podcast
details
.com
Print
Share
Look for any podcast host, guest or anyone
Search
Showing episodes and shows of
Dorcas Karima
Shows
Karry Fm
# ukienda window shopping usisumbue kuvaa nguo na viatu,,unachosha
Tu bargain na kiasi Jamani....
2022-03-18
06 min
Karry Fm
# Kabla upende mtu ni kitu gani ambacho anafaa awe nacho...
Ni nyumba,,gari ,,height ama rangi pia,sema na mimi ...
2022-02-23
06 min
Karry Fm
#Ni kitu gani kibaya kishawai kufanyikia valentine???
Ushawahi sherekea valentine ifaavyo???
2022-02-15
05 min
Karry Fm
# Ni sawa kuchukua vitu ulivyompa mtu mnapokosana....
Je,uamuzi wako ni upi unapokosana na mtu....
2022-02-11
05 min
Karry Fm
# wasichana na sponsor
Ni kitu gani ambacho kinafanya kina dada watafute sponsors,,,sema na nami...
2022-02-07
08 min
Karry Fm
# uko na mipango gani mwaka huu??
Happy New year!,,mwaka huu mpya,,uko na malengo??,,sema na mimi
2022-01-24
05 min
Karry Fm
#Binamu PS advert
Unapenda ps???,,,unaishi kitengela??,,Binamu ps Iko karibu na eastmatt ,,,,usiboeke
2021-12-12
00 min
Karry Fm
#yuno mutu shuthu akale na kitu chani ndo mhalane???
Kabla kuhala hedu kuhalwa ni kitu chani ulolacho mumidzi???
2021-11-30
07 min
Karry Fm
# Je ,unaeza pisha Mzee ama mama mjamzito kiti kwenye gari??
Kupisha mtu kiti hasa kwenye gari,, awe mama mjamzito ama mzee,, bado kuko ama zilipendwa????
2021-11-28
08 min
Karry Fm
#Malenga 003 ndani ya karry fm
Burudika ndani ya karry fm ukiwa nae pendo Karima pamoja na malenga 003
2021-11-19
07 min
Karry Fm
#mwanamke anafaa kua na kitu gani kabla kuolewa
Ni kweli mwanaume lazima awe na mali kabla aoe???sema na mimi
2021-11-11
04 min
Karry Fm
Makala ya simulizi 2
Mwanafunzi Wa chuo kikuu ( TUK)
2021-11-09
04 min
Karry Fm
# for mijikendas
Enye thabu Ni hio asena ??
2021-11-06
05 min
Karry Fm
#makala ya simulizi 1
Je,uko na simulizi itakayo mpa moyo mwengine Ili asikate tamaa??,Sena na pendo Karima
2021-11-02
02 min
Karry Fm
#advertising karry fm
Umechoka kuboeka???,,, usijali pendo Karima anakuletea episodes 2kila wiki ,,
2021-10-25
01 min
Karry Fm
# mashujaa day
Shujaa wako ni nani,,,kwa nini
2021-10-21
02 min
Karry Fm
#simulizi yangu
Girls can shine too,,,kujiamini muhimu jamani .
2021-10-17
04 min
Karry Fm
#Jua Mila zako
Unafahamu Mila ya desturi na desturi...??
2021-10-11
01 min
Karry Fm
# Usikate tamaa
Haina haja ukate tamaa,,,we ng'ang'ana tu
2021-10-05
06 min
Karry Fm
# siku ya kwanza chuoni..
Je,unakumbuka siku yako ya kwanza chuoni.....
2021-09-22
06 min
Karry Fm
# uko na dream??
Do you want to achieve it??,,sema na mimi.....
2021-09-19
03 min
Karry Fm
# Aibu maishani
Ni Aibu gani ambayo hutaisahau...
2021-09-17
12 min
Karry Fm
#birthday manenos
Is your birthday soon?? If so what's your plan,,have you ever celebrate one to your expectations??....
2021-09-13
03 min