gentle parenting 👶. Whether you're a parent yourself or just curious, we share our thoughts, experiences, and a...
2024-08-24
54 min
Baada Ya Kazi
Baada ya Kazi #12 : Our thought on the Olympics
🎙️Baada ya Kazi is back with another riveting episode! 🌍 We dive into the unforgettable moments from the Olympics, spotlighting the legendary Turkish shooter. 🇹🇷🏅 We also break down the controversy surrounding the Adani contract at JKIA and its impact on Kenyans ✈️🇰🇪. Plus, we compare the results of Kenya’s maandamano to the protests in Bangladesh—what’s the real difference? 🇰🇪 vs 🇧🇩 Tune in for a deep dive into the stories shaping our world! 🌟 #Olympics #AdaniContract #JKIA #Kenya #Bangladesh #BaadaYaKazi #AfterWorkVibes
2024-08-18
46 min
Baada Ya Kazi
Baada ya Kazi #11 : Who is to blame for the uber driver strike?
Welcome to Baada ya Kazi🎙️, your go-to podcast for unwinding after a long day at work! Hosted by Chad, Rosemary, and Sharon, we bring you a mix of humor, insightful discussions, and the latest in pop culture. Join us as we delve into trending topics, from the latest football highlights ⚽ to the newest TikTok crazes 🎵. In this episode, we dive into the Uber driver strikes in Kenya 🚗💥. Why are they protesting? And what's the deal with the gig economy? Plus, we're getting into the nitty-gritty of international intervention and why some folks want to send the police force to Haiti 🇭🇹👮. Tune in for an engaging c...
2024-08-03
55 min
Doctor Rafiki Afrika
SONONA KIPINDI CHA UJAUZITO NA BAADA YA KUJIFUNGUA
Karibu kwenye kipindi cha Doctor Rafiki, na wiki tukizungumzia kuhusu 'Sonona Kipindi cha Ujauzito na Baada ya Kujifungua'. Ungana nasi tukiwa na mgeni Lizbeth Mhando ambaye yeye ni mwanasaikolojia tiba, pamoja na Host Dr. Juliet Sebba, MD.
2024-07-31
20 min
Baada Ya Kazi
Baada Ya Kazi #10 : Is Raila losing the elections deliberately and other conspiracies.
Get ready for a wild ride on this week's episode of Baada ya Kazi! 🎢 Chad, Rosemary, and Sharon dive into the deep end of conspiracy theories: Did Raila really lose the election on purpose? Was the moon landing faked? Did COVID-19 even happen? 🌚🦠 Plus, we share our survival stories from Kenya's back-to-back lockdowns and debate whether we should really pay the IMF loan. Tune in for laughs, debates, and a whole lot of fun! #ConspiracyTheories #BaadaYaKazi #LockdownLife #IMFDrama #MoonLandingHoax #KenyanPodcast
2024-07-26
53 min
Baada Ya Kazi
Baada Ya Kazi #9 : Sidechicks and State Visits
🎙️In this episode, we dive into the wild tales from the Olympic Village, where debauchery seems to be a sport of its own! 🏅🍾 We also spill the tea on CSs bringing sidechicks to state visits – the drama is real! 🍵👀 Get the inside scoop on the Maandamano concert, where we uncover the truth about the artists being paid for their performances. No freebies here! 🎤💰 Plus, don't miss Sharon's shining moment as an absolute superstar in the music festivals. 🌟🎶 Tune in for all the laughs, gossip, and good vibes on Baada ya Kazi! #BaadaYaKazi #OlympicVillage #MaandamanoConcert #MusicFestival #DramaAlert #podcastlife
2024-07-20
51 min
Baada Ya Kazi
Baada Ya Kazi #8
Welcome to "Baada Ya Kazi," your go-to podcast for all things Kenyan politics, served with a twist of humor and insight! 🎙️ Hosted by Chad, Rosemary, and Sharon, we're here to break down the nitty-gritty of the latest Finance Bill, deciphering what that IMF loan really means for each and every Kenyan. 💼💸 Join us as we analyze the Twitter meeting that shook the nation, because who doesn't love a good social media saga with the president? 🐦 And don't miss our deep dive into the implications of #MaandamanoGenZ—the protests reshaping the country's political landscape. 📣 Whether you're a political junkie or just tuning in for the f...
2024-07-13
1h 17
Kwa Undani - Voice of America
Kenya yaanza mchakato wa kufufua tume ya Uchaguzi na mipakla IEBC, baada ya Rais Ruto kutia saini sheria yake. - Julai 10, 2024
Kenya yaanza mchakatu wa kufufua tume ya Uchaguzi na mipakla IEB, baada ya Rais Ruto kutia saini mswada wa sheria yake
2024-07-10
29 min
Sepetuko
Mgomo wa Maafisa wa Kliniki Wamalizika Baada ya Siku 99
Maafisa wa Kliniki wametamatisha mgomo wao ambao umedumu siku 99 baada ya mapatano kati yao na Baraza la Magavana COG. Hii ni nafuu kubwa kwa Wakenya ambao hutegemea huduma katika hospitali za umma, japo inatoa changamoto kwa serikali kutafuta ufumbuzi wa kudumu kwa migomo hii ya mara kwa mara katika sekta ya afya.
2024-07-09
04 min
Sepetuko
Unyenyekevu wa Wanasiasa Baada ya Maandamano ya Vijana
Viwango vya unyenyekevu miongoni mwa wanasiasa wetu, ambavyo vinashuhudiwa baada ya maandamano na harakati za vijana wa kizazi cha Gen Zs na wengine ni mfano hai wa uwezo wa watu. Yaani hadi wanasiasa wetu wenyewe wanakataa nyongeza ya mishahara waliyokuwa wameongezewa na Tume ya Utathmini wa Mishahara na Marupurupu SRC! Huu unafaa kusalia kuwa mkondo. Wanasiasa kujua kuwa kuipuuza sauti ya mwananchi ni kujiweka taabani.
2024-07-04
04 min
Baada Ya Kazi
Baada Ya Kazi #7
Join hosts Chad, Sharon, and Rosemary on "Baada Ya Kazi" as they dive into the hot topics of the moment. In this episode, we tackle the controversial Kenyan Finance Bill 2024 and the Gen Z-led #RejectFinanceBill movement, celebrating their bravery and potential for real change. We also explore the GameStop stock saga, uncovering the unethical practices of financial institutions, and stress the importance of political awareness. Plus, Chad shares highlights from his exciting trip to Japan. As it's Pride Month, we discuss ways to be an ally to the LGBTQ community. Tune in for an engaging mix of serious discussions and...
2024-06-29
48 min
Baada Ya Kazi
Baada Ya Kazi #5
🎙Unwind with Chad, Rosemary, and Sharon as they dive into the hilarious and heartwarming world of baby daddies! 🇺🇸 vs 🇰🇪 – How do America and Kenya handle child support? Plus, we spill the tea on the Kenyan president's visit to the U.S., the hotly debated finance bill, and the fun quirks of polygamy in different cultures. Don't miss this week's laughter and insights! #BaadaYaKazi #BabyDaddies #ChildSupport #KenyanPresident #FinanceBill #rejectfinancebill #Polygamy #PodcastLife #podcast #kenyanpresident #BYK
2024-06-24
48 min
Baada Ya Kazi
Baada Ya Kazi #4
Welcome to Baada ya Kazi! Join Chad, Rosemary, and Sharon as they hilariously recount their wild attempts to get Dave Chappelle on their podcast—before it even launched! Dive into fun chats about football, TikTok trends, and more. It's the perfect way to unwind after work! #BaadaYaKazi #UnwindAfterWork #DaveChappelle #FootballTalk #TikTokTrends #ComedyPodcast #PodcastLife
2024-06-16
38 min
Baada Ya Kazi
Baada Ya Kazi #3
Welcome to Baada Ya Kazi! Join hosts Chad, Sharon, and Rosemary as they delve into the nuances of modern communication, exploring the age-old debate of texting versus calling, and uncovering the intricacies of introversion in a world that often values extroversion. From dissecting the latest in entertainment to dissecting the political landscape, including noteworthy events like the Kenyan president's visit to America, #BaadaYaKazi offers a fresh perspective on the intersection of news, culture, and human behavior. Tune in for captivating discussions that will leave you both informed and entertained. #CommunicationDebate #IntroversionVsExtroversion #EntertainmentNews #PoliticalAnalysis #KenyanPresident #PodcastDiscussion
2024-06-07
28 min
Wahubiri wa Neno Pod
Mafundisho ya Biblia: 12/5 JP baada ya Kupaa || Yn 17:1–11 na WK: Ahadi ya Roho Mtakatifu
Mchungaji Mmasa na Mwalimu Mike tunafundisha Biblia katika masomo ya siku kwa Jumapili ijayo ili kuwasaidia watu wote na hasa watumishi katika maandilizi yao.Wiki hii ya Jumapili tarehe 12/5 ni Jumapili baada ya kupaa, ukurasa 113 katika kitabu cha sala cha kanisa la Anglikana.Tunafundisha kifungu cha Injili, Yohana 17:1–11 na mambo yaliyomo kama utukufu wa Yesu, ufunuo juu ya Mungu na sala ya Yesu kwa umoja na ulinzi wetu. Halafu na tunafundisha juu yaa Roho Mtakatifu na jinsi ambavyo kwa huyu Roho Mungu anakamilisha kazi ya wokovu iliyoanza kwa huduma ya Yesu.Karibu!
2024-05-06
39 min
Doctor Rafiki Afrika
JINSI YA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO ZA MWILI BAADA YA CHANJO
Karibu katika episode ya tatu na Doctor Rafiki Katika mada yetu ya Chanjo. Episode hii tupo na mgeni Dr. Irene Mageni ambapo kwa pamoja tunaenda kuzungumzia changamoto za mwili zinazoweza kutokea baada ya chanjo na jinsi ya kukabiliana nazo.
2024-05-01
09 min
ROCKS bach
Love failure baada
Love failure baada alltechonline.net alltechonline #alltech --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/tunybaby/message
2024-03-11
00 min
Baada Ya Summit Podcast
019 - Rose Kimondo
Rose is hiker, lifeguard, adventurer. She loves anything about the outdoors. This episode was recorded on 25 Oct 2023.
2024-03-07
09 min
Baada Ya Summit Podcast
018 - James Muhia (climbing Manaslu)
On 24th September 2023, James Muhia and Cheruiyot Kirui made history by becoming the first Kenyans & Africans, to summit an 8,000m mountain without using supplemental oxygen and also without using Sherpa support. They successfully climbed Manaslu (8,163m), the 8th highest mountain in the world. In this episode, Muhia talks about the Manaslu climb.
2023-12-31
2h 12
Baada Ya Summit Podcast
017 - Violet Karanu
Violet Karanu is an adventure mum, hiker, biker, diver, yogi, restauranteur and also podcaster. We recorded this episode at her newly opened restaurant, Traventure Café. This episode was recorded on 25 Oct 2023.
2023-11-27
14 min
SBS Swahili - SBS Swahili
Bobi Wine awekwa katika kizuizi cha nyumbani muda mfupi baada yakuwasili Uganda
Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Bobi Wine amesema siku ya Alhamisi amewekwa katika kizuizi cha nyumbani, baada ya kukamatwa na maafisa wa usalama alipokuwa akirejea nyumbani akitokea nje ya nchi.
2023-10-06
07 min
Baada Ya Summit Podcast
016 - Wang'oe Mtuhuru (Freeman)
Wang'oe Mtuhuru aka, Freeman, is an Ultra Runner and Trail Runner. He accomplished one of the toughest mountain challenges in Africa that is, The Virunga Challenge. He ran up and down 3 Virunga Mountains (Mount Muhabura, Mount Gahinga and Mount Sabyinyo) all in just 11 hours and 23 minutes. A total distance of 42KM and a 4,000m elevation gain. An incredible feat! We recorded this brief episode in Kampala, Uganda after we did our different versions of the challenge. The hiker's version of the Virunga Challenge is hiking the 3 mountains in 3 days. This episode was recorded on 12 June 2023.
2023-09-29
09 min
Baada Ya Summit Podcast
015 - James Muhia
James Muhia is a trail runner, hiker, mountaineer and outdoor enthusiast. We recorded this episode in Kampala after doing the Virunga Challenge. The hiker's version of the Virunga Challenge is to climb Mount Muhabura, Gahinga and Sabyinyo in 3 days. While the runner's version is to climb all the 3 mountains in one day. In this episode, Muhia talks about his Ama Dablam experience, Virunga Challenge and his upcoming Manaslu Expedition. This episode was recorded on 12 June 2023.
2023-09-08
11 min
Amani Business School
#59: Sababu Kwanini Ulinunua BIDHAA Baada Ya Rafiki Yako Kukwambia
Ndani ya Episode hii nimelezea Sababu Kwanini Ulinunua ile Bidhaa Baada Ya Rafiki Kukwambia Anza kozi hapa https://selar.co/m/digitoskool Kununua Ebook Ya PESAGRAM - Njia 50 Za Kutengeneza Pesa Instagram, bofya👇🏼 https://selar.co/pesagram Nifuatilie Instagram👇🏼: https://instagram.com/mjasiriamalidigital Mjasiriamali Digital Podcast Episode 59
2023-09-07
06 min
SBS Swahili - SBS Swahili
Vikao vya Bunge ya Shirikisho vya anza tena baada ya mapumziko ya majira ya baridi
Vikao vya bunge la shirikisho vime anza tena baada ya likizo ya mwezi mzima, kwa kiongozi wa upinzani Peter Dutton na waziri mkuu wa zamani Scott Morrison kuzungumzia shutma zilizo tolewa wakati wa likizo kuhusu mienendo yao ya awali.
2023-08-01
10 min
Shakilah's Tales
Maisha Baada ya Uchaguzi.
Kipindi hiki kinaghusia maisha baada ya uchaguzi mwaka 2022 Agosti.Je,maisha yamekuwa magumu zaidi ama mambo yako sawa? Je, Serikali ambayo iko usukani imetimiza ahadi kwa wananchi ama hapana? Sikiliza ili upate bayana ya mambo usikose kuwacha mawazo yako kuhusu mada hii. --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/shakilah-ochara/message Support this podcast: https://podcasters.spotify.com/pod/show/shakilah-ochara/support
2023-07-02
07 min
Yesu Ndiye Njia
MAISHA BAADA YA KIFO
MAISHA BAADA YA KIFO 11TH MAY 2007ERIC, ZABLON,CHAKA,IMBUYE
2023-06-08
1h 20
Baada Ya Summit Podcast
014 - Sibusiso Vilane
Sibusiso Vilane is an accomplished South African mountaineer and motivational speaker. He became the first black person to summit Mount Everest on 26th May 2003. Other notable achievements: The 7 Summits, North & South Pole Expeditions, the Matterhorn, Eiger and Mont Blanc. He is also the author of the book, "To The Top From Nowhere". We recorded this brief podcast while on a hiking trip in the Drakensberg. (18 Feb 2023)
2023-03-19
15 min
Yesu Ndiye Njia
BAADA YA YESU KUFUFUKA- YESU NDIYE NJIA
BAADA YA KUFUFUKA TUFANYE LIPI?. MWALIMU ZABLON,BENARD NA YUSUFU INTERPRETS. IT WAS AIRED ON 13TH APRIL 2018
2023-02-23
1h 21
Baada Ya Summit Podcast
013 - James 'KG' Kagambi
KG is an accomplished Kenyan mountaineer and mountain guide. He is the first Kenyan to summit Mount Everest (2022). He is also the first African to summit Denali (1989) and Aconcagua (1994). He runs KG Mountain Expeditions, an adventure travel company based in Naro Moru town. They offer hiking and climbing trips in East Africa. On this episode, we talk about KG's mountaineering journey and his recent Mount Everest experience. This episode was recorded on 23 Jan 2023.
2023-02-07
1h 29
Baada Ya Summit Podcast
012 - Gitonga Wandai
Gitonga Wandai is the founder of Hikemaniak, a mountain adventure company based in Kenya. They offer a wide variety of hiking and rock climbing trips. On this episode, we talk about Gitonga's hiking journey, Mount Everest ambitions and the incident he faced while climbing Himlung Himal, a 7,000M mountain in Nepal. This episode was recorded on 08 Nov 2022.
2023-01-09
1h 12
ADPlusSwahili | Podcast
E09 NCHA KALI | BAADA YA KUTENDA WEMA | RAMADHAN KASSIM QAHTWAAN | PODCAST
Ni kipindi kilicholenga kumfikirisha mfuatiliaji juu ya vyakuzingatia kabla na baada ya kutenda wema SH RAMADHAN QAHTAN @ 00:01-01:15 Clip ya utangulizi 01:18-04:21 Ufunguzi 04:21-06:58 Ufafanuzi wa anuani ya kipindi 06:58-14:53 Nini uzingatie ukifanya wema kama ibada 15:00-24:22 Kuonyesha wema katika mitandao ya kijamii limekaaje 24:25-27:25 Kufanya wema kwa kutaraji malipo 27:30-35:30 Je anaetendewa wema anatakiwa achukulie vipi jambo hili 35:30-44:41 Malezi na baada ya kutendewa mema 50:00-53:40 Kwa nini wengi tunamtazamo tukifanya wema tunataraji malipo 54:00-57:42 Nasaha kwa umma 57:50...
2023-01-08
1h 00
Salama Na
SE7EP23 - SALAMA NA WALTER CHILAMBO | HABA NA HABA
Pengine jina la episode hii linaweza likakupa muangaza kidogo wa story fupi ya maisha ya mgeni wetu wa wiki hii kwenye kiti chetu chakavu na meza ya kigae ambaye leo hii tayari kashaona, tochi ya maisha kwake inamulika tu vizuri na mbele anapaona. Huyu ni Walter Chilambo ambaye miaka tuseme 14 iliyopita alikua hana uhakika wa chakula chake cha siku tu achana na sehemu gani atalala. Ruka ruka ya kule na huku na bahati ya kupendwa alonayo na ambayo inaendelea mpaka leo naamini inakuja kwasababu ya ukarimu wake na hii ndo silaha yake yenye makali ambayo inampeleka mbali mpaka...
2022-11-17
1h 06
Baada Ya Summit Podcast
011 - Sandra Bomett
Sandra is a counselling psychologist by profession. She enjoys hiking as a hobby and also runs a hiking company called Elet Outdoors. On this episode, we talk about her hiking journey and also a little bit about the psychology of hikers. This episode was recorded on 01 Nov 2022.
2022-11-15
1h 24
Swahili Dishes Podcast
Mambo Wanaume Wanayofanya Baada ya Mechi Yanayoboesha
Jumuika nasi tunapotoa mifano ya vitu amabavyo wanaume hufanya baada ya mechi yanayotuudhi.
2022-10-28
15 min
Baada Ya Summit Podcast
010 - Cheruiyot Kirui
Cheruiyot is a banker by profession, ultra runner, adventurer, author and a Salomon Kenya brand ambassador. He enjoys competing in the toughest races and challenges around the world. On this episode, we talk about his experience competing in the Tor des Géants race in Italy. A 356 km footrace in the Italian Alps. This episode was recorded on 16 Aug 2022.
2022-10-11
1h 40
Baada Ya Summit Podcast
009 - Jambee Kimani
Jambee is a hiker, mountaineer, summit dancer, Korean food & culture enthusiast. When not hiking, she does marketing for an IT company. On this episode, we talk about her hiking journey while taking a couple of shots of Soju 🍻 This episode was recorded on 02 August 2022.
2022-09-20
1h 05
Salama Na
SE7EP12- SALAMA NA DR TULIA | BULYAGA 1976
Tulia Ackson ni jina kubwa kati ya majina makubwa kwenye Serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania na kwa sisi kuweza kulipata jina kubwa na kukubali kuja kuketi kwenye kiti chetu chakavu ilikua ni BARAKA sana. Ila ukiachana na kwamba ni jina kubwa ila yeye ni binadamu, tena wa kawaida tu. Ni Mama, ni mke, ni Dada, ni Binti kwa Mama yake na ni Mbunge kwa wana Mbeya mjini lakini pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wadhifa ambao baada ya uchaguzi wa 2020 alirudi bungeni kama Naibu Spika ila baada ya aliyekua Spika kujiuzulu Dr...
2022-09-01
51 min
Baada Ya Summit Podcast
008 - Margie Gathungu
Margie is a hiker, mountaineer and soon to be an author. She's currently writing a book about mountains in Africa. On this episode, we talk about her hiking adventures in East Africa and her Batian experience. This episode was recorded on 27 July 2022.
2022-08-17
1h 39
Baada Ya Summit Podcast
007 - Peter Naituli
Peter Naituli is one of Kenya's best climbers. He's a rock climber, mountaineer and a technical mountain guide. On this episode we talk about his mountaineering history and his free soloing adventures on Mount Kenya and Ololokwe. This episode was recorded on 26 July 2022.
2022-08-10
1h 32
Baada Ya Summit Podcast
006 - Agoro Adhiambo
Agoro is a hiker, mountaineer and runner. She loves mountains and being outdoors. Always seeking to improve herself. Her motto: "Faster, Higher, Stronger". On this episode, we talk about her hiking journey, Mt. Kenya and Kilimanjaro. This episode was recorded on 31 May 2022.
2022-07-21
1h 21
Baada Ya Summit Podcast
005 - Limo Kipkemoi
Limo is an architect by profession, ultra runner and sky runner. He's also the Salomon East Africa brand ambassador. He's known to do the craziest mountain challenges in East Africa with ambitions to go beyond. On this episode, we talk about his recent challenges such as the Summit to Summit Challenge and the 5 Mountains in 7 Days Challenge. This episode was recorded on 24 May 2022.
2022-07-05
1h 21
Baada Ya Summit Podcast
004 - Agata Emmanuel
Agata is a mountain guide, medic and wilderness expedition leader. He's also the founder and CEO of Bridgeway Adventures. An outdoor adventure company based in Kenya. On this episode, we talk about his journey as a mountaineer and his experiences hiking the Pacific Crest Trail and climbing Mt. Aconcagua. This episode was recorded on 17 May 2022.
2022-06-02
1h 25
Baada Ya Summit Podcast
003 - Robert Kamaru & Adam Kabiru.
Robert and Adam are the team behind Outdoorer. Outdoorer is an outdoor adventure company, outfitter and premier hiking academy based in Nairobi. On this episode, we talk about their Beginner to Mt. Kenya in 90 days program. This episode was recorded on 03 May 2022.
2022-05-19
1h 32
Baada Ya Summit Podcast
002 - Ted Callahan
Ted is a Mountain Madness mountain guide. He has summited two 8,000 M peaks: Everest (8,848 M) and Makalu (8,463 M). On this episode, we talk about his experience climbing 8,000 M peaks. Episode recorded on 26 April 2022.
2022-05-05
1h 25
Baada Ya Summit Podcast
001 - Hetal Shah, Hemal Haria & Neel Savla.
Episode recorded on 18 April 2022. We talk about climbing Himlung Himal (7,126 M). Mountain in Nepal. Guests: Hetal Shah @hetal_rshah Hemal Haria @pesky080 Neel Savla @neelsavla
2022-04-26
1h 25
Iran-Tanzania Podcast
MALENGA WA KIIRANI SAADI SHIRAZI
Musharraf al-Din Mosleh ibn Abdullah ibn Musharraf, ambaye baadaye alijulikana kama Saadi Shirazi, ni mmoja kati ya malenga na mshairi mkubwa na mashuhuri nchini Iran. Wanahistoria wanaamini kwamba Saadi Shirazi alizaliwa kati ya mwaka 600 na 610 Hijiria (sawa na takriban mwaka 1210 Miladia). Walakini, hakuna tarehe kamili inayojulikana ya kuzaliwa kwa malenga huyu, ingawa wanahistoria wanakadiria mwaka huo wa kuzaliwa kulingana na athari za kazi zake. Saadi alizaliwa katika familia ya wanazuoni, wasomi na watu wenye maadili mema. Baba yake alikuwa mfanyakazi wa Mahakama ya Atabak na Shah Saad bin Zangi. Wengine wanaamini kwamba mshairi huyu amechagua jina la ukoo la Saadi...
2022-04-21
13 min
Kisa Changu
Kisa Changu Podcast; Jinsi maisha yangu yalivyobadilika baada ya kubandikiziwa figo: Eunice Rop -Sehemu 2
Baada ya kuhangaika kwa miaka mingi, hatimaye Eunice Rob alifanikiwa kumpata msamaria aliyempa figo kupitia mtandao wa Facebook. Katika sehemu hii ya pili ya mahojiano na Faith Kutere, Rob anasimulia jinsi maisha yake yamebadilika tangu alipopandikiziwa figo. Pia ana ushauri kuhusu umuhimu wa kufanyiwa ukaguzi wa kiafya mara kwa mara. Sikiliza makala yafuatayo.
2022-03-20
16 min
Unaweza talks
11/100. Mambo manne unayopaswa kuyafahamu kuhusu mwenza wako kabla na baada ya kuingia kwenye ndoa
Kuna mambo manne muhimu unayopaswa kuyafahamu kabla na baada kuingia kwenye ndoa.
2022-02-25
15 min
This is the Bible Bard
Swahili BB-35 Maisha Baada Ya Kifo, Sehemu Ya 2
Biblia inasema nini kuhusu maisha baada ya kifo, 2. (What the Bible says about life after death, part 2.)
2022-02-08
07 min
This is the Bible Bard
Swahili BB-34 Maisha Baada Ya Kifo, Sehemu Ya 1
Biblia inasema nini kuhusu maisha baada ya kifo? (What the Bible says about life after death, part 1.)
2022-02-08
08 min
KBC Podcasts
Matukio ya Taifa; Kenya kuwaweka wageni karantini baada ya COVID-19 'OMICRON' kuibuka
Serikali kurejesha karantini wageni wanapoingia nchini baada ya aina mpya ya virusi vya COVID-19 'OMICRON' kushuhudiwa katika nchi nyingi.
2021-11-30
20 min
Dr Kikoti
harmonize azua gumzo baada kusambaa kwa video hizi
msanii wa bongo flavor harmonize amezua gumzo baada ya kusambaa kwa video hizi fupi mtandaoni
2021-11-17
04 min
African Stars
harmonize azua gumzo baada kusambaa kwa video hizi
msanii wa bongo flavor harmonize amezua gumzo baada ya kusambaa kwa video hizi fupi mtandaoni
2021-11-17
04 min
Dhamana
Mgawanyo wa mali baada ya Talaka.
MGAWANYO WA MALI BAADA YA TALAKA.Mgawanyo wa mali zilizochumwa kwa jasho la wanandoa wote wawili hugawanywa sawa kwa kila mmoja. Mchango katika kupatikana kwa mali hizo ndio sababu kubwa ambayo huzingatiwa katika kugawa mali za ndoa.Mchango katika kupatikana kwa mali za ndoa ni pamoja na kazi za nyumbani ambazo hufanywa na wanawake katika ndoa. kazi hizo hutambuliwa kisheria Kama mchango unaompa haki mwanamke kupata mgao katika mali zilizochumwa pamoja baada ya ndoa kuvunjika.Mali zinazogawanywa ni zile zilizopatikana kwa nguvu ya pamoja na si mali binafsi za wanandoa waliotengana. Kuna uwezekano kwa wanandoa kuwa na mali binafsi ambazo...
2021-10-18
02 min
Dhamana
Matunzo ya mtoto baada ya Talaka.
MATUNZO YA WATOTO BAADA YA TALAKA.Baada ya ndoa kuvunjwa na mahakama, hutolewa amri ya mahakama kuhusu uangalizi na matunzo ya watoto.Haki ya kuishi na watoto hutegemea umri wa mtoto au watoto, uwezo wa kifedha wa kuwatunza na ustawi wa mtoto mwenyewe.Mtoto mwenye umri wa chini ya miaka 7 hupaswa kuishi na mama kwaajili ya ustawi wake kama mtoto, lakini ni lazima ionekane wazi kuwa mama ana tabia njema na ustawi wa mtoto hautaathiwa.Mtoto mwenye miaka zaidi ya saba anaruhusiwa kuchagua kuishi na baba au mama. Baba atawajibika kutoa matunzo ya kifedha kadri ya uwezo/kipato chake kama...
2021-10-18
02 min
Kisa Changu
KISA CHANGU PODCAST: Mwanamke ahangaika baada ya kufutwa na mume kumtoroka
Wilkister Maluki, mama wa watoto wawili vilevile mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha South Eastern Kenya University, SEKU amelazimika kusitisha masomo kwa kukosa karo baada ya kufutwa kazi katika kampuni moja jijini Nairobi. Wilkister ambaye anaishi katika Mtaa wa Mabanda wa Mukuru Kayaba jijini Nairobi sasa anawafulia watu nguo ili kukimu mahitaji ya familia yake changa. Anasema alianza kuwafulia watu nguo wiki tatu tu baada ya kujifungua mwanawe wa pili na kumwathiri pakubwa kiafya. Isitoshe, mumewe alitoweka punde tu baada ya yeye kuachishwa kazi kutokana na janga la korona. Kwa sasa, maisha yanazidi kuwa magumu, familia nayo inamtegemea na hana ajira...
2021-06-27
15 min
Vijana na Mapenzi
VIJANA NA MAPENZI PODCAST: Jamaa abaki njia-panda baada ya kuachwa na mke
Podcast hii inamwangazia jamaa mwenye umri wa miaka 30 ambaye hajui la kufanya baada ya mkewe kumtoroka. Kijana huyo anayefanya kazi katika Kaunti ya Isiolo anasema kwamba siku moja mkewe alimwomba ruhusa ya kwenda kuwaona wazazi wake na hadi sasa hajarejea. Mwanamke huyo aliondoka pamoja na mtoto wao wa umri wa miaka 3 na anapopigiwa simu na mumewe anasema kwamba aliolewa kwingine. Kijana huyu yuko katika njia-panda asijue la kufanya. Mshauri wa masuala ya kijamii, Rachel Mahungu anampa ushauri katika podcast hii.
2021-06-19
10 min
Mwalimu Huruma Gadi
A8:ZAKA~Kabla Na Baada Ya Msalaba
ZAKA~Kabla Na Baada Ya Msalaba
2021-05-31
28 min
Mwalimu Huruma Gadi
A7:ZAKA~Kabla Na Baada Ya Msalaba
ZAKA~Kabla Na Baada Ya Msalaba
2021-05-30
28 min
Mwalimu Huruma Gadi
A6:ZAKA~Kabla Na Baada Ya Msalaba
ZAKA~Kabla Na Baada Ya Msalaba
2021-05-29
28 min
Mwalimu Huruma Gadi
A5:ZAKA~Kabla Na Baada Ya Msalaba
ZAKA~Kabla Na Baada Ya Msalaba
2021-05-28
27 min
Mwalimu Huruma Gadi
A4:ZAKA~Kabla Na Baada Ya Msalaba
ZAKA~Kabla Na Baada Ya Msalaba
2021-05-27
27 min
Mwalimu Huruma Gadi
A3:ZAKA~Kabla Na Baada Ya Msalaba
ZAKA~Kabla Na Baada Ya Msalaba
2021-05-26
27 min
Mwalimu Huruma Gadi
A2:ZAKA~Kabla Na Baada Ya Msalaba
ZAKA~Kabla Na Baada Ya Msalaba
2021-05-25
27 min
Mwalimu Huruma Gadi
A1:ZAKA~Kabla Na Baada Ya Msalaba
ZAKA~Kabla Na Baada Ya Msalaba
2021-05-24
27 min
Jasusi
Magufuli Ashutumiwa Vikali Baada Ya Waziri Mgonjwa, Dkt Mpango, Kufanyishwa Press Conference Jana
Magufuli Ashutumiwa Vikali Baada Ya Waziri Mgonjwa, Dkt Mpango, Kufanyishwa Press Conference Jana Februari 23, 2021 Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe
2021-02-24
06 min
Jasusi
Magufuli Ashutumiwa Vikali Baada Ya Waziri Mgonjwa, Dkt Mpango, Kufanyishwa Press Conference Jana
Magufuli Ashutumiwa Vikali Baada Ya Waziri Mgonjwa, Dkt Mpango, Kufanyishwa Press Conference Jana Februari 23, 2021
2021-02-24
06 min
Jasusi
Uchambuzi Wa Kijasusi: Mustakabali Wa Zimbabwe Baada Ya Anguko La Mugabe (22.11.2017)
Uchambuzi Wa Kijasusi: Mustakabali Wa Zimbabwe Baada Ya Anguko La Mugabe (22.11.2017) Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe
2021-02-19
12 min
Jasusi
Uchambuzi Wa Kijasusi: Mustakabali Wa Zimbabwe Baada Ya Anguko La Mugabe (22.11.2017)
Uchambuzi Wa Kijasusi: Mustakabali Wa Zimbabwe Baada Ya Anguko La Mugabe (22.11.2017)
2021-02-19
12 min
Acky Talks Podcast
EPISODE 17 - BAADA YA MCHEZO WA SIMBA vs FC PLATINUM, SIMBA KUFUZU HATUA YA MAKUNDI.
Sikiliza yaliyojiri Baada ya Simba SC Kuitupilia mbali klabu ya FC Platinum kwa Aggregate ya 4-1 na kufuzu hatua ya makundi ya Klabu Bingwa Africa --- Send in a voice message: https://anchor.fm/aucland-mudu/message
2021-02-02
11 min
JADI YETU
Ihai baada ya maisha
Uhai baada ya maisha
2021-01-23
14 min
Msasaonline
MCHEZAJI WA VALENCIA "DANI PAJERO" AMWAGA MACHOZI BAADA YA KUTEMWA NA TIMU YAKE.
Mchezaji wa muda mrefu ndani ya klabu ya Valencia, Dani Pajero amejikuta akitokwa na machozi baada ya kupigwa chini na klabu yake ya Valencia, na sasa ataichezea klabu ya Villarreal ambao ni wapinzani wa Valencia. Kiungo huyo wa kati wa Uhispania amecheza Valencia mechi 383 tangu mwaka 2008 alipojiunga na klabu hiyo akitokea Getafe, na mwaka 2011 alikaririwa akisema kuwa ndoto yake ni kuja kustaafu klabuni Hapo, lakini kwa bahati mbaya ameshawekwa pembeni. Itakumbukwa Pajero alifanikiwa kuiongoza Valencia Kwenye ubingwa wao wa kwanza tangu 2008, wakati aliposhinda kikombe cha Copa Del Ray msimu wa 2018 / 2019. Vilevile nchini Hispania klabu ya Atletico Madrid imeondolewa kwenye mashindano...
2020-08-15
01 min
Msasaonline
SYRIA: HOSPITALI ZAFUNGWA BAADA YA MGONJWA WA KWANZA WA CORONA KURIPOTIWA MKOANI IDLIB.
Hospitali katika eneo la kaskazini magharibi mwa Syria zimeamua kusitisha huduma zisizokua za dharura baada ya kisa cha kwanza cha maambukizi ya virusi vya CORONA kuripotiwa. Vilevile idara inayosimamia elimu imetangaza kufunga shule zote. Kwa mujibu wa afisa mmoja mwandamizi wa afya, kisa cha kwanza cha Ugonjwa wa Covid-19 kiliripotiwa siku ya alhamisi ya tarehe 9, Julai 2020 katika mkoa wa Adlib, eneo la mwisho lililodhibitiwa na wapinzani. Daktari aliyegundulika kuwa na maambukizi ya Virusi vya Corona tayari ameshajitenga na katika wadi maalumu ya hospitali ya Bab al-Hawa huku wagonjwa na wahudumu wengine wa afya aliokaribiana nao wakiwekwa Karantini. Kumekuwa na wasawasi...
2020-07-13
01 min
Msasaonline
WILL SMITH AKATAA, BAADA YA AUGUST ALSINA KUDAI KUWA NA MAHUSIANO NA JADA PINKETT SMITH.
Moja ya taarifa iliyoshangaza ulimwengu wa burudani jana, ilikua ni baada ya Msanii wa RnB "August Alsina" kusema kuwa ni miaka minne sasa amekua kwenye mahusiano ya kimapenzi na mke wa Will Smith, Jada Pinkett Smith japokua ilikua ni siri lakini alipata baraka zote kutoka kwa Will. Sasa baada ya taarifa hiyo kufikia watu mbalimbali, kumekua na mapokeo ya kitofauti kwani wengi wao wanasema wala hawaendani kuwa wapenzi japo umri sio ishu kubwa. Lakini cha kushangaza zaidi ni kuwa baada ya Alsina kuweka wazi, mwana mama Jada Pinkett Smith pamoja na mume wake wamejitokeza kila mmoja kwa wakati wake na...
2020-07-04
06 min
Msasaonline
JADA NA WILL SMITH WAKATAA, BAADA YA AUGUST ALSINA KUDAI KUWA NA MAHUSIANO NA JADA PINKETT SMITH
Moja ya taarifa iliyoshangaza ulimwengu wa burudani jana, ilikua ni baada ya Msanii wa RnB "August Alsina" kusema kuwa ni miaka minne sasa amekua kwenye mahusiano ya kimapenzi na mke wa Will Smith, Jada Pinkett Smith japokua ilikua ni siri lakini alipata baraka zote kutoka kwa Will. Sasa baada ya taarifa hiyo kufikia watu mbalimbali, kumekua na mapokeo ya kitofauti kwani wengi wao wanasema wala hawaendani kuwa wapenzi japo umri sio ishu kubwa. Lakini cha kushangaza zaidi ni kuwa baada ya Alsina kuweka wazi, mwana mama Jada Pinkett Smith...
2020-07-02
02 min
Coach Aifa
27-Baada ya Kupata SIGN up TISA KWA SIKU MBILI PEKEE, kiongozi Abigail ameshare nasi siri.
Baada ya Kupata *SIGN up TISA KWA SIKU MBILI PEKEE, kiongozi Abigail ameshare nasi siri ya mafanikio yake.* *MSIKILIZE HAPA* 👇👇👇👇👇👇👇👇👇
2020-05-05
05 min
Naweza Show
Naweza Show - Msimu wa 2, Sehemu ya 5: Umuhimu wa Afya ya Uzazi kabla na baada ya ujauzito
Katika sehemu ya pili ya msimu mpya wa Naweza Show tunasikiliza simulizi kutoka kwa Bupe. Simulizi hii itakufunza mengi kuhusu umuhimu wa afya ya uzazi kabla na baada ya ujauzito.
2020-04-25
26 min
Naweza Show
Naweza Show - Msimu wa 2, Sehemu ya 2: Umuhimu wa Afya ya Uzazi kabla na baada ya ujauzito
Katika sehemu ya pili ya msimu mpya wa Naweza Show tunasikiliza simulizi kutoka kwa Bhoke. Simulizi hii itakufunza mengi kuhusu umuhimu wa afya ya uzazi kabla na baada ya ujauzito.
2020-04-06
26 min
1. Namna Ya Kujitofautisha Na Washindani Wako
Je unatakiwa useme nini baada ya mteja kununua bidhaa/huduma yako?
Je unatakiwa useme nini baada ya mteja kununua bidhaa/huduma yako?
2019-08-07
06 min
1. Namna Ya Kujitofautisha Na Washindani Wako
22 Namna ya kufunga mauzo baada ya mteja kununua bidhaa
22 Namna ya kufunga mauzo baada ya mteja kununua bidhaa
2019-06-16
02 min
Mjadala wa Wiki
DRC yampata Waziri Mkuu baada ya kusubiri miezi mitano
Hatimaye rais wa DRC Felix Tshisekedi amemteua Sylvestre Ilunga kuwa Waziri Mkuu. Hii inakuja baada ya mashauriano ya muda mrefu kati ya rais huyo na mwenzake wa zamani Joseph Kabila. Matarajio ya raia wa DRC ni nini ?
2019-05-23
12 min
Mjadala wa Wiki
DRC yampata Waziri Mkuu baada ya kusubiri miezi mitano
Hatimaye rais wa DRC Felix Tshisekedi amemteua Sylvestre Ilunga kuwa Waziri Mkuu. Hii inakuja baada ya mashauriano ya muda mrefu kati ya rais huyo na mwenzake wa zamani Joseph Kabila. Matarajio ya raia wa DRC ni nini ?
2019-05-23
12 min
Naweza Show
NAWEZA Show - Sehemu ya 7 (Samia: Umuhimu wa Kumnyonyesha mtoto mchanga maziwa ya mama ndani ya saa moja baada ya kujifungua)
Maisha bora huanza kwa kusema #Naweza. Sikiliza sehemu ya saba ya kipindi cha Naweza, leo tena sikiliza stori ya Samia. Kupitia simulizi yake tutajifunza umuhimu wa kumnyonyesha mtoto mchanga maziwa ya mama ndani ya saa moja baada ya kujifungua.
2019-04-29
21 min
mohammed iqbal Archives - UrduShahkar
baada o jaam aye saaqi – mohammed iqbal
For word meanings and explanatory discussion in English click on the “English” or “Notes” tab. shabnam majeed singing https://urdushahkar.org/wp-content/uploads/2019/03/mi-baada-o-jaam-aye-saaqi-audio.mp3 Recitation https://urdushahkar.org/wp-content/uploads/2019/03/mi-baada-o-jaam-aye-saaqi-shabnam-majeed.mp3 Song Urdu Hindi English Notes بادہ و جام اے ساقی ۔ محمّد اقبال ۱ لا پھر اِک بار وہی بادہ و جام اے ساقی ہاتھ آ جائے مجھے میرا مقام اے ساقی ۲ تین سو سال سے ہیں ہند کے میخانے بند اب مناسب ہے تیرا فیض ہو عام اے ساقی ۳ میری مینائے غزل میں تھی ذرا سی باقی شیخ کہتا ہے کہ ہے یہ بھی حرام اے ساقی ۴ شیر مردوں سے ہوا بیشۂ تحقیق تہی رہ گئے صوفی و مُلّا کے غلام اے ساقی ۵ عشق کی تیغِ جگردار اُڑا لی کس نے علم کے ہاتھ میں خالی ہے نیام اے ساقی ۶ سینہ روشن ہو تو ہے سوزِ سخن عینِ حیات ہو نہ روشن تو سخن مرگِ دوام اے ساقی ۷ تو مری رات کو مہتاب سے محروم نہ رکھ ترے پیمانے میں ہے ماہِ تمام اے ساقی बादा ओ जाम अए साक़ी १ ला फिर एक बार वोही बादा-ओ-जाम अए साक़ी हाथ आ जाए मुझे मेरा मक़ाम अए साक़ी २ तीन सौ साल से हैं हिंद के मैख़ाने बंद अब मुनासिब है तेरा फ़ैज़ हो आम आए साक़ी ३ मेरी मीना-ए ग़ज़ल में थी ज़रा सी बाक़ी शैक़ कहता है के है ये भी हराम अए साक़ी ४ शेर मर्दों से हुअ बेशा-ए-तहक़ीक़ तेही रह गए सूफ़ी-ओ-मुल्ला के ग़ुलाम अए साक़ी ५ इश्क़ की तेग़-ए-जिगरदार उड़ा ली किस ने इल्म के हाथ में ख़ाली है नियाम अए साक़ी ६ सीना रौशन हो तो है सोज़-ए-सुख़न ऐन-ए-हयात ह
2019-03-15
00 min
Mjadala wa Wiki
Mustakabali wa DRC baada ya matokeo ya uchaguzi
Baada ya tume ya uchaguzi nchini DRC CENI kumtangaza mshindi wa kiti cha uraisi mgombea wa upinzani Felix Tshisekedi,tunaangazia nini matarajio ya raia sasa,nini mustakabali wa DRC wakati huu upinzani wa lamuka ukipinga matokeo hayo kwa kudai udanganyifu ulifanyika.
2019-01-31
11 min
Mjadala wa Wiki
Mustakabali wa DRC baada ya matokeo ya uchaguzi
Baada ya tume ya uchaguzi nchini DRC CENI kumtangaza mshindi wa kiti cha uraisi mgombea wa upinzani Felix Tshisekedi,tunaangazia nini matarajio ya raia sasa,nini mustakabali wa DRC wakati huu upinzani wa lamuka ukipinga matokeo hayo kwa kudai udanganyifu ulifanyika.
2019-01-31
11 min
Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS
Swahilimedia│Natacha avunja rikodi kwa comments baada ya kuachia wimbo wake mpya
Mitandaoni leo imekuwa poa sana baada ya wana NGM kusema kwamba mitandaoni siyo poa,ila yote tisa leo ni poa. Baada ya masaa kama manne wimbo WANGU BY NATACHA FEAT. SHEBBAH kuachiwa rasmi na kuwekwa kwenye CHANNEL YA YOUTUBE YA NATACHA BURUNDI,zimeamka comments nyingi kibao za mashabiki zaidi wakionyesha kuikubali kazi hiyo. Sikiliza na Soma hapa […] The post Swahilimedia│Natacha avunja rikodi kwa comments baada ya kuachia wimbo wake mpya appeared first on Swahilimedias.
2017-10-22
05 min