podcast
details
.com
Print
Share
Look for any podcast host, guest or anyone
Search
Showing episodes and shows of
Clement Kingo
Shows
Pastor Clement Kingo
Kutenda kwa Hekima
Mambo muhimu ya kuzingatia kabla ya kutenda, wakati wa kutenda na baada ya kutenda. Maisha yetu Ni jumla ya matendo tunayoyatenda, matokeo tulionayo ni jumla ya matendo tuliotenda na matokeo tutakayokuwa nayo yatatokana na matendo tutakayotenda.
2023-06-12
15 min
Pastor Clement Kingo
Kuongea Kwa Hekima - Hekima Series 03
Sio kila unachofikiria unasema, sio ilimradi umesema, unahitaji kupima na kuchagua maneno ya kusema. Jifunze Hekima katika kusema. - unaweza kuamua Nini Cha kusema - Amua kutawala kinywa Chako - Bora kusikiliza kuliko kusema - usiseme kwa haraka - kimjazacho mtu ndicho kimtokacho
2023-03-28
30 min
Pastor Clement Kingo
Namna ya kupata Hekima - Hekima Series 02
Vyanzo Saba vya Hekima..! Mambo Saba ya kukusaidia kupata Hekima...!
2023-03-22
20 min
Pastor Clement Kingo
Muhimu kusuhu Hekima - Hekima Series -01
Umuhimu wa Hekima Hekima ni Nini? Wana wa nuru Mara nyingi hawatumii Hekima. Maeneo muhimu kutumia Hekima, Ndoa, malezi, Familia, Uchumi, kazi/biashara.. Utajuaje eneo gani unahitaji Hekima ya Mungu... Uhumimu wa Hekima.. Mambo mawili Muhimu kuhusu Hekima...
2023-03-22
17 min
Pastor Clement Kingo
Hekima series - Trailer
Trailer ya Hekima series, kwa kifupi kwanini ufuatilie Hekima series
2023-03-22
01 min
Pastor Clement Kingo
Namna ya kupata ulinzi wa Mungu!
Tunahitaji Ulinzi wa Mungu,jifunze namna ya kupata ulinzi wa Mungu wakati wowote mahali popote
2023-03-20
27 min
Pastor Clement Kingo
Mungu ana Mpango
Mungu hajamaliza kukuhusu wewe!
2023-03-19
00 min
Pastor Clement Kingo
Sitakuacha Sitakupungukia - Pastor Clement Kingo
Mungu amehidi hatakuacha, hata sasa Mungu hatakuacha hatakungukia!
2023-03-19
01 min