podcast
details
.com
Print
Share
Look for any podcast host, guest or anyone
Search
Showing episodes and shows of
Daudi Mara
Shows
SIRI ZA BIBLIA
MATHAYO 21: MAFARISAYO WAANZA KUMPELELEZA YESU
Hata walipokaribia Yerusalemu, na kufika Bethfage, katika mlima wa Mizeituni, ndipo Yesu alipotuma wanafunzi wawili akiwaambia, 2 Enendeni mpaka kijiji kile kinachowakabili, na mara mtaona punda amefungwa, na mwana-punda pamoja naye; wafungueni mniletee. 3 Na kama mtu akiwaambia neno, semeni, Bwana anawahitaji; na mara huyo atawapeleka. 4 Haya yote yamekuwa, ili litimie neno lililonenwa na nabii, akisema, 5 Mwambieni binti Sayuni Tazama, mfalme wako anakuja kwako, Mpole, naye amepanda punda, Na mwana-punda, mtoto wa punda. 6 Wale wanafunzi wakaenda zao, wakafanya kama Yesu alivyowaamuru, 7 wakamleta yule punda na mwana-punda, wakaweka nguo zao juu yao, naye akaketi juu yake.
2021-04-05
07 min
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Jiepushe na Ubinafsi by Luphurise Mawere
Wafilipi 2: 4 Kila mtu asiangalie mambo yake mwenyewe, bali kila mtu aangalie mambo ya wengine. *Ubinafsi* ni ile hali ya kujali mambo yako kwa kiasi kikubwa sana na kuyapa mambo ya wengine nafasi ndogo mno. Kujali mambo yako zaidi na kutoangalia mambo ya wengine kabisa. Dunia tunayoishi imejaa watu wengi wenye ubinafsi, maendeleo na changamoto zilizoko ulimwenguni zinazidi kufanya watu kuwa wabinafsi. Lakini Mungu wetu hapendi tuwe wabinafsi na ndio maana hili neno limekujia leo. Hali ya ubinafsi iliyoko duniani inaongezeka sana na imepelekea wengi wenye uhitaji yaani masikini, yatima, wasiojiweza kuongezeka na kukosa msaada kwasababu wale ambao wangesimama kuwasaidia wanaangalia...
2021-03-15
16 min
Mara Radio
What is true Meekness?
Blessed are the meek, for they shall inherit the Earth. -Matthew 5:5
2021-01-07
21 min
Mara Radio
Prophecy 2020/2021
Understand the present times and the heart of God and then pray effectively. Position yourself in Heaven's ranks and see God's Kingdom come upon the Earth.
2020-12-22
18 min
Mara Radio
Of Eternal Value
Connect and know that whatsoever identity we obtain in the world is temporary and matchless to the real eternity that God has set in our hearts.
2020-12-17
21 min
Mara Radio
The Law of Agreement
Agreement is truely accomplished when understanding is attained. Imagine if you perfectly agreed with GOD, and never had doubts or questions, imagine the power of Faith that could flow thru us when we believe.
2020-12-09
47 min
Mara Radio
Who is the Greatest?
When we measure like God does, we will realize that those to whom eternal honor - authority and power is accorded are the least in the sight of men. They are the Greatest Servants.
2020-12-07
27 min
Mara Radio
Kingdom Rights
When born again, you are born into Jesus' Kingdom. Understanding this truth allows you to claim - to lay hold fast of all the promises of God in your life. This is the inheritance we are begotten into. 🤩🌈
2020-12-06
25 min
Mara Radio
The Person of the WORD
Unless Jesus is revealed, God's Word will not bring us the necessary and the abundant grace of God! Listen in and find in yourself the Son of God. Christ revealed in you is acknowledging that Jesus is come in the flesh, this is walking by the Spirit of Faith! It's beautiful and fruitful.
2020-12-05
14 min
Mara Radio
Mara Radio (Trailer)
2020-12-05
00 min
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Unaweza kusimama kwenye kusudi lako hata kama hujulikani by Luphurise Mawere
2 Samweli 20: 16-22 Ukisoma kitabu cha 2 Samuel 20 utaona habari za mtu asiyefaa Sheba ambaye alitaka kuhatarisha amani ya Israel kwa kuwafanya watu kumfuata yeye badala ya kumfuata mfalme Daudi. Katika mistari inayotuongoza leo tunasoma habari za Mwanamke mmoja ambaye hata jina lake halijulikani lakini aliweza kusimama kwenye kusudi na kusaidia kuwepo kwa Amani Israeli na kuukomesha mpango wa Sheba. Yoabu mkuu wa majeshi alijipanga na watu wake wammalize Sheba lakini kungekuwa na machafuko na wangeuharibu mji wa Israel Huyu Mwanamke asiyekuwa na jina alipotambua nia ya Yoabu akalia au akapaza sauti yake. Huyu Mwanamke alijiingiza matatani kwasababu alimpigia kiongozi wa jeshi...
2020-11-09
14 min
St. Joseph Cafasso King'ong'o Parish
Wednesday 25 2020 Daily Mass
MASOMO YA MISA, MACHI 25, 2020 JUMATANO, JUMA LA 3 LA KWARESIMA SHEREHE YA KUPASHWA HABARI YA KUZALIWA BWANA SOMO 1 Isa. 7:10 – 14 Bwana alisema na Ahazi akinena,  Jitakie ishara ya Bwana, Mungu wako; itake katika mahali palipo chini  sana, au katika mahali palipo juu sana. Lakini Ahazi akasema, Sitaitaka,  wala sitamjaribu Bwana. Naye akasema, Sikilizeni sana, enyi nyumba ya  Daudi; Je! Ni neno dogo kwenu kuwachosha wanadamu, hata mkataka  kumchosha Mungu wangu pia? Kwa hiyo Bwana mwenyewe atawapa ishara.  Tazama, Bikira atachukua mimba, atazaa mtoto mwanamume, naye atamwita  jina lake Imanueli. Neno la Bwana… Tu...
2020-03-25
34 min
Ni Salama
Akili kufungwa na shetani ili usifikie malengo yako
AKILI KUFUNGWA NA SHETANI. Luka 8:26â€-‬39 “Wakafika pwani ya nchi ya Wagerasi, inayoelekea Galilaya. Naye aliposhuka pwani, alikutana na mtu mmoja wa mji ule, mwenye pepo, hakuvaa nguo siku nyingi, wala hakukaa nyumbani, ila makaburini. Alipomwona Yesu alipiga kelele, akaanguka mbele yake, akasema kwa sauti kuu, Nina nini nawe, Yesu, Mwana wa Mungu aliye juu? Nakusihi usinitese. Kwa kuwa amemwamuru yule pepo mchafu amtoke mtu yule. Maana amepagawa naye mara nyingi, hata alilindwa kifungoni na kufungwa minyororo na pingu; akavikata vile vifungo, akakimbizwa jangwani kwa nguvu za yule pepo. Yesu akamwuliza, Jina lako nani? Akasema, Jina langu ni Jes...
2019-07-06
09 min