podcast
details
.com
Print
Share
Look for any podcast host, guest or anyone
Search
Showing episodes and shows of
Doctor Rafiki
Shows
Doctor Rafiki Afrika
NJIA 05 ZA KUJIANDAA ILI KUPATA MAZIWA YA KUTOSHA BAADA YA KUJIFUNGUA
Habari Rafiki, tukiwa kwenye wiki ya unyonyeshaji karibu tujifunze njia 05 za kujiandaa ili kupata maziwa ya kutosha baada ya kujifungua, tukiwa na mtaalamu wa lishe na unyonyeshaji, Idda Katigula. Kwa maulizo na ushauri Email: dr.rafikiafrica@gmail.com
2025-07-30
45 min
Doctor Rafiki Afrika
JE NI SALAMA KUNG'OA JINO KIPINDI CHA UJAUZITO | EP 2
Katika kipindi hiki cha Doctor Rafiki Africa, Dkt. Julieth Sebba anazungumza na Dkt. Evarist Wilson, daktari bingwa wa kinywa na meno, kuhusu usalama wa huduma za meno kwa wajawazito. Usikose kujua ukweli wa kitaalamu kuhusu tiba ya meno wakati wa ujauzito!
2025-07-25
18 min
Doctor Rafiki Afrika
JE NI SALAMA KUNG'OA JINO WAKATI WA UJAUZITO?
Katika kipindi hiki cha Doctor Rafiki Africa, Dkt. Julieth Sebba anazungumza na Dkt. Evarist Wilson, daktari bingwa wa kinywa na meno, kuhusu usalama wa huduma za meno kwa wajawazito. Usikose kujua ukweli wa kitaalamu kuhusu tiba ya meno wakati wa ujauzito!
2025-07-18
28 min
Doctor Rafiki Afrika
Fahamu kuhusu Bidhaa salama na zisizo salama za Ngozi
Hi rafiki, mambo vipi? karibu kwenye episode ya leo, na wiki hii tunazungumzia suala zima la ngozi tukiangazia kuhusu bidhaa salama na zisizo salama za ngozi. Karibu ungana nami Dr. Julieth Sebba nikiwa na daktari bingwa wa ngozi Dr. Caroline Masanje.
2025-07-11
24 min
Doctor Rafiki Afrika
Jinsi ya kutunza ngozi yako usipate chunusi | Dr. Caroline Masanje
Habari Rafiki, karibu kwenye episode mpya ya Doctor Rafiki Afrika, tukienda kuzungumzia suala zima la ngozi. Wiki hii tunaungana na Daktari bingwa wa masuala ya ngozi, Dr. Caroline Masanje tukiangazia jinsi au namna ya kutunza ngozi yako usipate chunusi. Karibu Kusikiliza. Unaweza kutuandikia maswali au maoni yako kupitia: Email: dr.rafikiafrica@gmail.com
2025-06-27
20 min
Doctor Rafiki Afrika
Njia salama za utunzaji wa ngozi yako | Dr. Rafiki Africa x Dr. Salva Nicas
Karibu kwenye video hii maalum ya Dr. Rafiki Africa tukishirikiana na Dr. Salva, mtaalamu wa magonjwa ya ngozi, ambapo tunazungumzia mbinu salama na bora za kuitunza ngozi yako kila siku. Utajifunza: ✅ Sababu za matatizo ya ngozi yanayotokana na utunzaji usio sahihi ✅ Namna ya kuchagua bidhaa salama kwa ngozi yako ✅ Vidokezo vya asili vya kuimarisha afya ya ngozi ✅ Mambo ya kuzingatia kwa ngozi yenye mafuta, kavu au mchanganyiko
2025-06-14
39 min
The Show Where They Talk About Monsters
The Show Where They Talk About Monsters: Episode 3.7 - "Human Monstrosity", a talk with Rafiki Jenkins
University of Georgia professor, Rafiki Jenkins, joins Doc and Mike to discuss the origins of human monstrosity (can a human be monstrous?) and how horror fictions presents and complicates history and American culture. We hope you have a fortunate Friday the 13th! Jerry Rafiki Jenkins is Assistant Director of the Institute for African American Studies at the University of Georgia. Rafiki holds a doctorate in Literature from the University of California, San Diego, and his research focuses on Black speculative fiction and film, with an emphasis on horror, and future human studies. Rafiki is...
2025-06-13
59 min
Doctor Rafiki Afrika
Je, ni Kweli kuwa pumu ya ngozi (eczema) haiwezi kupona kabisa?
Habari rafiki, karibu kwenye episode mpya ya leo, tukiendelea na mada yetu kuhusu pumu ya ngozi. Wiki hii tukiwa na Daktari bingwa wa ngozi, Dr. Salva Nicas, tunazungumzia kuhusu suala la kupona kwa pumu ya ngozi (eczema). Je? ni kweli kuwa pumu ya ngozi haiwezi kupona kabisa. Karibu kusikiliza
2025-06-04
42 min
Doctor Rafiki Afrika
UNAJUA NINI CHANZO CHA PUMU YA NGOZI (ECZEMA)? KARIBU TUONGEE
Pumu ya ngozi (eczema) ni tatizo linalowaathiri watu wa rika zote, lakini wengi hawajui chanzo chake halisi. Katika kipindi hiki, Doctor Rafiki akiwa na Dr. Salva Nicas, Md, Mmed wanachambua kwa undani visababishi vya pumu ya ngozi, athari zake, na jinsi ya kujikinga au kuitibu. Karibu upate maarifa sahihi yatakayokusaidia wewe na wapendwa wako kuishi maisha bora bila usumbufu wa ngozi. Sikiliza hadi mwisho – afya ni msingi wa maisha!
2025-05-29
36 min
Doctor Rafiki Afrika
MSIMU WA MAFUA: JINSI YA KUJIKINGA NA KUTIBU
Katika kipindi hiki, Doctor Rafiki anazungumzia ongezeko la mafua katika jamii kipindi hiki cha msimu wa baridi na mvua. Utajifunza visababishi vikuu vya mafua, jinsi yanavyoenea, na hatua rahisi lakini muhimu za kujikinga na kutibu mafua kabla hayajawa makubwa. Sikiliza upate elimu ya afya kwa maisha bora! #doctorrafikiafrica kwa mawasiliano: dr.rafikiafrica@gmail.com
2025-05-14
24 min
Doctor Rafiki Afrika
KWANINI TUNAWE MIKONO? | DR. RAFIKI AFRICA
Hello Rafiki, karibu kwenye episode nzuri ya Doctor Rafiki Africa, leo tunazungumzia suala zima la 'Kunawa Mikono'. Je ni kweli kunawa mikono kunakulinda na magonjwa? Karibu kujifunza. Kwa mawasiliano nasi, barua pepe: dr.rafikiafrica@gmail.com
2025-05-06
15 min
Doctor Rafiki Afrika
Sababu 05 muhimu kwanini mtoto wako apewe chanjo | Dr. Rafiki
Habari Rafiki, Karibu kwenye doctor rafiki podcast, wiki hii tunazungumzia suala zima la chanjo, na tunaenda kukueleza sababu 05 muhimu kwanini mtoto apewe chanjo. Karibu tujifunze pamoja Kwa mawasiliano zaidi, wasiliana nasi kupitia barua pepe dr.rafikiafrica@gmail.com
2025-04-17
11 min
Doctor Rafiki Afrika
MASWALI 10 JUU YA TB SUGU | DR. RAFIKI AFRICA
Habari rafiki, karibu kwenye dr. rafiki podcast; Karibu ujifuzne kuhusu kifua kikuu sugu, jinsi kinavyoenea, dalili zake, na mbinu za matibabu. Sikiliza majibu ya maswali muhimu kuhusu ugonjwa huu hatari
2025-04-03
18 min
Doctor Rafiki Afrika
CHANGAMOTO YA HARUFU MBAYA MDOMONI NA UTATUZI WAKE
Habari Rafiki, karibu kwenye doctor rafiki podcast, leo ikiwa ni siku ya afya ya kinywa duniani, tunaangazia suala zima la changamoto ya harufu mbaya mdomoni pamoja na namna ya utatuzi wake. Ungana nami Dr. Julieth Sebba, MD tukiwa na mgeni wetu ambaye yeye ni daktari bingwa afya ya kinywa na meno, Dr. Evarist Wilson.
2025-03-20
24 min
Doctor Rafiki Afrika
NJIA 05 ZA KUTUNZA UZITO SAHIHI | Doctor Rafiki Africa
Habari Rafiki, Fahamu njia 05 za kutunza uzito sahihi. Karibu ungana nami Doctor Julieth Sebba, MD.
2025-03-06
25 min
Doctor Rafiki Afrika
ZIPI CHANGAMOTO NA MABADILIKO BAADA YA MATIBABU YA KANSA
Habari Rafiki, karibu kwenye episode mpya ya doctor rafiki, tukiendelea na mada yetu ya kansa. Wiki hii tunazungumzia kuhusu changamoto na mabadiliko baada ya matibabu ya kansa. Karibu ungana nami host wako Dr. Julieth Sebba, MD.
2025-02-20
21 min
Doctor Rafiki Afrika
AFYA YA AKILI NA KANSA | HADITHI YA UJASIRI NA TUMAINI
Habari Rafiki, karibu kwenye doctor rafiki wiki hii tukizungumzia ugonjwa wa kansa na jinsi ambayo unaweza kuathiri afya ya akili kwa wagonjwa, familia na hata watoa huduma ya Afya. Fahamu pia hadithi nzuri ya kusisimua ya mwanamke mmoja jasiri aliyejaa na tumaini, tuliyempa jina la 'Amina'.
2025-02-06
17 min
Doctor Rafiki Afrika
MAGONJWA YASIYOPEWA KIPAUMBELE YANAVYOWEZA KUATHIRI AFYA YA MAMA NA MTOTO
Habari Rafiki, karibu kwenye episode mpya ya doctor rafiki, wiki hii tunazungumzia magonjwa yasiyopewa kipaumbele yanavyoweza kuathiri afya ya mama na mtoto. Karibu ungana na Doctor Julieth Sebba, MD kujifunza zaidi.
2025-01-30
19 min
Doctor Rafiki Afrika
FAHAMU MAMBO 05 YA KUFANYA KUBORESHA AFYA YAKO YA AKILI 2025
Habari Rafiki, Karibu kwenye Doctor Rafiki Africa, tukizungumzia mambo matano (05) ya kufanya kuboresha Afya yako ya akili 2025. Karibu ujumuike nasi Kwa maoni, ushauri au maswali wasiliana nasi: Email: dr.rafikiafrica@gmail.com
2025-01-23
15 min
Doctor Rafiki Afrika
NJIA 05 RAHISI ZA KUBORESHA AFYA YAKO
Habari Rafiki, karibu kwenye Doctor Rafiki 2025, tukianza mwaka na episode nzuri kabisa kuhusu Kuboresha Afya yako. Ungana na host wako mahiri Dr. Julieth Sebba akielezea kwa undani njia tano rahisi za kuboresha Afya yako. Karibu sana. Kwa maswali, ushauri nk. Wasiliana nasi: dr.rafikiafrica@gmail.com
2025-01-16
16 min
Doctor Rafiki Afrika
USALAMA BARABARANI MWISHO WA MWAKA
Habari Rafiki, tukiwa tunamaliza mwaka, haya ni machache ya kuzingatia wakati huu wa sikukuu; Usalama Barabarani mwisho wa mwaka. Ungana nami Daktari wako Dr. Julieth Sebba, MD.
2024-12-31
15 min
Doctor Rafiki Afrika
MAZOEZI NA MTINDO WA MAISHA KIPINDI CHA LIKIZO
Karibu kwenye podcast ya doctor rafiki, tukizungumzia kwa kina kuhusu mazoezi na mtindo wa maisha kipindi cha likizo, karibu ungana nami host wako mahiri Dr. Julieth Sebba.
2024-12-19
14 min
Doctor Rafiki Afrika
UNAKABILIANAJE NA STRESS ZA MWISHO WA MWAKA?
Mwisho wa mwaka huleta changamoto nyingi kama presha ya kukamilisha malengo, mawazo ya mwaka mpya na mambo mbalimbali. Karibu kwenye Doctor Rafiki podcast kujifunza namna ya kukabiliana na stress za mwisho wa mwaka.
2024-12-13
19 min
RAI Sessions
Seasons Closings
In this season finale session we join Rafiki once again in her studio to discuss fame, art as labour, the art in labour, the labour in art, and much more as we explore and tease out the stakes of RAI Sessions and spaces/platforms like Rafiki Art Initiatives. Thanks for joining us this season, and stay tuned for more!
2024-12-04
49 min
Our Byron Community with Chris Hanley
Sarah Rosborg and Rafiki Mwema | From Bryon Bay to Africa
Send us a textIn this episode, we sit down with Sarah Rosborg, co-founder of Rafiki Mwema, a non-profit dedicated to helping abused and at-risk children in Kenya. Born in Sydney and raised in the Northern Rivers, Sarah’s journey to creating Rafiki Mwema is nothing short of extraordinary. What started as a volunteer trip to Kenya in 2005 quickly became a life-changing mission to provide a safe haven for girls escaping the horrors of abuse.Sarah shares the story of how she fell in love with Africa, and the moment she realised her calling was to...
2024-11-27
58 min
雲彩飛揚
【國中時重新認識信仰的調皮教會小孩,神裝備帶領他走向扶持軟弱人群的腳步】Rafiki
從小在教會裡長大的Rafiki,活潑的個性,讓他不容易乖乖地在主日學聚會;在學校,他也同樣是個調皮的孩子,矇矇懂懂中,基督徒這個身份也就伴隨著這個頑童長大。國中時,Rafiki一家人到了一間新的教會,他才開始去學習和上帝建立個人的關係,以不同的方式認識信仰。 後來Rafiki參加了一個營會,在營會當中他重新認識這一份信仰,當他回顧自己的過去,他才知道如何面對過去生命得罪神的地方。在高中階段,年紀處在最在意外在形象的Rafiki,因著信仰,他真正認識這位創造主在他生命中建立的形象是何等的美好。 上了大學,主修社工的Rafiki,開始學習如何用自己的專業來幫助別人,裝備自己將來進到社會有需要的人群中。在大學四年級時,一次Rafiki躺在草地上的特別經歷,讓他走上了宣教之路。這一次,他學習如何從社工的服務現場,攝取未來即將前赴的宣教工場所需的技能,與磨練上帝給予的恩賜。 音樂: 我心旋律 ------------------------- 救恩之聲官方網站 http://www.vos.org.tw/ 雲彩飛揚粉絲團 https://www.facebook.com/cloudofwitness 開啟鈴鐺,新故事不錯過! https://www.youtube.com/user/VOS197416/playlists 【救恩雲彩線上聽APP】 IOS https://reurl.cc/XXpdx7 Android https://reurl.cc/5gV6a6 Podcast https://linktr.ee/cloudofwitnesses 寫信給主持人:vos1974@gmail.com 感謝您對節目的喜愛!我們是非營利組織,您的奉獻支持將使節目做得更好更長久! *直接線上奉獻 http://www.101superweb.com/web/vosdonation *了解奉獻資訊 https://www.vos.org.tw/ -- Hosting provided by SoundOn
2024-11-22
1h 00
Doctor Rafiki Afrika
FAHAMU MAMBO 07 MUHIMU KWA AFYA NA FURAHA YA MTOTO WAKO
Habari Rafiki, karibu kwenye podcast ya leo, tukizungumzia mambo 08 muhimu ya kufahamu na kufanya kwaajili ya Afya na furaha ya mtoto wako. Ungana na Dr. Julieth Sebba, MD akikuelimisha kuhusu suala hili, Karibu sana. Kwa swali, maoni na ushauri: Barua pepe: dr.rafikiafrica@gmail.com
2024-11-21
17 min
Doctor Rafiki Afrika
UNAFAHAMU NINI KUHUSU WATOTO NJITI 02
Karibu kwenye Doctor Rafiki Podcast, wiki hii tukiendelea na mada kuhusu Watoto Njiti. Je, unafahamu kuhusu Kangaroo Mother Care (kmc)? Inafanyaje kazi? Kufahamu haya na zaidi ungana nami Doctor Julieth Sebba nikiwa na Dr. Irene Mageni kutoka Sauti ya Daktari.
2024-11-15
07 min
Doctor Rafiki Afrika
UNAFAHAMU NINI KUHUSU WATOTO NJITI
Karibu kwenye Doctor Rafiki Podcast, wiki hii tunazungumzia kuhusu Watoto Njiti. Unafahamu nini kuhusu watoto njiti? Kuna shida gani inayosababisha kuzaliwa kwa watoto njiti? Kufahamu haya na zaidi ungana nami Doctor Julieth Sebba nikiwa na Dr. Irene Mageni kutoka Sauti ya Daktari.
2024-11-08
13 min
Doctor Rafiki Afrika
Unajizua Changamoto za Ugonjwa wa kansa ya matiti?
Karibu kwenye episode nyingine ya Doctor Rafiki, na wiki hii tunaendelea kuzungumzia ugonjwa wa kansa ya Matiti, tukielekeza macho yetu kwenye changamoto za ugonjwa huu wa kansa ya matiti. Karibu ungana nami Daktari wako, Dr. Juliet Sebba, MD.
2024-10-25
16 min
Doctor Rafiki Afrika
NAMNA YA KUJIFANYIA UCHUNGUZI WA TITI NYUMBANI - KANSA YA TITI 02
Karibu kwenye Doctor Rafiki, Wiki hii tunazungumzia namna ya kufanya uchunguzi wa titi. Jumuika nami Daktari wako, Dr. Juliet Sebba, katika muendelezo huu wa Kansa ya titi.
2024-10-18
19 min
RAI Sessions
Introducing RAI Sessions
In this very first RAI Session, RAI Founder and artist Rafiki joins our host and RAI Director Ro Averin to introduce RAI Sessions, give the RAI backstory, and highlight why exactly there is a need for a podcast and space like that of RAI Sessions and RAI.
2024-10-16
59 min
Je t'offre un rail ?
#26 Voyager en train avec son chien, Marion nous raconte son voyage en Europe avec Rafiki !
Voyager en train partout en Europe avec un animal de compagnie !Dans cet épisode exclusif, nous explorons la thématique du voyage en train avec un animal de compagnie, grâce à Marion et son compagnon à quatre pattes, Rafiki, un adorable chien de berger Shetland.Marion, accompagnée de son compagnon Simon, et de leur chien Rafiki, se sont lancés dans un fabuleux voyage en train à travers l’Europe, de Lille à Stockholm ! 🌍🚆De la découverte des charmes de Hambourg aux traversées en train de nuit, en passant pa...
2024-10-13
34 min
Doctor Rafiki Afrika
FAHAMU KUHUSU KANSA YA TITI
Karibu kwenye doctor rafiki podcast, wiki hii tukizungumzia kuhusu Kansa ya titi na jinsi gani inavyowezekana kutibika pindi itakapogundulika mapema na kuanza matibabu.
2024-10-10
10 min
Doctor Rafiki Afrika
KWANINI JAMII IHUSISHWE KWENYE TAFITI ZA AFYA
Karibu kwenye Doctor Rafiki Podcast, wiki hii tunazungumzia kuna umuhimu gani wa Jamii kuhusishwa kwenye tafiti za Afya. Ungana nami Host wako Dr. Juliet Sebba, MD nikiwa na Mgeni Dr. Rosalia Njau, MD, Msc ambaye yeye ni daktari mtafiti katika sekta ya Afya.
2024-09-20
22 min
Doctor Rafiki Afrika
JE UMEWAHI KUPATA WAZO LA KUJIUA? KARIBU TUZUNGUMZE
Karibu kwenye Doctor Rafiki Podcast, wiki hii tukizungumzia suala zima la Kujiua. Ungana nami Dr. JulieT Sebba, tukizungumzia kwa kina suala hili.
2024-09-12
18 min
Doctor Rafiki Afrika
VIPI KUHUSU MPOX KWA; WAJAWAZITO, WATOTO AU WAGONJWA WA MUDA MREFU?
Karibu kwenye doctor rafiki, wiki hii tukiendelea na mada ya Mpox, tukizungumzia katika upande wa wajawazito, watoto na wagonjwa wa muda mrefu. karibu sana kusikiliza na Kujifunza.
2024-09-05
14 min
Doctor Rafiki Afrika
MASWALI NA MAJIBU JUU YA UGONJWA WA MPOX
Karibu kwenye episode mpya ya Doctor Rafiki, wiki hii tukijifunza kupitia maswali na majibu kuhusu ugonjwa mpya wa Mpox ukiwa daktari wako, Dr. Juliet Sebba, MD.
2024-08-26
18 min
Doctor Rafiki Afrika
FAHAMU MAMBO YA MUHIMU KUHUSU UNYONYESHAJI
Habari Rafiki, karibu kwenye episode ya leo ukiwa na Doctor Juliet Sebba, MD. Leo tunaenda kujifunza kuhusu mambo yote muhimu unayopaswa kuyafahamu kuhusu Unyonyeshaji. Karibu kusikiliza. Unaweza kutupa maoni, ushauri au maswali kupitia: Email: dr.rafikiafrica@gmail.com
2024-08-23
13 min
Doctor Rafiki Afrika
JINSI SIKU 1000 ZA MWANZO ZINAVYOWEZA BADILI MAISHA YA MTOTO
Habari Rafiki, karibu kwenye Doctor Rafiki na katika episode hii utajifunza ni kwa namna gani siku 1000 za mwanzo zinavyoweza kubadili maisha ya mtoto. Karibu sana
2024-08-15
17 min
Doctor Rafiki Afrika
UNAWEZAJE KUMSAIDIA MAMA MJAMZITO MWENYE SONONA?
Karibu kwenye kipindi cha Dr Rafiki na wiki hii tukiendelea na episode nyingine tukizungumzia 'Namna gani unaweza kumsaidia Mama mjamzito mwenye sonona' tukiwa na Mwanasaikolojia tiba, Lizbeth Mhando.
2024-08-08
27 min
Doctor Rafiki Afrika
SONONA KIPINDI CHA UJAUZITO NA BAADA YA KUJIFUNGUA
Karibu kwenye kipindi cha Doctor Rafiki, na wiki tukizungumzia kuhusu 'Sonona Kipindi cha Ujauzito na Baada ya Kujifungua'. Ungana nasi tukiwa na mgeni Lizbeth Mhando ambaye yeye ni mwanasaikolojia tiba, pamoja na Host Dr. Juliet Sebba, MD.
2024-07-31
20 min
Doctor Rafiki Afrika
LISHE NA MTINDO WA MAISHA KIPINDI CHA UJAUZITO
Karibu sana kwenye episode mpya ya Doctor Rafiki na leo tukizungumzia suala zima la 'Lishe na Mtindo wa maisha kipindi cha Ujauzito'. Ungana nasi Dr. Juliet Sebba pamoja na Dr. Tom Jackson (Mtaalamu wa Afya ya kina mama na uzazi) Kwa maoni, ushauri na maswali; wasiliana nasi kupitia email: dr.rafikiafrica@gmail.com
2024-07-24
08 min
Veritas Vox - The Voice of Classical Christian Education
106 | A Vision for Africa with the Rafiki Foundation - ft. Karen Elliott
Did you know that classical Christian education is gaining great momentum in sub-Saharan Africa? Today we chat with Karen Elliott, the Executive Director of the Rafiki Foundation, a group that has been instrumental in building a classical Christian curriculum for these people. Discover how the Rafiki Foundation is caring for orphans, growing classical Christian schools, and even working to supply biblically sound materials to the churches of this region.Want to get involved? The Rafiki Foundation is seeking long and short-term missionaries to assist with their villages. To learn more about these opportunities or to d...
2024-07-23
31 min
Doctor Rafiki Afrika
MAANDALIZI KABLA YA KUBEBA UJAUZITO
Karibu sana kwenye episode ya leo na Doctor Rafiki, Wiki hii tukizungumzia kuhusu MAANDALIZI KABLA YA KUBEBA UJAUZITO; tukiwa na mtaalamu wa masuala ya afya ya kinamama na wajawazito, Dr. Tom Jackson MD, MMED,Msc.
2024-07-18
11 min
Doctor Rafiki Afrika
MABADILIKO YA TABIA YA NCHI NA AFYA YAKO 02
Karibu kwenye Doctor Rafiki, wiki hii tukiendelea kujifunza kuhusu 'Mabadiliko ya Tabia ya Nchi yanavyoathiri Afya yako' tukiwa Doctor Rafiki (Dr. Juliet Sebba, MD) pamoja na Aloyce Urassa (Public Health Scientist)
2024-07-10
23 min
Doctor Rafiki Afrika
MABADILIKO YA TABIA YA NCHI NA AFYA YAKO
Karibu kusikiliza episode mpya ya Doctor Rafiki, wiki hii tukiwa na mgeni wetu Aloyce Urassa, tukizungumzia namna gani Mabadiliko ya tabia ya Nchi yanaweza kuathiri Afya yako.
2024-07-03
22 min
Doctor Rafiki Afrika
AFYA YA AKILI KWA WANAUME
Karibu kusikiliza episode mpya ya Doctor Rafiki, wiki hii tukizungumzia suala zima la 'Afya ya Akili kwa Wanaume', tukiwa na Dr. Frank Kiwango.
2024-06-20
12 min
Doctor Rafiki Afrika
MASWALI JUU YA UCHANGIAJI WA DAMU NA MAJIBU YAKE
Karibu kwenye episode mpya ya Doctor Rafiki, tukiendelea na mada yetu ya 'Uchangiaji wa Damu', Wiki hii Doctor Rafiki anaangazia maswali na majibu kuhusu uchangiaji wa damu. Karibu sana kusikiliza
2024-06-13
17 min
Doctor Rafiki Afrika
UNAFAHAMU NINI KUHUSU KUCHANGIA DAMU
Karibu katika podcast ya leo na Doctor Rafiki, tukiangazia juu ya mambo kadhaa ya kufahamu kuhusu 'Uchangiaji wa Damu' kwenye vituo vya Afya au kampeni za uchangiaji damu zinazoandaliwa na mashirika mbalimbali Tanzania.
2024-06-05
18 min
The EMMA LOVELL Show
I will not stay silient with Sarah Rosborg of Rafiki Mwema
Breaking the cycle of abuse and provides sustainable futures for many children Get Emma’s book, The Art of Bleisure: https://www.emmalovell.au/book Sarah Rosborg, Founder & Director of Rafiki Mwema, fell in love with Africa in 2005, sparking a lifelong commitment. After surviving a life-altering car accident, she turned her pain into purpose, teaching herself design to support Kenyan children in need. In 2013, faced with Rafiki Mwema's potential closure, she rallied support, raised funds, and founded the Australian branch. Sarah's tireless efforts have transformed Rafiki Mwema from a rented property to Doyle Farm, which has been a...
2024-05-31
1h 05
Doctor Rafiki Afrika
LISHE KWA WAGONJWA WA KISUKARI
Karibu katika podcast ya leo na Doctor Rafiki kusikiliza na kujifunza kuhusu lishe kwa wagonjwa wa kisukari. Ungana nami Doctor Juliet Sebba pamoja na Doctor Martha Kungu. Karibu sana
2024-05-29
12 min
Doctor Rafiki Afrika
SONONA NA MSONGO WA MAWAZO MAOFISINI
Karibu kusikiliza podcast mpya na Doctor Rafiki, wiki hii tukiwa na mgeni, Doctor Martha Kungu kutoka 'Afya Passion Clini' tukizungumzia kuhusu sonona na msongo wa mawazo maofisini au afya ya akili katika maeneo ya kazi.
2024-05-15
19 min
Doctor Rafiki Afrika
SIFA NA TABIA BINAFSI ZINAVYOATHIRI AFYA YAKO
Karibu kusikiliza episode nyingine ya Doctor Rafiki, na wakati huu tukizungumzia sifa na tabia binafsi zinavyoathiri afya yako.
2024-05-10
08 min
Doctor Rafiki Afrika
JINSI YA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO ZA MWILI BAADA YA CHANJO
Karibu katika episode ya tatu na Doctor Rafiki Katika mada yetu ya Chanjo. Episode hii tupo na mgeni Dr. Irene Mageni ambapo kwa pamoja tunaenda kuzungumzia changamoto za mwili zinazoweza kutokea baada ya chanjo na jinsi ya kukabiliana nazo.
2024-05-01
09 min
Doctor Rafiki Afrika
FAHAMU UTARATIBU WA CHANJO TANZANIA
Habari Rafiki, karibu kwenye podcast yetu ya leo na wiki tukiendeleza mada yetu kuhusu Chanjo ambapo tutaangali kwa kina utaratibu wa chanjo Tanzania. Karibu kusikiliza na kujifunza pia Usisite kutuandikia swali na maoni yako kuhusu podcast zetu.
2024-04-25
16 min
Doctor Rafiki Afrika
JE? UNAFAHAMU NINI KUHUSU CHANJO
Fuatilia episode mpya kutoka kwa Doctor Rafiki kuhusu 'Chanjo'. Tukielezea maana ya chanjo, faida zake na umuhimu wake katika jamii. KARIBU
2024-04-17
07 min
Doctor Rafiki Afrika
HAKI ZAKO ZA MSINGI UNAPOPATA HUDUMA ZA AFYA
Karibu kwenye episode ya leo ndani ya Doctor Rafiki Podcast tukiwa tunaangazia zaidi juu ya haki zako msingi unapokwenda kupata huduma za Afya katika kituo cha Afya au kupitia watoa huduma katika Jamii. Ungana nami Dr. Juliet Sebba, MD.
2024-04-11
08 min
Doctor Rafiki Afrika
SIKU YA AFYA DUNIANI | AFYA YANGU, HAKI YANGU
Siku ya Afya Duniani tarehe 7 April 2024 ina kauli mbiu ya "Afya yangu, Haki Yangu". Mada ya mwaka huu ilichaguliwa ili kuwa bingwa wa haki kwa kila mtu kila mahali katika kupata huduma bora za afya, maji safi ya kunywa, hewa safi, lishe bora, makazi bora na mazingira bora. Karibu ujumuike nami daktari wako - Doctor Rafiki Kwa maulizo: Wasiliana nasi Email: dr.rafikiafrica@gmail.com
2024-04-06
08 min
Doctor Rafiki Afrika
Doctor Rafiki
Ungana nasi kila wiki katika kujifunza na kuboresha Afya yako na jamii inayokuzunguka kutoka kwa wataalamu wa afya.
2024-04-03
07 min
The Rafiki Foundation
Episode 13: The Experiences of Missionaries in the Rafiki Foundation
In this episode, Karen is joined by two missionaries who serve one of the Rafiki Foundation's schools in Uganda. David and Michelle Graves, a couple that upended their lives to serve Rafiki's mission, share their story about how they came to Rafiki, what the experience has been like in Uganda, and what the Rafiki school is like.
2023-10-13
37 min
TrueNorth Podcast Network
Episode 13: The Experiences of Missionaries in the Rafiki Foundation
In this episode, Karen is joined by two missionaries who serve one of the Rafiki Foundation’s schools in Uganda. David and Michelle Graves, a couple that upended their lives to serve Rafiki’s mission, share their story about how they came to Rafiki, what the experience has been like in Uganda, and what the Rafiki school...
2023-10-13
30 min
Blossom of Thought
Rafiki Morris: Consciencism - An African World View
Rafiki Morris is my guest for this episode. Rafiki is Muralist/Artist, Writer, Poet, Lecturer Politics: Revolutionary Pan-Africanist and cadre and a Central Committee Member in the All African People's Revolutionary Party. Some of the Works and/or Novels written by Rafiki are “The Call of the Drum”; “The Giant and the Fire”; “Leaving Eden”; War: The Blood in Our Eyes. The subject we discuss is one within philosophical lines, namely: Consciencism, An African World View. Rafiki takes a deep dive into Consciencism and the principles (egalitarianism, humanism, and collections) upon which this philosophy - coined by Kwa...
2023-09-13
1h 20
Camp Kids Podcast
Rafiki's Camp Journey
Hey Camp Kids! In this episode, we meet Rafiki with over a decade of experience being a Camp Director for Girl Scout Camps with the Girl Scouts of Greater Iowa. Rafiki shares her stories growing up at camp, working at camp, and transitioning to becoming a Camp Director and how her camps have continued to grow over the years. Rafiki shares her favorite song, “I’m Proud to be Me” follow her on instagram @Abzkaban. Contact Rafiki by email asmith@gsiowa.org and apply to Camp Sacajawea here! Follow us on instagram @thecampkidspodcast for sneak peaks...
2023-03-28
38 min
Rafiki Podcast
What is Rafiki?
In this introductory episode we are pushing past the fear of being perceived, as we remain compassionate with ourselves throughout the process of sharing our story. Get to know a little bit about ourselves, and what we are looking to bring. Hope you enjoy!
2023-03-21
27 min
The Consortium Podcast
Ep 38 - Karen Elliott and Rafiki Foundation
This is Episode 38 of the Consortium Podcast, an academic audio blog sponsored by Kepler Education. In this episode, Scott Postma talks with the executive director of the Rafiki Foundation, Karen Elliott. Rafiki means "friend" in Swahili and depicts the purpose of the Foundation - to help people know God and raise their standard of living with excellence and integrity. Since 1985, the Foundation has been building Rafiki Villages throughout Africa that seek to cultivate human flourishing through Bible study and classical Christian education. Karen has served with Rafiki since 1990, including twelve years on the mission field...
2022-09-29
43 min
We Who Worship
The Attack of Rafiki
Rafiki??? Yes, Rafiki. We LOVE The Lion King. Did you know that Rafiki represents the Holy Spirit? No spoilers but listen if you want your mind to be blown.
2022-07-21
45 min
Beyond the Breakers
Episode 57 - Cheeki Rafiki
In this episode, we discuss the sailing yacht Cheeki Rafiki, lost with her four crew members in May 2014 after taking part in Antigua Sailing Week. Many thanks to the crew of the Belafonte for suggesting this topic. You can follow them on Instagram @aboard_belafonte and check them out on YouTubeSources:Harries, John. "'Cheeki Rafiki' Report Misses An Opportunity To Make Boats Safer." Attainable Adventure Cruising. MAIB Full Report on the Cheeki Rafiki"Yacht firm boss charged with manslaughter over Cheeki Rafiki deaths." The Guardian, 7 Oct 2016.
2022-04-25
1h 04
Curating Conversation
Jack Trodd, Brushes with Greatness
This week's episode see's Leo in conversation with Curator and founder of Brushes with Greatness, Jack Trodd-Jack Trodd is a London based curator, and gallerist. A lifelong lover of art and passionate creative, Jack came from a marketing background to realise his intense passion for supporting artists, giving birth to Brushes with Greatness. He works with a variety of emerging talents to produce exciting exhibitions and connect artists with collectors around the globe. -Late in 2021 Jack curated and produced a show entitled, 'Into the Cosmere', an 18 artist group show which celebrated fantastical...
2022-01-18
59 min
Curating Conversation
Jennifer Smith, Clovermill Artist Residency
This week's episode see's Leo in conversation with painter and founder of the Clovermill Artist Residency, Jennifer Smith-Jennifer Smith is an Irish visual artist based in The Netherlands. She received a BA of Fine Art, Painting in 2005 from Limerick School of Art & Design. She creates abstract expressionist nude figurative paintings. Or so her bio would have you believe, she does much more than this. Her work touches on themes varying from the female gaze, sexuality, image, femininity and mythology, although her practice is constantly evolving. -Alongside her artistic practice, she is the f...
2021-12-16
54 min
Curating Conversation
Jacob Littlejohn
This week's episode see's Leo in conversation with contemporary Scottish artist Jacob Littlejohn.-Jacob Littlejohn is an Edinburgh based artist. He graduated from Glasgow School of art in 2018 and since then has undertaken a residency at Leith School of Art. His work revolves around the realm of human behaviour. Tackling isolation, separation and how individuals adapt to their environments, while recognising and honouring the melancholy and the poetics found in each individual day. His process evolves round a profound interest in the interpretation of literature, exploring media, techniques, composition and colour.-Jacob's fascination...
2021-08-16
56 min
Leaders, Innovators and Big Ideas - the Rainforest podcast
Al Del Degan Hosts Naheed Shivji (Rafiki Technologies) on the LIBI Podcast
Thank you for listening to the Leaders, Innovators and Big Ideas podcast, supported by Rainforest Alberta.The podcast that highlights those people who are contributing to and/or supporting the innovation ecosystem in Alberta. Al Del Degan I have been involved in software development for more than 25 years. I have started companies, lead companies and worked for companies - doing many different things. I am honored to be considered a leader in Alberta's innovation ecosystem, and I give back as much, and often as I can. When I am not working or podcasting, you will find me pu...
2021-05-18
23 min
Curating Conversation
Adam Dix
This week's episode see's Leo in conversation with contemporary British artist Adam Dix.-Adam Dix is a London based painter, who's work evolves around our collective relationship with technology, communication and ritual. He graduated from Wimbledon School of Art's MA programme in 2009-Adam grew up with a father who was a painter and jazz musician and a mother who works in TV. This combination meant he was exposed to both creative and technological stimuli from a young age. Rather than going straight into Fine Art, Adam instead chose to become an illustrator before...
2021-05-03
55 min
Curating Conversation
Anna Choutova & Flora Bradwell, Bad Art
This week's episode see's Leo in conversation with the fabulous duo Anna Choutova and Flora Bradwell, the team behind Bad Art Presents.-Anna Choutova is a visual artist and curator working and studying in London. She is currently studying for an MFA in Painting at Slade School of Fine Art, after graduating with a First Class Honours with a BA in Painting from Brighton University in 2015-Flora Bradwell is an artist and curator whose playful, generously grotesque practice encompasses painting, sculpture, installation, performance and moving image. Flora has exhibited internationally and collaborated in...
2021-04-19
1h 01
Curating Conversation
Aubrey Higgin
This week's episode see's Leo in conversation with artist and collector Aubrey Higgin-Aubrey Higgin is an artist and collector based between London and the West Midlands. He completed his BA studies in Art and History of Art at The University of Reading, graduating in 2017.-Aubrey was first introduced to art from his Grandmother, who would routinely sit him down to paint with watercolours alongside her. It seems this early foray into art stuck with him as he pursued art throughout school and on to University. Aubrey's journey hasn't been smooth sailing, illness...
2021-04-12
1h 00
Curating Conversation
Caroline Gormley, Made In Paisley
This week's episode see's Leo in conversation with artist and arts facilitator Caroline Gormley-Caroline Gormley is a Scottish artist, based in Paisley. She studied art at Glasgow Kelvin College, obtaining a 1st class degree, before starting up Made In Paisley alongside artist Alexander Guy.-Caroline's route into art was not a direct one, having been a carer from the age of 12 she has spent most of her life looking after others and only at the age of 40 did she decide to apply for art school. Her journey since then has been one...
2021-03-01
52 min
Curating Conversation
David Iain Brown
This week's episode see's Leo in conversation with contemporary artist David Iain Brown-David Iain Brown is a Scottish artist, hailing from Ayrshire and now based in Glasgow. He attended Gray's School of Art at the Robert Gordon University in Aberdeen.-David originally trained as a print maker, and while he has now developed into a painter, his practice still maintains many printerly elements, namely large blocks of colour. David's route to becoming an artist was hardly obvious, growing up it was more normal to follow into the job of a local trade...
2021-02-04
1h 14
Curating Conversation
Jonathan Freemantle
This week's episode see's Leo in conversation with contemporary artist Jonathan Freemantle-Jonathan Freemantle is a South African born, Edinburgh based artist, gallery director and entrepreneur. -Jonathan's art should be regarded in a similar vein to the works of the Romantic era, they are created with a deep sense of awe and respect for the process and subject they are inspired by . A recurring theme in much of his work is the mountain, and with this there is a deeper meaning than simply its physical form. Proximity to nature and an almost ritualistic c...
2021-01-15
1h 16
Curating Conversation
Michelle Hamer
This week's episode see's Leo in conversation with contemporary artist Michelle Hamer-Michelle is an Australian visual artist with over 24 solo shows to date and work in 5 permanent national collections.'We all know the billboards, graffiti and instructional signage in our neighbourhoods but have you ever really stopped to think about what its all telling you about society? Michelle Hamer’s hand-stitched and drawn works force us to confront this language of our fears, beliefs & aspirations.-Michelle’s work literally connects to a unique moment in time yet as the world changes the...
2021-01-08
1h 02
Curating Conversation
Benjamin Murphy, Delphian Gallery
This week's episode see's Leo in conversation with contemporary artist and Art Gallery Co-Director Benjamin Murphy. -He holds both a Bachelors degree and a Masters degree, specialising in Contemporary Fine Art, along with being the co-founder and co-director of Delphian Gallery. He is also an associate lecturer at the University of the Arts London.- Benjamin's artwork tends to be monochromatic and focus on themes of time, memory, death and nature. Most recently his work has taken the form of charcoal on canvas, reflecting his instant and direct way of thinking. Alongside his art, h...
2020-11-30
52 min
Curating Conversation
Anna Woodward, The Artists Contemporary
In this week's episode, Leo chat's to contemporary artist and curator Anna Woodward.-Our chat covers her artistic beginnings, and the support she had to be creative in her youth, through to her time at City and Guilds ( that she calls Hogwarts for artists) and her current experiences working at The White Cube along with being a practising artist and curator in a pandemic stricken 2020.-We discussed her art in depth, discovering where her abstract style and mythological subjects come from along with the difficulties of dyslexia. She mentioned her admiration for artists s...
2020-11-06
57 min
Curating Conversation
Bobo Wallmansson
In this week's episode, Leo and guest co host Verity Babbs chat to Swedish contemporary artist Bobo Wallmansson. - Our chat covers Bobo's first foray into the arts, how his mother's harsh criticism changed his artistic direction, ( for the better). What it's like being a successful artist in the 21st Century, and a whole lot more.- Bobo has a somewhat unorthodox art career in that he doesn't have large gallery representation, but still manages to sell work internationally to an eager collection base. He discusses his rock star approach to being an artist and why...
2020-10-16
49 min
A Film and A Movie
Breathe / Rafiki (Feat. Wanuri Kahiu / Filmmaker)
Filmmaker Wanuri Kahiu joins us from Nairobi to discuss her internationally acclaimed film RAFIKI (2018) alongside Mélanie Laurent's intense BREATHE (2014). Catch Wanuri on TCM's "Women Make Movies" series on October 13. Follow us @filmandmoviepod on Twitter, Instagram, and Facebook, and leave us a five-star review on Apple Podcasts or wherever you get your pods.RAFIKI is streaming on Criterion Channel: https://www.criterionchannel.com/rafikiBREATHE is streaming on Kanopy: https://kanopy.com/video/breatheWanuri recommends LES ADOPTÉS: https://www.imdb.com/title/tt2004279/referenceAlonso recommends LITTLE DARLINGS https://www.am...
2020-10-07
40 min
Curating Conversation
Will Claridge, Roy's Art Fair
In this week's episode, Leo chats to contemporary artist and art fair manager Will Claridge. -Our chat covers his artistic education and the beautiful art he produces, along with from studying Fine Art in Falmouth to managing art fairs. We mentioned the artists that inspire him such as Gerhard Richter and Isa Genzken, among others. We discussed the role contemporary, emerging artists have to play to make a living in the current economic and artistic climate. -We made sure to talk about Roy's Art Fair and the fantastic work he does there as th...
2020-09-25
58 min
Curating Conversation
Gabi Gillott with co host Max Walker
In this week's episode Leo is joined by Edinburgh based writer Max Walker to chat with award winning artist, Gabrielle Gillott.- Gabrielle attended the Edinburgh College of Art and won the Glenfiddich award for her artwork ' Safe Haven' which is a piece is large scale installation referencing Domesday prepping. Our chat covers her use of Sims software to create artwork, her time at the Bothy Project, winning the Glenfiddich Award and how the recent pandemic induced lock-down has affected her creative output. We also touched on how she ended up studying the Edinburgh College of...
2020-09-07
49 min
Curating Conversation
Verity Babbs & Joséphine May Bailey. Aurelia Arts Festival
In this week's episode, Leo chats to Verity Babbs and Joséphine May Bailey about their latest venture, Aurelia Arts Festival. - Our chat covers their earliest experiences with art, their time at Oxford University where they met studying History of Art, the experiences they have had in the arts, both good and bad; from dealing with huge commercial galleries through to defending their degree choice at parties. Along with this we talked about the impact of Instagram on the arts network and the issues of privilege in the arts.-We discussed their reasons for...
2020-08-16
1h 04
Curating Conversation
Anna Gormezano Marks, Creative Edinburgh
This week's episode see's Leo in conversation with Anna Gormezano Marks. Anna is the Director of Community & Mentoring at Creative Edinburgh.Our chat covers Anna's initial fascination with art and her journey through and post art school.Through sharing her experiences dealing with issues such as dyslexia, self confidence, and time management, she offers advice that I am sure people from recent graduates to career freelancers and beyond will benefit from. Along with her own artistic practice we chat about her work at Creative Edinburgh and all the fantastic opportunities that are offered there. Cr...
2020-07-24
57 min
Curating Conversation
Jody Mulvey
This week's episode see's Leo in conversation with Scottish Fine Artist Jody Mulvey. Jody graduated in 2020 and has responded to the recent digitisation of the arts by creating a platform entitled SADGRADS 2020. Through this platform she hopes to create a community of recently graduated artists who have been affected by the current pandemic. Our chat covers Jody's introduction to art and her journey through art school, while touching on issues such as the accessibility and exclusivity of the arts, along with the trials many young creatives are now facing. From her earliest memories of Van Gogh through to...
2020-07-13
50 min
Curating Conversation
Ica Headlam. Creative Me Podcast
This week features Leo in conversation with fellow Podcaster, Ica Headlam. Hailing from London, but having spent the last 17 years living in Aberdeen, Ica has spent his time working full time as a social worker, while championing creative talent in the North East of Scotland via his podcast, and his platform 'Big up the 'Deen' where he collaborates with artists. More recently Ica started up the 'We Are Here' platform, which aims to be a space in which black and other underrepresented minority artists and creatives voices can be heard in Scotland.Our chat covered I...
2020-07-07
55 min
Buzz Kidz Podcast
African Safari - Episode 5: Rafiki the Rhino is in Trouble!
Jabulani the Giraffe tells Thandi, Ben and Ravi that he needs their help to find his best friend, Rafiki the Rhino. Some mean and horrible poachers have captured Rafiki! What?! The kidz tell Jabulani that they will help him find Rafiki! But wait a minute. Where is Ben's binoculars? We're not going to find out this episdode, we're going to find out NEXT EP! This episode, we continue learning our new song: Buzzin' and a-Bushwackin' as well as new rap: The Buzz Friendship Rap! All our original songs are available for download via our website or iTunes. Che...
2020-07-02
06 min
Feito por Elas
Feito Por Elas #112 Rafiki
Esse programa pega carona no clima de Dia dos Namorados, mas é também de celebração do Orgulho LGBTI, que se comemora no dia 28 de junho. Conversamos sobre o filme queniano Rafiki (2018), que foi selecionado pra mostra Um Certo Olhar e indicado à Palma Queer no Festival de Cannes e é baseado em um conto de Monica Arac de Nyeko, estrelado por Sheila Munyiva e Samantha Mugatsia, dirigido por Wanuri Kahiu, que também o roteirizou com Jenna Cato Bass. Ele trata de duas adolescentes, filhas de adversários políticos, que se apaixonam e foi banido no Quênia, país em que o re...
2020-06-18
49 min
High Talk Podcast
High Talk Ep. 1
Today we discuss current events, chivalry, relationships and more here on High Talk with Rafiki and Don P
2020-04-06
35 min
The Artificial Podcast
40: Rafiki Cai | How to Empower the World Through Emerging Technology
Rafiki Cai is a veteran technologist of over 25 years with a proven commitment to the empowerment of communities through the democratization of technology; particularly through comprehension, cultural affinity, and access. His tech career has spanned from being a journalist covering the nascent World Wide Web for national media to being the co-founder of a Washington D.C. based technology 501(c)3 organization. He has been a sought-out and trusted technology architect from Capitol Hill to Hollywood to Silicon Valley. He currently serves as CTO of the NGO Friends of The Congo. In that capacity, it is his charge to serve...
2020-03-15
59 min
One Movie Punch
Episode 664 - "Rafiki" (2018)
Hi everyone! Welcome back to our continuing series Under the Kanopy, featuring critically acclaimed, if not commercially successful film offerings on Kanopy, a public library and university funded streaming service. All it takes is a library card and you’ll get six free streams per month from a collection of classic and contemporary films, with agreements with The Criterion Channel, A24, Kino Lorber, and many more of your favorite independent producers and distributors. For a few other films in the series, check out ASH IS THE PUREST WHITE (Episode #643), HER SMELL (Episode #650), and BE NATURAL: THE UNTOLD ST...
2019-12-07
00 min
Cabronas y Chingonas
Rafiki Means Being a Friend
On this episode, Myte and FriedPapita recap their busy weekend in LA! Heavily focusing on the short films they viewed at the 4th Annual Central American Film Festival and the screening of Rafiki (2018) at AFI Film Festival. Hear about those experiences and the rough start that Rafiki had in its home country, Kenya. The next episode will be exclusively available to supporters on Patreon.com/cycpodcast Full show notes can be found at cabronasychingonas.com We're on Twitter and Instagram @CYCpodcast #centralamericanfilmfestival #AFIfest #Rafiki
2018-11-15
46 min
Reformed Forum
The Rafiki Foundation with Ken Jones
Ken Jones, pastor of Glendale Missionary Baptist Church in Miami, Florida, as well as a former regular guest on The White Horse Inn, joins Rob and Bob on this week's episode of Theology Simply Profound. Rob and Bob talk with Ken about evangelicalism and the contemporary church as The Rafiki Foundation. The mission of The Rafiki Foundation is to help Africans know God and raise their standard of living with excellence and integrity. One way it accomplishes this task is through the establishment of Classical Christian Schools.
2018-03-13
47 min
Buzz Kidz Podcast
African Safari - Episode 5: Rafiki the Rhino is in Trouble
Jabulani the Giraffe tells Thandi, Ben and Ravi that he needs their help to find his best friend, Rafiki the Rhino. Some mean and horrible poachers have captured Rafiki! What?! The kidz tell Jabulani that they will help him find Rafiki! But wait a minute. Where is Ben's binoculars? We're not going to find out this week, we're going to find out next week! This week, we continue learning our new song: Buzzin' and a-Bushwackin' as well as new rap: The Buzz Friendship Rap! All our original songs are available for download via our website or iTunes. Che...
2018-02-12
06 min
Karlosophies
Ep 25: Sarah Rosberg, Rafiki Mwema, Living With Pain And Making A Difference
Sarah Rosborg is a Mother of one. Married to a Swede. Obsessive fundraiser - obsessive. Web & Graphic Designer and Boss lady at Castle Design. She's also proud Aunty to the girls of Rafiki Mwema... a charity that Sarah lives and breathes. Rafiki Mwema means 'Loyal Friend' and that is what this 'safe house' provided by Play Kenya is to these young girls. Rafiki Mwema was born from the need to support very young girls who have been sexually abused. There are sadly too many girls under the age of 12 who have experienced sexual abuse and at this time there...
2015-08-20
42 min
Mouse Magic HD (iPod version)
Episode 64 - Train from Rafiki's Planet Watch
This week's episode is a follow up to the last episode. Last episode we took a train to Rafiki's Planet watch and now we talk the train back from Rafiki's Planet Watch.
2009-10-09
00 min
Mouse Magic HD (Apple TV)
Episode 64 - Train from Rafiki's Planet Watch
This week's episode is a follow up to the last episode. Last episode we took a train to Rafiki's Planet watch and now we talk the train back from Rafiki's Planet Watch.
2009-10-09
00 min