podcast
details
.com
Print
Share
Look for any podcast host, guest or anyone
Search
Showing episodes and shows of
Charity & Athman
Shows
The Insightful Podcast Show (TIPS)
Acquaint with the far east: What to expect while studying in the Far East
Tupe maoni yako. Nimekutana na washkaji zangu kutokea pande za ‘Far east’ wakijaribu kunielezea maisha ya mwanachuo yanavyokuwa na vitu gani tutegemee kama tunapanga kwenda kusoma huko. Nimepata pia nafasi ya kuwauliza kuhusu story zinazopigwa na washkaji vijiweni kuhusiana na nchi hizo ili waweze kutuambia kama hizo story zinaukweli au tulikuwa tunapangwa tu. Story kuhusiana na Malaysia tumepewa na charity anaesoma Nottingham University branch ya Malaysia, na mchongo mzima wa India mwanagu Athman ndo kawakilisha na tumepata info za kututosha kujua pakuanzia tukienda huko. Kwa yeyote aliepanga kwenda kusoma pande hizo naamini kuna mwanga...
2022-10-05
37 min